Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

    Report Post
    Page 4 of 7 FirstFirst ... 23456 ... LastLast
    Results 61 to 80 of 127
    1. #1
      salisalum's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th October 2010
      Posts : 308
      Rep Power : 499
      Likes Received
      68
      Likes Given
      3

      Default Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Tuko hapa kwenye kutoa heshima za mwisho kwa Kiongozi aliyetukuka mwanamaendeleo Bob Nyanga Mohammed Makani. MC alitoa nafasi kwa mwakilishi wa CCM kutoa rambirambi. Akainuka Mkama akazoza kama kawaida yake. Anasema Marehemu makani alikuwa mtu safi na mwenye hekima, kama Chadema wangefuata mfano wake ingekuwa vizuri sana. Halafu akasema umakini na umahiri wake unathibitishwa na ukweli kwamba Makani aliweza kufanikiwa kuwa Katibu Mkuu miongoni mwa watu tisa waliotoka kanda moja ya nchi hii. Yaani kwamba pamoja na ukanda bado Makani aliweza kuchaguliwa kuwa katibu mkuu. Mkama alitaka wana msiba tuingie kwenye mambo ya kisiasa na kutuaminisha kuwa Chadema ni chama cha ukanda na ukabila.

      Mwenyekiti Mbowe kwa utulivu na hekima ya hali ya juu, wakati wa zamu yake alitoa ufafanuzi wa kurekebisha kauli hiyo akisema, ''Mdomo huumba, si vema kauli hiyo iachwe hivi hivi bila kurekebishwa''. Mbowe alianza kutaja mtu mmoja mmoja kwa wale waanzilishi wa Chadema waliokuwepo siku ile ya kumpata katibu mkuu. Ilikuwa orodha ndefu kwa kweli, katika orodha hiyo walioonekana kutoka kanda ya kaskazini walikuwa ni Mzee Mtei, Mzee Kimesera na yeye Mbowe wakati huo akiongoza vijana.

      Mkama ametia aibu sana kwanza kugeuza mahali pa msiba pawe pa malumbano ya kisiasa, pili alikuwa amevaa kofia ya kihuni kwenye hafla ya heshima na ibada kama hii, tatu kusema uongo, Nne kamdhalilisha Rais Kikwete ambaye zamu yake ilipofika yeye hakutaka kujiingiza kwenye ujinga wa katibu wake. Yeye amesema, ''Hapa ni mahali pa msiba, tumekuja kuwapa pole wafiwa na kuwaombea subira''.

      Ninashauri CCM katika uchaguzi wao mkuu wafikirie kupata mtu mwenye hekima atakayeweza kubeba dhamana ya chama badala ya kubeba aibu ya chama. Vinginevyo tutaamini kuwa Chama chetu hakiwezi tena kuaminika kupewa dhamana ya kuongoza nchi. IMEKUWA AIBU SANA.
      Jasusi, kiraia, Shwari and 15 others like this.

    2. Miaka 50

    3. #61
      ebrah's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th October 2010
      Posts : 376
      Rep Power : 512
      Likes Received
      50
      Likes Given
      52

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Waiting for a day when I will write RIP ccm kwani ugonjwa unazidi kuwala na kuzaa magonjwa mengine hatari zaidi yanayoua mappema zaidi!

    4. #62
      Mapi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2011
      Posts : 571
      Rep Power : 0
      Likes Received
      142
      Likes Given
      141

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      nape + mukama (in ccm) = ????

    5. #63
      Royals's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th November 2011
      Posts : 1,001
      Rep Power : 579
      Likes Received
      215
      Likes Given
      4

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Mukama ni mbwabwabwaji.

    6. #64
      Nicas Mtei's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st December 2010
      Location : Shamba
      Posts : 8,646
      Rep Power : 32146
      Likes Received
      4999
      Likes Given
      5173

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      alidhani anaongea na vile vinyago wanavyovichonga ambavyo haviwatishi..

    7. FJM
      #65
      FJM's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 7,170
      Rep Power : 2568
      Likes Received
      5318
      Likes Given
      4585

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Quote By Nicas Mtei
      alidhani anaongea na vile vinyago wanavyovichonga ambavyo haviwatishi..

      Tatizo kubwa hapa Nicas, Mukama haelewi au hajali madhara ya maneno yanayotoka kinywani mwake. Kwa kauli yake akisaidiwa na Nape, CCM hawana tena moral authority ya kusimama na kusema wanapinga siasa za ukabila. Time and again tumemskia Nape akiwaongelea watu wa upande mmoja wa nchi kama wavamizi, lakii leo, katibu mkuu wa CCM tena kwenye msiba anasimama mbele familia ya marehemu na watanzania wote na kuhubiri siasa uchwara! Kweli bado waendelee kuamini CCM wana uwezo wa kuongoza hii nchi kama akili zenyewe ni ki-Mukama -Mukama?

    8. FemaTV & Radio

    9. #66
      Ciril's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th January 2011
      Posts : 1,971
      Rep Power : 880
      Likes Received
      243
      Likes Given
      19

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Kwa kweli nimeiangalia taarifa ile ktk Itv,alichoongea Mukama hakiendani kabisa na cheo alichonancho.Anaongea kwa jazba,Ila aliponimaliza ni pale alipoongelea mambo ya ukanda ndani ya msiba.hizi ni siasa chafu zilizothibitika Leo kumbe ccm ndio ajenda Yao hiyo,inawezekana kabisa ccm huwa wanapeana vyeo ukilinganisha upeo wa kiongozi na vyeo walivyo navyo ni vitu viwili tofauti kabisa.CCM hamfai mbele ya jamii mtalaaniwa kwa kututenga Watanzania

    10. #67
      Nicas Mtei's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st December 2010
      Location : Shamba
      Posts : 8,646
      Rep Power : 32146
      Likes Received
      4999
      Likes Given
      5173

      Default

      Quote By FJM
      Tatizo kubwa hapa Nicas, Mukama haelewi au hajali madhara ya maneno yanayotoka kinywani mwake. Kwa kauli yake akisaidiwa na Nape, CCM hawana tena moral authority ya kusimama na kusema wanapinga siasa za ukabila. Time and again tumemskia Nape akiwaongelea watu wa upande mmoja wa nchi kama wavamizi, lakii leo, katibu mkuu wa CCM tena kwenye msiba anasimama mbele familia ya marehemu na watanzania wote na kuhubiri siasa uchwara! Kweli bado waendelee kuamini CCM wana uwezo wa kuongoza hii nchi kama akili zenyewe ni ki-Mukama -Mukama?
      Nape na Mukama akili zao ziko sawa pa1 na kwamba wanatofautiana umri.

    11. #68
      Bitabo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th September 2011
      Posts : 1,375
      Rep Power : 662
      Likes Received
      447
      Likes Given
      261

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Quote By Mapi
      nape + mukama (in ccm) = ????
      Hawa nape na Mukama ni mtu na kaka yake. Huo chini ni ujumbe wa Nape kwenye FB wall yake
      Nape Nnauye

      Nakulilia Bob Nyanga Makani! Kuna wanasiasa wengi lakini Mzee Makani ni wa aina ya pekee! Kuna wanasheria wengi lakini si wa aina ya Bob Makani! Umepambana kuhakikisha siasa za Tanzania hasa za ndani ya Chama chako zinakuwa za kweli na zisizo na uongo, chuki na ubabaishaji! Bahati mbaya umeondoka wakati siasa hizo zilizokukera zikishika kasi kubwa kwenye Chama chako! Naamini Mungu atainua mwingine wa aina yako au zaidi yako, akiokoe Chama chako, ili kwa pamoja tujenge Demokrasia ya kweli nchini! TANZANIA KWANZA, UZELENDO KWANZA!

      Uovu wa siku moja, unaondoa wema wa MWAKA MZIMA

    12. #69
      Ng'wanangwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th August 2010
      Posts : 5,973
      Rep Power : 1643
      Likes Received
      1129
      Likes Given
      410

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      ukichunguza fisuri hii picha apa chini utagundua kuwa Mukama ni gamba orijino.

      source: kazeti la Mwananchi. tarehe nimesahau.
      CCM HAIKUBALIKI ...TUSHIRIKIANE KUITOKOMEZA...

      REST IN PEACE, DR.D.D. HAULE...Wema hawana Maisha

    13. #70
      muheta's Avatar
      Member Array
      Join Date : 24th May 2012
      Posts : 15
      Rep Power : 355
      Likes Received
      9
      Likes Given
      8

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Quote By ritz
      Siasa za Tanzania ndivyo zilivyo kupigana madogo tu.
      sema siasa za CCM ni za kupakaziana na kupigana madongo!! Kwa maneno ya namna hiyo siko pamoja na CCM

    14. #71
      Dumelang's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th August 2011
      Location : Dar es salaam
      Posts : 307
      Rep Power : 454
      Likes Received
      178
      Likes Given
      144

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      niko uwani naota moto
      Never say more than is necessary.

    15. #72
      Kizamani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th September 2011
      Posts : 389
      Rep Power : 466
      Likes Received
      97
      Likes Given
      3

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Kwani hakuwepo mtu pembeni baada tu ya kumaliza hotuba badala ya kumpa mkono akamchapa kibao. Anawaibisha wazee wenzake. Tulifikiri uzee busara kumbe madudu.

    16. #73
      ndenga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th December 2010
      Location : Kigamboni New City
      Posts : 1,049
      Rep Power : 636
      Likes Received
      269
      Likes Given
      84

      Default

      Quote By Makirita Amani
      kwani nape ndio mwenye busara??
      Kwa vapour/pumba bora hata Nape kuliko Mukama.. nakumbuka alimpiga Nape marufuku kwenda Igunga wakati wa uchaguzi wa ubunge..

    17. #74
      Seif al Islam's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th November 2011
      Posts : 1,078
      Rep Power : 538
      Likes Received
      261
      Likes Given
      393

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Hawa ndo wale wanoenda msibani kutonoza waombolezaji,watu wasiojua nini wakiseme wapi

    18. #75
      sammosses's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th January 2011
      Location : Shinyanga
      Posts : 907
      Rep Power : 603
      Likes Received
      167
      Likes Given
      238

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      MI nahisi kutapika vile,kama wazee wenyewe ndiyo hivi je hao vijana wao?Kumbe ombwe si la uongozi tu,kumbe hata fikra?duh kudadeki!

    19. #76
      Froida's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th May 2009
      Posts : 3,741
      Rep Power : 1317
      Likes Received
      720
      Likes Given
      146

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Hawa CCM ni watu wa hovyo kabisa si ajabu watu wenye akili wameeanza kukikataa hiki chama wanaona jinsi walivyo kwenye kingo za bahari wakingokja kuzama wanachofanya sasa nikuitia nchi kwenye machafuko hawana moja kwenye vichwa vyao hovyooo kabisa

    20. #77
      timbilimu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd September 2010
      Location : DSM
      Posts : 2,668
      Rep Power : 975
      Likes Received
      580
      Likes Given
      10

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Wakati zilipoanza tetesi hapa JF kwamba Mukama atateuliwa kuwa SG wa CCM niliandika kwamba huyo ni bomu,na pengine bomu zaidi ya mzee Makamba! Aibu zaidi eti hao ndiyo walikua maafisa wandaamizi wa TISS miaka ya nyuma! Mtu unaweza elewa ni kwanini nchi yetu imekwama!

    21. #78
      Njoka Ereguu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th April 2012
      Posts : 503
      Rep Power : 459
      Likes Received
      167
      Likes Given
      30

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Quote By salisalum
      Tuko hapa kwenye kutoa heshima za mwisho kwa Kiongozi aliyetukuka mwanamaendeleo Bob Nyanga Mohammed Makani. MC alitoa nafasi kwa mwakilishi wa CCM kutoa rambirambi. Akainuka Mkama akazoza kama kawaida yake. Anasema Marehemu makani alikuwa mtu safi na mwenye hekima, kama Chadema wangefuata mfano wake ingekuwa vizuri sana. Halafu akasema umakini na umahiri wake unathibitishwa na ukweli kwamba Makani aliweza kufanikiwa kuwa Katibu Mkuu miongoni mwa watu tisa waliotoka kanda moja ya nchi hii. Yaani kwamba pamoja na ukanda bado Makani aliweza kuchaguliwa kuwa katibu mkuu. Mkama alitaka wana msiba tuingie kwenye mambo ya kisiasa na kutuaminisha kuwa Chadema ni chama cha ukanda na ukabila.

      Mwenyekiti Mbowe kwa utulivu na hekima ya hali ya juu, wakati wa zamu yake alitoa ufafanuzi wa kurekebisha kauli hiyo akisema, ''Mdomo huumba, si vema kauli hiyo iachwe hivi hivi bila kurekebishwa''. Mbowe alianza kutaja mtu mmoja mmoja kwa wale waanzilishi wa Chadema waliokuwepo siku ile ya kumpata katibu mkuu. Ilikuwa orodha ndefu kwa kweli, katika orodha hiyo walioonekana kutoka kanda ya kaskazini walikuwa ni Mzee Mtei, Mzee Kimesera na yeye Mbowe wakati huo akiongoza vijana.

      Mkama ametia aibu sana kwanza kugeuza mahali pa msiba pawe pa malumbano ya kisiasa, pili alikuwa amevaa kofia ya kihuni kwenye hafla ya heshima na ibada kama hii, tatu kusema uongo, Nne kamdhalilisha Rais Kikwete ambaye zamu yake ilipofika yeye hakutaka kujiingiza kwenye ujinga wa katibu wake. Yeye amesema, ''Hapa ni mahali pa msiba, tumekuja kuwapa pole wafiwa na kuwaombea subira''.

      Ninashauri CCM katika uchaguzi wao mkuu wafikirie kupata mtu mwenye hekima atakayeweza kubeba dhamana ya chama badala ya kubeba aibu ya chama. Vinginevyo tutaamini kuwa Chama chetu hakiwezi tena kuaminika kupewa dhamana ya kuongoza nchi. IMEKUWA AIBU SANA.
      Endapo itatokea magamba kufanya tathmini ya utendaji wa makatibu wakuu as per my view Mkama atakuwa wa mwisho, sina uhakika kama hata anaelewa kazi yake nini na sina uhakika kama ahata anatafakari kabla ya kusema au kuongea au hata kuangalia audience yake ili kuelewa aongee nini he is just poor at every corner and above all magamba huenda ikafia mikononi mwake, which will also justify what aim saying here today.

    22. #79
      Indume Yene's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th March 2008
      Location : Chumbani
      Posts : 2,139
      Rep Power : 4951
      Likes Received
      331
      Likes Given
      308

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Huyo ndiye GENIUS wa SISIEMU, sasa BARADHULI wa SISIEMU yukoje kama huyo ndiye Genius?
      JokaKuu likes this.

    23. #80
      MANGUNGO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th August 2011
      Posts : 1,146
      Rep Power : 620
      Likes Received
      251
      Likes Given
      14

      Default

      Quote By Mr.Busta
      ukweli utabaki ukweli.kaskazini ni ukanda wenye wapambanaji.je,sokoine angekuwa Cdm mgemwita mkanda?
      mkuu unachemka kidogo kaskazini wamewahi kuamka lakini sio kweli wapambanaji wako huko kuna wapambanaji wengi tu nchi hii kama wakina deus kibamba,marcus,shimvji,lisu,na wengineo wengi wasio na majina wa kutoka pande mbalimbali

    Page 4 of 7 FirstFirst ... 23456 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...