Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: 2015; CHADEMA kupita bila kupingwa

    Report Post
    Page 1 of 2 12 LastLast
    Results 1 to 20 of 35
    1. #1
      mashami's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 8th May 2012
      Posts : 168
      Rep Power : 388
      Likes Received
      23
      Likes Given
      1

      Default 2015; CHADEMA kupita bila kupingwa

      Huwa nawaza kadri siku zinapoenda kukaribia uchaguzi mkuu 2015 hamasa kubwa na elimu ya uraia wanayopata wananchi huku ngome kuu za CCM zikiendelea kupukutishwa kila kukicha!

      Vijana tukiwa mstari wa mbele kwenye kutaka mabadiliko...uwezekano wa kukiweka CHADEMA madarakani bila kupingwa utakuwa wazi na kuandika historia mpya katika nchi hii iliyoongozwa na wachumia tumbo kwa nusu karne.

      Peoples power mpaka kieleweke!!!

    2. RukaaJuu Final

    3. #2
      Shardcole's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th January 2012
      Posts : 4,402
      Rep Power : 1286
      Likes Received
      1032
      Likes Given
      4

      Default re: 2015; CHADEMA kupita bila kupingwa

      Peoples.............!

    4. #3
      Nduka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd December 2008
      Posts : 5,593
      Rep Power : 1636
      Likes Received
      383
      Likes Given
      553

      Default re: 2015; CHADEMA kupita bila kupingwa

      Inawezekana bei za bangi imeshuka sana huku kwa wachaga.
      Starn likes this.

    5. #4
      Kirode's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th March 2011
      Posts : 1,117
      Rep Power : 637
      Likes Received
      64
      Likes Given
      38

      Default

      Nduka.....maku.
      Quote By Nduka
      Inawezekana bei za bangi imeshuka sana huku kwa wachaga.

    6. #5
      Crashwise's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Location : Safarini
      Posts : 13,133
      Rep Power : 14290
      Likes Received
      4019
      Likes Given
      3281

      Default

      Quote By Nduka
      Inawezekana bei za bangi imeshuka sana huku kwa wachaga.
      hebu fafanua, inamaana wacha ni wavuta bangi sana

    7. Miaka 50

    8. #6
      Gagnija's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th April 2006
      Posts : 2,066
      Rep Power : 1083
      Likes Received
      668
      Likes Given
      466

      Default Re: 2015; CHADEMA kupita bila kupingwa

      Huku kwetu Bukima siku hizi kibwagizo cha CCM oyee ni yahoye. Maana yake imekwisha.
      If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor. Tutu

    9. #7
      mashami's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 8th May 2012
      Posts : 168
      Rep Power : 388
      Likes Received
      23
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By Shardcole
      Peoples.............!
      power...!

    10. #8
      mashami's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 8th May 2012
      Posts : 168
      Rep Power : 388
      Likes Received
      23
      Likes Given
      1

      Default

      ubongo kama katibu wako mwenezi

    11. #9
      mashami's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 8th May 2012
      Posts : 168
      Rep Power : 388
      Likes Received
      23
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By Gagnija
      Huku kwetu Bukima siku hizi kibwagizo cha CCM oyee ni yahoye. Maana yake imekwisha.
      nimeipenda hiyo..!mbona watakoma

    12. #11
      democratic's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st November 2011
      Posts : 1,602
      Rep Power : 819
      Likes Received
      278
      Likes Given
      52

      Default Re: 2015; CHADEMA kupita bila kupingwa

      Quote By Nduka
      Inawezekana bei za bangi imeshuka sana huku kwa wachaga.
      ni kweli wewe huoni inavyomfanya vibaya nape
      Kama damu inakusisimka unapoona haki ya mtu ikipokwa na uko tayari kuitetea kwa gharama yeyote, basi hakika wewe ni Comrade wangu-Che Guevara.

    13. #12
      Rejao's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th May 2010
      Location : Long Street
      Posts : 8,758
      Rep Power : 25651
      Likes Received
      3345
      Likes Given
      2878

      Default Re: 2015; CHADEMA kupita bila kupingwa

      2015 mna mpango wa kumuweka Padri au Askofu kugombea uraisi?
      robert josephat likes this.
      If you can't convince them, confuse them.
      M-4-C - Movement for Chagaz

    14. #13
      Starn's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th October 2011
      Posts : 376
      Rep Power : 524
      Likes Received
      51
      Likes Given
      43

      Default Re: 2015; CHADEMA kupita bila kupingwa

      Quote By mashami
      Huwa nawaza kadri siku zinapoenda kukaribia uchaguzi mkuu 2015 hamasa kubwa na elimu ya uraia wanayopata wananchi huku ngome kuu za CCM zikiendelea kupukutishwa kila kukicha!

      Vijana tukiwa mstari wa mbele kwenye kutaka mabadiliko...uwezekano wa kukiweka CHADEMA madarakani bila kupingwa utakuwa wazi na kuandika historia mpya katika nchi hii iliyoongozwa na wachumia tumbo kwa nusu karne.

      Peoples power mpaka kieleweke!!!
      Kweli binadamu huwa tunajenga maghorofa hewani, endelea kuwaza hivyo milele!!

    15. #14
      mashami's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 8th May 2012
      Posts : 168
      Rep Power : 388
      Likes Received
      23
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By Rejao
      2015 mna mpango wa kumuweka Padri au Askofu kugombea uraisi?
      "Sisi tunatangulia mtatufuata nyuma" mbowe

    16. #15
      mashami's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 8th May 2012
      Posts : 168
      Rep Power : 388
      Likes Received
      23
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By Starn
      Kweli binadamu huwa tunajenga maghorofa hewani, endelea kuwaza hivyo milele!!
      wale wale mnaojikomba kwa vuvuzela kiama chenu 2015

    17. #16
      mandieta's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th February 2012
      Posts : 2,841
      Rep Power : 911
      Likes Received
      293
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By mashami
      nimeipenda hiyo..!mbona watakoma
      Na vp hayo maeneo ya kuanzia mgango,sukuti,chumwi,mrangi mpaka kule kwa wajeda nyang'ombe aka bugwema huko nako chadema wametimba?na pale upande wa 2 wa ziwa jee?

    18. #17
      Starn's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th October 2011
      Posts : 376
      Rep Power : 524
      Likes Received
      51
      Likes Given
      43

      Default Re: 2015; CHADEMA kupita bila kupingwa

      Quote By mashami
      wale wale mnaojikomba kwa vuvuzela kiama chenu 2015
      Hakuna anayejikomba bali UKWELI ndo huo

    19. #18
      mandieta's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th February 2012
      Posts : 2,841
      Rep Power : 911
      Likes Received
      293
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By mashami
      Huwa nawaza kadri siku zinapoenda kukaribia uchaguzi mkuu 2015 hamasa kubwa na elimu ya uraia wanayopata wananchi huku ngome kuu za CCM zikiendelea kupukutishwa kila kukicha!

      Vijana tukiwa mstari wa mbele kwenye kutaka mabadiliko...uwezekano wa kukiweka CHADEMA madarakani bila kupingwa utakuwa wazi na kuandika historia mpya katika nchi hii iliyoongozwa na wachumia tumbo kwa nusu karne.

      Peoples power mpaka kieleweke!!!
      Unafahamu maana ya kupita bila kupingwa wewe?

    20. #19
      mashami's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 8th May 2012
      Posts : 168
      Rep Power : 388
      Likes Received
      23
      Likes Given
      1

      Default Re: 2015; CHADEMA kupita bila kupingwa

      2015 ndo utajua maana

    21. #20
      Non stop's Avatar
      Member Array
      Join Date : 29th November 2011
      Posts : 68
      Rep Power : 391
      Likes Received
      10
      Likes Given
      13

      Default Re: 2015; CHADEMA kupita bila kupingwa

      Wao wana dola na sisi tuna Mungu, 2015 ni dhahili CDM itakua madarakani.,M4C forever...
      Peopleeeeeeeesssssssss........ .......

    Page 1 of 2 12 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...