Hapa naomba tujadiliane kati ya hawa wawili bila kutumia hasira. Na ninaomba mtu akikomenti atoe sababu.
1. Kiongonzi shupavu mwenye mtazamo chanya si kigeugeu.
2. Aweza akawa Rais na kuiongoza nchi vyema.
3. Sio dictator.
Haya jamani tujadiliane.
Hapa naomba tujadiliane kati ya hawa wawili bila kutumia hasira. Na ninaomba mtu akikomenti atoe sababu.
1. Kiongonzi shupavu mwenye mtazamo chanya si kigeugeu.
2. Aweza akawa Rais na kuiongoza nchi vyema.
3. Sio dictator.
Haya jamani tujadiliane.
MTU MPUMBAVU HATA UKIMTWANGA KWENYE KINU PAMOJA NA NGANO UPUMBAVU WAKE HAUMTOKI
unamfahamu dovutwa ? haja kuingia katika mjadala usiohufahamu mbowe ni kilaza,kama mmezoea kuwaita wenzenu vilaza sasa katika chama chenu wapo kibao badala yake leo mnaibuka oooh uongozi siyo elimu mbona siku zote mnawakandia viongozi wenye elimu ya kawaida ? kama mbowe ni form four basi elimu yake ina mashaka hafahi kupewa nchi labda yule mwenye ph.d ya dini anaweza kuwa afadhali
Mbona unapambanisha watu wenye level tofauti?
Ni bora lipumba ukampambanisha na shibuda au wassira, mbowe siyo size yake, this is not fair competition
lipumba king'ang'anizi wa kuwa rais tangu enzi za mrema. na 2015 atagommea tena. Mbowe ni mwanadiplomasia anayepima maji ya mto kabla ya kuvuka. ILA mbowe yupo ktk chama bora , lipumba ni CCM B
Mkeo ndo anatufaa
MTU MPUMBAVU HATA UKIMTWANGA KWENYE KINU PAMOJA NA NGANO UPUMBAVU WAKE HAUMTOKI
Unauliza makalio ya mbuzi na mkia unauona?In the last 10 years cuf na chadema kipi chama bora?
"One of the penalties for refusing to participate in politics is that you end up being governed by your inferiors"-Plato
Lipumba nadhani ndiye wa ukweli zaidi. Sina sababu rasmi kwa mawazo hayo.
The unseen is illustrated by the seen.
Hawa walimu vodafasta tabu tupu.........ukishajua ili iweje?
Ha ha ha kama sanamu yako tu
Mfu na aliye hai nani kiongozi bora makini?
“Problems cannot be solved by the same level of thinking that created them.”“Insanity: doing the same thing over and over again and expecting different results.”" by Albert Einstein"
Follow Us Here