Kusema kweli baadhi ya wanasiasa wamekuwa wakipotosha ukweli na kujaribu kuwadanganya wale wasikuwa na elimu ya uelewa.
Kuna watu wanaosema Muungano ukivunjika basi waZenji au WaZanzibari nao wafungishwe virago na kurudi kwao ,hivi watu hawa wanaieleawa Zanzibar ni ipi ? Wanaijua mipaka ya Zanzibar kabla ya wao kuzaliwa ?
Mmasai hawezi kuwa ni mZanzibari lakini Mbongo ,Mtanga ,waPwani au kule Mtwala hawa wote ni watu wa Zanzibar au tatizo hamuelimishwi mnaachwa kama mlivyo mkiaminishwa kuwa WaZanzibari ni watu wa Unguja na Pemba.
Tatizo ni la wale wahamiaji wanaotoka mikoani ambao asili zao ni kutoka Zaire na kuhamia mikoa ya pwani halafu wao kujifanya ndio wenyeji na wenye uchungu na hii iitwayo Tanganyika ,watu hawa hawana kabisa ule uasili wa wao kuwa ni waTanganyika kwani ukifuata ujio wao wanakuwa ni wahamiaji ,waliokutwa na biashara ya utumwa.Aidha waliachwa kwenye mataa na wenzao kupelekwa uarabuni uhindini na amerika.
Hivyo mnaposema Muungano ukivunjika Wazenji warudi kwao basi wekeni akili zenu timamu.

Reply With Quote


Follow Us Here