JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Tanzania Daima, Nipashe kupandishwa kizimbani - Annur

  Report Post
  Page 4 of 5 FirstFirst ... 2345 LastLast
  Results 61 to 80 of 82
  1. Malaria Sugu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th July 2009
   Posts : 2,663
   Rep Power : 0
   Likes Received
   251
   Likes Given
   18

   Default Tanzania Daima, Nipashe kupandishwa kizimbani - Annur

   Kuna habari katika Annur ya jana, inayosema kwamba magazeti ya Tanzania Daima na Nipashe yatapandishwa kizimbani kwa uchochezi
   Hii ni kutokana kutoa picha ya tukio la Morogoro la Ustadh Juma na kudai ni tukio la Zanzibar.

   lakini ustadh huyo alipoomba ufafanuzi kwa Muhariri wa Nipashe anadai alitukanwa matusi ya nguoni na Muhahariri huyo jambo ambalo amedai linaonyesha UDINI WA WAZIWAZI WALIONAO BAADHI YA WAHARIRI WA MAGAZETI NCHINI na amesema anaandaa mashataka dhidi ya magazeti hayo iwe funzo kwa wahahariri wengine wenye kutothamini imani za wengine.
   Last edited by Malaria Sugu; 6th June 2012 at 16:18.

  2. Mzito Kabwela's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 28th November 2009
   Location : MPUMBULI
   Posts : 15,111
   Rep Power : 258292302
   Likes Received
   3521
   Likes Given
   40

   Default

   Quote By mathematics View Post
   GAZETI lenyewe la kuamini ndio hilo AL NNUR...??? Ingekuwa GAZEeI la kuaminika kama MWANANCHI ningetafakari kuamini kweli labda alitukanawa!!
   Annuur kwenye front page ya gazeti lao waliandika KOMPYUTA ZA NECTA ZINAPIGA MUZIKI WA INJILI.......wao ndo waliona hiyo ndo habari ya kuuzia gazeti

  3. Sideeq's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th December 2009
   Posts : 2,428
   Rep Power : 1096
   Likes Received
   424
   Likes Given
   7

   Default Re: Tanzania Daima, Nipashe kupandishwa kizimbani - Annur

   Kesi ya nyani kumpeleka ngedere.......come on!

  4. mathematics's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Location : MY PLACE
   Posts : 3,235
   Rep Power : 1464
   Likes Received
   881
   Likes Given
   1131

   Default Re: Tanzania Daima, Nipashe kupandishwa kizimbani - Annur

   Quote By Mzito K View Post
   Annuur kwenye front page ya gazeti lao waliandika KOMPYUTA ZA NECTA ZINAPIGA MUZIKI WA INJILI.......wao ndo waliona hiyo ndo habari ya kuuzia gazeti
   AL NNUR ni kikundi cha walevi wachache na sidhani kama wanwakilisha maoni ya waislaM woote TZ, na waislam waliokwenda shule wanawakosoa na kuwapinga sana hao AL NNUR, WAPUUZI WALE!!

   na mbona Nina marafiki wengi tu waislam wanazikiliza sana gospel na wanazipenda, na wengine hata kwenye simu zao wameweka ringtones za SHUSHO, FLORA MBASHA, ROSE MUHANDO etc!

  5. nisaha's Avatar
   Member Array
   Join Date : 29th May 2012
   Posts : 30
   Rep Power : 489
   Likes Received
   3
   Likes Given
   0

   Default Re: Tanzania Daima, Nipashe kupandishwa kizimbani - Annur

   Quote By mathematics View Post
   al nnur ni kikundi cha walevi wachache na sidhani kama wanwakilisha maoni ya waislam woote tz, na waislam waliokwenda shule wanawakosoa na kuwapinga sana hao al nnur, wapuuzi wale!!

   Na mbona nina marafiki wengi tu waislam wanazikiliza sana gospel na wanazipenda, na wengine hata kwenye simu zao wameweka ringtones za shusho, flora mbasha, rose muhando etc!
   pole sana ndugu. One day you will know.

  6. nisaha's Avatar
   Member Array
   Join Date : 29th May 2012
   Posts : 30
   Rep Power : 489
   Likes Received
   3
   Likes Given
   0

   Default Re: Tanzania Daima, Nipashe kupandishwa kizimbani - Annur

   Quote By Mzito K View Post
   Annuur kwenye front page ya gazeti lao waliandika KOMPYUTA ZA NECTA ZINAPIGA MUZIKI WA INJILI.......wao ndo waliona hiyo ndo habari ya kuuzia gazeti
   Unajua Annur liko katika rank ya ngapi ya Wasomaji wengi Tanzania?
   linashika Kumi bora ya magazeti yenye wasomaji wengi Tanzania, kwa sababu lina specific Audience na lina touch the opressed class. na lina ongoza miongoni mwa reference Newspapers in Tnzania.

   subiri ijumaa utaona Impact ya Annur.

   ALLAH BLESS ISLAM.

  7. mathematics's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd February 2012
   Location : MY PLACE
   Posts : 3,235
   Rep Power : 1464
   Likes Received
   881
   Likes Given
   1131

   Default Re: Tanzania Daima, Nipashe kupandishwa kizimbani - Annur

   Quote By nisaha View Post
   pole sana ndugu. One day you will know.
   UJINGA wako ndio ULEVI wako, na kwa vile kuwa mjinga ni bure , endelea baki na ZEGE la UJINGA wako...

  8. BADILI TABIA's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th June 2011
   Location : DUNIANI
   Posts : 25,153
   Rep Power : 397048788
   Likes Received
   12730
   Likes Given
   12084

   Default

   Quote By Bujibuji View Post
   Usiangalie nyuma, yai bovu linapita

   hahahahahahaha Bujibuji wewe....

  9. Masanilo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd October 2007
   Location : Swat valley, Keta Keta
   Posts : 22,185
   Rep Power : 85897712
   Likes Received
   4159
   Likes Given
   2484

   Default

   Quote By ritz View Post
   Safi sana haya magazeti ni hatari sana kwa mustakabali wa taifa letu...
   Madrasa al sul

  10. KOMBAJR's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th November 2011
   Location : Ufipa Street
   Posts : 5,843
   Rep Power : 6677
   Likes Received
   1253
   Likes Given
   505

   Default Re: Tanzania Daima, Nipashe kupandishwa kizimbani - Annur

   Quote By ritz View Post
   Safi sana haya magazeti ni hatari sana kwa mustakabali wa taifa letu...
   Kwasababu hayawashobokei?Tuanze na Uhuru kwanza
   Face Reality As it Is, Not As it Was or As You Wish It To Be.

  11. Alwayz on top's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th June 2012
   Posts : 415
   Rep Power : 503
   Likes Received
   67
   Likes Given
   8

   Default

   sawa sawa hao jamaa wametoa picha za uongo! wanafiki wakubwa hlo tanzania daima si unajua la nani? wahariri wa siku hz wahun weng sio wadin coz dini yenyewe ya ukristo hawaijui wababaishaji tu mtu unasoma miez 3 halaf unaajiriwa tanzania daima kuna maajabu hapo si umewaeka watu wakijiwen..

  12. kwamwewe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th July 2010
   Posts : 1,116
   Rep Power : 5588
   Likes Received
   138
   Likes Given
   162

   Default Re: Tanzania Daima, Nipashe kupandishwa kizimbani - Annur

   Quote By mathematics View Post
   al nnur wanaandika habari nyingi sana za uchochezi, je wao hakuna wa kuwapeleka mahakamani..??!!
   anza wewe kuwapeleka

  13. timbilimu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd September 2010
   Location : DSM
   Posts : 4,532
   Rep Power : 1479
   Likes Received
   1279
   Likes Given
   426

   Default Re: Tanzania Daima, Nipashe kupandishwa kizimbani - Annur

   Jambo moja nimegundua sisi kama nchi tunatakiwa kuangalia upya sera yetu ya ushirikiano na baadhi ya nchi za Kiarabu! Vurugu hizi zote mpaka huko Zanzibar ni kwasababu ya hawa jamaa! Tumwombe Mungu tufike salama 2015.

  14. sweke34's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th September 2010
   Posts : 2,521
   Rep Power : 1392
   Likes Received
   746
   Likes Given
   1275

   Default Re: Tanzania Daima, Nipashe kupandishwa kizimbani - Annur

   Quote By nisaha View Post
   Unajua Annur liko katika rank ya ngapi ya Wasomaji wengi Tanzania?
   linashika Kumi bora ya magazeti yenye wasomaji wengi Tanzania, kwa sababu lina specific Audience na lina touch the opressed class. na lina ongoza miongoni mwa reference Newspapers in Tnzania.

   subiri ijumaa utaona Impact ya Annur.

   ALLAH BLESS ISLAM.
   Mambo mengine ni ya kujitakia tu.

  15. Vunjavunja's Avatar
   Member Array
   Join Date : 18th May 2012
   Posts : 92
   Rep Power : 502
   Likes Received
   11
   Likes Given
   0

   Default Re: Tanzania Daima, Nipashe kupandishwa kizimbani - Annur

   Mbona wao wameunguza makanisa zanzibar hatukuja juu kama wao, wakifanyiwa wao ndo wanaona kuwepo kwa udini?

  16. lukenza's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 11th April 2010
   Posts : 120
   Rep Power : 618
   Likes Received
   7
   Likes Given
   5

   Default Re: Tanzania Daima, Nipashe kupandishwa kizimbani - Annur

   NINAKERWA SANA NINAPOSIKIA WATU WANABISHANA AGENDA IKIWA UDINI CHRISTIAN VS MUSLIM Ndugu zangu mazungumuzo ya namuna hii siyo mazuri kwa mstakabali wa Taifa letu. Ubishii wa Udini unakuja vipi jamani sisi ni Watanzania

  17. Tume ya Katiba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th April 2012
   Location : Anonymous
   Posts : 4,317
   Rep Power : 0
   Likes Received
   1093
   Likes Given
   472

   Default Re: Tanzania Daima, Nipashe kupandishwa kizimbani - Annur

   Quote By timbilimu View Post
   Jambo moja nimegundua sisi kama nchi tunatakiwa kuangalia upya sera yetu ya ushirikiano na baadhi ya nchi za Kiarabu! Vurugu hizi zote mpaka huko Zanzibar ni kwasababu ya hawa jamaa! Tumwombe Mungu tufike salama 2015.
   Ndio mwisho wako wa kufikili hapo? kweli vyuo vikuu vya mou ni janga la kitaifa!

  18. Thanda's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th April 2012
   Location : Multiple Destination
   Posts : 1,917
   Rep Power : 1743
   Likes Received
   586
   Likes Given
   1552

   Default Re: Tanzania Daima, Nipashe kupandishwa kizimbani - Annur

   Hapa Entities ni gazet la Annur vs Nipashe na Tanzania Daima au ni Tanzania Daima na Nipashe vs Ustadh aliyetukanwa?
   Anyway si vizuri kwa magazeti ambayo ndio entities kutukana wadau ambao ndio wasomaji.

  19. Bornvilla's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th February 2011
   Posts : 897
   Rep Power : 728
   Likes Received
   240
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By timbilimu View Post
   Jambo moja nimegundua sisi kama nchi tunatakiwa kuangalia upya sera yetu ya ushirikiano na baadhi ya nchi za Kiarabu! Vurugu hizi zote mpaka huko Zanzibar ni kwasababu ya hawa jamaa! Tumwombe Mungu tufike salama 2015.
   Ok! Tuangalie uhusiano kati yetu na wanaukumbi wa disco maana wanaka kuitumbukiza nchi kwenye dimbwi la damu. Disco linachezwa hadi ofisini! Hii nchi sio ya wacheza disco! Siunakumbuka staji shoo mmoja alisema nchi ikijiunga na OIC damu itamwagika.Wacheza disco bwana! Kuhusu An-nuur hilo ni gazeti la fact na sio vile vigazeti vyenu vya wacheza show vinavyoandika propaganda na uongo mtupu!Waislam huwa tunasimama kwenye ukweli tu na uongo ni dhambi! Ninyi si kuongopa ni sawa?

  20. Malaria Sugu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th July 2009
   Posts : 2,663
   Rep Power : 0
   Likes Received
   251
   Likes Given
   18

   Default Re: Tanzania Daima, Nipashe kupandishwa kizimbani - Annur

   Quote By mzito k View Post
   annuur kwenye front page ya gazeti lao waliandika kompyuta za necta zinapiga muziki wa injili.......wao ndo waliona hiyo ndo habari ya kuuzia gazeti
   hahaaa. Kumbe?

  21. Mercyless's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd April 2012
   Posts : 633
   Rep Power : 617
   Likes Received
   119
   Likes Given
   1427

   Default Re: Tanzania Daima, Nipashe kupandishwa kizimbani - Annur

   Quote By Malumbano View Post
   Kuna habari katika Annur ya jana, inayosema kwamba magazeti ya Tanzania Daima na Nipashe yatapandishwa kizimbani kwa uchochezi
   Hii ni kutokana kutoa picha ya tukio la Morogoro la Ustadh Juma na kudai ni tukio la Zanzibar.

   lakini ustadh huyo alipoomba ufafanuzi kwa Muhariri wa Nipashe anadai alitukanwa matusi ya nguoni na Muhahariri huyo jambo ambalo amedai linaonyesha UDINI WA WAZIWAZI WALIONAO BAADHI YA WAHARIRI WA MAGAZETI NCHINI na amesema anaandaa mashataka dhidi ya magazeti hayo iwe funzo kwa wahahariri wengine wenye kutothamini imani za wengine.
   Matusi ya nguoni yana uhusiano gani na udini? Acha propaganda uchwara wewe!

  Page 4 of 5 FirstFirst ... 2345 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...