Mkuu unataka hata kwenye misiba wasishirikiane?je wasingehukwepo msimbani ungekuja na hoja ipi
Vema sana kushirikiana namna hii,siasa c uadui
Who Jah bless, No one Curse!
...jamani mbona braza wangu Mkulo sijamuona? Mzee wa Zitto Muongo!!! hahahah, chezea Zitto veve!!
Mimi siyo mwana siasa!
Shukran Candid kwa picha hizi
Huu ni msiba wa taifa na umekuwa na sura hiyo.
RIP jemadari Bob !
Respect !
Hiyo ndio breaking nyuuuuzi?alafu kwa ufikili wako unataka wachukiane hadi ktk udhni?think before act mkubwa wewe sasa sio unakurupuka tu!
..hivi ktk uhai wake walikuwa wakimthamini Bob Makani?
..isije kuwa wanatokea kwenye misiba kwa maslahi yao ya kisiasa, wazungu wanaita "photo-op."
..binafsi I am more concerned na habari za wanafamilia wa Bob Makani, and how they r coping.
Hiyo huwezi kuita breking news. wewe ulitaka watu wasome tu hukua na jipya.kushikiana kwenye misiba kwa Tanzania ni jambo la kawaida kabisa.kidoogo zamani Zanzibar lakini kwa sasa wamejirekebisha.
Follow Us Here