Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

    Report Post
    Page 6 of 7 FirstFirst ... 4567 LastLast
    Results 101 to 120 of 127
    1. #1
      salisalum's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th October 2010
      Posts : 308
      Rep Power : 500
      Likes Received
      68
      Likes Given
      4

      Default Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Tuko hapa kwenye kutoa heshima za mwisho kwa Kiongozi aliyetukuka mwanamaendeleo Bob Nyanga Mohammed Makani. MC alitoa nafasi kwa mwakilishi wa CCM kutoa rambirambi. Akainuka Mkama akazoza kama kawaida yake. Anasema Marehemu makani alikuwa mtu safi na mwenye hekima, kama Chadema wangefuata mfano wake ingekuwa vizuri sana. Halafu akasema umakini na umahiri wake unathibitishwa na ukweli kwamba Makani aliweza kufanikiwa kuwa Katibu Mkuu miongoni mwa watu tisa waliotoka kanda moja ya nchi hii. Yaani kwamba pamoja na ukanda bado Makani aliweza kuchaguliwa kuwa katibu mkuu. Mkama alitaka wana msiba tuingie kwenye mambo ya kisiasa na kutuaminisha kuwa Chadema ni chama cha ukanda na ukabila.

      Mwenyekiti Mbowe kwa utulivu na hekima ya hali ya juu, wakati wa zamu yake alitoa ufafanuzi wa kurekebisha kauli hiyo akisema, ''Mdomo huumba, si vema kauli hiyo iachwe hivi hivi bila kurekebishwa''. Mbowe alianza kutaja mtu mmoja mmoja kwa wale waanzilishi wa Chadema waliokuwepo siku ile ya kumpata katibu mkuu. Ilikuwa orodha ndefu kwa kweli, katika orodha hiyo walioonekana kutoka kanda ya kaskazini walikuwa ni Mzee Mtei, Mzee Kimesera na yeye Mbowe wakati huo akiongoza vijana.

      Mkama ametia aibu sana kwanza kugeuza mahali pa msiba pawe pa malumbano ya kisiasa, pili alikuwa amevaa kofia ya kihuni kwenye hafla ya heshima na ibada kama hii, tatu kusema uongo, Nne kamdhalilisha Rais Kikwete ambaye zamu yake ilipofika yeye hakutaka kujiingiza kwenye ujinga wa katibu wake. Yeye amesema, ''Hapa ni mahali pa msiba, tumekuja kuwapa pole wafiwa na kuwaombea subira''.

      Ninashauri CCM katika uchaguzi wao mkuu wafikirie kupata mtu mwenye hekima atakayeweza kubeba dhamana ya chama badala ya kubeba aibu ya chama. Vinginevyo tutaamini kuwa Chama chetu hakiwezi tena kuaminika kupewa dhamana ya kuongoza nchi. IMEKUWA AIBU SANA.
      Jasusi, kiraia, Shwari and 15 others like this.

    2. Miaka 50

    3. #101
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,520
      Rep Power : 19793
      Likes Received
      4318
      Likes Given
      1306

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Madevu bwana

    4. #102
      WA MAMNDENII's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 5th June 2010
      Location : mamndeni
      Posts : 245
      Rep Power : 505
      Likes Received
      16
      Likes Given
      8

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Quote By salisalum
      Tuko hapa kwenye kutoa heshima za mwisho kwa Kiongozi aliyetukuka mwanamaendeleo Bob Nyanga Mohammed Makani. MC alitoa nafasi kwa mwakilishi wa CCM kutoa rambirambi. Akainuka Mkama akazoza kama kawaida yake. Anasema Marehemu makani alikuwa mtu safi na mwenye hekima, kama Chadema wangefuata mfano wake ingekuwa vizuri sana. Halafu akasema umakini na umahiri wake unathibitishwa na ukweli kwamba Makani aliweza kufanikiwa kuwa Katibu Mkuu miongoni mwa watu tisa waliotoka kanda moja ya nchi hii. Yaani kwamba pamoja na ukanda bado Makani aliweza kuchaguliwa kuwa katibu mkuu. Mkama alitaka wana msiba tuingie kwenye mambo ya kisiasa na kutuaminisha kuwa Chadema ni chama cha ukanda na ukabila.

      Mwenyekiti Mbowe kwa utulivu na hekima ya hali ya juu, wakati wa zamu yake alitoa ufafanuzi wa kurekebisha kauli hiyo akisema, ''Mdomo huumba, si vema kauli hiyo iachwe hivi hivi bila kurekebishwa''. Mbowe alianza kutaja mtu mmoja mmoja kwa wale waanzilishi wa Chadema waliokuwepo siku ile ya kumpata katibu mkuu. Ilikuwa orodha ndefu kwa kweli, katika orodha hiyo walioonekana kutoka kanda ya kaskazini walikuwa ni Mzee Mtei, Mzee Kimesera na yeye Mbowe wakati huo akiongoza vijana.

      Mkama ametia aibu sana kwanza kugeuza mahali pa msiba pawe pa malumbano ya kisiasa, pili alikuwa amevaa kofia ya kihuni kwenye hafla ya heshima na ibada kama hii, tatu kusema uongo, Nne kamdhalilisha Rais Kikwete ambaye zamu yake ilipofika yeye hakutaka kujiingiza kwenye ujinga wa katibu wake. Yeye amesema, ''Hapa ni mahali pa msiba, tumekuja kuwapa pole wafiwa na kuwaombea subira''.

      Ninashauri CCM katika uchaguzi wao mkuu wafikirie kupata mtu mwenye hekima atakayeweza kubeba dhamana ya chama badala ya kubeba aibu ya chama. Vinginevyo tutaamini kuwa Chama chetu hakiwezi tena kuaminika kupewa dhamana ya kuongoza nchi. IMEKUWA AIBU SANA.
      ccm sijui inawaibua wapi makatibu wao, yaani huyu mukama ni afadhali mara mia mzee ma-rope alikuwa na hekima kidogo kwenye kauli zake sio huyu mzee anayejifunza siasa uzeeni, du maskini we JK ana kaaazi kwelikweli

    5. #103
      Sangarara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2011
      Posts : 3,370
      Rep Power : 1212
      Likes Received
      1214
      Likes Given
      1591

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Quote By Lyceum
      Ni utoto unafanywa na mtu mwenye mvi Ritz. Hapakuwa mahali pake ndio maana Jk ameonekana ana busara
      Unamaanisha kwamba JK kwa kawaida huwa hana busara au sijakuelewa vizuri?

    6. #104
      Sangarara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2011
      Posts : 3,370
      Rep Power : 1212
      Likes Received
      1214
      Likes Given
      1591

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Quote By Bobuk
      Usipotoshe watu maana na neno MKAMA ni Mtemi/Mfalme

      Lakini pia anaweza kuwa MKAMA wa UONGO
      Maana zote mbili ni sawa kabisa, inategemea na unamaanisha nini, wewe kama umeona ni sahihi kumdefine mkama kwa tafsiri ya uchief uwe tayari kubeba gharama zake, kwa mtazamo wangu pia,kwa sasa ni sahihi kabisa kuchukua tafsiri ya upepo

    7. #105
      Njowepo's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 26th February 2008
      Location : Santiago
      Posts : 7,634
      Rep Power : 22062
      Likes Received
      1009
      Likes Given
      803

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Hamtakiwi kushangaa ndo uwezo wake wa kufikiria huo na CCM wanamwamnini na kumpa ukatibu!
      Akilala akiamka anawaza namna ya kukabiliana na CDM mbaya zaidi anajisahau mpaka misibani!
      WB Tanzania lead economist Jacques Morisset said the GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.

    8. #106
      WOWOWO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd August 2011
      Posts : 562
      Rep Power : 596
      Likes Received
      348
      Likes Given
      266

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Quote By Dumela Mbegu
      Amekosea nn sasa kusema ukweli ? hakuna kitu hapo kwenye thread yako aiseee
      Kama huoni kitu kwenye thread umewezaje kuchangia? Unasupport ujinga wa Mukama kuleta siasa kwenye msiba? Kwa ujumla amekosa hekima na ustaarabu tena wa kawaida tu.

      Hiyo historia ya CDM kwamba imeundwa na watu tisa na kwamba Marehemu Makani pekee ndiye alikuwa asiyetoka Kaskazini ameitoa wapi? Nani alimtwika jukumu la kutoa historia ya CDM au hata ya Marehemu Bob Makani mwenyewe kwenye msiba? Si kuna watu walipewa jukumu hilo?

      Alichofanya Mbowe ni kumvua nguo Mukama kwani Gamba huyu wa CCM hakusoma mazingira.Msiba ni msiba na siasa ni siasa. Huwezi kuchanganya hivi viwili.Propaganda hizi zimekwama ni vema CCM wakatafuta verse mpya. Hii ya ukanda inaonekana kuchuja na kukosa mashiko.

    9. #107
      kaeso's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd March 2011
      Posts : 551
      Rep Power : 524
      Likes Received
      91
      Likes Given
      158

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Quote By CAMARADERIE
      Ubongo wa mzee huyu sijui umedondoka mwilini kwa uzito? Nina wasiwasi na ulipo kwa sasa!

      Angalia vizuri kwenye suruali yake vizuri, huenda ndio ubongo wake umehamia huko...

    10. #108
      The Magnificent's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Location : chini ya jua
      Posts : 940
      Rep Power : 613
      Likes Received
      148
      Likes Given
      551

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Duuuuuuh!!! wasira muasisi wa CHADEMA?
      khaaaahhhh.....nimestaajabu sana juu ya hili...na zile pumba huwa anazitoa wapi sasa////au ndo anaganga njaa?
      "Dhambi kubwa kuliko zote duniani ni Woga"-Mh.Godbless J.Lema.

    11. #109
      sanjo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th October 2010
      Posts : 861
      Rep Power : 607
      Likes Received
      219
      Likes Given
      33

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Quote By Mercyless
      Sasa pale ccm wewe umeona ni nani anafaa? walidhani kumtoa mzee Makamba ndio dawa kumbe hakuna wa kumsaidia mwingine wote mabogus tu!! Eti chama kikongwe kuliko vyote Tanzania, Shame on them all!!

      Unapokuwa na kundi la watu ambao wanaamini kuingia ndani ya Chama Cha Magamba ni ajira na ulaji basi ujue kuna bomu linalosubiri kuripuka wakati wowote. Hawana siku nyingi hawa jamaa, kwani huwaangalii hata upepo unavyovuma.
      Whatever exists is already becoming obsolete.

    12. #110
      sanjo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th October 2010
      Posts : 861
      Rep Power : 607
      Likes Received
      219
      Likes Given
      33

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Quote By The Magnificient
      Duuuuuuh!!! wasira muasisi wa CHADEMA?
      khaaaahhhh.....nimestaajabu sana juu ya hili...na zile pumba huwa anazitoa wapi sasa////au ndo anaganga njaa?
      Aliamua kupotea njia. Kwani mpotea njia hupuyanga ovyoovyo hasa anapokuwa hana busara ya kuuliza njia!
      Whatever exists is already becoming obsolete.

    13. #111
      mabhuimerafulu's Avatar
      Member Array
      Join Date : 29th May 2012
      Posts : 89
      Rep Power : 369
      Likes Received
      20
      Likes Given
      0

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      CDM ijiandae sawasawa maana Mukama ni shushushu aliyekubuhu. Kapewa Ukatibu Mkuu wa magamba ili kujiandaa kuivuruga CDM, na ameanza. Mukama ndiye mjumbe pekee ambaye hakusaini Ripoti ya Jaji Nyalali kuhusu kuingia mfumo wa vyama vingi na hasa muundo wa muungano. Aliona akisaini ataisaliti serikali yake kipenzi!!!! Mpo wana jamvi?

    14. #112
      Barubaru's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2009
      Location : Doha, Qatar
      Posts : 5,745
      Rep Power : 1920
      Likes Received
      1180
      Likes Given
      972

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Quote By timbilimu
      Masahihisho. Siyo Menrad Mtungi,ni Medard Mutungi. Hapo CCM wamekula chaka.

      • Edwin Mtei (Arusha),
      • Makani (Shinyanga),

      • Marehemu Brown Ngwilupipi (Iringa),

      • Edward Barongo (Kagera),
      • Mary Kabigi (Mbeya),
      • Menrad Mtungi (Kagera),
      • Costa Shinganya (Kigoma),
      • Evalist Maembe (Morogoro) na
      • Steven Wassira (Mara).

      Nilipo RED.

      Nafikiri huyo ni Brown Ngwilulupi ambaye alikuwa Meneja mkuu wa kampuni ya sigara Tanzania.

      Ukiwa mchoyo, usiwe mroho.

      Man Sharaf naf'sahu, fahuwa rasul

    15. #113
      Bigirita's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2007
      Location : Under a mango tree
      Posts : 11,274
      Rep Power : 3045
      Likes Received
      3060
      Likes Given
      4155

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Yes, ndo mwenyewe.............issue hapa ni hawa wagombea wametokea wapi?
      Quote By Barubaru
      Nilipo RED.

      Nafikiri huyo ni Brown Ngwilulupi ambaye alikuwa Meneja mkuu wa kampuni ya sigara Tanzania.

      * LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT.....by nngu007 wa JF

    16. #114
      Safari_ni_Safari's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th October 2007
      Location : Kibaruani
      Posts : 12,014
      Rep Power : 24158
      Likes Received
      4738
      Likes Given
      2652

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Quote By Barubaru
      Nilipo RED.

      Nafikiri huyo ni Brown Ngwilulupi ambaye alikuwa Meneja mkuu wa kampuni ya sigara Tanzania.

      Na ni BABA MKWE wa BAHARIA WETU

      Soki Ozali Mwasi Yaka, Soki Ozali Mobali Koya Te

    17. #115
      Zogwale's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 10th July 2008
      Posts : 6,004
      Rep Power : 6482
      Likes Received
      1207
      Likes Given
      509

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Ninaposema magamba ni weupe kichwani hivi mnafikiri nakosea? Hata wale ambao wanaonekana si weupe basi mazingira yanawafanya wawe weupe. Hivi si unajua kinyonga huwa ana adopt corporate colour ya mahali alipo?
      "Kama unaingia Ikulu kwa njia ya rushwa, je ni biashara gani iko huko ya kuwezesha kulipa fadhila ya rushwa hiyo???"

    18. #116
      Mkwe21's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 912
      Rep Power : 759
      Likes Received
      212
      Likes Given
      165

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Huwa siku zote Mtu Kama Mukama anayefuga Sharubu!! Huwa Busara Zao Zinaishia Kwenye Sharubu!!

    19. #117
      Barubaru's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2009
      Location : Doha, Qatar
      Posts : 5,745
      Rep Power : 1920
      Likes Received
      1180
      Likes Given
      972

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Quote By Mkwe21
      Huwa siku zote Mtu Kama Mukama anayefuga Sharubu!! Huwa Busara Zao Zinaishia Kwenye Sharubu!!
      Sasa hii ni kashfa unayowapa ma RSM wote dunia nzima.
      Waombe radhi.

      Ukiwa mchoyo, usiwe mroho.

      Man Sharaf naf'sahu, fahuwa rasul

    20. #118
      Kiganyi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th April 2012
      Posts : 1,162
      Rep Power : 983
      Likes Received
      708
      Likes Given
      400

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Wakuu mlitegemea cha maana kwa mtu anayepiga kelele msibani hivi hata kabla ya kupewa MIC??!!

      Hebu angalia namna anvyokaa bila hata ustaarabu, utafikiri alitaka akae peke yake, movement ya gestures na facial expression says it all...

      luvcyna likes this.

    21. #119
      luvcyna's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th February 2009
      Posts : 533
      Rep Power : 628
      Likes Received
      194
      Likes Given
      261

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Quote By Kiganyi
      Wakuu mlitegemea cha maana kwa mtu anayepiga kelele msibani hivi hata kabla ya kupewa MIC??!!

      Hebu angalia namna anvyokaa bila hata ustaarabu, utafikiri alitaka akae peke yake, movement ya gestures na facial expression says it all...
      u proved me wrong

    22. Nzi
      #120
      Nzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st October 2010
      Location : 740 Park Avenue
      Posts : 3,325
      Rep Power : 21626
      Likes Received
      949
      Likes Given
      828

      Default

      Quote By IkizuJF
      neno MKAMA maana yake ni UPEPO, yaani VAPOUR kwa kiingereza. so ni bora tuendelee kumwita vapour.
      Vapour kwa kiswahili ni mvuke. Upepo ni wind kwa kiingereza.
      FREDOMFIGHTER likes this.

    Page 6 of 7 FirstFirst ... 4567 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...