Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Pigo jingine CUF: sekretarieti ya vijana Bara yajiuzulu.

    Report Post
    Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
    Results 21 to 40 of 66
    1. #1
      hasan124's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 2nd January 2012
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 657
      Rep Power : 508
      Likes Received
      120
      Likes Given
      104

      Default Pigo jingine CUF: sekretarieti ya vijana Bara yajiuzulu.

      Katika ule muendelezo WA kuangamia kwa chama cha wananchi CUF almaarufu Ngangari, Uongozi WA Sekretarieti ya Vijana Taifa ya chama hicho Bara imejiuzulu rasmi hapo tar.08-06-2012.
      Waliojiuzulu ni pamoja na Mwenyekiti wao MHE. Mohamed Babu, Naibu Katibu Mkuu WA Sekretarieti Bara MHE. Abubakar Kitogo, Mkurugenzi WA Fedha MHE. Maulid Said, Mkurugenzi WA Mafunzo na Mausiano Vijana MHE. Dalia Majid, Mkurugenzi WA Mipango na Uchaguzi MHE. Grace Mgumba.
      Wengine ni Wajumbe WA Sekretarieti hiyo ambao ni Mussa Mbarouk (Diwani CUF - Tanga), Daalin Mlenga na Asumini Maringo Shayo.
      Hili ni pigo jingine kubwa kwa Oganaizesheni hiyo HASA ukizingatia MIEZI michache aliyekuwa Mkurugenzi WA Sanaa na Utamaduni MHE. Omar Costantine kujiuzulu na kuhamia chama kipya cha ADC.
      Tukio hili limetokea sambamba na Naibu Katibu Mkuu Bara MHE. Julius Mtatiro akiwa safarini kikazi mkoani Arusha kupoteza Laptop na nyaraka nyingine muhimu za chama.
      Ndani ya Laptop hiyo kulikuwepo na MPANGO MKAKATI WA CHAMA TAIFA 2013/2015 kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao WA 2015.

      Same source.
      ADC - DIRA YA MABADILIKO : ADC - TUMAINI LA MTANZANIA.

    2. #21
      Marire's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st May 2012
      Posts : 2,371
      Rep Power : 992
      Likes Received
      636
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Nyakageni View Post
      ina maana Mtatiro hakuwa na back up ya documents zake?
      hata akiwa nazo zitazaidia kuokoa chama?kaf inashindana na sisiem kufa

    3. #22
      Precise pangolin's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 4th January 2012
      Posts : 5,761
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1609
      Likes Given
      684

      Default Re: Pigo jingine CUF: sekretarieti ya vijana Bara yajiuzulu.

      Quote By Makupa View Post
      Wamemwibia nani mkuu , wewe bado ni kijana acha kuropoka
      Miaka Yote hamsini bado tunarudi nyuma hata reli na viwanda tulivyo vikuta vimekufa kama sio wizi ni nini? Halafu Kifo chenu kinawadia endapo yule mwamba wa kaskazini lowassa mtamzuia kuchukua form japo ubavu huo hamna

    4. #23
      Crashwise's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Location : Safarini
      Posts : 13,480
      Rep Power : 19246
      Likes Received
      4194
      Likes Given
      3375

      Default

      Quote By Daudi mchambuzi View Post
      maiti zimetoroka mochwari
      yaani kila post ninayoisoma inanibidi nicheke....
      Daudi Mchambuzi likes this.

    5. #24
      Makupa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 2,184
      Rep Power : 815
      Likes Received
      257
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Precise pangolin View Post
      Miaka Yote hamsini bado tunarudi nyuma hata reli na viwanda tulivyo vikuta vimekufa kama sio wizi ni nini? Halafu Kifo chenu kinawadia endapo yule mwamba wa kaskazini lowassa mtamzuia kuchukua form japo ubavu huo hamna
      Mkuu huyo mwamba wenu yaani EL nasikie kuna MoU kati yake na cdm

    6. #25
      Precise pangolin's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 4th January 2012
      Posts : 5,761
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1609
      Likes Given
      684

      Default Re: Pigo jingine CUF: sekretarieti ya vijana Bara yajiuzulu.

      Quote By Makupa View Post
      Mkuu huyo mwamba wenu yaani EL nasikie kuna MoU kati yake na cdm
      Atakuwaje mwamba wetu wakati yupo CCM jaribuni kumgusa awafute kwenye historia ya siasa

    7. #26
      PMNBuko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th December 2010
      Posts : 907
      Rep Power : 611
      Likes Received
      120
      Likes Given
      28

      Default

      Quote By Lunyungu View Post
      Hawa viongozi wa kuamka hawa acha wamalizike .KAFU ina dhambi kubwa mno kama Mrema .Waliwapa watanzania matumaini lakini wameishia kuamsha sasa.Laana tuulah
      Pole sana wana Kafu

    8. #27
      Makupa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 2,184
      Rep Power : 815
      Likes Received
      257
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Precise pangolin View Post
      Atakuwaje mwamba wetu wakati yupo CCM jaribuni kumgusa awafute kwenye historia ya siasa
      Na Shibuda je?

    9. #28
      Isalia's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2011
      Posts : 486
      Rep Power : 482
      Likes Received
      76
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Manyanza View Post
      Rest in Peace CUF aka Uamsho
      acha mambo usio yajuwa cuf itabaki kuwa cuf na uamsho ni vitu viwili tofauti wala havihusiani uamsho inapigania z'bar huru cuf sera yao serakali tatu au lina wachoma hili la uamsho kudai maslahi ya z'bar ndio mnalitupia mabaya lakini juwa siku zinahesabika za muungano

    10. #29
      Precise pangolin's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 4th January 2012
      Posts : 5,761
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1609
      Likes Given
      684

      Default Re: Pigo jingine CUF: sekretarieti ya vijana Bara yajiuzulu.

      Quote By Makupa View Post
      Na Shibuda je?
      Sibuda ndani CDM hana madhara kumfukuza ni Dakika moja tuu na hana cheo chochote lakini Lowassa ndani ya CCM ni mwamba ambao hautingishiki madhara yake hata kaburi la ccm halitaonekana

    11. #30
      Mungi's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 23rd September 2010
      Location : Hapa!!!
      Posts : 10,537
      Rep Power : 37791
      Likes Received
      5008
      Likes Given
      2349

      Default Re: Pigo jingine CUF: sekretarieti ya vijana Bara yajiuzulu.

      Quote By hasan124 View Post
      Katika ule muendelezo WA kuangamia kwa chama cha wananchi CUF almaarufu Ngangari, Uongozi WA Sekretarieti ya Vijana Taifa ya chama hicho Bara imejiuzulu rasmi hapo tar.08-06-2012.
      Waliojiuzulu ni pamoja na Mwenyekiti wao MHE. Mohamed Babu, Naibu Katibu Mkuu WA Sekretarieti Bara MHE. Abubakar Kitogo, Mkurugenzi WA Fedha MHE. Maulid Said, Mkurugenzi WA Mafunzo na Mausiano Vijana MHE. Dalia Majid, Mkurugenzi WA Mipango na Uchaguzi MHE. Grace Mgumba.
      Wengine ni Wajumbe WA Sekretarieti hiyo ambao ni Mussa Mbarouk (Diwani CUF - Tanga), Daalin Mlenga na Asumini Maringo Shayo.
      Hili ni pigo jingine kubwa kwa Oganaizesheni hiyo HASA ukizingatia MIEZI michache aliyekuwa Mkurugenzi WA Sanaa na Utamaduni MHE. Omar Costantine kujiuzulu na kuhamia chama kipya cha ADC.
      Tukio hili limetokea sambamba na Naibu Katibu Mkuu Bara MHE. Julius Mtatiro akiwa safarini kikazi mkoani Arusha kupoteza Laptop na nyaraka nyingine muhimu za chama.
      Ndani ya Laptop hiyo kulikuwepo na MPANGO MKAKATI WA CHAMA TAIFA 2013/2015 kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao WA 2015.

      Same source.

      Hayo majina dah!
      "Peace is not simply about the absence of violence. It is defined by the presence of fundamental liberties and the prevalence of economic opportunities."

    12. #31
      Makupa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 2,184
      Rep Power : 815
      Likes Received
      257
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Precise pangolin View Post
      Sibuda ndani CDM hana madhara kumfukuza ni Dakika moja tuu na hana cheo chochote lakini Lowassa ndani ya CCM ni mwamba ambao hautingishiki madhara yake hata kaburi la ccm halitaonekana
      Monoama mbonyi? Jaribuni kumtimua Shibuda kama watanzania hawataanza kusema hapo zamani kulikuwa na chama kinaitwa chadema

    13. #32
      Cheche Mtungi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th November 2010
      Location : POPOTE NIPO
      Posts : 817
      Rep Power : 941
      Likes Received
      26
      Likes Given
      46

      Default Re: Pigo jingine CUF: sekretarieti ya vijana Bara yajiuzulu.

      Quote By hasan124 View Post
      Katika ule muendelezo WA kuangamia kwa chama cha wananchi CUF almaarufu Ngangari, Uongozi WA Sekretarieti ya Vijana Taifa ya chama hicho Bara imejiuzulu rasmi hapo tar.08-06-2012.
      Waliojiuzulu ni pamoja na Mwenyekiti wao MHE. Mohamed Babu, Naibu Katibu Mkuu WA Sekretarieti Bara MHE. Abubakar Kitogo, Mkurugenzi WA Fedha MHE. Maulid Said, Mkurugenzi WA Mafunzo na Mausiano Vijana MHE. Dalia Majid, Mkurugenzi WA Mipango na Uchaguzi MHE. Grace Mgumba.
      Wengine ni Wajumbe WA Sekretarieti hiyo ambao ni Mussa Mbarouk (Diwani CUF - Tanga), Daalin Mlenga na Asumini Maringo Shayo.
      Hili ni pigo jingine kubwa kwa Oganaizesheni hiyo HASA ukizingatia MIEZI michache aliyekuwa Mkurugenzi WA Sanaa na Utamaduni MHE. Omar Costantine kujiuzulu na kuhamia chama kipya cha ADC.
      Tukio hili limetokea sambamba na Naibu Katibu Mkuu Bara MHE. Julius Mtatiro akiwa safarini kikazi mkoani Arusha kupoteza Laptop na nyaraka nyingine muhimu za chama.
      Ndani ya Laptop hiyo kulikuwepo na MPANGO MKAKATI WA CHAMA TAIFA 2013/2015 kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao WA 2015.

      Same source.
      Laana ya kusapoti uchomaji wa makanisa zanzibar,si unaona hapo kwenye red?
      Kassim Awadh likes this.
      We can not Reverse the past,but we can learn from it!

    14. #33
      Ruhazwe JR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st January 2011
      Posts : 3,177
      Rep Power : 2893
      Likes Received
      777
      Likes Given
      723

      Default

      Quote By Daudi mchambuzi View Post
      maiti zimetoroka mochwari
      ha,ha,ha,.,kwi,kwi,kw!.teh,teh ,teh!....mkubwa! Sina mbavu...uwiii,naomba Mungu anipe uhai 2015,niwepo

    15. #34
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 19,231
      Rep Power : 12775
      Likes Received
      6452
      Likes Given
      999

      Default Re: Pigo jingine CUF: sekretarieti ya vijana Bara yajiuzulu.

      Hamadi Rashidi bana anaangaika kweli. ADC Karibia nao wanafunga ndoa kama wenzao CUF wewe mpinzani wako ni CUF tu.

    16. #35
      Kingo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th May 2009
      Posts : 385
      Rep Power : 592
      Likes Received
      55
      Likes Given
      113

      Default Re: Pigo jingine CUF: sekretarieti ya vijana Bara yajiuzulu.

      Maumivu yakizidi....pata ushauri wa daktari....
      GOOD TIMBER DOES NOT GROW WITH EASE. THE STRONGER THE WIND THE STRONGER THE TREES.

    17. #36
      kuku dume's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd April 2012
      Location : School of Medicine
      Posts : 336
      Rep Power : 428
      Likes Received
      47
      Likes Given
      12

      Default Re: Pigo jingine CUF: sekretarieti ya vijana Bara yajiuzulu.

      Inna Lillah!

    18. #37
      OSOKONI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th October 2011
      Posts : 3,921
      Rep Power : 1171
      Likes Received
      1058
      Likes Given
      804

      Default Re: Pigo jingine CUF: sekretarieti ya vijana Bara yajiuzulu.

      Quote By Makupa View Post
      Wamemwibia nani mkuu , wewe bado ni kijana acha kuropoka
      w
      ameibia taifa na umma wa watanzania! epa! richmond! dowans! deep green! meremeta! radar! ndege ya rais! kuuza wanyama pori!mikataba michafu ya madini! kiwira! mchuchuma! just to mention a few !!
      Narrow minded people discuss people,common minded people discuss events great minded people discuss ideas!!!

    19. #38
      Dangire's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 5th October 2011
      Location : Dar
      Posts : 179
      Rep Power : 425
      Likes Received
      35
      Likes Given
      3

      Default Re: Pigo jingine CUF: sekretarieti ya vijana Bara yajiuzulu.

      Quote By Bazazi View Post
      Huku ni mwanzo wa kufa kwa chama cha wananchi CUF? Au kuna usanii unaendelea hapo? jamani Bazazi! haelewi iwapo kuna mpangokazi wa kuihuisha CUF kwa viongozi waliopo sasa kwa kukosa mvuto wajiuzulu kuwapisha wengine au ndio njia moja ya makaburini (Kama ni makaburini kiwasalimie PONA, CCJ, nk).

      Bazazi ni Bazazi
      sio mwanzo, ni muendelezo. ilianzia pale wanachama wake wengi walipokihama na kuanzisha chama kipya hivi karibuni.

    20. #39
      BABU CHONDO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th June 2011
      Posts : 279
      Rep Power : 462
      Likes Received
      22
      Likes Given
      1

      Default

      CufUamosho

      Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

    21. #40
      asigwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st September 2011
      Location : Tandhaniya
      Posts : 4,497
      Rep Power : 1291
      Likes Received
      1242
      Likes Given
      1267

      Default Re: Pigo jingine CUF: sekretarieti ya vijana Bara yajiuzulu.

      wana kazi sana hawa jamaa.. maalimu ndio alikua nguzo ya chama sasa hivi kaukwaa hana habri nao yuko zenji anakula bata tuu prof nae yuko out mda wote sijui watafanya nini mwaka huu???

    Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...