Hapa naomba tujadiliane kati ya hawa wawili bila kutumia hasira. Na ninaomba mtu akikomenti atoe sababu.
1. Kiongonzi shupavu mwenye mtazamo chanya si kigeugeu.
2. Aweza akawa Rais na kuiongoza nchi vyema.
3. Sio dictator.
Haya jamani tujadiliane.

MTU MPUMBAVU HATA UKIMTWANGA KWENYE KINU PAMOJA NA NGANO UPUMBAVU WAKE HAUMTOKI
bwana mdogo Annael !
Kwanza wewe si mpenda maendeleo,mpenda maendeleo unakuja na post zaHizi si hoja za maendeleo,wala si hoja za ki great thinker,unakulupuka kuanzisha post zisizo na mashiko.
- Mbowe akihamia CUF utafanyaje?
- CUF na CHADEMA kipi chama makini?
- Sasa umekuja na Mbowe na Lipumba
Go east, go west Mbowe is the best!
Lipumba chama chake mwenyewe kinamshinda tukimpa nchi itakuaje?
MTU MPUMBAVU HATA UKIMTWANGA KWENYE KINU PAMOJA NA NGANO UPUMBAVU WAKE HAUMTOKI
[b]bwana mdogo! Annael , wewe ni mwanachama na mpenzi wa CCM,kwa nini unalikwepa hili?unaogopa nini au unataka nikuthibitishie ni post ipi umethubutu kujionesha kuwa wewe ni mpenzi wa magamba?
Ok!umesema unataka kujua watu kama wanapenda maendeleo,alafu ukijua?je wewe unadhani kukaa chin na kufatilia watu wanapenda mtu au
Hivi kwann unilazimishe kuwa mimi ni mwanachama wa CCM? Hivi una PartMeter? MIMI NINACHOTAKA SI KELELE YA VYAMA MBALIMBALI AMBAZO SINAWAFAIDISHA WACHACHE. MIMI NILIPIGIA KURA CHADEMA TENA NILISAFIRI SAFARI NDEFU SANA MPAKA SASA SIJAPATA FAIDA YA KURA YANGU. Hivi unatakuniambia nini hapo?
MTU MPUMBAVU HATA UKIMTWANGA KWENYE KINU PAMOJA NA NGANO UPUMBAVU WAKE HAUMTOKI
Follow Us Here