Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

    Report Post
    Page 3 of 7 FirstFirst 12345 ... LastLast
    Results 41 to 60 of 127
    1. #1
      salisalum's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th October 2010
      Posts : 312
      Rep Power : 505
      Likes Received
      68
      Likes Given
      4

      Default Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Tuko hapa kwenye kutoa heshima za mwisho kwa Kiongozi aliyetukuka mwanamaendeleo Bob Nyanga Mohammed Makani. MC alitoa nafasi kwa mwakilishi wa CCM kutoa rambirambi. Akainuka Mkama akazoza kama kawaida yake. Anasema Marehemu makani alikuwa mtu safi na mwenye hekima, kama Chadema wangefuata mfano wake ingekuwa vizuri sana. Halafu akasema umakini na umahiri wake unathibitishwa na ukweli kwamba Makani aliweza kufanikiwa kuwa Katibu Mkuu miongoni mwa watu tisa waliotoka kanda moja ya nchi hii. Yaani kwamba pamoja na ukanda bado Makani aliweza kuchaguliwa kuwa katibu mkuu. Mkama alitaka wana msiba tuingie kwenye mambo ya kisiasa na kutuaminisha kuwa Chadema ni chama cha ukanda na ukabila.

      Mwenyekiti Mbowe kwa utulivu na hekima ya hali ya juu, wakati wa zamu yake alitoa ufafanuzi wa kurekebisha kauli hiyo akisema, ''Mdomo huumba, si vema kauli hiyo iachwe hivi hivi bila kurekebishwa''. Mbowe alianza kutaja mtu mmoja mmoja kwa wale waanzilishi wa Chadema waliokuwepo siku ile ya kumpata katibu mkuu. Ilikuwa orodha ndefu kwa kweli, katika orodha hiyo walioonekana kutoka kanda ya kaskazini walikuwa ni Mzee Mtei, Mzee Kimesera na yeye Mbowe wakati huo akiongoza vijana.

      Mkama ametia aibu sana kwanza kugeuza mahali pa msiba pawe pa malumbano ya kisiasa, pili alikuwa amevaa kofia ya kihuni kwenye hafla ya heshima na ibada kama hii, tatu kusema uongo, Nne kamdhalilisha Rais Kikwete ambaye zamu yake ilipofika yeye hakutaka kujiingiza kwenye ujinga wa katibu wake. Yeye amesema, ''Hapa ni mahali pa msiba, tumekuja kuwapa pole wafiwa na kuwaombea subira''.

      Ninashauri CCM katika uchaguzi wao mkuu wafikirie kupata mtu mwenye hekima atakayeweza kubeba dhamana ya chama badala ya kubeba aibu ya chama. Vinginevyo tutaamini kuwa Chama chetu hakiwezi tena kuaminika kupewa dhamana ya kuongoza nchi. IMEKUWA AIBU SANA.
      Jasusi, kiraia, Shwari and 15 others like this.


    2. #41
      Ngoso's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 26th May 2012
      Posts : 101
      Rep Power : 376
      Likes Received
      11
      Likes Given
      10

      Default

      Quote By POMPO View Post
      Mi nadhani Kauli yake ndio imemuumbua kuwa kumbe CDM haina ukabili muda mrefu... look here Mkani ndio alikuwa Katibu mkuu wa kwanza wa CHADEMA, ambaye ni MSUKUMA, akawa mwenyekiti MSUKUMA sasa hapo inakuwaje kuitwa ni chama cha kikabila?
      usishangae hizo ndio za ccm,maana chama kikionesha upinzani tu uzushi unaanza,hakuna chama kilisifiwa kwa udini na ugaidi kama cuf lakini mwisho wa siku walfunga ndoa ya mkeka zenji.

    3. #42
      Nyakageni's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st February 2011
      Posts : 5,564
      Rep Power : 1608
      Likes Received
      816
      Likes Given
      52

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      mvi si busara! Huwa anatoa mate huyo. Nadhani microphone ilijaa mate. Mpu*uz

    4. #43
      Kimbunga's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Kisiwani Juma
      Posts : 7,543
      Rep Power : 6185
      Likes Received
      3103
      Likes Given
      1025

      Default

      Quote By Precise pangolin View Post
      Mimi sijawahi kumuona Mukama aki kamua mimi huwa namuona na vikofia vyake utafikiri sokomoko wa kwenye gazeti la udaku la Sani
      Precise pangolin umenikumbusha sokomoko wakati huo nilikuwa namsoma kwenye Jarida la Sani (siyo gazeti la sani - Udaku).

    5. #44
      Elli's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 17th March 2008
      Location : Kijito-Upele
      Posts : 9,021
      Rep Power : 2645
      Likes Received
      2321
      Likes Given
      2103

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Kumbe wote akili moja maana nepi sorry pampass alikuja na uzi wa kinafiki wa kutoa pole kumbe ndani kajaza umbea

    6. #45
      fredmlay's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th April 2008
      Posts : 1,526
      Rep Power : 874
      Likes Received
      267
      Likes Given
      951

      Default

      Quote By Dumela Mbegu View Post
      Amekosea nn sasa kusema ukweli ? hakuna kitu hapo kwenye thread yako aiseee
      Waweza kuwa dume la mbegu zisizofaa pasipo kujitambua maana kujitambua tu ni elimu tosha, kama JK aliona tatizo kwenye kauli ya katibu mkuu wake halafu wewe unaona hakuna tatizo! kweli wewe zoba.


    7. #46
      Losomich's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th November 2011
      Posts : 370
      Rep Power : 459
      Likes Received
      69
      Likes Given
      45

      Default

      Quote By Dumela Mbegu View Post
      Amekosea nn sasa kusema ukweli ? hakuna kitu hapo kwenye thread yako aiseee
      Huwezi kuona alichokosea kibabu Mkama, mpake uvue hiyo miwani ya mbao uliovaa.

    8. #47
      Albedo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th February 2008
      Posts : 5,032
      Rep Power : 1588
      Likes Received
      1113
      Likes Given
      561

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Huyu mzee nasikia akiongea wenzake wanajifunika miavuli

    9. #48
      SAMRICH1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th July 2011
      Posts : 1,282
      Rep Power : 656
      Likes Received
      213
      Likes Given
      133

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      hekima ccm haiwez kuwepo ilo sahau kwanza wez na mwiz na hekima n vit viwil tofaut

    10. #49
      Kipimbwe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th July 2011
      Posts : 269
      Rep Power : 453
      Likes Received
      29
      Likes Given
      20

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Magamba bana yani bila kuyakwangua yanasumbua sana

    11. #50
      Suzie's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th May 2010
      Posts : 1,097
      Rep Power : 0
      Likes Received
      342
      Likes Given
      309

      Default

      Quote By ndenga View Post
      Ndio maana Mukama haingei sana, bora hata angeongea Nape. Maana Mukama inaonekana hana busara ya kutosha..
      Parachichi na ndizi khaaaaa!!!!!! RIP CCM

    12. #51
      Elizabeth Dominic's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 7th December 2007
      Posts : 2,790
      Rep Power : 5478
      Likes Received
      1987
      Likes Given
      2657

      Default

      Quote By LordJustice1 View Post
      JK ni wale wale tu mkuu, like a father, like a son!
      Nimeongelea kwenye kesi hii.....mashallah Kikwete ni muungwana wa misibani na ugonjwani kwa hilo lazima haki yake mumpatie

    13. #52
      TIMING's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th April 2008
      Location : Roaming...
      Posts : 20,209
      Rep Power : 12280
      Likes Received
      6065
      Likes Given
      6929

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Quote By WA-UKENYENGE View Post
      Huyu jamaa alitakiwa awe nyumbani kwake analisha ng'ombe! sijui kwa nini walimteua kuwa katibu mkuu! jamaa hafai hata ukatibu kata!! Vapour zote za CCM kumbe yeye ndiyo huwa anamtuma katibu wa itikadi na uenezi.
      HAHAHAAAAAAAAAAAAA, NAPE NDIO ana busara zaidi ya Mkama??? basi kazi ipo aisee
      ....Time is the wisest counselor !!!

    14. #53
      Bob G's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 5th October 2011
      Location : UK Manyasi
      Posts : 1,729
      Rep Power : 734
      Likes Received
      301
      Likes Given
      36

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Hao ndo viongozi wa ccm, waliotarajiwa kuliokoa Jahazi linaloendelea kuzama, Ni dhahiri ccm inakufa kifo cha ghafura sana, Uongo usiokua na maana unakimaliza chama chao

    15. #54
      The Fixer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd March 2008
      Location : Tabata Segerea
      Posts : 798
      Rep Power : 796
      Likes Received
      237
      Likes Given
      81

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Mukama ni kachero mstaafu, Ameshafanya kazi ndani ya IFM kama Mkufunzi sipati picha alizalisha vihiyo wangapi ? na hata Serikalini pale Halmashauri ya Kinondoni na kuondoka na Bil 2 bila maelezo ya kutosha na Alipokuwa Katibu Mkuu wizara ya maji alimruhusu Mzee Mzindakaya kujibinafsisha bwawa la wananchi ! Jiulize huyu kama Kachero alikuwa anafanyaje kazi zake.....??
      Candid Scope likes this.

    16. #55
      BONGOLALA's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 14th September 2009
      Posts : 5,413
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1196
      Likes Given
      199

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Mohammed Raza kasema hawa watu ni mzigo kwa chama!

    17. FJM is offline
      FJM
      #56
      FJM's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 7,213
      Rep Power : 2580
      Likes Received
      5344
      Likes Given
      4607

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Ukweli kauli ya Mukama imenisikitisha sana. CCM wamelichagua huyu mzee kwa vigezo gani? Na kama hizi ndio siasa zake Taifa hili litanusurika kweli?

      Lakini ningetaka kusikia maoni ya Mzee Kisumo maana kwa maneno ya Mukama na Nape ni wazi watu wa kaskazini inaonakana hawatakiwi nchi hii, hawana haki, ni watu hatari (?). Sasa kama ndivyo Mzee Kisumo anafanya nini CCM?
      Elizabeth Dominic likes this.

    18. #57
      mangwela's Avatar
      Member Array
      Join Date : 11th January 2011
      Location : Zone Zero
      Posts : 46
      Rep Power : 437
      Likes Received
      7
      Likes Given
      11

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Inasikitisha hasa tunapo kuwa na viongozi walio kwenye nafasi za juu katika siasa hapa nchini wanapopungukiwa na maono ambayo hayahitaji uende darasani ukajifunze. Je ni kweli kuwa mukama hajui maadili ya kiafrika????. Tafadhari viongozi wetu utukufu wa kisiasa usikupunguzie uwezo wa kutafakari na kutunza tunu ya uafrika. I AM BECAUSE WE ARE. Hongera kwa wale wote walioyo iona kasoro ya wazi na kujaribu kuepusha aibu hii ambayo inaendelea kulitafuna taifa letu.

    19. #58
      IkizuJF's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 19th January 2012
      Posts : 8
      Rep Power : 375
      Likes Received
      1
      Likes Given
      3

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Quote By Precise pangolin View Post
      Mimi sijawahi kumuona Mukama aki kamua mimi huwa namuona na vikofia vyake utafikiri sokomoko wa kwenye gazeti la udaku la Sani
      du mshikaji hii kali

    20. #59
      IkizuJF's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 19th January 2012
      Posts : 8
      Rep Power : 375
      Likes Received
      1
      Likes Given
      3

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      neno MKAMA maana yake ni UPEPO, yaani VAPOUR kwa kiingereza. so ni bora tuendelee kumwita vapour.

    21. #60
      Kinyengeli's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 12th December 2011
      Posts : 149
      Rep Power : 409
      Likes Received
      20
      Likes Given
      43

      Default re: Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

      Anazeeka vibaya huyu mzeeee!!

    Page 3 of 7 FirstFirst 12345 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...