Hadi sasa nimeshindwa kupata hata kiongozi mmoja wa CCM aliyemsafi atakaethubutu kupanda kesho jukwaani pale Jangwani a.k.a Chadema square.
Hadi sasa nimeshindwa kupata hata kiongozi mmoja wa CCM aliyemsafi atakaethubutu kupanda kesho jukwaani pale Jangwani a.k.a Chadema square.
1.Prof.majimarufu
2.Lusinde
3.Wassira
4.Ngeleja
5.Malima
6.Omary Badwel
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
7. James Mbatia
Baraka Boki (MEng,MBA from Duke university)
Sisiem hawana mwongeaji "mzuri" kama Lusinde a.ka Kibajaji! Kudadadeki!!!?
Lowasa hoyeeeee!!!!
Kama nape mwanaume kweli na sio cho** amlete Lowasa Chadema Squire
Ushauri wangu wa bure kwa CCM kesho wasipande viongozi wauza nyago...maana hao wamegeuka kuwa makuwadi wa wao wenyewe na sio chama. Badala yake wapande vijana machachali viongozi wa chini wapo sema wanabaniwa na watoto waliokiteka chama kimetekwa chama chetuu hili halina ubishii
nahisi lowassa atakuwepo kuendeleza ile singo yake alyoizindua arumeru,ile ya hapo vipi?.....................hapo vipi?......................hap o vipi?
Kama damu inakusisimka unapoona haki ya mtu ikipokwa na uko tayari kuitetea kwa gharama yeyote, basi hakika wewe ni Comrade wangu-Che Guevara.
wakati Cuf wanataka kuchukua nchi mwaka 2000 CCM walikuja na single ya kusema Cuf ni waislamu na kwa sasa wanadai sisi Chadema ni chama cha wakristo sasa CCM nacho ni cha watu gani? Watu wakajibu mashetaaaaaniiiiii.!---Wana Kigoma.
....Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,au watu wanaweza wakachoka na kusema potelea mbali wakachagua chama KINGINE....Julius. Kambarage. NYERERE"
Chenge,karamagi,msabaha,wote watapanda jukwaani
Maige, ekelege, chami, .... Ccm wana Majina makubwa mengi tu, Sio Kama chadema. Tuna imaaaaniIiii na cheeeengeeee! Oya! Oya! Oya! Tuna nyimbo nyingi tu
shibuda
Follow Us Here