Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Eric James Shigongo, pls 2015 gombea ubunge Buchosa kwa tiketi ya CDM

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 33 of 33
    1. #1
      kekuwetu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th October 2010
      Location : home
      Posts : 120
      Rep Power : 459
      Likes Received
      16
      Likes Given
      41

      Unhappy Eric James Shigongo, pls 2015 gombea ubunge Buchosa kwa tiketi ya CDM

      Kaka Eric James Shigongo(Mwalimu wa kimataifa wa ujasiriamali) nimeamua kutumia njia hii kufikisha ujumbe kwako, ninaamini ujumbe wangu utaufanyia kazi na hautaudharau (nakufahamu wewe si mtu wa dharau).

      Kwanza naomba nikueleze kwa ufupi jinsi nilivyokufahamu.Kaka Eric, nataka ufahamu wewe ni mmoja wa watu ninaowaheshimu sana(ingawa sijawai kukutana na wewe) mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa hadithi zako, nakumbuka nilianza kuzifuatilia hadithi zako nikiwa primary school wakati huu ilikuwa ni kwenye gazeti la KIU kabla hujaamua rasmi kulitosa na kuimarisha kampuni yako ya global publisher.

      Kuna kipindi (samahani, sikumbuki vizuri, uligusia histori ya maisha yako yalivyokuwa, mapito uliyopitia ukiwa mtoto na mahali ulipo, kaka Eric hapo nilianza kukufahamu vizuri.

      Kwanza una hofu ya Mungu ( wewe ni mcha Mungu mzuri), pili wewe ni mtu wa malengo, na una nia na dhamira kuhakikisha malengo unayoweka yanatimia, si mtu wa kukata tamaa haraka, (kwa hilo naomba nikupongeze) naamini hari yako hiyo imechochea kwa kiasi kikubwa mafanikio uliyonayo na ninaamini utafika mbali kimafanikio zaidi ya ulipo sasa kama utaenda kwa kasi hiyo hiyo.Sasa naomba nije kwenye mada iliyosababisha nikuandikie waraka huu. Kaka Eric James Shigongo ulitoka wapi na CCM mpaka kuamua kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM Buchosa 2010? Niliposikia umejitosa kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM niliudhunika sana, nilijua una nafasi kubwa ya kuwa Mbunge Buchosa, Nilijua wana Buchosa wangependa uwe mbunge wao, nilikuwa nafuatilia habari za kampeni zinavyoendelea Buchosa, (soma baadhi ya vicha vya habari kwenye magazeti) “Shigongo arudisha fomu ya ubunge kwa matumaini”“Shigongo kama Obama Buchosa”“SHIGONGO AIPASUA CUF BUCHOSA”Nilifahamu mapema kushinda utashinda ila haki hutapewa, kuchakachuliwa CCM ni moja ya fani yao, CCM haipendi haki, haukuwa chaguo lao, walikuwa wamesha muandaa mtu wao.

      Ndio maana Rais alitamka wazi kwenye kampeni kuwa wewe ulisogeza mpaka wake wa shamba bagamoyo. (sasa hapo sifahamu kati yako na Rais nani alimuibia mwenzake) jibu unalo wewe.Sitaki kuongea sana sababu mimi sio mwandishi wa habari, ushauri wangu ni kuwa bado una nafasi kaka, please please badilisha mawazo yako, nakushauri jiunge na Chadema kuanzia sasa.

      CDM inahitaji wapambanaji kama wewe, usiwaangushe watu wa Buchosa tena, weka nia ya kugombea Buchosa kwa tiketi ya CDM, nakuakikishia kaka unapendwa sana huko, hawatakuangusha kaka, fanya hima bado una nafasi, wana Buchosa wanataka kukuona ukiwapigania bungeni, huyo waliyowekewa yupo usingizini hana nia wala dhamira ya kuwatetea wana Buchosa.

      Naamini utaufikiria ushauri wangu na ninategemea kukuona UKIVUA GAMBA NA KUVAA GWANDA. Karibu CDM mwalimu wa kimataifa wa ujasiriamali Eric James Shigongo.

    2. Miaka 50

    3. #21
      Mtanzania1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th December 2010
      Location : Kalenga, Liringa
      Posts : 980
      Rep Power : 621
      Likes Received
      124
      Likes Given
      94

      Default Re: Eric James Shigongo, pls 2015 gombea ubunge Buchosa kwa tiketi ya CDM

      huyu jamaa haitakii vyema jamii yetu.....magazeti yake yanawatia ujinga jamii lakini yeye hajali anachojali ni pesa tu......haina tofauti na unga

    4. #22
      mwaJ's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th September 2007
      Location : Nowhere
      Posts : 3,450
      Rep Power : 14608
      Likes Received
      2288
      Likes Given
      1501

      Default Re: Eric James Shigongo, pls 2015 gombea ubunge Buchosa kwa tiketi ya CDM

      Duh! Shigongo akitokea kuwa mbunge kwenye jimbo ninaloishi nahama jimbo!
      “Anyone who has never made a mistake has never tried anything new” -
      Albert Einstein

    5. #23
      Bangoo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2011
      Posts : 2,270
      Rep Power : 835
      Likes Received
      370
      Likes Given
      0

      Default Re: Eric James Shigongo, pls 2015 gombea ubunge Buchosa kwa tiketi ya CDM

      Aendelee na hadidhi zake.

    6. #24
      pono's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th May 2012
      Posts : 557
      Rep Power : 463
      Likes Received
      75
      Likes Given
      259

      Default Re: Eric James Shigongo, pls 2015 gombea ubunge Buchosa kwa tiketi ya CDM

      duh,huyu si ndio anaekula kwa mgongo wa msiba wa kanumba(RIP)???maana hadi leo kanumba ndio headline kwa magazeti yake

    7. #25
      democratic's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st November 2011
      Posts : 1,602
      Rep Power : 819
      Likes Received
      278
      Likes Given
      52

      Default Re: Eric James Shigongo, pls 2015 gombea ubunge Buchosa kwa tiketi ya CDM

      ingawa kuna movement ya vua gamba vaa gwanda,lakini sio huyu muuza unga kupitia magazeti
      Kama damu inakusisimka unapoona haki ya mtu ikipokwa na uko tayari kuitetea kwa gharama yeyote, basi hakika wewe ni Comrade wangu-Che Guevara.


    8. FemaTV & Radio

    9. #26
      Mjomba wa taifa's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 20th April 2012
      Posts : 107
      Rep Power : 378
      Likes Received
      56
      Likes Given
      0

      Default Re: Eric James Shigongo, pls 2015 gombea ubunge Buchosa kwa tiketi ya CDM

      Tusivunje mioyo wapiganaji wetu waliokatika chama muda mrefu kwa kukaribisha magamba kuja kupatia ubunge CHADEMA. Buchosa kuna wapiganaji wengi ambao wamekuwa na CDM miaka mingi na wanafaa kuwa viongozi. Shigongo na magamba wengine kuja CDM is ok but tuwape nafasi kwanza wapiganaji walioifikisha CDM hapa ilipo.

    10. #27
      drphone's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2009
      Posts : 3,515
      Rep Power : 1194
      Likes Received
      99
      Likes Given
      10

      Default Re: Eric James Shigongo, pls 2015 gombea ubunge Buchosa kwa tiketi ya CDM

      nani acye jua wanabushosa wanampenda dr tizeba? ndyo mana wakampitisha kwa kura nyingi hizi hbr za wizi wa kura zinatoka wapi? mbna akuna aliyelalamika kuibiwa kura?
      THE BEST IS YET TO COME.

      THE GREATEST EXPERIENCE IS TO MEET YOURSELF AND FALL IN LOVE WITH YOURSELF.

    11. #28
      DALLAI LAMA's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 8th March 2012
      Posts : 2,831
      Rep Power : 0
      Likes Received
      697
      Likes Given
      0

      Default Re: Eric James Shigongo, pls 2015 gombea ubunge Buchosa kwa tiketi ya CDM

      Shigongo ni typ ya Shi_buda...cheki SHE.shigongo ni janga.

    12. #29
      Bob G's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 5th October 2011
      Location : UK Manyasi
      Posts : 1,657
      Rep Power : 717
      Likes Received
      291
      Likes Given
      36

      Default Re: Eric James Shigongo, pls 2015 gombea ubunge Buchosa kwa tiketi ya CDM

      Maombi mengine yanaweza kufukua na mengine ambayo watu walikua hawataki kuyasema! Vipi na Dar Live? ziko tetesi za umiliki wenye utata! inabidi aweke wazi hata kabla hajaomba kujiunga na CDM, kozi watu wanao tumiwa na Mafisadi na Mafisadi hawana nafasi CDM. Usafi na ubora wa mtu alie ma mali unapimwa kwa kujipatia mali kwa njia halali

    13. #30
      Bongolander's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th July 2007
      Location : Tandale
      Posts : 4,034
      Rep Power : 1417
      Likes Received
      610
      Likes Given
      44

      Default Re: Eric James Shigongo, pls 2015 gombea ubunge Buchosa kwa tiketi ya CDM

      Quote By BADILI TABIA
      shigongo huyu?
      Anayeharibu vijana wetukwa magazeti yake yaliyojaa udaku na ngono?

      Hapo chadema kitakuwa kimekosa dira....

      Mkuu huyu jamaa kwa maadili ya kitanzania hafai kabisa, ashukuru mungu serikali ni weak, vinginevyo angekuwa gerezani, sasa wajinga wengine wanafikiria aende bungeni.

    14. #31
      Kipimbwe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th July 2011
      Posts : 269
      Rep Power : 449
      Likes Received
      29
      Likes Given
      20

      Default Re: Eric James Shigongo, pls 2015 gombea ubunge Buchosa kwa tiketi ya CDM

      Atagawa takrima ya Kiu huyu

    15. #32
      Bob G's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 5th October 2011
      Location : UK Manyasi
      Posts : 1,657
      Rep Power : 717
      Likes Received
      291
      Likes Given
      36

      Default Re: Eric James Shigongo, pls 2015 gombea ubunge Buchosa kwa tiketi ya CDM

      CDM wanataka watu makini si watu wanaoishi kwa siasa za kina Masaburi na Lusinde, hatutaki siasa za kidaku za mtu mzima kuishi kwa kufuatilia maisha binafsi ya watu na kutoa vijalida vilivokosa adabu na heshima mbele ya waungwana na kunyonya wasanii kwa mbinu za eti ana wapromote, hii haikubaliki CDM huu ni Ufisadi tu kama wa Downs

    16. #33
      Matola's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th October 2010
      Posts : 12,514
      Rep Power : 19750
      Likes Received
      5443
      Likes Given
      3640

      Default Re: Eric James Shigongo, pls 2015 gombea ubunge Buchosa kwa tiketi ya CDM

      Shigongo, ana sifa tu labda ya kuwa Jaji kwenye mashindano ya ulimbwende maana yeye walimbwende wa Bongo picha zao anazo.
      Tafadhalini jamani tusiinajisi siasa, siasa siyo kichaka cha kukimbilia wahuni na pambio la shetani kama Shigongo. na wewe uliyetumwa rudisha jibu kwa Eric Shigongo mueleze JF siyo kijiwe cha wapashukuna kama yeye kuleta Propaganda uchwara.
      Division four point 29 = Masters Mzumbe University. Nape Nnauye is my role model.

    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...