Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Namlilia Bob Nyanga Makani

    Report Post
    Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
    Results 21 to 40 of 66
    1. #1
      Honey K's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th September 2008
      Posts : 628
      Rep Power : 521
      Likes Received
      67
      Likes Given
      0

      Default Namlilia Bob Nyanga Makani

      Nakulilia Bob Nyanga Makani! Kuna wanasiasa wengi lakini Mzee Makani ni wa aina ya pekee! Kuna wanasheria wengi lakini si wa aina ya Bob Makani!

      Umepambana kuhakikisha siasa za Tanzania hasa za ndani ya Chama chako zinakuwa za kweli na zisizo na uongo, chuki na ubabaishaji! Bahati mbaya umeondoka wakati siasa hizo zilizokukera zikishika kasi kubwa kwenye Chama chako! Naamini Mungu atainua mwingine wa aina yako au zaidi yako, akiokoe Chama chako, ili kwa pamoja tujenge Demokrasia ya kweli nchini!

      TANZANIA KWANZA, UZALENDO KWANZA!

      Nape Moses Nnauye
      Chama Cha Mapinduzi
      Katibu wa Itikadi & Uenezi Taifa
      zomba and Ndahani like this.

    2. Miaka 50

    3. #21
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,418
      Rep Power : 10873
      Likes Received
      3798
      Likes Given
      426

      Default

      Quote By Barubaru
      Nimeshtuka kidogo kusikia muswiba wa Mohamed Makani au wengi walivyozoea kumuita (Bob Makani). Kwa kweli ni mswiba mkubwa sana na Tz wamepoteza jabali lisiloteteleka wala kutingisika.

      Binafsi nilimfahamu Mohammed Makani mwaka 1974 wakti huo akija nyumbani kwa ammi yangu marhum Eng. Abdullah Salem Al harthy, mtaa wa mazengo upanga ambaye alikuwa rafiki yake kipenzi sana na walipenda sana kuongea kisukuma.

      Na alinisaidia sana katika utendaji wangu wa Kazi wakti nikiwa Wizara ya fedha na hata nilipopelekwa Mwanza wakti akiwa BOT kama naibu gavana (Bara) na vile akiwa naibu wanasharia mkuu.

      Ni mtu makini sana na asiyyemung'unja maneno na masema kweli daima. nakumbuka mara ya mwisho nilikutana nae siku nilipokwenda Mbazi beach kumwangalia Brig General Mwakanjuki mwezi mei 2011 nilipita mpaka kwake jioni na tuliongea sana. Nakumbuka neno lake la mwisho ni kuwa lazima Tanzania itabadilika na ukweli utawala. WaTz wameshaelimika na kuchagua ukweli kuachana na batili.

      Nakukumbuka sana Mohamed Makani.

      Inna Lillahi wainna illaihi rajihunna.
      I concur with you sir.RIP Mohamed Makani.

    4. Obe
      #22
      Obe's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 31st December 2007
      Posts : 1,417
      Rep Power : 915
      Likes Received
      320
      Likes Given
      181

      Default Re: Namlilia Bob Nyanga Makani

      Nape! Tuko pamoja katika msiba huu, kuna maneno umeyaandika hayakufaa hapa

    5. #23
      Bigaraone's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th June 2011
      Posts : 474
      Rep Power : 493
      Likes Received
      217
      Likes Given
      1

      Default Re: Namlilia Bob Nyanga Makani

      Nnauye Jr

      Go back to class and get your instruct take you through stylistics and semantics ili ujue unaandika nini kwa wakati gani, kwa nani, kwanini na katika context ipi. Lakini ukiagalia kila kitu katika narrow scope you remain to be a laughing stock' sorry to say it lakini I have no language to sweeten it.

      Au kaende kwa google angalia condolences huwa zinaandikwaje na itakusaidia usiwe unajifungia ndani ya box. Lakini kingine nafikiri unawaaibisha wakufunzi wa Mzumbe University ambapo chuo kiliona sybuss ya degree zake isiwe discipline based sana ipate kupanua wigo wa graduates wake.

      Sasa sijui hii quality umeachana nayo au ulifikiri haya yanaachwa kwenye makabrasha. It's a advice that needs unstint value. Others will add value
      ral and Nyetk like this.

    6. #24
      Wisdom's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th March 2011
      Posts : 465
      Rep Power : 508
      Likes Received
      101
      Likes Given
      187

      Default

      Kweli tutasikia mengi, kumbe kuna hakimiliki ya msiba? Hii ngeni kwangu

      Sent from my BlackBerry using JamiiForums

    7. #25
      KakaJambazi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th June 2009
      Posts : 4,280
      Rep Power : 2735
      Likes Received
      1077
      Likes Given
      935

      Default Re: Namlilia Bob Nyanga Makani

      Iwapo tu unamaanisha ivyo kwa dhati lakini.
      ,,,,,,,,Jisachi

    8. FemaTV & Radio

    9. #26
      Nyetk's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th February 2012
      Posts : 1,014
      Rep Power : 679
      Likes Received
      565
      Likes Given
      576

      Default Re: Namlilia Bob Nyanga Makani

      As someone who thinks I don't trust you Nape. Nimebaini vema kuwa you are a "disinterested" (I'm not saying "uninterested") sympathizer coz you bite the very cheek you pretend to be kissing. Come in a different way. YOU AREN'T AS SMART!

      R.I.P. Bob Makani The Great. You have gone too soon. Should have waited till after October 2015!
      Last edited by Nyetk; 11th June 2012 at 15:57.
      Dingswayo, Bigirita, ral and 1 others like this.

    10. #27
      Nyetk's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th February 2012
      Posts : 1,014
      Rep Power : 679
      Likes Received
      565
      Likes Given
      576

      Default Re: Namlilia Bob Nyanga Makani

      Quote By Ngongo
      Imani yangu inakataa kuwaombea marehemu kwenda mbunguni [mapumziko mema] tunaamini kama ulitenda vyema wakati wa uhai wako unastahili mapumziko mema kama ulitenda mabaya unastahili moto wa milele hata watu wakikuombea mchana na usiku haitosaidia kitu.
      Strange one!
      Ndallo likes this.

    11. #28
      Ngoromiko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th September 2011
      Posts : 452
      Rep Power : 437
      Likes Received
      85
      Likes Given
      114

      Default Re: Namlilia Bob Nyanga Makani

      Nape ni mtoto wa mjini.

    12. #29
      mbarikiwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th March 2008
      Location : White house
      Posts : 532
      Rep Power : 686
      Likes Received
      28
      Likes Given
      73

      Default Re: Namlilia Bob Nyanga Makani

      Mwenyezi Mungu aliyemuumba Bob Nyanga Makani, hatimaye amemrudisha kwake.
      Bwana alitoa, na Bwana ametwaa, Jina la Bwana na libarikiwe. Amen.
      Mbarikiwa Anayebarikiwa

      Hapa ndipo mtu anachuja Mbu na kumeza Ngamia {Viongozi vipofu, wenye kuchuja Mbu na kumeza Ngamia (Mathayo 23:24)}

    13. #30
      STEIN's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th August 2010
      Location : Arusha
      Posts : 1,342
      Rep Power : 715
      Likes Received
      306
      Likes Given
      156

      Default Re: Namlilia Bob Nyanga Makani

      Quote By Nnauye Jr
      Umepambana kuhakikisha siasa za Tanzania hasa za ndani ya Chama chako zinakuwa za kweli na zisizo na uongo, chuki na ubabaishaji! Bahati mbaya umeondoka wakati siasa hizo zilizokukera zikishika kasi kubwa kwenye Chama chako!
      Inamaana Mzee BOB alikuwa hataki CDM ishike nchi???? Au ndiyo kufilisika kimawazo na fikra... Naona mnaropoka kwa kuwa hayupo tena Mzee wa watu....

      Kama nakumbuka huyu mzee alianguka pale Jangwani 2010, Baada ya kuona CDM inakaribia kuingia Madarakani na imependwa na kukubalika kwa waTZ... Sasa Nape unakuja na Kejeli za nini...
      “Problems cannot be solved by the same level of thinking that created them.”“Insanity: doing the same thing over and over again and expecting different results.”" by Albert Einstein"

    14. #31
      Ulimakafu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th March 2011
      Location : Itabanya Balasi
      Posts : 10,933
      Rep Power : 2600
      Likes Received
      690
      Likes Given
      1615

      Default Re: Namlilia Bob Nyanga Makani

      RIP Bob Makani,Nape acha kuingiza siasa uchwara tuna majonzi sie.

    15. #32
      Jembe Ulaya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th October 2008
      Posts : 414
      Rep Power : 621
      Likes Received
      95
      Likes Given
      126

      Default Re: Namlilia Bob Nyanga Makani

      Vuvuzela at its best.....Cheap & Low.
      Nyetk likes this.
      CHADEMA CHAWEMA CHAWEZA!

    16. #33
      PakaJimmy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2009
      Posts : 14,691
      Rep Power : 22521
      Likes Received
      6347
      Likes Given
      2835

      Default Re: Namlilia Bob Nyanga Makani

      Nnauye Jr,

      Huku ni Kukosa Busara at peak tune!...umejisaidia mahala pa kulala!
      "The only thing that walks back from the tomb with the mourners and refuses to be buried is the character of a man.
      What a man is, survives him... it can never be buried"
      (GENEKAI-Jamiiforums, 4th November 2010 07:32PM).
      [email protected]

    17. #34
      Tuko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th July 2010
      Posts : 4,614
      Rep Power : 13833
      Likes Received
      2259
      Likes Given
      2191

      Default Re: Namlilia Bob Nyanga Makani

      Hivi ni sahihi mtu kupewa nafasi ya juu kiasi hicho kama hujui diplomacy?! Ina maana Nape siku ukiwakilisha chama kwenye msiba wa chama kingine hayo ndo utakayoyasema?

      RIP CCM

    18. #35
      hasan124's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 2nd January 2012
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 656
      Rep Power : 504
      Likes Received
      120
      Likes Given
      104

      Default Re: Namlilia Bob Nyanga Makani

      May Allah rest his soul in ertenal peace....Ameen
      Ndahani likes this.
      ADC - DIRA YA MABADILIKO : ADC - TUMAINI LA MTANZANIA.

    19. 911
      #36
      911's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 22nd August 2008
      Posts : 494
      Rep Power : 646
      Likes Received
      51
      Likes Given
      304

      Default Re: Namlilia Bob Nyanga Makani

      Ukistaajabu ya Lusinde utayaona ya Nnauye. Pumba Jazz Band!
      BelindaJacob and Bigirita like this.

    20. #37
      Gagurito's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2011
      Location : Gangilonga....
      Posts : 5,263
      Rep Power : 1455
      Likes Received
      693
      Likes Given
      696

      Default

      Nnauye Jr

      Nilikuwa siamini wala siungani na wale waliokuita VUVUZELA, ila kwa hoja yako hii ya kukurupuka, unayotaka kugeuza msiba kuwa mtaji wako kisiasa, tena siasa majitaka umenishawishi niungane na wale niliokuwa nawapinga zamani, WEWE KWELI NI VUVUZELA!

    21. #38
      POMPO's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 12th March 2011
      Posts : 2,955
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1090
      Likes Given
      625

      Default Re: Namlilia Bob Nyanga Makani

      kama Bob unamlilia, Nyerere utamfanyia nini? ( ? )aliyoyapigania Serikali na Chama chako, jipange.

    22. #39
      Filipo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Location : Kiding'a
      Posts : 6,349
      Rep Power : 18614
      Likes Received
      3508
      Likes Given
      1612

      Default

      Bado najiuliza what does a man become when his brain is empty! I hope the answer is here!
      Dingswayo and Bigirita like this.

    23. #40
      Bobu's Avatar
      Member Array
      Join Date : 13th August 2010
      Posts : 22
      Rep Power : 449
      Likes Received
      5
      Likes Given
      18

      Default Re: Namlilia Bob Nyanga Makani

      Dogo unamaudhi sana wewe, Hata hujui uzungumze nini msibani? Iko siku utageuzwa kama watoto wa Mubarak kule Misri au yule Seif al slam.

    Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...