Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

    Report Post
    Page 17 of 27 FirstFirst ... 71516171819 ... LastLast
    Results 321 to 340 of 531
    1. #1
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Nimevipima vyama vya upinzani kwenye mizania yangu ya upembuzi yakinifu na kubaini bila ya mashaka yoyote yale bado havipo tayari kimfumo kutupatia Raisi bora na hizi ndizo nondo zangu zilizonifikisha hapo..:-

      a) Vyama vyote vya upinzani vimeiga mfumo mbovu wa kidemokrasia wa ccm na vinaendeshwa kibabe-kibabe mno na huku wenzao wa ccm kuanzia 2010 walianza kujivua gamba la udikteta pale waliporuhusu wabunge wake wachaguliwe na wananchi moja kwa moja...ingawaje bado wana safari ndefu kwenye hili lakini lazima niwapongeze ccm kwa angalau kujaribu....rushwa na kuingiliwa na ngazi za juu katika maoni ya wananchi ni changamoto ambazo ccm itabidi waendelee kuzitafutia muarobaini wake.

      Kwenye hili vyama vya upinzani wapo nyuma na tumeona hata chadema bila ya kupitisha kura ya maoni kwa wapigakura wa Arusha wakitumia kauli za kidikteta kukejeli kura za wanachama wao Arusha pale kamati kuu yao ilipotengua madiwani wakaidi wa Arusha...well, chadema worshippers...that was not democracy at all...it was dictatorship.........face it now before it is too late.....Only the truth will set you free

      b) Vyama vyote vya siasa vyenye wabunge Bungeni vimekumbwa na dhoruba kali la wizi na ubadhirifu wa ruzuku ya hazina na hakuna uthibiti wa aina yoyote ile!!!!!

      Kwa mtazamo wangu kama wapinzani wameshindwa hata kusimamia kidogo ambacho tumewapa ni kwa upuuzi upi utushawishi kuwakabidhi nchi yote?

      Njaa ya viongozi wa upinzani ni kali kulikoni ya viongozi wa ccm ambao pamoja na bandubandu kweli humaliza gogo lakini ccm hawana uchu wa kututafuna kama upinzani walionao.....ccm vibosile wake wamekwisha shiba njaa siyo kali sana kwa kipimo cha malinganisho.................l ol

      c) Mchakato wa katiba mpya umenifungua macho hila na upofu wa wapinzani ambao waliipinga tume kwa vile wao hawajaweka mrija wao ndani yake na kunyonya Hazina baada ya CCM kuwaingiza kingi - au niseme mkenge? - hakuna anayehoji uhalali wa Tume ya kukusanya maoni.

      Wote wanaimba wimbo wa CCM wa ya kuwa tume tajwa haina uwalakini na sasa wamehamia kwenye mabunge mawili ambako wanaona mirija yao ni michache na kwa hiyo wanatafuta namna ya kuiongeza.

      Hii siyo demokrasia hata chembe bali ni ubinafsi tu...period. Mwanamageuzi wa kweli atadai haki hata kama yeye ni mwathirika wa hayo mageuzi siyo yule ambaye hujigeuza mpiga filimbi ya Hamelini pale anapoona masilahi yake yamepigwa na tufani kali sana...anachofanya ni kulinda tonge lake la ugali lisidondokee pabaya tu....lol hao kweli ni wababaishaji tu hawatufai kabisa.........

      USHAURI:

      Hivyo chama chochote kile cha siasa ambacho kitashirikisha wanachama wake katika kuteua viongozi watakaopeperusha bendera za vyama vyao katika ngazi zote ikiwemo ya URAISI, UBUNGE, UDIWANI hadi UENYEKITI WA KITONGOJI kina nafasi njema ya kutupatia viongozi bora...na kutumia utaratibu huohuo katika kuwavua madaraka itakuwa imepiga hatua katika demokrasia shirikishi.

      Have your say too...unaridhika na demokrasia ndani ya vyama vya siasa hasa hivi vya upinzani hata sasa kuviamini kutupatia Raisi na viongozi wengineo bora bila ya kutushirikisha grassroots?
      Last edited by Rutashubanyuma; 6th June 2012 at 12:01. Reason: spelling..................duh
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    2. Miaka 50

    3. #321
      Edson's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2009
      Posts : 7,308
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1799
      Likes Given
      433

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      dah!!! bado mpo mnajadili hoja ya huyu ........
      I'm Naturaly Evasive..

    4. #322
      Edson's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2009
      Posts : 7,308
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1799
      Likes Given
      433

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Quote By Mwita Maranya
      Huwezi kulinganisha hoja zinazotolewa na wabunge wa chadema na wale wa ccm. Unatambua kwamba ccm wanatumia wingi wao bungeni kupitisha maamuzi lakini kwa hoja chadema inawagaragaza. Mfano wa hivi karibuni ni sheria ya mchakato wa katiba mpya, uliona shughuli ya chadema!
      si kwamba hakui hili anajua kabisa isipokuwa anajiazimsha kubishi....kila kitu anakiona na anakijua...kuna mahali nimemwambia aina hii ya ubishi na ujinga unaitwa invincible ignorance akasema namtukana matusi ya nguini.....
      thead yake imejaa kufikirika na anachanganya mambo sana..kwa kifupi huyu jama haijui siasa
      I'm Naturaly Evasive..

    5. #323
      Edson's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2009
      Posts : 7,308
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1799
      Likes Given
      433

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Quote By BashaDido
      Wewe huna kitu! pumba tu kichwani....Eti mie ni mwanasheria' mwanasheria utakuwa wewe? my foot!
      huyu atakuwa bush lawyer!!....
      I'm Naturaly Evasive..

    6. #324
      Mwita Maranya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2008
      Location : Ikorongo Game Reserve
      Posts : 7,989
      Rep Power : 12010
      Likes Received
      5314
      Likes Given
      5144

      Default

      Quote By Rutashubanyuma
      Edson kama uwezo hawana nifanyaje? Mbeleko za kuwabeba cdm zimenikatia............lol
      Rutashubanyuma Chuki yako kwa Chadema imekupofusha wala huoni kabisa.
      Kuna chama kinachopenda mbereko zaidi ya ccm? Polisi, usalama wa ccm na kubwa lao tume ya uchaguzi.
      Chadema imekuwa ikijitegemea kwa kusimama yenyewe bila msaada wa yeyote. Sasa wachambuzi uchwara mnajaribu kujenga hoja legelege dhidi yake.

    7. #325
      Benaire's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th December 2011
      Posts : 1,296
      Rep Power : 635
      Likes Received
      188
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Rutashubanyuma
      jibu swali acha kukimbia...........lol lemonade kwani ni uongo.......ni nani aliyeko cdm hakutokea magamba?
      Tundu Lissu,H.Mdee,Z.Kabwe,J.Nassari ,JJ Mnyika,Mch Msigwa,E.Wenje,Sugu n.k......

    8. RukaaJuu Final

    9. #326
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,299
      Rep Power : 12584
      Likes Received
      5843
      Likes Given
      771

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Mkuu wangu Rutashubanyuma naona bado unaendelea kutoa elimu ya uraia kwa Pro-Chadema JF.

    10. #327

    11. #328

    12. #329
      Capt Tamar's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th December 2011
      Posts : 1,707
      Rep Power : 1036
      Likes Received
      414
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By Rutashubanyuma
      Filipo,

      Viongozi hawapaswi kutenguliwa na vikao ambavyo havikuwachagua.........kama viongozi wa matatazo basi tuulizwe siye na wala siyo kamati Kuu ya Chadema ambayo hakuna hata mpigakura wetu kule........wa jiji la Arusha..........hiyo ndiyo misingi ya demokrasia.... haiwezekani wakaazi wa nje ya jiji la Arusha watuchagulie nani anafaa kutuongoza huo ni uwakilisha haramu tu...... usiutetee...
      Ok! Hapo nimekupata sawasawa!kumbe una maana kuwa kuwe na election mara mbili?ya kumweka mtu madarakani,na kumtoa mtu madarakani!!!!hiyo ndiyo demokrasia unayoona sahihi?Tanzania itakuwa nchi ya kwanza duniani kuwa na demokrasia ya ki hivyo! Je na hao tuliowachagua kutuwakilisha watafanya kazi gani? Ptuuuu

    13. #330
      Mwita Maranya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2008
      Location : Ikorongo Game Reserve
      Posts : 7,989
      Rep Power : 12010
      Likes Received
      5314
      Likes Given
      5144

      Default

      Quote By Edson
      si kwamba hakui hili anajua kabisa isipokuwa anajiazimsha kubishi....kila kitu anakiona na anakijua...kuna mahali nimemwambia aina hii ya ubishi na ujinga unaitwa invincible ignorance akasema namtukana matusi ya nguini.....
      thead yake imejaa kufikirika na anachanganya mambo sana..kwa kifupi huyu jama haijui siasa
      Kweli kabisa huyu msisiem anauona ukweli dhahiri shairi lakini kwa makusudi kabisa anaamua kubisha.
      Alivyo na misifa ya kijinga anajiona yeye kasoma kuliko wanachadema.
      Kama kusoma kwenyewe ndio kuwa na mawazo ama akili kama hii ni bora mtu usisome kabisa.
      Mara ajiite political analyst mara ajiite mwanasheria. Yani ni ujanja ujanja tu!

    14. #331
      Losomich's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th November 2011
      Posts : 370
      Rep Power : 455
      Likes Received
      69
      Likes Given
      45

      Default

      Quote By Rutashubanyuma
      Ezan sijasema marasis wa CCM waliotangulia walikuwa bora ila sasa wanayo nafasi ya kutupatia raisi bora kama watapanua wigo la demokrasia.......ungelikuwa umenielewa ungelifahamu hao wote waliotangulia walikuwa ni bomu kwa sababu wanachama wa kawaida wa ccm hawakushiriki katika kuchagua kiongozi bora...
      Naona sasa JF imeshakuwa kijiwe cha propaganda. Baada ya kuisoma thread yako na utetesi wako, jambo moja nimeligundua, kwamba unataka kutufanya kuwa sisi Wtz wote bado ni wadanganyika. Hapa hashawishiki mtu kwa hoja za mchumia tumbo kama wewe. Kitendo cha kushaushi watu kuamini kuwa ccm kinaweza kutuletea rais bora 2015 kinaonyesha jinsi usivyo mzalendo, usivyokuwa na uchungu na rasili mali za nchi hii. Unataka kutuaminisha kuwa ukiwa na ng'ombe wako ukampa mtu uliyemwamini anywe maziwa na amtunze na kila ndama atakayezaliwa amtunze ili waongezeke ili mwisho wa siku maziwa mengi yapatikane na watu wote waweze kupata yakutosha. Yule mtu anageuka na kuwa upande mmoja anakuwa kupe kunyonya damu ya yule ng'ombe, na kwa upande mwingine anamkamua yule ng'ombe mpaka damu. Na maziwa anayoyakamua anakunywa akishashiba badala ya kuwapa nduguzeke yeye anatoko na kwenda kijiji cha jirani na kuwaambia njooni mchukuwe maziwa safi yasiyogoshiwa kwa bei iliyosawa na bure. Halafu kila ndama anayezaliwa anamchinja na kugawana nyama na marafiki zake, kitu kinyume na makubaliano na yule mwenye ng'ombe. Je, unataka kudanganya kwa unafiki wako kuwa pamoja na kubaini makosa hayo yote utaendelea kumuamini huyo mtu na kumpenda, na kuendelea kumtunza huyo ng'o pamoja na kuwa umempa nafasi ya kujirudi lakini ameshindwa kufanya hivyo? Kama jibu lako ni ndiyo basi wewe si dhani kama we ni mtz, nahisi utakuwa mwaalishababu fulani, usiyeitakia nchi hii mema!!!

    15. #332
      Mwita Maranya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2008
      Location : Ikorongo Game Reserve
      Posts : 7,989
      Rep Power : 12010
      Likes Received
      5314
      Likes Given
      5144

      Default

      Quote By ritz
      Mkuu wangu Rutashubanyuma naona bado unaendelea kutoa elimu ya uraia kwa Pro-Chadema JF.
      Hakuna elimu yoyote hapa kumejaa chuki, majungu, husda, wivu na mashudu!
      Kama ni elimu basi ni kwenu watumwa wa nape!

    16. #333
      Losomich's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th November 2011
      Posts : 370
      Rep Power : 455
      Likes Received
      69
      Likes Given
      45

      Default

      Quote By Rutashubanyuma
      Ezan sijasema marasis wa CCM waliotangulia walikuwa bora ila sasa wanayo nafasi ya kutupatia raisi bora kama watapanua wigo la demokrasia.......ungelikuwa umenielewa ungelifahamu hao wote waliotangulia walikuwa ni bomu kwa sababu wanachama wa kawaida wa ccm hawakushiriki katika kuchagua kiongozi bora...
      Naona sasa JF imeshakuwa kijiwe cha propaganda. Baada ya kuisoma thread yako na utetesi wako, jambo moja nimeligundua, kwamba unataka kutufanya kuwa sisi Wtz wote bado ni wadanganyika. Hapa hashawishiki mtu kwa hoja za mchumia tumbo kama wewe. Kitendo cha kushaushi watu kuamini kuwa ccm kinaweza kutuletea rais bora 2015 kinaonyesha jinsi usivyo mzalendo, usivyokuwa na uchungu na rasili mali za nchi hii. Unataka kutuaminisha kuwa ukiwa na ng'ombe wako ukampa mtu uliyemwamini anywe maziwa na amtunze na kila ndama atakayezaliwa amtunze ili waongezeke ili mwisho wa siku maziwa mengi yapatikane na watu wote waweze kupata yakutosha. Yule mtu anageuka na kuwa upande mmoja anakuwa kupe kunyonya damu ya yule ng'ombe, na kwa upande mwingine anamkamua yule ng'ombe mpaka damu. Na maziwa anayoyakamua anakunywa akishashiba badala ya kuwapa nduguzeke yeye anatoko na kwenda kijiji cha jirani na kuwaambia njooni mchukuwe maziwa safi yasiyogoshiwa kwa bei iliyosawa na bure. Halafu kila ndama anayezaliwa anamchinja na kugawana nyama na marafiki zake, kitu kinyume na makubaliano na yule mwenye ng'ombe. Je, unataka kudanganya kwa unafiki wako kuwa pamoja na kubaini makosa hayo yote utaendelea kumuamini huyo mtu na kumpenda, na kuendelea kumtunza huyo ng'o pamoja na kuwa umempa nafasi ya kujirudi lakini ameshindwa kufanya hivyo? Kama jibu lako ni ndiyo basi wewe si dhani kama we ni mtz, nahisi utakuwa mwaalishababu fulani, usiyeitakia nchi hii mema!!!
      Mwita Maranya and Thesi like this.

    17. #334
      Wakuti's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 11th January 2011
      Posts : 164
      Rep Power : 456
      Likes Received
      13
      Likes Given
      29

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Kaka Rutashubanyuma asante sana kwa maelezo yako mimi ni mnazi mkubwa sana wa CCM na ninakiri kuna mapungufu ndani ya chama. pamoja na mapungufu yake hanifanyi mimi niichukie CCM. CCM ndio chama pekee ambacho mtu huwezi kutabiri Rais ajae atakuwa nani tofauti na CUF na CDM wagombea wao wanajulikana tena akitokea mwanachama mwingine anataka kugombea atapata habari yake kawaulizeni akina Zito. Mbowe yeye hata kukosolewa ndani ya chama ni balaa lazima tu atakutoa kundini shahidi marehemu Chacha Wangwe. Sasa tujiulize Kiongozi ambae hapendi kukoselewa ndani ya chama je itakuje akipewa nchi?

      Hakika CDM ikipewa nchi basi ndo itakuwa kwisheni kwa watz
      Rutashubanyuma likes this.

    18. #335
      Thesi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th August 2010
      Posts : 730
      Rep Power : 4677
      Likes Received
      187
      Likes Given
      323

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Ruta,

      Hoja zako hazina hoja ni vioja tu. Hivi hiyo demokrasia ya ndani ya ccm ambayo inaweza kutuletea viongozi bora kuliko upinzni ni upi? Kitu cha kwanza uelewe ndani ya ccm hiyo demokrasi haiwezi kumleta kiongozi bora. Kiongozi bora manake unamwongelea mtu asiye na makundi na wezi, asiyependa rushwa, ambaye atafanya uchaguzi pasipo kuhonga na akishindwa atakubali matokeo. Ambaye atatimua wezi popote walipokuwepo na kurejesha madaraka kwa wananchi badala ya kuhodhiwa na serikali kuu hasas rais. Can ccm do that? BIG NO.
      Kwa kifupi kiongozi bora unayemwongelea na kumchora hapa alitakiwa miaka ya sabini na siyo hii miaka ya 2010... .
      Ujue watanzania tunataka kiongozi wa watu na atakayekubali kusimama na watu na kusimamiwa na taasisi imara za serikali. Kinachotakiwa sasa ni watu au chama kitakachojenga taasisi hizi na mazingira hayo. Hii ni katiba mpya inayoendesha serikali kupitia ridhaa ya wananchi. ccm wanapatikana kwenye hiyo picha? ndio maana nakwambia mawazo yako ni ya miaka ya 70 na yanapitwa mbali hata na uwezo wa madiwani wa Arusha unaowaona hawan uwezo wa kujenga hoja kama wewe.
      Hatuwaweki tena CDM kama Miungu jinsi walivokuwa ccm. Kitu cha kuzingatia CDM wamesimama na sisi kuweka mfumo huo tunaoutaka ambao utawabana hata wao na wakikosea wanaondoka. Hiyo ligi ccm hawana ubavu wa kuicheza tena.
      Kusema hakuna demokrasi ya ndani ya CDM. Who cares about that **** demokracy? We care about common good of the our country tanzania? Tutaaangalia nani anarepresent common good. Kama wanafuata katiba ya chama chao haina shida. Si kwamba demokrasi ya ndani ya chama ndo kitatatulea kiongozi bora that is BIG WRONG, prove it with the fact that with all democracy if applied ccm will still bring the worst president, because ccm with all dirties arround it will never produce good leadership. Kitu kitakachotuletea kiongozi bora is WHAT THEY STAND FOR. and we know what CDM stand for so don't come here n try to confuse us with these low arguments.
      Mwita Maranya likes this.

    19. #336
      timbilimu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd September 2010
      Location : DSM
      Posts : 2,672
      Rep Power : 977
      Likes Received
      584
      Likes Given
      10

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Nadhani kuna mtu mwingine anatumia ID ya Ruta!!

    20. #337
      Pakawa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th March 2009
      Posts : 1,151
      Rep Power : 750
      Likes Received
      168
      Likes Given
      171

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Ya kweli haya??
      Rutashubanyuma likes this.
      Hata itakuwa kwa kila mtu atakayeliita jina la bwana atampokea roho wa mungu' 'Niiteni nami nitaitika anasema bwana wa majeshi.'

    21. #338
      Mufa's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd October 2011
      Posts : 36
      Rep Power : 393
      Likes Received
      6
      Likes Given
      1

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Halafu mtu mzima kuwa mnafki vbaya kweli hvi unajita mara mwanakijji na mara.... Tumekundua umetumwa na magamba kwa hyo umechelewa mno umekumbuka shuka kumekucha subiri 2015 uone rais toka chadema

    22. #339
      Polisi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd November 2010
      Posts : 1,533
      Rep Power : 737
      Likes Received
      359
      Likes Given
      234

      Default

      Quote By Rutashubanyuma
      Filipo,

      Viongozi hawapaswi kutenguliwa na vikao ambavyo havikuwachagua.........kama viongozi wa matatazo basi tuulizwe siye na wala siyo kamati Kuu ya Chadema ambayo hakuna hata mpigakura wetu kule........wa jiji la Arusha..........hiyo ndiyo misingi ya demokrasia.... haiwezekani wakaazi wa nje ya jiji la Arusha watuchagulie nani anafaa kutuongoza huo ni uwakilisha haramu tu...... usiutetee...
      mkuu nijuavyo uongozi wa chadema HAUKUTENGUA udiwani wao. Madiwani hao WALIFUKUZWA uanachama.

    23. #340
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,299
      Rep Power : 12584
      Likes Received
      5843
      Likes Given
      771

      Default

      Quote By Mwita Maranya
      Hakuna elimu yoyote hapa kumejaa chuki, majungu, husda, wivu na mashudu!
      Kama ni elimu basi ni kwenu watumwa wa nape!
      Hivi na wewe kumbe unamuogopa Nape kwa taarifa yako wewe pamoja na Nape mie nawaweka kwenye kundi moja wote mnatumwa tu...wewe ni kiongozi wa Chadema nakushangaa unavyomuogopa Nape wakati Nape ni kijana mdogo tu watu tunamtuma sokoni.

      Nape hana nguvu zozote za kisiasa Tanzania zaidi ya kubebwa na JK, sasa nyie mnamuogopa kweli Nape kila post lazima umtaje.

    Page 17 of 27 FirstFirst ... 71516171819 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...