CHADOMO WACHENI WIVu
Jamani mbona mnalia lia ndio tumeanza mambo yetu, tukiwafunga manlia tukiwaacha manlia vipi nyinyi?
Nape ndugu yangu upoooo, CCM Oyeeeeeee!!!!!!!
Attachment 56147
CHADOMO WACHENI WIVu
Jamani mbona mnalia lia ndio tumeanza mambo yetu, tukiwafunga manlia tukiwaacha manlia vipi nyinyi?
Nape ndugu yangu upoooo, CCM Oyeeeeeee!!!!!!!
Attachment 56147
Last edited by Kibanga Ampiga Mkoloni; 12th June 2012 at 10:16.
For the Holy Quran says in Sura 42, verse 41: 'All those who fight when oppressed incur no guilt, but Allah shall punish the oppressor, Come the day.
Hiyo ndo ccm bana!
alifanya nini?
Imeandikwa msihukumu msije kuhukumiwa nyie
Huyu mwalimu tutamtoa 2015 pindi wanyonge tutakapochukua nchi na wanaopitisha hukumu za hivi mauti kwao,a deadly punishment!
Sasa miaka 357 kwa nini hawakusema amefungwa kifungo cha maisha ?
INAWEZEKANA, TIMIZA WAJIBU WAKO
Alilidharirisha jina la wnyewe. "MWIZI"
Ndiyo maana kafungwa vizazi saba vijavyo!
"Ikulu ni mahala PATAKATIFU,
mimi sikuchaguliwa kuja kupageuza kuwa pango la wala RUSHWA."
By J.K. NYERERE.
Mnawahukumu vidagaa vichanga wale ma PAPA NYANGUMI mnawaachia wanapeta urainani halafu mnajishabikia kuwa mnatenda haki.... raha ya msumeno ukate kotekote sio upande mmoja kama kisu
"DONT BE A WOMAN THAT NEEDS A MAN BE A WOMAN A MAN NEEDS!!!!"
Hii hukumu ingewafaa waliouza twiga......
Wezi wa kuku wote funga maisha, Mafisadi na wezi wakubwa wakifungwa jela nchi itayumba so waacheni watambe kwa usalama wa nchi yetu!
Mungu na waungwana
Shetani na wahuni
"Peace is not simply about the absence of violence. It is defined by the presence of fundamental liberties and the prevalence of economic opportunities."
Labda anafidia na miaka ambayo ilibidi wafungwe mafisadi
"Wisdom is not a product of schooling, but of the lifelong attempt to acquire it"
Total injustice!
Who Jah bless, No one Curse!
jamani gazeti lenyewe halisomeki vizuri..huyu mwalimu kaiba nini?
JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.
Kama vipi kukiwa na msamaha wa Raisi atolewe tu kwani kaonewa sana ukilinganisha na kina CHENGE, MAIGE, na wengine wote. Sidhani kama wizi wake umezidi wa hao wengine, hii yote inaonekana ni uonevu tu, ingekuwa na wezi wengine wameshughulikiwa kwa mtindo huu huu tusingelalamika.
sio mbaya! lakini vp hukumu za mauaji ya ALIBINO ni waTZ wenzetu, sikuambii wezi wa dhaabu! pole huenda uwezo wako ndo huo.
Follow Us Here