Mwenyekiti wa CUF kata ya Jamhuri manispaa ya Lindi na kampeni meneja wa mbunge wa lindi mjini na mwenyekiti wa serikali wa kijiji cha mbanje wa CCM na wanachama zaidi ya 890 wamejiunga na chadema leo tarehe 6...
Mwenyekiti wa CUF kata ya Jamhuri manispaa ya Lindi na kampeni meneja wa mbunge wa lindi mjini na mwenyekiti wa serikali wa kijiji cha mbanje wa CCM na wanachama zaidi ya 890 wamejiunga na chadema leo tarehe 6...
Mkubwa!hii taarifa inanifurahisha sana lakn jazia nyama basi habari haijitosherezi,wamejiunga wakiwa kwenye mkutano? au vip na aje?
Chachu ya mabadiliko kusini inapendeza
'
Kumekucha. Ooh,CHADEMA haikubaliki Kusini,mara ooh, CHADEMA cha kidini. CHADEMA nao hawataniwi?!
nadhani kwenye mkutano maana leo M4C imehamia Lindi
Habari hizi zinaleta raha moyoni na afya mifupani. Jinsi siku zinavyosogea ndivyo Tanganyika halisi inavyozidi kujionyesha kwa ukaribu. Aksanteni Lema & Co kwa kazi nzito. Wanaomkebehi Lema wa watafakari upya kama wanatumia KONYAGI au akili kufikiria.
Cdm songa mbele.
CDM mwendo mdundo kweli. Poleni nyinyiem
safii , , ahsantee
Safi sana makamanda
chukua hille ya 50 yrs indp
sema hivi
CDM tumesubutu, tumeweza na tunasonga mbele.
to T2015CDM
nazidi kuchekelea! big up!
Nilidhani prof.Lipumba.....nikasema bwawa limeingiliwa na ruba....kazi nzuri cdm.
Wale wanaosema kuwa CDM ni ya kaskazini tu tunawaomba waje wasome thread hii.
Peoples power.............
Jamani angalizo tujifunze matumizi ya neno na maana ya Breaking News ili neno lisipotezee maana yake halisi...Mods badilisheni hilo neno Breaking News.
Wapi Bro Waberoya,Kimbunga,Ritz,Rejeo,F ree World,NazDaz,Judi wa kishua,Geneus Brain na Nape Nnauye?
Follow Us Here