Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mwakyembe katibu mkuu wa wizara yako ndio atakuharibia kazi.

    Report Post
    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
    Results 21 to 40 of 54
    1. #1
      mwigo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 8th May 2012
      Posts : 45
      Rep Power : 364
      Likes Received
      15
      Likes Given
      14

      Default Mwakyembe katibu mkuu wa wizara yako ndio atakuharibia kazi.

      Mh wewe ni waziri ambaye umeteuliwa juzi tu, inawezekana haujui nini kinaendelea ndani ya wizara yako. Sisi kama watanzania ni muda mrefu sana tumeilalamikia serikali yetu kuwa tunahitaji ndege kwa ajili ya safari za anga.

      Ni juzi tu Katibu mkuu wako alitamka maneno kuwa ndege hiyo isiruke mpaka itemize mashart yote.hali ya kuwa ndege imetimiza masharti yanayotakiwa kuruka. Je katibu mkuu alikuwa na dhamira gani kuizuia ndege isiruke? Kama mdau wa usafiri wa anga ilitustua sana kuona katibu mkuu ambaye ndie mtendaji wizarani na mtegemewa na wananchi ndio anakuwa mtu wa kwanza kuikwamisha ndege ya watanzania isifanye kazi.

      Wiki mbili baadae baada ya ndege ile aina ya B 737 – 500 kuanza safari zake DAR- JRO- MWZ-DAR tukasikia ndege ile imepokea vitisho kuwa itafanyiwa hujuma. Ni wiki moja sasa tangu vitisho hivo vitolewe, na leo tunaona DIRECT MR. CHIZI ambaye ndio ameisimamia ndege ile mpaka kuileta hapa nchini amesimamishwa kazi.

      Kuna haja gani ya kumuondoa MR CHIZI katika nafasi ambaye tumeona matunda yake? Au ni kwa vile alikaidi amri ya katibu mkuu wake ya kutoiondoa ndege kwa visingizio kuwa haijatimiza mashart? Hali ya kuwa imetimiza? Au kosa lake ni kuisimamia hii ndege mpaka ikapatikana? Au ni kwa vile yeye katibu mkuu hakushirikishwa ipasavyo katika kuileta ndege hii?? Nina maswali mengi ya kujiuliza kuhusu huyu katibu mkuu na namna alivyo mfukuzisha kazi mr chizi.Kiukweli katibu mkuu anakitu kimejificha nyuma yake kuhusu hii ndege na ATCL kwa ujumla.

      Mh Mwakyembe hujuma kwa ndege zina fanyika katika mazingira tofauti, katika kile katibu mkuu alidai kuwa “tutaona itafika wapi” sasa ndio ameanza kwa kukushawisi wewe ili kumsafisha DIRECTOR CHIZI ambaye ameileta kisha na ndege hiyo kurudi kwao ili yeye KATIBU MKUU anufaike anavyonufaika katika makampuni mengine ya NDEGE ambayo yanamtumia kuisambaratisha ndege hii.

      Tuna wasi wasi na katibu mkuu huyu ambaye inaonekakana yupo nyuma ya kikundi Fulani ambacho kina mtumia ili kuiua ndege hii ambayo inatumika kufanya safari za ndani ya nchi.

      Sisi kwetu hii ni hujuma kubwa ambayo imefanywa na kiongozi wetu wa serikalini bila kuangalia maslahi ya taifa na badala yake anaangalia maslahi yake binafsi.

      Kama waziri wa wizara husika tunaomba ukae na wadau mbali mbali wa secta ya anga ikiwemo AIR TANZANIA ili upate maoni yao.Hatuja pendezwa na hatujafurahia maamuzi ya katibu mkuu huyo kukushawishi kumsimamisha kazi DIRECTOR CHIZI.

      Ahsaante sana
      Madau.

    2. RukaaJuu Final

    3. #21
      peter tumaini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2012
      Location : DSM
      Posts : 575
      Rep Power : 483
      Likes Received
      86
      Likes Given
      54

      Default Re: Mwakyembe katibu mkuu wa wizara yako ndio atakuharibia kazi.

      Quote By mwigo

      Unaweza ukawa na hoja lakini jinsi ulivyoiwasilisha inatoa taswira hujapenda mabadiliko yaliyofanyika.

      Ulitaka iweje?

    4. #22
      kaka dj's Avatar
      Member Array
      Join Date : 21st December 2011
      Posts : 22
      Rep Power : 379
      Likes Received
      3
      Likes Given
      2

      Default Re: Mwakyembe katibu mkuu wa wizara yako ndio atakuharibia kazi.

      Jamani eeeh! niwambieni kitu, huo ni upepo tuuuuuuuuuuuuuu utapita, kama hisa, hisa wengi wanazo uko kwenye makampuni yetu ila wamezidiana kidoooooogoo tu, tuache wivu wa kike. yetu macho, Mwakyembe kazi unayo baba pagumu hapo.

    5. #23
      mwigo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 8th May 2012
      Posts : 45
      Rep Power : 364
      Likes Received
      15
      Likes Given
      14

      Default Re: Mwakyembe katibu mkuu wa wizara yako ndio atakuharibia kazi.

      Quote By peter tumaini
      Unaweza ukawa na hoja lakini jinsi ulivyoiwasilisha inatoa taswira hujapenda mabadiliko yaliyofanyika.

      Ulitaka iweje?
      imenikwaza sababu siku ile ya uzinduzi hadi tulichelewa safari ikidaiwa kuwa katibu mkuu ameizuia, hatukatai mabadiliko kabisa ila atcl ndio kwanza ina mwezi na ndio imeanza safari zake kisha mizengwe kama hiyo.pia kauli zake ni za kuikomoa atcl tu na si vinginevyo. kaka angu wengi hawaitakii mema ndege yetu.

    6. #24
      Lambardi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th February 2008
      Location : KITAANI ZAIDI
      Posts : 4,523
      Rep Power : 1797
      Likes Received
      654
      Likes Given
      0

      Default Re: Mwakyembe katibu mkuu wa wizara yako ndio atakuharibia kazi.

      Huyu Katibu mkuu wa wizara hii Chambo sijui analindwa na nani maana kila aendapo anaharibu tu na kugombana na wenzake na haguswi .....walimuonya Nundu kuwa pale kwa Chambo umefika utatoka wewe yeye utamuiacha tangu EPA Chambo anapeta hadi sasa....nadhani ana ma God Father wakali sana wanamlinda kwa nguvu zote!!!chezea mtandao fisadi wewe??Mwakyembe umeuvaaagaa

    7. #25
      Turbulence's Avatar
      Member Array
      Join Date : 24th April 2012
      Posts : 81
      Rep Power : 373
      Likes Received
      10
      Likes Given
      12

      Default Re: Mwakyembe katibu mkuu wa wizara yako ndio atakuharibia kazi.

      Hili la ATCL linaendana na shirika la reli. Kuna watu wanalihujumu shirika la reli ili waendelee kufanya biashara ya transportation. Huo ni ukweli ambao viongozi wetu wanaufahamu vema. Ndo maana shirika la reli halitafufuka kamwe, hadi hao wahalifu waondoke. Wanajiuliza swali: ivi reli ikianza ku-operate, malori yetu yataenda wapi? Vivo hivyo private airlines (ambazo kuna big shots behind) wanajiuliza "hivi ATCL ikiamka, hizi "premium prices" si zitapotea?"? Safari ya one hour nauli karibu nusu milioni. So for abiria 60 wanapata a minimum of shilingi 20 million per trip! Ndege moja inapiga round ngapiATCL wakirudi, hiyo income ita-drop dramatically. Kwa nini wasihujumu ilhali wana mioyo iliyojaa ubinafsi??? Ukifikiria sana haya mambo...!!
      Chumbageni likes this.

    8. Miaka 50

    9. #26
      Mpalisya Imbogo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 16th November 2009
      Posts : 51
      Rep Power : 494
      Likes Received
      4
      Likes Given
      356

      Default Re: Mwakyembe katibu mkuu wa wizara yako ndio atakuharibia kazi.

      Safari hii Chambo haponi. Wanaombeba mbeleko imekatika. Ajiandae kuhama au kustaafu

    10. #27
      Mpitagwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th February 2012
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 927
      Rep Power : 552
      Likes Received
      321
      Likes Given
      204

      Default Re: Mwakyembe katibu mkuu wa wizara yako ndio atakuharibia kazi.

      Mwanzisha mada toa data zote usifichefiche. Sema madudu ya Chambo na hiyo kampuni ya ndege itaje bila kuficha. JF a place for facts

    11. #28
      Mlingwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th March 2011
      Posts : 265
      Rep Power : 467
      Likes Received
      20
      Likes Given
      173

      Default Re: Mwakyembe katibu mkuu wa wizara yako ndio atakuharibia kazi.

      Mhe. Mwakyembe unahitaji kujiuliza mara mbili katika hili; Kumbuka kulikuwa na mpango wa kuleta ndege ya pili ifikapo July 15 kama sikosei; sasa mkiturudisha nyuma ndo mwisho wako. Angalia nawe usiwe umepelekwa hapo kunyongwa kisiasa.
      My take: Be careful and strategic in your actions, you might be a victim of.......
      ''The difference between people is not that one has more time than the other. The difference is whether they use their time wisely".

    12. #29
      Alwayz on top's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 5th June 2012
      Posts : 140
      Rep Power : 317
      Likes Received
      16
      Likes Given
      0

      Default

      ni kwel huyo katibu mkuu omar chambo hakuna kitu kabisa...ufisad wote unaofanyka ktk mashirika ya umma yaliyokua chin ya wizara chambo ndo chanzo mf-tazara dili zote anazjua na yeye ndo kiin ktk all matatzo.

    13. #30
      Lokissa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th November 2010
      Location : Goba
      Posts : 4,092
      Rep Power : 5807
      Likes Received
      1025
      Likes Given
      2876

      Default Re: Mwakyembe katibu mkuu wa wizara yako ndio atakuharibia kazi.

      tusubiri tuone mwishoni tutajua ukweli
      kama ATC wakisitisha tena safari tutajua kuna mkono wa precision
      lisemwalo lipo nani asiejua waliuwa ATC ili wafaidike na mgao wa precision?
      hili liko wazi
      Mwakyembe kama akileta za kuleta ajue 2015 jimbo na uwaziri kwaheri
      tunaipenda Tanzania tunataka viongozi wazalendo
      hadi sasa sijaona mantiki ya kumtoa Chizi na kumweka kapteni
      kuna kitu kimejificha.
      You may know me but you have no Idea who I am !

    14. #31
      timbilimu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd September 2010
      Location : DSM
      Posts : 2,672
      Rep Power : 976
      Likes Received
      581
      Likes Given
      10

      Default Re: Mwakyembe katibu mkuu wa wizara yako ndio atakuharibia kazi.

      Naona wengi wa wachangiaji wa hoja hii mnamshutumu Chambo,mmesahau Mwakyembe naye ni fisadi kama walivyo wenzake ktk chama chao!

    15. #32
      Janjaweed's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th January 2010
      Posts : 3,617
      Rep Power : 1128
      Likes Received
      1390
      Likes Given
      1538

      Default Re: Mwakyembe katibu mkuu wa wizara yako ndio atakuharibia kazi.

      Quote By Bosili
      Hongera juhudi za mwakyembe tumeziona bado DK Mwinyi na wizara yako ya Afya MSD wanangoja nini ofisini na sasa kila mtu kaamua kuchukua chake mapema DODOMA vifaa vya mamilioni vimechomolewa toka bohari na jamaa kwa kulindana utasikia wahusika wamehamishiwa mkoa mwingine angalia Mwinyi kaa na mwakyembe waulize wenzio ujasiri wameupata hadi wakachukua hatua Big Up Kyusa wembe ule ule hadi kieleweke
      wataje mkuu.............. hii inatisha
      trachomatis likes this.
      Kama Vipi nipotezee tu; ntakuboa....

    16. #33
      Mtelekezwa's Avatar
      Member Array
      Join Date : 6th February 2012
      Posts : 15
      Rep Power : 371
      Likes Received
      5
      Likes Given
      1

      Default Re: Mwakyembe katibu mkuu wa wizara yako ndio atakuharibia kazi.

      Nikiwa kama mdau wa usafiri wa anga nimesikitishwa sana na hili.Mh Mwakyembe asipokuwa makini atajutia au nae kuundiwa tume teule,Mana anacheza ngoma asiyojua.Ukweli ni kwamba katibu Mkuu wa wizara ndie kikwazo katika Shirika na si MR CHIZI,Kwanza ni mtu anaetumiwa na watu fulani wenye kampuni ya usafirishaji wa Anga,ili kuhakikisha kuwa shirika hili linakufa.Wanampa pesa na kuhakikisha kuwa shirika linakufa,Kwa mtu asie amini aende pale Air port utaambiwa haya na si majungu uyu Katibu mkuu anatumiwa na makampuni ili adhoofishe utendaji wa Shirika hili tena Wanamuonga pesa

    17. #34
      Kolero's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2010
      Location : Magubike
      Posts : 420
      Rep Power : 1157
      Likes Received
      84
      Likes Given
      292

      Default Re: Mwakyembe katibu mkuu wa wizara yako ndio atakuharibia kazi.

      Aisee, kama mambo yako hivi,basi kazi ipo kwa rais, maana atapangua mara ngapi maskini!
      trachomatis likes this.
      "Religion ... is the opium of the people"-Karl Marx.

    18. #35
      Jasusi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th May 2006
      Posts : 10,623
      Rep Power : 2892
      Likes Received
      3841
      Likes Given
      12234

      Default Re: Mwakyembe katibu mkuu wa wizara yako ndio atakuharibia kazi.

      In the final analysis kazi ya Mwakyembe itakuwa ni kufanikisha kurudishwa kwa ATCL hewani. Short of that itakuwa ni mzunguko tu usio na mwisho wake.

    19. #36
      Nyalotsi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th July 2011
      Posts : 2,653
      Rep Power : 927
      Likes Received
      587
      Likes Given
      83

      Default

      Quote By idawa
      Mwakyembe hiyo wizara wamekupakazia.!
      soon tutaanza kumtukana humu mwakyembe tofauti na mlivyomsifia. Watu wanaofanya kazi kupitia vyombo vya habari nawaogopa sana. Huwezi nishawishi km alikuwepo shirika linapokufa kaja kaimu kainua aafu mniambia kaimu ana makosa!! Most of tanzanians are low scores!
      mwigo likes this.

    20. #37
      ZIGZAG's Avatar
      Member Array
      Join Date : 31st May 2012
      Posts : 55
      Rep Power : 362
      Likes Received
      5
      Likes Given
      0

      Default Re: Mwakyembe katibu mkuu wa wizara yako ndio atakuharibia kazi.

      shirika la ndege kabla lilikua halina hata ndege moja cha ajabu lina wafanyakazi 270. tutafika wapi.

    21. #38
      lutamyo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th April 2011
      Posts : 347
      Rep Power : 540
      Likes Received
      66
      Likes Given
      202

      Default Re: Mwakyembe katibu mkuu wa wizara yako ndio atakuharibia kazi.

      Quote By Bosili
      Hongera juhudi za mwakyembe tumeziona bado DK Mwinyi na wizara yako ya Afya MSD wanangoja nini ofisini na sasa kila mtu kaamua kuchukua chake mapema DODOMA vifaa vya mamilioni vimechomolewa toka bohari na jamaa kwa kulindana utasikia wahusika wamehamishiwa mkoa mwingine angalia Mwinyi kaa na mwakyembe waulize wenzio ujasiri wameupata hadi wakachukua hatua Big Up Kyusa wembe ule ule hadi kieleweke
      Kaka unajua katika nchi hii ya Wadanganyika mambo yanaenda kwa kukurupuka tu, kila waziri anataka kusikika tu bila kufuatilia kwa umakini. Aidha madudu mengi yanayotokea katika taasisi nyngi za umma ni uwajibikaji mbovu wa Makatibu wakuu wa wizara zetu. Mathalani kuna katibu mkuu wa wizara ya Kilimo na Ushirika ndugu Muya huyu ni bomu hasa amekuwa akiwalinda sana wakurugenzi mbalimbali wa mashirika yaliyo chini yake Mfano mzuri ni Shirika la ukaguzi COASCO amekalia tuhuma lukuki zinazomhusu mkurugenzi mkuu ndugu Mosha na mkurugenzi wa fedha ambaye amefanya shirika hioli ni shamba lake. Pia alimlinda vilivyo Meneja wa Board ya Pamba mpaka waziri mpya alipofanya maamuzi mengine. Ndugu Muya ni bomu hasa anakalia ripoti mbali mbali.
      trachomatis and UKWELI UNAUMA like this.

    22. #39
      Hume's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th September 2007
      Posts : 315
      Rep Power : 659
      Likes Received
      33
      Likes Given
      14

      Default Re: Mwakyembe katibu mkuu wa wizara yako ndio atakuharibia kazi.

      Lile tangazo lake la kumtoa Chizi alisema kuwa ameteuliwa kinyume na kanuni zinavyotaka, na bahati mbaya sana hakusema hizo kanuni zilizokiukwa ni zipi. Mbaya zaidi kwenye uteuzi wake pia hakusema ametumia kanuni gani ili tulinganishe na kanuni zilizotumika kumteua Chizi.

      Kwenye tangazo lake pia alipaswa kutueleza mapungufu ya Chizi kiutendaji ili ihalalishe kumteua mwingine, vinginevyo kama hakuwa na tatizo la kiutendaji angemteua huyo huyo Chizi ila sasa akitumia kanuni zilizo sahihi ili akalie kiti hicho kihalali na si vinginevyo.

      Kinyume na hapo ndo sababu ya maneno maneno kuibuka mengi kwani Mwakyembe hakuwa muwazi kwenye suala hili.
      trachomatis likes this.

    23. #40
      Saint Ivuga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2008
      Posts : 20,725
      Rep Power : 10177
      Likes Received
      5673
      Likes Given
      12666

      Default

      Quote By Hume
      Lile tangazo lake la kumtoa Chizi alisema kuwa ameteuliwa kinyume na kanuni zinavyotaka, na bahati mbaya sana hakusema hizo kanuni zilizokiukwa ni zipi. Mbaya zaidi kwenye uteuzi wake pia hakusema ametumia kanuni gani ili tulinganishe na kanuni zilizotumika kumteua Chizi.

      Kwenye tangazo lake pia alipaswa kutueleza mapungufu ya Chizi kiutendaji ili ihalalishe kumteua mwingine, vinginevyo kama hakuwa na tatizo la kiutendaji angemteua huyo huyo Chizi ila sasa akitumia kanuni zilizo sahihi ili akalie kiti hicho kihalali na si vinginevyo.

      Kinyume na hapo ndo sababu ya maneno maneno kuibuka mengi kwani Mwakyembe hakuwa muwazi kwenye suala hili.
      Visasiii

    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...