Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Miktano ya cdm kusini watu kiduchu

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 35 of 35
    1. #1
      BigMan's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th February 2007
      Posts : 536
      Rep Power : 738
      Likes Received
      57
      Likes Given
      10

      Default Miktano ya cdm kusini watu kiduchu

      NIMEFUATILIA BAADHI YA PICHA NIKABAINI KWAMBA SIYO KWELI MIKUTANO YA CDM KANDA YA KUSINI INAJAZA KAMA INAVYODAIWA NA WANAZI WA CHAMA HICHO,SITAKU KUSEMA CDM KASKAZINI OK LAKINI BADO SAFARIO NI NDEFU KATIKA KUJIHAKIKISHI INATWAA NCHI UCHAGUZI UJAO.ANGALIA HII PICHA

      MICHUZI: Operesheni Okoa Kusini:John Mnyika Awapiga Msasa Wana Newala na Nanyumbu Juu Ya Uwajibikaji wa Serikali Kwa Wananchi,Elimu ya Katiba Mpya na Movement For Change( M4C)

    2. #21
      UmkhontoweSizwe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th December 2008
      Posts : 2,070
      Rep Power : 949
      Likes Received
      571
      Likes Given
      327

      Default Re: Miktano ya cdm kusini watu kiduchu

      Nyie watu wa ccm muwe mnatumia akili manapoanzisha mada hapa. Mnajidhalilisha wenyewe na chama chenu mnapopost utumbo Kama huu.

    3. #22
      idawa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th January 2012
      Posts : 4,966
      Rep Power : 3411
      Likes Received
      1340
      Likes Given
      493

      Default

      Quote By Kiganyi View Post
      nimeipenda hii.!
      estson22 likes this.

    4. #23
      Indicator's Avatar
      Member Array
      Join Date : 3rd May 2012
      Posts : 13
      Rep Power : 361
      Likes Received
      2
      Likes Given
      2

      Question Re: Miktano ya cdm kusini watu kiduchu

      Quote By BigMan View Post
      NIMEFUATILIA BAADHI YA PICHA NIKABAINI KWAMBA SIYO KWELI MIKUTANO YA CDM KANDA YA KUSINI INAJAZA KAMA INAVYODAIWA NA WANAZI WA CHAMA HICHO,SITAKU KUSEMA CDM KASKAZINI OK LAKINI BADO SAFARIO NI NDEFU KATIKA KUJIHAKIKISHI INATWAA NCHI UCHAGUZI UJAO.ANGALIA HII PICHA

      MICHUZI: Operesheni Okoa Kusini:John Mnyika Awapiga Msasa Wana Newala na Nanyumbu Juu Ya Uwajibikaji wa Serikali Kwa Wananchi,Elimu ya Katiba Mpya na Movement For Change( M4C)
      Mkuu nina wasiwasi na IQ yako! Hivi Mkoa wa Mtwara na Lindi una watu wangapi? Na je kata zao zina watu wangapi? Unategemea mkutano katika kata za Lindi na Mtwara iidhuriwe na watu 50,000 na wakati kata ina watu 500?

    5. #24
      democratic's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st November 2011
      Posts : 1,604
      Rep Power : 823
      Likes Received
      278
      Likes Given
      53

      Default Re: Miktano ya cdm kusini watu kiduchu

      Quote By BigMan View Post
      fungua link baaada ya mada hapo chini uone mkutano wa mnyika ulivyokuwa na watu kiduchu kinachotumuka hapo ni kutumika kwa picha za maeneo machache ya mjini yenye watu wengi kwa waandishi wenu wa habari mnaowanunua kwani nani hajuhi hilo ?
      cheki sasa unavyojichanganya,nape atakunyima posho yako bureeee,wewe mwenyewe umesema maeneo ya mjini ndiyo yenye watu wengi,sasa kama cdm wamefanya mikutano yao kwenye kata zenye watu 2000 unataka hao watu wengi watoke wapi?kumbuka cdm haitumii malori wala haipiki wali.Kajipange urudi tena au alyekutuma mwambie sijawakuta
      Kama damu inakusisimka unapoona haki ya mtu ikipokwa na uko tayari kuitetea kwa gharama yeyote, basi hakika wewe ni Comrade wangu-Che Guevara.

    6. #25
      mpenda's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 21st July 2010
      Posts : 188
      Rep Power : 489
      Likes Received
      8
      Likes Given
      117

      Default Re: Miktano ya cdm kusini watu kiduchu

      Quote By BigMan View Post
      NIMEFUATILIA BAADHI YA PICHA NIKABAINI KWAMBA SIYO KWELI MIKUTANO YA CDM KANDA YA KUSINI INAJAZA KAMA INAVYODAIWA NA WANAZI WA CHAMA HICHO,SITAKU KUSEMA CDM KASKAZINI OK LAKINI BADO SAFARIO NI NDEFU KATIKA KUJIHAKIKISHI INATWAA NCHI UCHAGUZI UJAO.ANGALIA HII PICHA

      MICHUZI: Operesheni Okoa Kusini:John Mnyika Awapiga Msasa Wana Newala na Nanyumbu Juu Ya Uwajibikaji wa Serikali Kwa Wananchi,Elimu ya Katiba Mpya na Movement For Change( M4C)
      Mkuu, hapo mkutano bado haujaanza. hapo walikuwa wanapita kwenye vitongoji kuhamasisha watu juu ya wajibu wa serikali, katiba mpya na haki zao. kwa full picha za mkutano angalia ITV

    7. #26
      democratic's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st November 2011
      Posts : 1,604
      Rep Power : 823
      Likes Received
      278
      Likes Given
      53

      Default Re: Miktano ya cdm kusini watu kiduchu

      Quote By mpenda View Post
      Mkuu, hapo mkutano bado haujaanza. hapo walikuwa wanapita kwenye vitongoji kuhamasisha watu juu ya wajibu wa serikali, katiba mpya na haki zao. kwa full picha za mkutano angalia ITV
      babu hizi ni akili za nape tu wala zisitupotezee mda humu jamvini....................... .
      Kama damu inakusisimka unapoona haki ya mtu ikipokwa na uko tayari kuitetea kwa gharama yeyote, basi hakika wewe ni Comrade wangu-Che Guevara.

    8. #27
      Ringo Edmund's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th May 2010
      Location : MDAWI
      Posts : 3,673
      Rep Power : 1365
      Likes Received
      886
      Likes Given
      586

      Default Re: Miktano ya cdm kusini watu kiduchu

      hivi store ya kuwekea akili za wana CCM ni wapi/dodoma au ofisi ndogo ya lumumba?
      siku hiyo store itakapo ungua hata mkienda chadema mtakuwa hamna akili maana zitaungulia humo.
      akili kaeni nazo ili ziwasaidie.
      ​kusema ni fedha na kusikilizwa ni zahabu.

    9. #28
      Ernesto Che's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th January 2011
      Posts : 606
      Rep Power : 549
      Likes Received
      99
      Likes Given
      24

      Default Re: Miktano ya cdm kusini watu kiduchu

      Kwahiyo unataka kusema nini? acha upuuzi tutaikomboa nchi yote pamoja na wewe utafaidi matunda ya ukombozi, japokuwa hupendi mwambie aliyekutuma kuwa cdm is unstopable now.
      "If there is no struggle, there is no progress.”

    10. #29
      cjilo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th September 2011
      Location : Behind you
      Posts : 404
      Rep Power : 473
      Likes Received
      120
      Likes Given
      157

      Default Re: Miktano ya cdm kusini watu kiduchu

      Quote By Kiganyi View Post
      magamba wakiona hivi wanasema eti watu kiduchu na wanatangaza hivyo bila aibu..raisi wa watu hani shida kukaa na watu
      liwalo na liwe

    11. #30
      Kipimbwe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th July 2011
      Posts : 269
      Rep Power : 452
      Likes Received
      29
      Likes Given
      20

      Default Re: Miktano ya cdm kusini watu kiduchu

      Alikuwa anataka picha tu huyu nadhani kaziona au kashiba anatusumbua

    12. #31
      COWARD's Avatar
      Member Array
      Join Date : 23rd April 2012
      Posts : 28
      Rep Power : 366
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Nyunyu View Post
      Ukisikia kuweweseka ndiyo huku!! Na bado watani zetu, nyinyi badala ya kuhangaika na kiutimiza ahadi zenu, nimefarijika kwamba sasa mnacheza tune za dance la M4C!!
      ndugu yangu wewe jiniasi kweli kwenimeikubali sana coment yako.bila shaka unahold Phd.

    13. #32
      Kibanga Ampiga Mkoloni's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th August 2007
      Location : Here! here!
      Posts : 5,094
      Rep Power : 1778
      Likes Received
      1268
      Likes Given
      1710

      Default Re: Miktano ya cdm kusini watu kiduchu

      Quote By PACHOTO View Post
      M4C=MOVEMENT FOR CHRISTIANS, Aliyeleta umaskini mikoa ya kusini sio ccm bali nyerere kwa miaka 25 aliyokaa madarakani hakupeleka hata kipande cha km tano cha lami, aling'oa reli, na kuua viwanda vya korosho, Nyerere the no.1 south regions enemy
      Hivi mkoloni ndiye alijenga viwanda vya korosha?
      TANITA je alijenga nani?
      For the Holy Quran says in Sura 42, verse 41: 'All those who fight when oppressed incur no guilt, but Allah shall punish the oppressor, Come the day.

    14. #33
      BigMan's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th February 2007
      Posts : 536
      Rep Power : 738
      Likes Received
      57
      Likes Given
      10

      Default Re: Miktano ya cdm kusini watu kiduchu

      mnabebwa na waandishi wa habari wenye njaa akina mutabuzi hamna lolote siku si chache hata arusha na kilimanjaro watawakataa baada ya kubaini utapeli wa kilaza lema na dj mbowe

    15. #34
      Mbaha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th November 2010
      Location : Galaxy Andromeda
      Posts : 627
      Rep Power : 559
      Likes Received
      52
      Likes Given
      157

      Default Re: Miktano ya cdm kusini watu kiduchu

      Quote By BigMan View Post
      NIMEFUATILIA BAADHI YA PICHA NIKABAINI KWAMBA SIYO KWELI MIKUTANO YA CDM KANDA YA KUSINI INAJAZA KAMA INAVYODAIWA NA WANAZI WA CHAMA HICHO,SITAKU KUSEMA CDM KASKAZINI OK LAKINI BADO SAFARIO NI NDEFU KATIKA KUJIHAKIKISHI INATWAA NCHI UCHAGUZI UJAO.ANGALIA HII PICHA

      MICHUZI: Operesheni Okoa Kusini:John Mnyika Awapiga Msasa Wana Newala na Nanyumbu Juu Ya Uwajibikaji wa Serikali Kwa Wananchi,Elimu ya Katiba Mpya na Movement For Change( M4C)

      Hata mbuyu.... ulianza kama mchicha.... hukatishi mtu tamaa hapa!!
      Prepared for the worst....... Hope for the best....

    16. #35
      BigMan's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th February 2007
      Posts : 536
      Rep Power : 738
      Likes Received
      57
      Likes Given
      10

      Default Re: Miktano ya cdm kusini watu kiduchu

      tunakwenda kwenye uzalendo vaeni makwanda yenu jayo labda karibu zaidi ni 2030 ambapo hata kilaza lema na dj mbowe watakuwa wameng'oka meno kutokana na kufakamia viroba na kuvaa maturubai

    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...