Heshima kwenu wana JF.
Jana J'pili 10/06/12 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA jimbo la Ukonga kilifanya mkutano mkubwa wa hadhara ktk tawi la Pugu Kigogo Fresh ktk kata ya Pugu, mashambulizi yaliongozwa na kamanda (m/kiti wa jimbo la Ukonga) Michael Aweda na viongozi wa kata ya Pugu na matawi yake.
Ktk mkutano huo wana CCM zaidi ya 50 warudisha kadi za CCM, akiwemo kada maarufu wa CCM Mzee Bugingo awali alikuwa m/kiti wa wazee wa CCM kata ya Pugu na muamasishaji, mzee Bugingo baada ya kurudisha kadi ya CCM kwa kamanda Aweda alidhungumza hivi "chama cha mapinduzi kimeshaoza na kuzeeka kilichobaki ni kukizika tu 2015, kwa sasa CHADEMA ndicho chama cha wanyonge na kinachoguswa na matatzo ya wananchi" aliendelea "ni lazima rasilimali za nchi ziwanufaishe watanzania wote sio kikundi cha watu wachache kama ilivyo sasa mafisadi wameodhi kila kitu cha nchi hii" amewataka wakazi wa kata ya pugu kuiunga mkono M4C.
M/kiti wa jimbo la ukonga Michael Aweda aliwaongoza wananchi kwa dk1 kumuombea marehemu Bob Makani.
Vile vile katibu wa tawi la pugu bombani kata ya pugu kamanda Godlisten Masawe aliwataka wakazi wa kata ya Pugu na vitongoji vyake wawakatae CCM kwa vitendo, alioji utendaji kazi wa diwani wa kata ya pugu (CCM) na mbunge wa jimbo la ukonga (CCM) kwamba tokea wachaguliwe hawajawahi kufanya hata mkutano wa kudhungumza na wananchi, aliwasihi wananchi wasirudie makosa.
N.B
Mizengo Pinda ana nyumba Pugu ambao wanaishi wazazi wake.
wananchi wakisikiliza viongozi kwa umakini
wakazi wa kata ya pugu wakimsikiliza M/kiti wa jimbo Aweda
wananchi wa Pugu wakidhihaki kadi za CCM
wananchi wameshikilia kadi za magamba
Makamanda wanataka mabadiliko
sehemu ya umati
people's power
kamanda Aweda aliyeva kombati akimvua gamba kada maarufu wa CCM na m/kiti wa wazee CCM kata ya Pugu mzee Bugingo
kamanda Aweda akiwa kashikilia makadi ya magamba
M4C
kamanda Ally G kushoto akiwa ndani ya M4C
kamanda Lestusta aliuza kadi za CHADEMA zaidi 100
Kamanda Aweda akiteta jambo na m/kiti tawi la kigogo fresh kamanda Festo Hume
wananchi walichangia M4C


Reply With Quote

Follow Us Here