Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Madai ya Waislam juu ya NECTA ni mazito

    Report Post
    Page 2 of 5 FirstFirst 1234 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 90
    1. #1
      dosama's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th December 2010
      Posts : 736
      Rep Power : 573
      Likes Received
      296
      Likes Given
      1

      Default Madai ya Waislam juu ya NECTA ni mazito

      Wanataka ndani ya siku saba serikali ya CCM iwe imefanya haya:

      1. Ndarichako awe amejiuzulu
      2. Uwiano wa wafanyakazi wa NECTA kati ya Wakristo na waislam
      3. Kuundwa tume huru kuchunguza kufelishwa kwa wanafunzi wa kiislam
      4.........
      5 Serikali iwape nafasi wanafunzi wote ambao baada ya matokeo yao kubadilishwa wamekuwa na sifa za kujiunga na vyuo vikuu waruhusiwe kuomba mikopo bodi ya mikopo,

      Imetolewa na Shekhe Mkuu wa Tanzania

      Consern

      Kipi kitafuata?????
      Last edited by dosama; 8th June 2012 at 21:19.

    2. FemaTV & Radio

    3. #21
      Wingu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th January 2011
      Posts : 3,974
      Rep Power : 1217
      Likes Received
      247
      Likes Given
      41

      Default Re: Madai ya Waislam juu ya NECTA ni mazito

      Waislaamu wameamka sasa ndo tutenda sawa.Watu kitawauma sana.Kuna ukweli kwenye madai yao ndo maana wamemsimamisha kazi afisa wa It pale baraza la mitihani

    4. #22
      MESTOD's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th November 2010
      Posts : 2,561
      Rep Power : 944
      Likes Received
      679
      Likes Given
      131

      Default

      Quote By Kimbunga
      Hivi kwa nini haya masomo ya dini yasiondolewe kwenye mitaala ya serikali? Serikali si haina dini ya nini sasa kujishughulisha na kusimamia mitihani ya kidini! Wawachie viongozi wa dini kuendesha mitihani ya masomo ya kidini nje ya mfumo wa kiserikali ili kuepukana na mambo kama haya.
      cha ajabu zaidi hata hilo somo la islamic knowlegde wamefeli hata baada ya kuhakiki. F zimepangana utafikiri wameweka kipengele cha sex F kumbe ndo matokeo. Ushauri mzuri, serikali iachie madhehbu ya dini masuala ya mitihani yao yenyewe ibakie neutral bila dini.
      Incognito and Mpalisya Imbogo like this.

    5. #23
      Abdulhalim's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th July 2007
      Location : Taipei 101
      Posts : 15,740
      Rep Power : 3770
      Likes Received
      1201
      Likes Given
      559

      Default Re: Madai ya Waislam juu ya NECTA ni mazito

      Quote By Bornvilla
      Kweli nimeamini! Ukizoea vyakunyonga vyakuchinja huviwezi. Hivi NECTA ni parokia? Kwanini computer zote zimejaa magospel songs? Hawa ndio wachakachuaji na wako tayari damu imwagike lakini wizara na necta hawaziachii na atakayefumua haya madude inamhitaji kuwa na roho ngumu kwani mfumokristo umeweka mizizi na inazidi kustawi hadi kutokezea nje. Hili limfumo kristo litasababisha maafa muda si mrefu.
      wazee wa pedo bana, sasa mfumo kristo unasimamiwa na mamluki Kikwete au ?? nyie mmetumwa na magamba kutudistract kwene ishu nyeti za katiba na 2015, hamumpati mtu.
      Moola's the motive

    6. #24
      Kimbunga's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Kisiwani Juma
      Posts : 7,484
      Rep Power : 6169
      Likes Received
      3058
      Likes Given
      1020

      Default

      Quote By MkimbizwaMbio
      Nashauri Ponda awe katibu mtendaji
      Huyu Ponda si kuna wakati walisema ni Mrundi kama yule rafiki yake wa zamani aitwaye Mohamed Rukara ambaye walikuwa naye hapa TZ na baada ya CNDD/FDD kchukua madaraka shekh Rukara akateuliwa kuwa Ombundsman wa Burundi! Mwanzoni sikujua kama shehe Rukara ni mrundi. Huu urai wa nchi yetu usioeleweka eleweka unaweza kutuletea shida.
      Mpalisya Imbogo likes this.

    7. FJM
      #25
      FJM's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 7,174
      Rep Power : 2568
      Likes Received
      5324
      Likes Given
      4587

      Default Re: Madai ya Waislam juu ya NECTA ni mazito

      Sina tatizo na madai ya waislam, tatizo langu liko kwenye mtu anayetakiwa kuchukuwa hatua. Mh Shukuru Kawambwa ndiye waziri wa elimu, huyu ndiyo mtu mwenye dhamana wa maswala ya elimu nchi hii. Dr Ndalicheko ni mtu wa chini sana. Sasa kwa nini waislam hawambani Shukukuru Kawambwa wanamchomoa mtu wa katikati?
      KOMBESANA likes this.

    8. Miaka 50

    9. #26
      Ms Judith's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th December 2010
      Posts : 2,542
      Rep Power : 968
      Likes Received
      849
      Likes Given
      584

      Default Re: Madai ya Waislam juu ya NECTA ni mazito

      wapendwa, haya mambo wala si magumu, tunachohitakji ni viongozi makini tu wa kuyashughulikia, ambao naamini wamo CCM, na kuwa hatujachelewa bado! wakichelewa kuinuka na kuanza kazi, nitakuwa miongoni mwa watakaowainua.

      sitaniii!

      mbarikiwe sana

      Glory to God!
      Mtu awaye yote asiyempenda BWANA, na awe amelaaniwa. MARAN ATHA!!!
      (1 Wakorintho 16:22)

    10. #27
      Hofstede's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th July 2007
      Posts : 3,604
      Rep Power : 21341
      Likes Received
      981
      Likes Given
      988

      Default Re: Madai ya Waislam juu ya NECTA ni mazito

      Quote By MkimbizwaMbio
      Sio mazito ni ya kidini tu. Serekali ikemee huu udini unaoenezwa na ndugu zetu waislamu
      Mkuu haya ni matunda ya serikali yenyewe kutumia udini kujipatia kura. Tuliona Igunga, tukaona uchaguzi wa 2010 jinsi walivyomsakama Dr Slaa kuwa ni Padri. Tatizo la udini limeasisiwa na CCM na kupigiwa Chapuo na CCM.

      Wakati CUF ilipokuwa strong na kupata support kubwa ya waislam CCM walutumia propaganda ya udini kuwa CUF chama cha kiislam ili kuwaogopesha wakristo kujiunga nacho na wakafanikiwa.

      Leo hii CDM is very strong wanajaribu kuwatisha waislam waiogope CDM kwa hili wamefeli. Sasa Joka walilolifuga wenyewe linawatemea sumu.
      KOMBESANA likes this.

    11. #28
      Kimbunga's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Kisiwani Juma
      Posts : 7,484
      Rep Power : 6169
      Likes Received
      3058
      Likes Given
      1020

      Default

      Quote By Mzinga
      Waislaamu wameamka sasa ndo tutenda sawa.Watu kitawauma sana.Kuna ukweli kwenye madai yao ndo maana wamemsimamisha kazi afisa wa It pale baraza la mitihani
      Unaweza kukuta hata huyo mtu wa IT ni miongoni mwa waliofeli enzi zake ndio maana akasahau kuielekeza computer kujua kwamba walifanya peper tatu na hivyo ipate wastani kwa kugawa kwa tatu badala ya mbili! Huenda aliwekwa pale ili kuwe na uwiano!
      Incognito likes this.

    12. #29
      Antar bin Shaddad's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 11th October 2010
      Posts : 154
      Rep Power : 467
      Likes Received
      60
      Likes Given
      0

      Default Re: Madai ya Waislam juu ya NECTA ni mazito

      Quote By muonamambo
      La 3 laweza kufanyika.... La 1&2 ni Kama kudai mahakama ya kadhi hayawezekani kwa Sababu hatuchagui watu kwa dini zao... Lakini kwa serikali ya JK lolote lawezakana!!!!
      Masai ya Kazuhiro tu Haryana musings wowote

    13. #30
      Gracious's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th July 2011
      Location : Republic of Tanganyika
      Posts : 643
      Rep Power : 597
      Likes Received
      303
      Likes Given
      405

      Default Re: Madai ya Waislam juu ya NECTA ni mazito

      Quote By Masanga
      waislim wamechoka kuonewa juu ya mfumu uliopo baraza la mitihani wa kuwakata marks wanafunzi wa kiislam kila mwaka
      Hivi kule Baraza la mitihani zinaenda namba au majina? na kama ni namba kuna namba za waislam tofauti na zingine?
      KOMBESANA likes this.
      "Peace under Poverty-This Scenario is only found in Tanzania,the friend of Tripolitania"

    14. #31
      Jumakidogo's Avatar
      R I P Array
      Join Date : 16th July 2009
      Location : DOM & DAR
      Posts : 1,868
      Rep Power : 1177
      Likes Received
      390
      Likes Given
      42

      Default Re: Madai ya Waislam juu ya NECTA ni mazito

      Mi nadhani hakuna sababu ya kupuuzwa dai la kuundwa kwa tume ya uchunguzi. Hiyo ndiyo njia pekee ya kuanika mbivu na mbichi. Hapo ukweli utadhiri kama madai haya ni ya kweli au la. Matokeo ya tume baada ya kuanika ukweli hadharani, bila shaka yatakata ngebe na kuondoa chuki na chokochoko kati ya kundi moja na jingine. Tena tume hiyo iwe na wajumbe kwa idadi sawa kati ya wakristo na waislamu.
      BabuK likes this.

    15. #32
      sweke34's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th September 2010
      Posts : 2,493
      Rep Power : 1255
      Likes Received
      734
      Likes Given
      1240

      Default Re: Madai ya Waislam juu ya NECTA ni mazito

      Mkuu wa hicho kitengo cha computer ameshasimamishwa kazi...
      kayumba likes this.

    16. #33
      Antar bin Shaddad's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 11th October 2010
      Posts : 154
      Rep Power : 467
      Likes Received
      60
      Likes Given
      0

      Default Re: Madai ya Waislam juu ya NECTA ni mazito

      Kazi kweli kweli nudge zangu waislamu hoja za musings zimewpita pembeni wamabakia wanna pika mangulo tu

    17. #34
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,480
      Rep Power : 19785
      Likes Received
      4300
      Likes Given
      1248

      Default Re: Madai ya Waislam juu ya NECTA ni mazito

      Madai ya kidini hayo,hayana msingi kabisa.wala hayana uzito wowote,mepesi kama karatasi na ni utoto mtupu. Yani serikali itoe ajira kwa mashekh wasio na vigezo.

      Utoto wa mwaka
      sifongo likes this.

    18. #35
      kitero's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st February 2012
      Location : Kaskazini
      Posts : 516
      Rep Power : 469
      Likes Received
      97
      Likes Given
      48

      Default Re: Madai ya Waislam juu ya NECTA ni mazito

      Mimi nilifikiri udini waliouanzisha upo CHADEMA tuu kumbe mpaka wizarani,Nabada ya hapo utasikia Wanyakyusa,wachaga na wahaya wamezidi kwenye wizara na mashirika mbali mbali nao wapunguzwe.Kweli nguvu ya M4C ni kubwa.

    19. #36
      mkurugenz's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 200
      Rep Power : 400
      Likes Received
      15
      Likes Given
      16

      Default Re: Madai ya Waislam juu ya NECTA ni mazito

      matatizo ya waislamu yanahitaji busara sana ktk kuyatatua sivyo yatatugawanya watanzania

    20. #37
      Bigirita's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2007
      Location : Under a mango tree
      Posts : 11,263
      Rep Power : 3043
      Likes Received
      3052
      Likes Given
      4137

      Default

      Quote By Abdulhalim
      waunde NECTA yao, hii wawaachie magalatia..kwani nani kazuia?
      Hahahahaaa!!
      Weee jamaa wewe!!
      Mi nakuangalia na kukusoma tu hapa!!

    21. #38
      IGWE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2011
      Location : Blue Plaza Building-Arusha
      Posts : 5,084
      Rep Power : 3257
      Likes Received
      1245
      Likes Given
      1196

      Default Re: Madai ya Waislam juu ya NECTA ni mazito

      Nchi isiyo na dini,...masomo ya dini kwenye mitaala ya nini?..waondoe utumbo wa masomo ya dini huko,..hii ndio itakua funga domo.

    22. #39
      ISSA SHARAFI's Avatar
      Member Array
      Join Date : 25th April 2012
      Posts : 85
      Rep Power : 374
      Likes Received
      9
      Likes Given
      4

      Default Re: Madai ya Waislam juu ya NECTA ni mazito

      Kiukweli waislamu wanayo haki ya kudai hivyo vitu japokuwa serikali yetu haina dini ila kuna baadhi ya viongozi wameingiza udini ktk kutekeleza majukumu yao na kuonekana kuwa wanamaslahi nayo ktk maisha yao ndio maana wanalilia mfumo wa kuandika majina drs 7 urudie ili waendeleze kuwakandamiza waislamu ktk kupata Elimu.

    23. #40
      Buto's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 23rd September 2011
      Posts : 247
      Rep Power : 436
      Likes Received
      28
      Likes Given
      16

      Default Re: Madai ya Waislam juu ya NECTA ni mazito

      Hawa jamaa wana matatizo sana basi na waziri wa elimu awajibishwe au kwa kuwa siyo mgalatia?

    Page 2 of 5 FirstFirst 1234 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...