Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    Report Post
    Page 11 of 46 FirstFirst ... 91011121321 ... LastLast
    Results 201 to 220 of 912
    1. #1
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,440
      Rep Power : 10878
      Likes Received
      3814
      Likes Given
      426

      Default Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012




















      TEXT UPDATES:

      Ni asubuhi tulivu ya Jumamosi na hali ya hewa ni nzuri kabisa.

      CCM wanatarajiwa kufanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Jangwani ambavyo wapinzani wao wakuu walivibatiza kwa jina la viwanja vya CDM SQUARE.

      Tayari shamrashamra zimeshaanza hapa uwanjani na shughuli za ujenzi na kupamba majukwaa zinaendelea.Mkutano huu utarushwa live na vituo kadhaa vya Television.

      Tutakuwa hapa uwanjani kuwapa updates kila kitakachoendelea.

      Updates:
      Mpaka muda huu saa 8.30 watu wanaendelea kuja uwanjani ingawa kwa ujumla bado uwanja haujapendeza sana.Tunaendelea kusubiri zaidi huenda ni hizi foleni za Dar zinachelewesha watu.Wanachama kadhaa kutoka matawi mbalimbali wameshafika wakiwa kwenye mabasi na vyombo vingine vya usafiri.Baadhi ya wanachama wanadai wamekodisha kwa gharama zao na wengine wanadai wamekodishiwa na chama.Bado natafuta ukweli wa haya madai yao.

      More updates.
      Viongozi mbalimbali wanaendelea kutoa hotuba zao.Hotuba iliyoshangaza wananchi ni ya Nape Nauye aliyewashambulia kwa maneno makali waislam wa kikundi maarufu cha Uamsho Zanzibar kwamba ni MAJAMBAZI wakubwa.Wengi hawajafurahishwa na maneno yake na wanaona kama ameutukana Uislam.Idadi kubwa ya watu iliguna baada ya kauli hiyo ya Nape.

      More updates....
      Mkutano umemalizika lakini kwa ujumla katika wazungumzaji wote wa CCM na mawaziri walioongea aliyeonekana kuwagusa watu wengi ni Waziri wa uchukuzi Dr Harisson Mwakyembe ambaye alitoa hadi namba yake ya simu 0782242526 kumpigia wakati wowote mwananchi atakapokumbana na adha yoyote kwenye sekta ya usafiri. Mwakyembe kwa kujua anaangaliwa nchi nzima kupitia Television hakumalizia kwa kusifu CCM kama wenzake bali yeye alimalizia kwa kusema Dar Hoyeeee!

      Baadhi ya kadi za CDM na bendera zimerudishwa lakini hakuna hata kiongozi mmoja wa ngazi yoyote aliyejitambulisha hadharani kwamba amejitoa CDM kitu kinachotia shaka malundo ya kadi za CDM zilizorudishwa.Sintofahamu nyingine ni karibia kadi zote za CDM zilizorudishwa hazikuwa na picha ya mwanachama na nyingine hazijapigwa mihuri.

      Mwisho Pamoja na CCM kujitahidi kukusanya watu wengi kwenye mkutano huu wa leo kiuhalisia mkutano huu wa CCM haujaweza kuvunja rekodi ya mkutano wa CDM uliofanyika wiki mbili zilizopita na kuhudhuriwa na maelfu kwa maelfu ya wananchi kiasi kwamba Jiji la Dar lilisimama kwa zaidi ya masaa 6.
      Last edited by Molemo; 9th June 2012 at 22:08.

    2. Miaka 50

    3. #201
      Kobello's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th February 2011
      Posts : 2,954
      Rep Power : 1660
      Likes Received
      1118
      Likes Given
      192

      Default Re: Kutoka jangwani 9/6/2012

      Quote By NICE LAMECK
      Tupunguze ukali wa maneno tunachotaka ni habari za mkutano wa magamba na kama atatokea mtu akatuwekea picha itakuwa bora zaidi.
      Duh!!!
      Keeping quiet is a war crime.

    4. #202
      Balantanda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th July 2008
      Location : Kusadikika
      Posts : 8,985
      Rep Power : 7148
      Likes Received
      1743
      Likes Given
      1409

      Default Re: Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar)

      Quote By Ciril
      Wazee hawawezi kukomboa nchi Kama kikinuka muda wowote,we wa wapi?
      Haujajibu swali,kwani wazee(wakiwepo wazazi wako) sio watu?,na je hawana haki ya kuwa wanachama wa chama chochote?......Usiniambie CHADEMA ni chama cha vijana pekee.....
      Nyunyu likes this.
      "Tukosoane, turekebishane, tuwajibishane ndipo tusameheane" Regia Mtema.

    5. #203
      Daudi Mchambuzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th November 2010
      Posts : 6,196
      Rep Power : 1955
      Likes Received
      3000
      Likes Given
      13644

      Default

      Quote By figganigga
      mw/kiti wa wanafunzi wa vyuo vikuu anasema.kuna mtu alisema wanataka wawe na serikali ya kaskazini, baba yao mbowe akasema muaacheni huyo ni mtoto,je mtoto si anasikia kwa baba?. nchemba anasema chadema inatumiwa na vibaraka kutugawa. je hizo hela wanazotumia kuzunguka wanazitoa wapi na atazilipa vipi?. anasema wana uamsho ni majambazi. wenyewe wanachukua oil chafu sisi tunaweka mpya. anasema watatuweza. kwa ufupi watu ni wachachd mno nafikili mnao angalia tv mnaona wenyewe.mia
      Huyo nchemba hakuona tukichangisha hizo pesa kwa wananchi??
      Then nape si alisema leo hawatazungumzia chadema kabisa imekuwaje tena wanakosa uvumilivu???
      Wanavyosema vua gamba vaa uzalendo na walisema wote wanaovua gamba ni oil chafu alafu leo wanawaita tena wavae huo uzalendo, hawaoni wanarudisha oil chafu kwenye hilo gari lao??

    6. #204
      Elli's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 17th March 2008
      Location : Kijito-Upele
      Posts : 8,568
      Rep Power : 2550
      Likes Received
      2141
      Likes Given
      1862

      Default Re: Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar)

      kuna jamaa lina bonge la kitambi linaongea ujinga mtupu na nepi anarembua kwa nyuma yake pale
      ...but what MAN is entirely without Evil intent in the Silence of his Soul???

    7. #205
      figganigga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th October 2010
      Location : dar es salaam
      Posts : 8,201
      Rep Power : 12013
      Likes Received
      2656
      Likes Given
      1584

      Default Re: Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar)

      nape nauye anaongea mipasho tu. anasema:chadema wataweza kujaza watu hivi? chadema wanachukua oil chafu tulio mwaga. mia

    8. RukaaJuu Final

    9. #206
      Precise pangolin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 4th January 2012
      Posts : 5,695
      Rep Power : 1915
      Likes Received
      1594
      Likes Given
      677

      Default Re: Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar)

      Quote By Tume ya katiba
      Wadau uwanja sidhani kama utatosha!
      Mkuu Tume ya katiba Nape kawatukana Wazenji kuhusu UAMSHO anadai nyinyi ni majambazi kwi kwi kwi analeta dharau kwenye Dini hii imeshakuwa Noma

    10. #207
      Ng'wanangwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th August 2010
      Posts : 5,990
      Rep Power : 1647
      Likes Received
      1136
      Likes Given
      416

      Default Re: Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar)

      daraja la kihistoria kigamboni. na hadisi za kusadikika za kujenga flai ova
      CCM HAIKUBALIKI ...TUSHIRIKIANE KUITOKOMEZA...

      REST IN PEACE, DR.D.D. HAULE...Wema hawana Maisha

    11. #208
      BIG Banned's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th May 2012
      Location : Banned
      Posts : 263
      Rep Power : 407
      Likes Received
      63
      Likes Given
      77

      Default Re: Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar)

      Quote By Balantanda
      Acha hizo kijana.....Kwani wazee sio watu?
      Yani nyie wazee mnawabeba kwenye mafuso, halafu nyie mnapanda V8. hamuoni haya!!.
      Vua GAMBA Vaa GWANDA

    12. #209
      Curriculum Specialist's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2007
      Posts : 1,916
      Rep Power : 1604
      Likes Received
      563
      Likes Given
      183

      Default

      Quote By Uncle Rukus
      Hii ni aibu kwa chama tawala!

    13. #210
      MAMMAMIA's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 25th February 2008
      Location : Near You
      Posts : 3,794
      Rep Power : 3257
      Likes Received
      1496
      Likes Given
      1206

      Default Re: Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar)

      "Wingi wa shonde si ukubwa wa makalio".
      "JF - SAUTI YA WASIO NA SAUTI ............ na wapayukaji"

    14. #211
      BIG Banned's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th May 2012
      Location : Banned
      Posts : 263
      Rep Power : 407
      Likes Received
      63
      Likes Given
      77

      Default Re: Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar)

      Quote By Filipo
      angalia itv!
      Nipo nje ya TZ, ITV siwezi pata.
      Vua GAMBA Vaa GWANDA

    15. #212
      Daudi Mchambuzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th November 2010
      Posts : 6,196
      Rep Power : 1955
      Likes Received
      3000
      Likes Given
      13644

      Default

      Le mutuz atapewa mda wakupiga free style.

      Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

    16. #213
      Janjaweed's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th January 2010
      Posts : 3,622
      Rep Power : 1129
      Likes Received
      1391
      Likes Given
      1541

      Default Re: Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar)

      Quote By Balantanda
      Haujajibu swali,kwani wazee(wakiwepo wazazi wako) sio watu?,na je hawana haki ya kuwa wanachama wa chama chochote?......Usiniambie CHADEMA ni chama cha vijana pekee.....
      mKUU, LIKA MTU ANA HAKI YA KUFUATA ITIKADI YOYOTE AWE MZEE AU KIJANA.... NAOMBA KUJIBU KWA NIABA

      TATIZO KUBWA KWA SASA NI ILE VUGUVUGU LA CHANGES LIMEANZA KUWA TOO HOT KWA WAZEE WASIOPENDA TABU

      KUHUSU CHADEMA, NADHANI UWEPO WA PROF SAFARI, DR. SLAA, AKINA BAREGU UNAJIBU SWALI LAKO
      Kama Vipi nipotezee tu; ntakuboa....

    17. #214
      Elli's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 17th March 2008
      Location : Kijito-Upele
      Posts : 8,568
      Rep Power : 2550
      Likes Received
      2141
      Likes Given
      1862

      Default Re: Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar)

      huyu mgonjwa wa akili ni nani anaeongea hapo jukwaani?
      ...but what MAN is entirely without Evil intent in the Silence of his Soul???

    18. #215
      figganigga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th October 2010
      Location : dar es salaam
      Posts : 8,201
      Rep Power : 12013
      Likes Received
      2656
      Likes Given
      1584

      Default

      Quote By Elli
      kuna jamaa lina bonge la kitambi linaongea ujinga mtupu na nepi anarembua kwa nyuma yake pale
      huyo ni buninita, mwenyekiti wa ccm mkoa wa dar.anawataja magufuli na tibaijuka tu. anasema magufli atakuja kuwambia kwanini kuna foleni na tibaijuka atakja kuwambia kuhusu viwanja. mia

    19. #216
      Ng'wanangwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th August 2010
      Posts : 5,990
      Rep Power : 1647
      Likes Received
      1136
      Likes Given
      416

      Default Re: Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar)

      Al Shaabab
      CCM HAIKUBALIKI ...TUSHIRIKIANE KUITOKOMEZA...

      REST IN PEACE, DR.D.D. HAULE...Wema hawana Maisha

    20. #217
      Bitabo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th September 2011
      Posts : 1,384
      Rep Power : 663
      Likes Received
      448
      Likes Given
      262

      Default Re: Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar)

      Huyu jamaa anayeongea now (Guninita) ananifanya nitamani kuipasua TV yangu. eti huwezi kufananisha uchumi wa TZ na wa US. eti tumepiga hatua kiuchumi.mwambie aje Msumbiji watanzania wanauliwa kila siku kwenye mashimo ya madini kama mererani vile
      Uovu wa siku moja, unaondoa wema wa MWAKA MZIMA

    21. #218
      Janjaweed's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th January 2010
      Posts : 3,622
      Rep Power : 1129
      Likes Received
      1391
      Likes Given
      1541

      Default Re: Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar)

      Quote By balantanda
      unatafuta ugomvi na watu wewe......

      Muda si mrefu wataibuka kutoka chimbo....
      nshazoea mkuu.... Tena waibukie bafuni kabisa..... Kumbe yanafuata nyayo tu!!!

      Hii picha iko kimtindo sana aaseee, three men in a "closet"
      Kama Vipi nipotezee tu; ntakuboa....

    22. #219
      Katavi's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 31st August 2009
      Location : Lyamba Lya Mfipa
      Posts : 19,640
      Rep Power : 16777
      Likes Received
      2516
      Likes Given
      1938

      Default

      Quote By figganigga
      asha baraka anasema, vua gwanda na gamba uvae uzalendo. mia
      Kumbe upo mkuu figganiga....mia.
      figganigga likes this.

    23. #220
      idawa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th January 2012
      Posts : 4,627
      Rep Power : 3340
      Likes Received
      1232
      Likes Given
      466

      Default

      Quote By figganigga
      mw/kiti wa wanafunzi wa vyuo vikuu anasema.kuna mtu alisema wanataka wawe na serikali ya kaskazini, baba yao mbowe akasema muaacheni huyo ni mtoto,je mtoto si anasikia kwa baba?. nchemba anasema chadema inatumiwa na vibaraka kutugawa. je hizo hela wanazotumia kuzunguka wanazitoa wapi na atazilipa vipi?. anasema wana uamsho ni majambazi. wenyewe wanachukua oil chafu sisi tunaweka mpya. anasema watatuweza. kwa ufupi watu ni wachachd mno nafikili mnao angalia tv mnaona wenyewe.mia
      duh! Mkuu figganigga ulipotelea wapi.!
      figganigga likes this.

    Page 11 of 46 FirstFirst ... 91011121321 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...