Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mbowe, Lissu na Mnyika ndani ya Mlandizi tarehe 10/06/2012

    Report Post
    Page 3 of 5 FirstFirst 12345 LastLast
    Results 41 to 60 of 90
    1. #1
      Adolph's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 26th September 2010
      Posts : 374
      Rep Power : 699
      Likes Received
      155
      Likes Given
      85

      Default Mbowe, Lissu na Mnyika ndani ya Mlandizi tarehe 10/06/2012

      Hayawi hayawi yamekua...Wananchi wa jimbo la Kibaha vijijini na viunga vyake Jumapili Hii watapata neema ya kutembelewa na viongozi wa kitaifa wakiongozwa na kamanda wa anga Freeman Mbowe, Tundu Lissu na John Mnyika..

      Viongozi hawa wa kitaifa wa chama watafungua matawi ya chama kisha baadae watafanya mkutano mkubwa wa hadhara Mlandizi katika uwanja wa Stand ya Mzenga...

      Hamasa ni kubwa sana hapa Mlandizi ambapo kila sehemu watu wanamsubiri kwa hamu kamanda Mbowe ambaye hajafika toka 2005.. Magamba yatavuliwa. Gwanda zitavaliwa..

      Maandalizi ya mkutano yanaendelea na Mkutano huo unatarajiwa kuweka historia kwa mahudhurio hapa Mlandizi..

      NAWASILISHA

    2. RukaaJuu Final

    3. #41
      Dotworld's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th August 2011
      Posts : 2,611
      Rep Power : 1122
      Likes Received
      1428
      Likes Given
      1847

      Default Re: Mbowe, Lissu na Mnyika ndani ya Mlandizi tarehe 10/06/2012

      Quote By Marire
      Mkuu tume ,hiyo mimba inawasumbua na muda wa kujifungua bado sana ,kila uzi upo nakuonea huruma,cdm ndio chaguo la watanzania kaka,tazama tu hapa jf si umebaki wewe,rejeo,nepi,na robson sasa mnaweza kushindana na hii nguvu ya umma?
      .
      Duh! ... yaani kwa kweli JF! ... yaani hata kama hutaki kucheka - utajikuta unacheka tu!
      Dduhsi itnuhn kose kiri itda ---> 뜻이 있는 곳에 길이 있다

    4. #42
      Mercyless's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 450
      Rep Power : 450
      Likes Received
      90
      Likes Given
      583

      Default Re: Mbowe, Lissu na Mnyika ndani ya Mlandizi tarehe 10/06/2012

      Quote By Tume ya katiba
      We mbona mbaguzi sana wewe?

      Tunatetea maslahi ya watu wote, hali sio nzuri ubungo, jamaa anazunguka tu. Anamsubiri Magufuli afungue stand ndio nae apate nafasi.
      Wewe inawezekana ni vuvuzela tu huna unalofahamu. Kwa taarifa yako hakuna mbunge anayepigia kelele ukosefu wa maji kama mbunge unayesema ni wa jimbo lako. Kama unafuatilia habari ni wiki mbili (2) zilizopita tu ametoka kumtaka Waziri Maghembe na naibu wake waje bungeni na njia za kutatua tatizo la maji. Inavyoonekana wewe kuna kitu unaficha kwani ishu hapo sio Mnyika bali ni CDM ila hula la maana la kusema!!

    5. #43
      DOUGLAS SALLU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th November 2009
      Posts : 3,598
      Rep Power : 1286
      Likes Received
      315
      Likes Given
      907

      Default Re: Mbowe, Lissu na Mnyika ndani ya Mlandizi tarehe 10/06/2012

      Tume ya katiba mumeshamaliza kazi ya kuchoma makanisa huko kwenu Zanzibar mpaka unarukia mambo ya huku kwetu Tanganyika? Au mumeshadhulumiana zile dinar toka arabuni sasa unatafuta mradi mwingine?
      NI UTAAHIRA MKUBWA SANA KUIUNGA MKONO CCM

    6. #44
      Kipimbwe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th July 2011
      Posts : 269
      Rep Power : 449
      Likes Received
      29
      Likes Given
      20

      Default Re: Mbowe, Lissu na Mnyika ndani ya Mlandizi tarehe 10/06/2012

      Mmesahau hii ni product ya propaganda za CCM Arumeru joining date April 2012.Chumbani hatuko hivo kama Tambwe au Nape sawa lakini si Mzenji uyu

    7. #45
      isdorykiwale's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 30th January 2012
      Posts : 4
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      3

      Default Re: Mbowe, Lissu na Mnyika ndani ya Mlandizi tarehe 10/06/2012

      Ushindi ni kujipanga pia. Mwacheni achape kazi. Akimaliza hapo Chama Cha Magamba kina kazi!!!!!

    8. Miaka 50

    9. #46
      Gwalihenzi's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 21st October 2011
      Posts : 2,379
      Rep Power : 0
      Likes Received
      615
      Likes Given
      377

      Default Re: Mbowe, Lissu na Mnyika ndani ya Mlandizi tarehe 10/06/2012

      Quote By Tume ya katiba
      Tuna matatizo makubwa sana ya maji jimbo la ubungo,

      La ajabu mbunge wetu amekuwa mtalii, anakuza chama tutafika jamani?
      Wewe kweli mpumbavu, kwani kazi za mbunge ni kuunganisha mabomba ya maji?

    10. #47
      Gwalihenzi's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 21st October 2011
      Posts : 2,379
      Rep Power : 0
      Likes Received
      615
      Likes Given
      377

      Default Re: Mbowe, Lissu na Mnyika ndani ya Mlandizi tarehe 10/06/2012

      Quote By Tume ya katiba
      We mbona mbaguzi sana wewe?

      Tunatetea maslahi ya watu wote, hali sio nzuri ubungo, jamaa anazunguka tu. Anamsubiri Magufuli afungue stand ndio nae apate nafasi.
      Wacha uongo we mjinga, mbona hujatetea maslahi ya watu wa Bahi ambao mbunge wao alichua rushwa kule Mkuranga?

    11. #48
      Topetope's Avatar
      Member Array
      Join Date : 1st August 2011
      Posts : 95
      Rep Power : 414
      Likes Received
      6
      Likes Given
      3

      Default Taarifa

      Wandugu below mlandizi naelekea kwenda kuvua gamba karibuni muda wa mabadiliko yuko myika,tundu lisu

    12. #49
      asigwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st September 2011
      Location : TANDHANIYA
      Posts : 4,389
      Rep Power : 1265
      Likes Received
      1210
      Likes Given
      1253

      Default Re: Taarifa

      pamoja sana katuwakilishe bwana kuondoa dhana kuwa CDM NI CHAMA CHA KASKAZINI

    13. #50
      dedam's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th January 2011
      Posts : 598
      Rep Power : 604
      Likes Received
      102
      Likes Given
      35

      Default M4C ndani ya Mlandizi leo tarehe 10 Juni 2012

      mkutano unaendelea ndani ya nyumba yupo kamanda lisu sasa jukwaani yupo kamanda nyakarungu .wakazi wa mlandizi wamejitokeza kwa wingi

    14. #51
      dedam's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th January 2011
      Posts : 598
      Rep Power : 604
      Likes Received
      102
      Likes Given
      35

      Default re: M4C ndani ya Mlandizi leo tarehe 10 Juni 2012

      M/kiti wa wazee amepanda jukwaan anasema 2005 unga kilo 200 leo kilo 1000 anamuomba lisu atoe elimu ya uraia watu wanamshangilia kweli kweli

    15. #52
      OKW BOBAN SUNZU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th August 2011
      Posts : 1,494
      Rep Power : 788
      Likes Received
      554
      Likes Given
      616

      Default re: M4C ndani ya Mlandizi leo tarehe 10 Juni 2012

      Inatosha,lete mapicha ya watu waliokuja wenyewe. Ijitofautishe na Chama Cha Malori Nchini,ie Movement for Somba Watu
      Precise pangolin likes this.
      ''Rais usigeuke POPO, daily tunakusikia angani na FastJet

    16. #53
      Dangire's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 5th October 2011
      Location : Dar
      Posts : 179
      Rep Power : 421
      Likes Received
      35
      Likes Given
      3

      Default re: M4C ndani ya Mlandizi leo tarehe 10 Juni 2012

      safi sana....

    17. #54
      dedam's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th January 2011
      Posts : 598
      Rep Power : 604
      Likes Received
      102
      Likes Given
      35

      Default re: M4C ndani ya Mlandizi leo tarehe 10 Juni 2012

      salama mpya imetolewa leo kuwa kuwa magamba wakisema kidumu chama chama pinduzi watu wanaitikia kimetoboka

    18. #55
      rosemarie's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2011
      Posts : 4,732
      Rep Power : 1367
      Likes Received
      280
      Likes Given
      142

      Default re: M4C ndani ya Mlandizi leo tarehe 10 Juni 2012

      mkuu kikwete ana habari???vipi kuhusu mbunge mtarajiwa rizone?

    19. #56
      dedam's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th January 2011
      Posts : 598
      Rep Power : 604
      Likes Received
      102
      Likes Given
      35

      Default

      Kamanda lisu amepanda jukwaani anasema kelele pekee yake hazitaindoa ccm shujaa apige kelele shujaa anachukua hatua
      Sikonge likes this.

    20. #57
      Precise pangolin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 4th January 2012
      Posts : 5,698
      Rep Power : 1915
      Likes Received
      1596
      Likes Given
      677

      Default re: M4C ndani ya Mlandizi leo tarehe 10 Juni 2012

      Huko Lumumba kwa CCM nasikia viongozi wengi wapo busy wanafanya retirement ya Imprest wengi wao wanaristi blank wanawaomba watu wawajazie kujustfy matumizi wa ile operation jaza uwanja

    21. #58
      dedam's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th January 2011
      Posts : 598
      Rep Power : 604
      Likes Received
      102
      Likes Given
      35

      Default re: M4C ndani ya Mlandizi leo tarehe 10 Juni 2012

      Anasema kupiga kelele majukwaani hakutoshi cdm ni chama kichanga hakina chochote kina mawazo ukipiga kura linda kura sio kucheza pool

    22. #59
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,498
      Rep Power : 19788
      Likes Received
      4313
      Likes Given
      1263

      Default re: M4C ndani ya Mlandizi leo tarehe 10 Juni 2012

      Weka picha basi

    23. #60
      dedam's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th January 2011
      Posts : 598
      Rep Power : 604
      Likes Received
      102
      Likes Given
      35

      Default re: M4C ndani ya Mlandizi leo tarehe 10 Juni 2012

      Wananchi wajitokezo kugombea uongozi wa ngazi mbali mbali

    Page 3 of 5 FirstFirst 12345 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...