Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kukodisha Airbus ni mkataba wa kipuuzi - Mwakyembe

    Report Post
    Page 5 of 8 FirstFirst ... 34567 ... LastLast
    Results 81 to 100 of 147
    1. #1
      Saint Ivuga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2008
      Posts : 20,635
      Rep Power : 10159
      Likes Received
      5646
      Likes Given
      12664

      Default Kukodisha Airbus ni mkataba wa kipuuzi - Mwakyembe

      Ni mkataba wa kipuuzi ambao haujawahi kutokea. alonga Mwakyembe .. Mpaka sasa hivi serikali inadaiwa 6.9 billion shillings..
      ndege imekodiwa tumeanza kuilipia ikiwa Hungary hata kabla haijatua
      Last edited by Saint Ivuga; 8th June 2012 at 01:45.

    2. Study Abroad

    3. #81
      Kizamani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th September 2011
      Posts : 389
      Rep Power : 465
      Likes Received
      97
      Likes Given
      3

      Default Re: Mwakyembe afunguka

      Quote By Ericus Kimasha
      Kiukweli kwa jinsi Mzee Mwakyembe, Balozi Kagasheki na watendaji wanavyoanza kufunguka CDM waandae agenda nyingine haraka sana. Ama sivyo watajikuta wanaimba zilipendwa wakati wananchi wanageukia Zinapendwa!
      Hatuna haja ya agenda nyingine mkuu, hawa watazimika sasa hivi, kama unabisha kamuulize Mama Tiba. Au umesahau Magufuli na bomoabomaa yake, ilibid andike barua ya kujiuzulu.
      Ericus Kimasha likes this.

    4. #82
      Mpalisya Imbogo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 16th November 2009
      Posts : 51
      Rep Power : 493
      Likes Received
      4
      Likes Given
      356

      Default re: Kukodisha Airbus ni mkataba wa kipuuzi - Mwakyembe

      Quote By Ulukolokwitanga
      Mwakyembe hana proven record ya kutetea maslahi ya watanzania zaidi ya maslahi binafsi. Usiamini maneno ndugu subiri vitendo. Kagasheki ameshugulikia tukio hapo hapo, huyu Mwakyembe yuko busy na viporo vya David Mataka badala ya kutueleza future ya ATC itakuwaje. Katenga fedha ya ndege mpya kwenye bajeti? Ndio vitu vya kumuuliza. Katenga fedha za kupunguza wafanyakazi? Kama vyote hakuna kamwe hataweza kuligeuza hilo shirika. Biashara ya ndege ni tofauti na siasa
      Ulukolokwitanga, inaonyesha una chuki binafsi na mwakyembe wakati ni home boy wako. Adui yako mwombee mema

    5. #83
      kajembe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th November 2010
      Posts : 418
      Rep Power : 515
      Likes Received
      101
      Likes Given
      116

      Default re: Kukodisha Airbus ni mkataba wa kipuuzi - Mwakyembe

      Quote By Precise pangolin
      Huyu mzee wa Ukurutu nimekuwa simwamini tokea aseme kwenye ile ripoti yake ya Richimond kuna mambo ambayo ameficha ili serikali isianguke inamaana alitusaliti sisi wananchi. halafu turudi kwenye mada yeye ni mtaalamu wa mikataba ya kukodisha ndege?
      Hahaha vibaraka wa mafisadi tunawajua kirahisi sana! unatetea tumbo? safi sana Mwakyembe piga mzigo achana na hawa wanaodhani watanzania hatuna akili,wameiba mpaka wamevimbiwa! hawataki kuguswa maslahi ya matumbo yao. Sasa kama siyo mtaalamu wa kukodisha ndege kwahiyo watu wakifanya ujinga awaache halafu baadae uje na utumbo mwingine kwamba ameshindwa kazi ili waje wezi wanaojua sheria za kukodisha ndege unao wajua wewe? kwa hiyo kama kuna mambo hakusema ya richmond kwahiyo anyamaze kimya sasa? au ulitaka nini hasa?

    6. #84
      Advocate Jasha's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 16th January 2007
      Posts : 714
      Rep Power : 1002
      Likes Received
      161
      Likes Given
      325

      Default re: Kukodisha Airbus ni mkataba wa kipuuzi - Mwakyembe

      Quote By ulukolokwitanga
      kitendo cha mwakyembe kwenda redioni kuongelea mkataba wa kukodisha airbus miaka mitano iliyopita ni unafiki uliopitiliza. Mi nilidhani ataongelea mapungufu ya sasa ya shirika na kueleza namna ya utatuzi wake. Nawashauri watanzania mlio wavivu wa kufuatilia mambo muwe makini sana na watu wa aina hii, wanacheza na public opinions kwa maslahi binafsi na cheap popularity. Kwanza akina mataka si wana kesi mahakamani? Jamani shikeni maneno yangu huyu mwakyembe ni msanii, makosa ya miaka mitano iliyopita hayahalalishi kumpa nafasi binamu yake kuongoza shirika
      ukitaka kupambana na chama tawal ccm nenda katika vyombo vya habari na kuweka mambo wazi.ndani ya vikao vyo ni kulindana hakuna mwenyenia nzuri kwa walalaho.wakianza kushina mashati tutajua pumba na mchele.

    7. #85
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14620
      Likes Received
      2841
      Likes Given
      1961

      Default re: Kukodisha Airbus ni mkataba wa kipuuzi - Mwakyembe

      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    8. FemaTV & Radio

    9. #86
      kwamwewe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th July 2010
      Posts : 856
      Rep Power : 5405
      Likes Received
      99
      Likes Given
      125

      Default re: Kukodisha Airbus ni mkataba wa kipuuzi - Mwakyembe

      Quote By saint ivuga
      ni mkataba wa kipuuzi ambao haujawahi kutokea. Alonga mwakyembe .. Mpaka sasa hivi serikali inadaiwa 6.9 billion shillings..
      Ndege imekodiwa tumeanza kuilipia ikiwa angani hata kabla haijatua
      halafu mnataka zanzibar iwemo katika muungano

      mtaibiana na kulana wenyewe hata ngoma haijaanza

    10. #87
      kamau ngilisho's Avatar
      Member Array
      Join Date : 14th April 2012
      Posts : 39
      Rep Power : 365
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Precise pangolin
      Huyu mzee wa Ukurutu nimekuwa simwamini tokea aseme kwenye ile ripoti yake ya Richimond kuna mambo ambayo ameficha ili serikali isianguke inamaana alitusaliti sisi wananchi. halafu turudi kwenye mada yeye ni mtaalamu wa mikataba ya kukodisha ndege?
      mambo aloyaficha mbona EL alishayasema kwa kikao cha chama huko dom! na isitoshe Mwakyembe ni dr. wa sheria kwa iyo mikataba siyo kitu kigeni kwake so jipange na upunguze dharau.

    11. #88
      Prisoner 46664's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th December 2010
      Posts : 1,119
      Rep Power : 650
      Likes Received
      593
      Likes Given
      1562

      Default

      Quote By Precise pangolin
      Huyu mzee wa Ukurutu nimekuwa simwamini tokea aseme kwenye ile ripoti yake ya Richimond kuna mambo ambayo ameficha ili serikali isianguke inamaana alitusaliti sisi wananchi. halafu turudi kwenye mada yeye ni mtaalamu wa mikataba ya kukodisha ndege?
      Unajua naamini watu wangekupiga mawe ufe kama jf ingekuwa a face to face forum..umemwita mzee wa nini vile?sijui ni ulimbukeni tu au unahisi wewe utaishi milele??

      Ha ha..au we ndo chizi mwenyewe..ha ha,either way,its time for you morons to leave the country to its people..the God of Israel shall see to it that you all meet your crucifixion for making people's lives difficult while your stomachs grow bigger and bigger..
      Lokissa likes this.

    12. #89
      timbilimu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd September 2010
      Location : DSM
      Posts : 2,664
      Rep Power : 974
      Likes Received
      579
      Likes Given
      10

      Default

      Mkuu FJM hapa ndipo unatambua mtu mnafiki. Amejenga hoja hiyo kuhalalisha uhuni wake. Na kwasababu Watanzania hatuna kumbukumbu,wengi wetu tukanasa. Wengi wa maofisa waliosimamishwa hawahusiki na mikataba ya nyuma. Moja ya kichekesho niliposoma kwamba ameteuliwa rubani mzoefu kukaimu cheo cha CEO!
      Quote By FJM
      Huyu Chizi aliyewekwa pembeni anahusika vipi na mikataba ya Airbus?

    13. #90
      Lokissa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th November 2010
      Location : Goba
      Posts : 4,091
      Rep Power : 5807
      Likes Received
      1024
      Likes Given
      2876

      Default Re: Kukodisha Airbus ni mkataba wa kipuuzi - Mwakyembe

      he is a lawyer, advocate na lecturer wa sheria UDSM
      mm mwanasheria pia kw ahivo tuna uwezo wa kudraft mikataba yote
      ameongea kama mwanasheria na ana uzoefu pia. kuelewa mikataba ni mibovu ni rahisi sana

      Quote By Precise pangolin
      Huyu mzee wa Ukurutu nimekuwa simwamini tokea aseme kwenye ile ripoti yake ya Richimond kuna mambo ambayo ameficha ili serikali isianguke inamaana alitusaliti sisi wananchi. halafu turudi kwenye mada yeye ni mtaalamu wa mikataba ya kukodisha ndege?
      You may know me but you have no Idea who I am !

    14. #91
      Precise pangolin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 4th January 2012
      Posts : 5,666
      Rep Power : 1908
      Likes Received
      1563
      Likes Given
      676

      Default Re: Mwakyembe afunguka

      Quote By Ericus Kimasha
      Kiukweli kwa jinsi Mzee Mwakyembe, Balozi Kagasheki na watendaji wanavyoanza kufunguka CDM waandae agenda nyingine haraka sana. Ama sivyo watajikuta wanaimba zilipendwa wakati wananchi wanageukia Zinapendwa!
      Nyamaza wewe gamba magufuli amekaa kwenye ujenzi miaka kibao lakini CDM wanalo la kusema kuhusu barabara tatizo ni la mkuu hiyo ni nguvu ya soda unafikiri hiyo mikataba ambayo imeshasainiwa itafutwa thubutu garama yake itaifilisi hii nchi Yule Waziri wa madini mwenyewe kasema mikataba ni mizito mno kwi! Kwi! Kwi! kifo cha ccm kipo pale pale
      Ericus Kimasha likes this.

    15. #92
      Precise pangolin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 4th January 2012
      Posts : 5,666
      Rep Power : 1908
      Likes Received
      1563
      Likes Given
      676

      Default Re: Kukodisha Airbus ni mkataba wa kipuuzi - Mwakyembe

      Huyu Mzee ali sacrifice mwili wake kwa kutokusema matokeo ya vipimo vya ugonjwa wake Kama ilikuwa sumu Kama six alivyokuwa anasema au ni ugonjwa tuu akaona akisema Atagombana na serikali aukose uwaziri lakini alikuwa anataka wananchi wamuonee huruma Pambaf zake acha aendelee kumomonyoka

    16. #93
      sanga malua's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 17th December 2011
      Posts : 226
      Rep Power : 420
      Likes Received
      46
      Likes Given
      54

      Default Re: Kukodisha Airbus ni mkataba wa kipuuzi - Mwakyembe

      Quote By Precise pangolin
      Huyu mzee wa Ukurutu nimekuwa simwamini tokea aseme kwenye ile ripoti yake ya Richimond kuna mambo ambayo ameficha ili serikali isianguke inamaana alitusaliti sisi wananchi. halafu turudi kwenye mada yeye ni mtaalamu wa mikataba ya kukodisha ndege?
      thisis not an argument from a great thinker !kubaini madudu kunahitaji uwe mtaalamu wa kihivyo kweli?KUTUMIKA KWINGINE KUNATUDHALILISHA.

    17. #94
      andishile's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st April 2012
      Posts : 597
      Rep Power : 479
      Likes Received
      144
      Likes Given
      288

      Default Re: Mwakyembe afunguka

      ni kweli kabisaaa!songa mbele mwakyembe
      Quote By sem2708
      Mh.Mwakyembe wewe piga kazi kwa nguvu zote,iga mfano wa mh.magufuli,maadam dhamira yako ni njema hata wapinge namna gani wewe utang'aa tuu! Maombi ya watanzania yanatafuta mtu kama wewe...Mungu anatafuta mtu atakayesimama sehemu iliyobomoka.... hao wanaokupinga ni mafisadi ama wanafaidika na mafisadi.
      endelea mbele mkuu.
      trachomatis likes this.

    18. #95
      andishile's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st April 2012
      Posts : 597
      Rep Power : 479
      Likes Received
      144
      Likes Given
      288

      Default Re: Kukodisha Airbus ni mkataba wa kipuuzi - Mwakyembe

      mwaka huu hakuna rangi watakosa kuiona wezi wa pesa chini ya wizara inayoongozwa na mwakyembe!chezea mwakyembe wewe!

    19. #96
      Kirode's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th March 2011
      Posts : 1,117
      Rep Power : 636
      Likes Received
      64
      Likes Given
      38

      Default

      Hakika we ni chizi kama huyu mwenzako swala la ccm sahau,..yani sahau hata mkimleta balalli na kumfunga, kitu kinachoweza kuwasaidia labda mumfufue. Mwalimu alafu awe mgombea urais kwa ccm.....jaribunu
      Quote By Ericus Kimasha
      Kiukweli kwa jinsi Mzee Mwakyembe, Balozi Kagasheki na watendaji wanavyoanza kufunguka CDM waandae agenda nyingine haraka sana. Ama sivyo watajikuta wanaimba zilipendwa wakati wananchi wanageukia Zinapendwa!

    20. JIS
      #97
      JIS's Avatar
      Member Array
      Join Date : 5th December 2011
      Posts : 37
      Rep Power : 383
      Likes Received
      6
      Likes Given
      1

      Default Re: Kukodisha Airbus ni mkataba wa kipuuzi - Mwakyembe

      Quote By Negembo
      Kuna jamaa mmoja humu alikuwa anasema eti Mh.Mwakyembe ni mkabila, nafikiri majibu yake sasa atayapata....!
      Kwani ukigundua kuna mkataba mbovu ndio warrant ya wewe kuteua mnyakyusa mwenzako, tena ndugu yako? Tuelezwe kwanza huyo Lusajo amepatikanaje na je, utaratibu wa utumishi umezingatiwa kumpata?

    21. #98
      mwakajila's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 135
      Rep Power : 386
      Likes Received
      18
      Likes Given
      4

      Default Re: Kukodisha Airbus ni mkataba wa kipuuzi - Mwakyembe

      Quote By Ulukolokwitanga
      Kitendo cha Mwakyembe kwenda redioni kuongelea mkataba wa kukodisha Airbus miaka mitano iliyopita ni unafiki uliopitiliza. Mi nilidhani ataongelea mapungufu ya sasa ya shirika na kueleza namna ya utatuzi wake. Nawashauri watanzania mlio wavivu wa kufuatilia mambo muwe makini sana na watu wa aina hii, wanacheza na public opinions kwa maslahi binafsi na cheap popularity. Kwanza akina Mataka si wana kesi mahakamani? Jamani shikeni maneno yangu huyu Mwakyembe ni msanii, makosa ya miaka mitano iliyopita hayahalalishi kumpa nafasi binamu yake kuongoza shirika
      ..

      Naomba nikusahihishe kidogo kwanza kabisa mwakyembe hakuenda redioni kama unavyosema pale ni JKIA terminal 2 na alikuwa akiongea na wafanyakazi wa ATCL hapo uwanjani..ulichosikia ni recorded sound ya tukio zima...
      La pili Mwakyembe kamuondoa Chizi si kutokana na kashfa hizo tajwa hapo juu..kashfa hizi ni zile za waliotangulia Chizi kaondolewa kwa sababu uteuzi wake unakinzana na sheria yaani kwa ufupi Uteuzi wako haupo kisheria..
      trachomatis likes this.

    22. #99
      Edson's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2009
      Posts : 7,308
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1799
      Likes Given
      433

      Default Re: Kukodisha Airbus ni mkataba wa kipuuzi - Mwakyembe

      kuondolewa kwa chizi ni kutokana na mikataba mibovu, ajira yake haikufata taratibu au kushindwa kusimamia shirika?

      hivi mnamwamini mwakyembe??
      trachomatis likes this.
      I'm Naturaly Evasive..

    23. #100
      Edson's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2009
      Posts : 7,308
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1799
      Likes Given
      433

      Default Re: Kukodisha Airbus ni mkataba wa kipuuzi - Mwakyembe

      Quote By mwakajila
      ..

      Naomba nikusahihishe kidogo kwanza kabisa mwakyembe hakuenda redioni kama unavyosema pale ni JKIA terminal 2 na alikuwa akiongea na wafanyakazi wa ATCL hapo uwanjani..ulichosikia ni recorded sound ya tukio zima...
      La pili Mwakyembe kamuondoa Chizi si kutokana na kashfa hizo tajwa hapo juu..kashfa hizi ni zile za waliotangulia Chizi kaondolewa kwa sababu uteuzi wake unakinzana na sheria yaani kwa ufupi Uteuzi wako haupo kisheria..
      hivi unajua kwa nini hawa mawaziri wapya wanafumua bodoza wakurugenzi na kusimamisha wa ma CEO kwa kasi namna hii......
      trachomatis likes this.
      I'm Naturaly Evasive..

    24. Miaka 50
    Page 5 of 8 FirstFirst ... 34567 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...