Re: Waziri Membe aitabiria ushindi CHADEMA uchaguzi mkuu ujao
[QUOTE=PMNBuko;4027674]

By
Molemo
Waziri Membe aliyasema hayo katika chakula cha mchana alichowaandalia viongozi wa CDM nyumbani kwake waliokuwa katika jimbo lake la Mtama.
Tunamkaribisha kwenye M4C
Inanikumbusha enzi za professa mkuu wa Siasa huko Kwa watani wetu Kenya. Enzi hizo ukikaribishwa ugali, jioni nyumbani kwa Rais Moi, kinachofuata ni kuhama chama.
Sasa masikio yetu yapo juu juu , je ni lini BENARD MEMBE atahamia chadema?????
Stay tuned and let's take a political break as opposed to a commercial break.
Injustice anywhere is a threat to justice everywhere.
Follow Us Here