Mkuu unabinua mkia wa bata afu unauliza anaharishia kwa wapi?!
,,,,,,,,Jisachi
Magamba bana..... eti yamemwekea kanga kama zulia.
Hapo ni mlo mmoja tu kwa siku.
Sijui nani kawaloga hawa watu asee. Mtu anakutukania mama yako, we unampa shkamoo.
Malabuku!!
....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....
Yaani magamba wanakanyaga pesa!! kuonyesha ni jinsi gani walivyo mafisadi.. Ina maana hawajui kwamba nchi hii wapo watu ambao hawana kipande cha nguo cha kujisitiri.? Kufuru nyingine bana! yaani vitenge vinageuzwa carpet!!!
Wanapewa kofia na khanga wanasahau shida zao za barabara na maji dawa ya magamba imeshapatikana ni m4c ngoja ifike huko
Mkuu picha zenyewe zinajielezea ni yupi yupo karibu na wananchi.Hawa mama zetu sasa huku wanakokwenda na huyu Nape inabidi kujiuliza mara mbili
tena unamkosea sana mkombozi kumweka na vuvuzela
jibu liko wazi.
dral slaa huwezi mlinganisha na huyo vuvuzela
I'm Naturaly Evasive..
mukubwa picha zinajieleza...
ila nafikiri magamba huwa wakikaa kwenye vikao vyao huwa wanatudharau sana sie watanzania
maswali menginee bwana, we nape si ameshindwa hata kwa mgombea wa ubunge ccm 2010 ( hawa ng'humbi) ndo aje kushindana na dr. anayemwita dr. feki?
msipende kitu kwa kupitiliza angalieni picture imepigwa wapi na mila / desturi za watu wa hapo zikoje , nnacho kiona hapo ni athari za dini songea wamempokea nape kama mkombozi wakimnukuu issa bin mariam alivyopokelewa akiingia yerusalemu ni desturi imejengeka kwa nduguzetu hawa na huko kusini hali ni hiyo hiyo tunafahamu sote sisi waislamu mambo yetu twayaendeshaje pale tujadilipo jambo muhimu , kula na kadharika ... sisi hukaa chini japo sijui muktadha halisi wa hiyo pic ilipigwa wakati gani maana naona wanaoonekana kwa nyuma ya hiyo picha nikama waliokuja kukshangaa katibu slaa wakati kwenye picha ya mwenezi nape wote wanashiriki kwenye tukio husika
Follow Us Here