Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

    Report Post
    Page 15 of 27 FirstFirst ... 5131415161725 ... LastLast
    Results 281 to 300 of 531
    1. #1
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,747
      Rep Power : 12929
      Likes Received
      4451
      Likes Given
      7476

      Default Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Nimevipima vyama vya upinzani kwenye mizania yangu ya upembuzi yakinifu na kubaini bila ya mashaka yoyote yale bado havipo tayari kimfumo kutupatia Raisi bora na hizi ndizo nondo zangu zilizonifikisha hapo..:-

      a) Vyama vyote vya upinzani vimeiga mfumo mbovu wa kidemokrasia wa ccm na vinaendeshwa kibabe-kibabe mno na huku wenzao wa ccm kuanzia 2010 walianza kujivua gamba la udikteta pale waliporuhusu wabunge wake wachaguliwe na wananchi moja kwa moja...ingawaje bado wana safari ndefu kwenye hili lakini lazima niwapongeze ccm kwa angalau kujaribu....rushwa na kuingiliwa na ngazi za juu katika maoni ya wananchi ni changamoto ambazo ccm itabidi waendelee kuzitafutia muarobaini wake.

      Kwenye hili vyama vya upinzani wapo nyuma na tumeona hata chadema bila ya kupitisha kura ya maoni kwa wapigakura wa Arusha wakitumia kauli za kidikteta kukejeli kura za wanachama wao Arusha pale kamati kuu yao ilipotengua madiwani wakaidi wa Arusha...well, chadema worshippers...that was not democracy at all...it was dictatorship.........face it now before it is too late.....Only the truth will set you free

      b) Vyama vyote vya siasa vyenye wabunge Bungeni vimekumbwa na dhoruba kali la wizi na ubadhirifu wa ruzuku ya hazina na hakuna uthibiti wa aina yoyote ile!!!!!

      Kwa mtazamo wangu kama wapinzani wameshindwa hata kusimamia kidogo ambacho tumewapa ni kwa upuuzi upi utushawishi kuwakabidhi nchi yote?

      Njaa ya viongozi wa upinzani ni kali kulikoni ya viongozi wa ccm ambao pamoja na bandubandu kweli humaliza gogo lakini ccm hawana uchu wa kututafuna kama upinzani walionao.....ccm vibosile wake wamekwisha shiba njaa siyo kali sana kwa kipimo cha malinganisho.................l ol

      c) Mchakato wa katiba mpya umenifungua macho hila na upofu wa wapinzani ambao waliipinga tume kwa vile wao hawajaweka mrija wao ndani yake na kunyonya Hazina baada ya CCM kuwaingiza kingi - au niseme mkenge? - hakuna anayehoji uhalali wa Tume ya kukusanya maoni.

      Wote wanaimba wimbo wa CCM wa ya kuwa tume tajwa haina uwalakini na sasa wamehamia kwenye mabunge mawili ambako wanaona mirija yao ni michache na kwa hiyo wanatafuta namna ya kuiongeza.

      Hii siyo demokrasia hata chembe bali ni ubinafsi tu...period. Mwanamageuzi wa kweli atadai haki hata kama yeye ni mwathirika wa hayo mageuzi siyo yule ambaye hujigeuza mpiga filimbi ya Hamelini pale anapoona masilahi yake yamepigwa na tufani kali sana...anachofanya ni kulinda tonge lake la ugali lisidondokee pabaya tu....lol hao kweli ni wababaishaji tu hawatufai kabisa.........

      USHAURI:

      Hivyo chama chochote kile cha siasa ambacho kitashirikisha wanachama wake katika kuteua viongozi watakaopeperusha bendera za vyama vyao katika ngazi zote ikiwemo ya URAISI, UBUNGE, UDIWANI hadi UENYEKITI WA KITONGOJI kina nafasi njema ya kutupatia viongozi bora...na kutumia utaratibu huohuo katika kuwavua madaraka itakuwa imepiga hatua katika demokrasia shirikishi.

      Have your say too...unaridhika na demokrasia ndani ya vyama vya siasa hasa hivi vya upinzani hata sasa kuviamini kutupatia Raisi na viongozi wengineo bora bila ya kutushirikisha grassroots?
      Last edited by Rutashubanyuma; 6th June 2012 at 12:01. Reason: spelling..................duh
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    2. Miaka 50

    3. #281
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,747
      Rep Power : 12929
      Likes Received
      4451
      Likes Given
      7476

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      mi mwenyewe namwangalia kwa jicho la ndege.....ana dharau na wala si kingine
      Edson kama uwezo hawana nifanyaje? Mbeleko za kuwabeba cdm zimenikatia............lol
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    4. #282
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,747
      Rep Power : 12929
      Likes Received
      4451
      Likes Given
      7476

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Ngoja niishie hapa maana naona mjadala unaelekea kuongozwa na hisia zaidi na kuna element za chuki na dharau, haitawezekana ku reason zaidi kama umeshawa discredit CDM kiasi hiki
      Rutashubanyuma asante though, mjadala ulikuwa mzuri
      jibu swali acha kukimbia...........lol lemonade kwani ni uongo.......ni nani aliyeko cdm hakutokea magamba?
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    5. #283
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,747
      Rep Power : 12929
      Likes Received
      4451
      Likes Given
      7476

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Mkuu Rutashubanyuma , Reffer haeding yako " Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015... "
      Hii heading ina maana kuwa Jukumu la kupata Kiongozi Mkuu wa nchi, Liko CCM, Kitu amabcho si kweli, hata CCM wanalijua hilo, though hawawezi kukiri publicly...
      Mimi siamini katika hiyo heading thats why nakupinga especially baada ya wewe mwenyewe kuni provia kuwa wewe ndo mleta mada na hakuna mtu ame tempa na Login details zako, you are not right Kaka, according to Mimi
      heading siyo simulizi yote soma ushauri nilioutoa ambao umebaini yakuwa milango ya kupatikana viongozi bora hata cdm wanaweza kama watafanya marekebisho hayohayo ambayo ccm wanajukumu la kuyafanya.................... Bramo
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    6. #284
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,747
      Rep Power : 12929
      Likes Received
      4451
      Likes Given
      7476

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Ruta hivi unaweza kumrudisha kazini mwizi aliyekuibia na kurudisha nyuma maendeleo yako,wakati unaona kuna wafanyakazi wenye uwezo wa kufanya kazi yako vizuri kuliko wa kwanza?
      Usitumie kigezo cha mfumo jambo ambalo si kweli,
      CDM na CCM hazifanani kabisa hata kidogo
      Kifupi CCM imeshindwa kazi na hatuitaki kabisaaa,
      Tunataka CDM ichukue nchi tuone nayo itatufanyia nini.
      MAISHA BILA CCM YANAWEZEKANA.
      kichomiz wewe ni jemadari mzuri sana ninachosema cdm is not ready kwa mfumo wa kuiga kutoka ccm mbona hiyo hoja hamtaki kuijadili mnakimbilia kutetea uozo wa cdm ambao wameurithi kutoka ccm?
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    7. #285
      Lawrence Luanda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th November 2011
      Posts : 604
      Rep Power : 500
      Likes Received
      51
      Likes Given
      0

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      CCM inaweza kutupa raisi bora baada ya kuwa wapinzani wa selikari cuz watakuwa wanarekebisha kasoro zao, hivi vyama si wazazi wetu so kinachovurunda kitakaa pembeni tuu
      Rutashubanyuma likes this.

    8. #286
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,747
      Rep Power : 12929
      Likes Received
      4451
      Likes Given
      7476

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Nimegundua kuwa wewe ni wa upande gani,
      Lakini si busara kuwakatisha watu tamaa kwa mawazo yako binafsi,au kwa faida yako wewe waache watu wafanye wakitakacho kwa mapenzi yao,
      kwani zama za ndio mzee hazipo tena,
      CDM lazima ichukue nchi amini usiamini,hata Nape mwambie hivyo.
      kama matumaini ndiyo maanikio basi mtafanikiwa ila mkishindwa mjue niliwatahadharisha mambo ya kuyafanya na mliyapuuzia na ndiyo maana mtakuwa meshindwa kunyakua dola na mkishindwa 2015.............it is over for you anew ccm will be in place less corrupt and more sensitive to people's needs./
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    9. #287
      mshikachuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd December 2010
      Posts : 2,346
      Rep Power : 899
      Likes Received
      429
      Likes Given
      2283

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Wewe mleta uzi unamatatizo sijapata ona! yaani we jamaa ni m-bishi kama mshipa.
      Watu wamejitahidi kukushushia manondo kibao zenye hoja ya nguvu....lakini wewe
      unajibu kama Zomba kwenye Thread yake ya jana inayohusiana na Zitto.
      Ukweli ni kwamba hoja yako haina mashiko na ukubali mpaka kufikia hapa umesha
      galagazwa vibaya sana na hoja zenye mashiko kutoka kwa baadhi ya wachangiaji like Edson.
      Ila kinachokukalisha hapa ni kutokubali matokeo ya kuwa umepewa ngumi za uso na umedo
      ndokea pua! maana sasa hauleti hoja bali unaleta vioja....sawa bwana kufa na tai yako shingoni.
      Thesi and Godlisten Masawe like this.

    10. #288
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,747
      Rep Power : 12929
      Likes Received
      4451
      Likes Given
      7476

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      mimi nimemwambia thread yake haiko sawa kuanzia heading, ule msta wa kwanza aliobold red, zile a, b, c na hitimisho lake9ushauri) ..kila kimoja kimezungumza kitu tofauti kabisa.....katika thread yake ametumia vyama vya upinzani..katika koment zake huku akajionyesha kuwa vyama pinzani ni chadema, kuna mahali anasema mimi sina chama,kuna mahali anasema nipo arusha na diwani wa chadema ndiye nilimpigia kura...hapo hapo anasema chadema hawawezi kuchukua dola..na ccm wana kazi ya kutupatia rais huku akidai kuwa wana sera na mfumo mbovu.....nilipomwambia kuwa ana tatizo la psychology na mixed feeling na akachukia na kudai nimemtukama matusi ya nguoni kisa nimemwambia kuwa ''he is a captive of his own identity living in prison of his own creation''........ akadai namtukana matusi ya nguon...sasa hilo ni tusi la nguoni?....mwenzetu ana tatizo yaani basi tu captivity of negativity inamsumbua sana...........
      @ tatizo lako ni kudhani mimi ninashabikia ccm la hasha. Ninachona ni kuwa matatizo yako kila mahali ccm wana yao na cdm mna yenu tena siyo madogo..................na kiini cha matatizo hayo ni ukosefu wa mfumo wa kuwawajibisha wanasiasa..................... ...kuhusu hoja kutofautiana hili silielewi.....cdm nimetoa mfano na ningeweza kutoa mifano ya vyama vinginevyo lakini nimechagua cdm kwa sababu ndiyo wanaonekana wanajidanganya...............n a mahudhurio ya watu kwenye mikutano yao na kudhanikuongoza nchi ni kuikosoa ccm tu...........ukiwa upinzani yabidi uonyeshe ukichukua dola utafanya nini kurekebisha hali iliyopo na wakati wewe mwenywe mfumo wako ni maigizoya yule unayekusudia kumn'goa...............then you are kidding no one except yourself,,,,,,,,,,,,,,,,,,
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    11. #289
      nya2nya2's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st April 2012
      Posts : 113
      Rep Power : 382
      Likes Received
      9
      Likes Given
      0

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      kuhangaika kote unaandika uchafu huu,huna cha kufanya

    12. #290
      mcfm40's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd November 2010
      Posts : 127
      Rep Power : 459
      Likes Received
      59
      Likes Given
      1

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Ndugu yangu Ruta,
      Demokrasia unayoingolea CCM ni ipi. Hiyo ya kununua kura za wananchama kwa rushwa? Naomba uniambie ni uchaguzi upi ndani ya CCM mtu anashinda bila rushwa? Hoja yote inarudi kwa mchangiaji aliyetangulia kwamba demokrasia bila elimu ni upuuzi mtupu. kwa mfano eti tunapita kukusanya maoni ya watu kuhusus katiba mpya. Ni kweli hayo maoni yatakuwa ya wale maskini ambao ni zaidi ya asilimia sitini ya watanzania wote? Ni watu wangapi kule kijijini wanaelewa maana ya rais kuwa na madaraka makubwa? Tumeiga mifumo ya kura za maoni na demokrasia ambazo bado. kwenye umaskini demokrasia haiwezi kufanya kazi hata kidogo! Mtu hajashika elfu tano tangu mwaka uanze ataacha kudanganyika kwa rushwa ya sukari kilo moja? Hakuna demokrasia kwenye umaskini. Tuna kazi kubwa ya kufanya!

    13. #291
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,747
      Rep Power : 12929
      Likes Received
      4451
      Likes Given
      7476

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Rutashubanyuma,
      Samahani, tatizo lako CDM ni mfumo au Mbowe na Slaa as persons au vyote?
      awo swli lako nimelipenda................... ....hao uliowataja ni matunda ya mfumo mbovu ambao cdm wameuiga kutoka ccm na hili hakuna hata mmoja hapa kabisha kwa sababu ndiyo ukweli wa cdm....................maigizo ya ccm....................sasa kama kuna maigizo a picha ya kweli utapenda maigizo au utapenda picha halisi ambayo ni ccm..................tatizo langu ni mfumo wa kuiga cdm waanzishe mfumoshirikishi hapo ndipo tutaanza kuwaamini na aytengnishe kofia za kiichama na serikali kuongeza uwajibikaji na hapo kweli kitakapodai ni chama makini nitaanza kuwaunga mkono..........lakini huu u-ccm wao huu khalafu watuzuge wao na ccm ni mahasimu.............whom are they kidding? Angalia tume ya uchaguzi walipopewa ugali mbona wametulia na kuona sasa ni tume huru.......is it really tume huru kwa vile cdm nao wamepachikwa kwenye eating table?
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    14. #292
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,747
      Rep Power : 12929
      Likes Received
      4451
      Likes Given
      7476

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Wewe mleta uzi unamatatizo sijapata ona! yaani we jamaa ni m-bishi kama mshipa.
      Watu wamejitahidi kukushushia manondo kibao zenye hoja ya nguvu....lakini wewe
      unajibu kama Zomba kwenye Thread yake ya jana inayohusiana na Zitto.
      Ukweli ni kwamba hoja yako haina mashiko na ukubali mpaka kufikia hapa umesha
      galagazwa vibaya sana na hoja zenye mashiko kutoka kwa baadhi ya wachangiaji like Edson.
      Ila kinachokukalisha hapa ni kutokubali matokeo ya kuwa umepewa ngumi za uso na umedo
      ndokea pua! maana sasa hauleti hoja bali unaleta vioja....sawa bwana kufa na tai yako shingoni.
      jibu hoja acha malalamiko mfumo wa cdm na ccm tofauti zake ziko wapi?
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    15. #293
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,747
      Rep Power : 12929
      Likes Received
      4451
      Likes Given
      7476

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Ndugu yangu Ruta,
      Demokrasia unayoingolea CCM ni ipi. Hiyo ya kununua kura za wananchama kwa rushwa? Naomba uniambie ni uchaguzi upi ndani ya CCM mtu anashinda bila rushwa? Hoja yote inarudi kwa mchangiaji aliyetangulia kwamba demokrasia bila elimu ni upuuzi mtupu. kwa mfano eti tunapita kukusanya maoni ya watu kuhusus katiba mpya. Ni kweli hayo maoni yatakuwa ya wale maskini ambao ni zaidi ya asilimia sitini ya watanzania wote? Ni watu wangapi kule kijijini wanaelewa maana ya rais kuwa na madaraka makubwa? Tumeiga mifumo ya kura za maoni na demokrasia ambazo bado. kwenye umaskini demokrasia haiwezi kufanya kazi hata kidogo! Mtu hajashika elfu tano tangu mwaka uanze ataacha kudanganyika kwa rushwa ya sukari kilo moja? Hakuna demokrasia kwenye umaskini. Tuna kazi kubwa ya kufanya!
      kazi kweli ni kubwa na cdm mbona wanarudia madudu yale yale................hivi mbowe kujirundikia madaraka hamuoni ni tatizo kama siyo tatizo yawaje madaraka ya raisi muone ni makubwa kama siyo unafiki huo........kwa ccm siyo saa lakini kwa cdm ni sawa................are we serious?
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    16. #294
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,747
      Rep Power : 12929
      Likes Received
      4451
      Likes Given
      7476

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      kuhangaika kote unaandika uchafu huu,huna cha kufanya
      tatizo la wapiga ebe wa cdm ni shule ndogo wanabakia matusikwa sababu hawana zana za upembuzi yakinifu......kama kweli shule mmesoma na kuelimika mbona hamjibuhoja.................ji bu cdm mfumo wao wa uongozi wameutoa wapi kama siyo maigizo ya ccm? kama mfumo wa ccm una walakini kwanini kwa cdm msiuone ni tatizo?

      acheni ubabaishaji...............hayo mambo yenu pelekeni kwa cdm na mikutano yao ya udanganyifu.........na kuna siku kutakuwa nakilio na kusaga meno pale mtakapogundua vyama vyote vya siasa ni ccm b na hakuna wapenda mageuzi ya kweli........................you will know by their fruits...........Mathew 7:20
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    17. #295
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,747
      Rep Power : 12929
      Likes Received
      4451
      Likes Given
      7476

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      ccm inaweza kutupa raisi bora baada ya kuwa wapinzani wa selikari cuz watakuwa wanarekebisha kasoro zao, hivi vyama si wazazi wetu so kinachovurunda kitakaa pembeni tuu
      big point
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    18. #296
      Ng'wanangwa's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 28th August 2010
      Posts : 5,992
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1136
      Likes Given
      417

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Quote By Rutashubanyuma
      Nimevipima vyama vya upinzani kwenye mizania yangu ya upembuzi yakinifu na kubaini bila ya mashaka yoyote yale bado havipo tayari kimfumo kutupatia Raisi bora na hizi ndizo nondo zangu zilizonifikisha hapo..:-

      a) Vyama vyote vya upinzani vimeiga mfumo mbovu wa kidemokrasia wa ccm na vinaendeshwa kibabe-kibabe mno na huku wenzao wa ccm kuanzia 2010 walianza kujivua gamba la udikteta pale waliporuhusu wabunge wake wachaguliwe na wananchi moja kwa moja...ingawaje bado wana safari ndefu kwenye hili lakini lazima niwapongeze ccm kwa angalau kujaribu....rushwa na kuingiliwa na ngazi za juu katika maoni ya wananchi ni changamoto ambazo ccm itabidi waendelee kuzitafutia muarobaini wake.

      Kwenye hili vyama vya upinzani wapo nyuma na tumeona hata chadema bila ya kupitisha kura ya maoni kwa wapigakura wa Arusha wakitumia kauli za kidikteta kukejeli kura za wanachama wao Arusha pale kamati kuu yao ilipotengua madiwani wakaidi wa Arusha...well, chadema worshippers...that was not democracy at all...it was dictatorship.........face it now before it is too late.....Only the truth will set you free

      b) Vyama vyote vya siasa vyenye wabunge Bungeni vimekumbwa na dhoruba kali la wizi na ubadhirifu wa ruzuku ya hazina na hakuna uthibiti wa aina yoyote ile!!!!!

      Kwa mtazamo wangu kama wapinzani wameshindwa hata kusimamia kidogo ambacho tumewapa ni kwa upuuzi upi utushawishi kuwakabidhi nchi yote?

      Njaa ya viongozi wa upinzani ni kali kulikoni ya viongozi wa ccm ambao pamoja na bandubandu kweli humaliza gogo lakini ccm hawana uchu wa kututafuna kama upinzani walionao.....ccm vibosile wake wamekwisha shiba njaa siyo kali sana kwa kipimo cha malinganisho.................l ol

      c) Mchakato wa katiba mpya umenifungua macho hila na upofu wa wapinzani ambao waliipinga tume kwa vile wao hawajaweka mrija wao ndani yake na kunyonya Hazina baada ya CCM kuwaingiza kingi - au niseme mkenge? - hakuna anayehoji uhalali wa Tume ya kukusanya maoni.

      Wote wanaimba wimbo wa CCM wa ya kuwa tume tajwa haina uwalakini na sasa wamehamia kwenye mabunge mawili ambako wanaona mirija yao ni michache na kwa hiyo wanatafuta namna ya kuiongeza.

      Hii siyo demokrasia hata chembe bali ni ubinafsi tu...period. Mwanamageuzi wa kweli atadai haki hata kama yeye ni mwathirika wa hayo mageuzi siyo yule ambaye hujigeuza mpiga filimbi ya Hamelini pale anapoona masilahi yake yamepigwa na tufani kali sana...anachofanya ni kulinda tonge lake la ugali lisidondokee pabaya tu....lol hao kweli ni wababaishaji tu hawatufai kabisa.........

      USHAURI:

      Hivyo chama chochote kile cha siasa ambacho kitashirikisha wanachama wake katika kuteua viongozi watakaopeperusha bendera za vyama vyao katika ngazi zote ikiwemo ya URAISI, UBUNGE, UDIWANI hadi UENYEKITI WA KITONGOJI kina nafasi njema ya kutupatia viongozi bora...na kutumia utaratibu huohuo katika kuwavua madaraka itakuwa imepiga hatua katika demokrasia shirikishi.

      Have your say too...unaridhika na demokrasia ndani ya vyama vya siasa hasa hivi vya upinzani hata sasa kuviamini kutupatia Raisi na viongozi wengineo bora bila ya kutushirikisha grassroots?

      ushatumika tayari, mkuu.

      pole sana.

      sisi wapinzani hatuna njaa, ila waandishi kama nyie ndo mna njaa.
      Rutashubanyuma likes this.

    19. #297
      Elizabeth Dominic's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 7th December 2007
      Posts : 2,741
      Rep Power : 5465
      Likes Received
      1963
      Likes Given
      2652

      Default

      Quote By Rutashubanyuma
      jibu swali acha kukimbia...........lol lemonade kwani ni uongo.......ni nani aliyeko cdm hakutokea magamba?
      What swali now Rutashubanyuma....utapotezaje pumzi zako kwa watu unaowaona wahuni?
      You have made your case kuwa tuna tatizo la mfumo kuanzia CCM hadi Upinzani, whats funny now unaona uhuni wa CCM unarekebishika kwa jokes zao of the century za kujivua gamba still unawaona CDM ni kuwa ni maculprit kupita maelezo kiasi they are beyond rehabilitation kuna cha kujadili tena....its either we are with CCM or we can kiss our country goodbye.....NO Sir! Ngoja tuhangaike na CDM yetu.....lol
      Rutashubanyuma likes this.

    20. #298
      mshikachuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd December 2010
      Posts : 2,346
      Rep Power : 899
      Likes Received
      429
      Likes Given
      2283

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Quote By Rutashubanyuma
      jibu hoja acha malalamiko mfumo wa cdm na ccm tofauti zake ziko wapi?
      Kwani hao CDM wamewahi kushika madaraka ya nchi hata kwa wiki moja? sasa hiyo tofauti ya kimfumo utaipataje wa
      kati hawa wengine hawajawahi kuendesha serikali hata kwa wiki moja tu? Jamani hizi chuki zenu kwa CDM zitawasaba
      bishieni msongo wa mawazo na presure juu. All in all kubali umepewa ngumi za uso na umedondokea pua...FULL STOP.

    21. #299
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,747
      Rep Power : 12929
      Likes Received
      4451
      Likes Given
      7476

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      ushatumika tayari, mkuu.

      pole sana.

      sisi wapinzani hatuna njaa, ila waandishi kama nyie ndo mna njaa.
      shukrani lakini ninasikitika ya kuwa huna majibu ya nondo zangu.........ni hilo tu...........ukikosoa ccm ni sawa lakiniukikosoa cdm wewe umenunuliwa................... ..nchi hii haitaendelea mbelekwa utaniutani wa namna hii
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    22. #300
      mshikachuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd December 2010
      Posts : 2,346
      Rep Power : 899
      Likes Received
      429
      Likes Given
      2283

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Quote By Rutashubanyuma
      tatizo la wapiga ebe wa cdm ni shule ndogo wanabakia matusikwa sababu hawana zana za upembuzi yakinifu......kama kweli shule mmesoma na kuelimika mbona hamjibuhoja.................ji bu cdm mfumo wao wa uongozi wameutoa wapi kama siyo maigizo ya ccm? kama mfumo wa ccm una walakini kwanini kwa cdm msiuone ni tatizo?

      acheni ubabaishaji...............hayo mambo yenu pelekeni kwa cdm na mikutano yao ya udanganyifu.........na kuna siku kutakuwa nakilio na kusaga meno pale mtakapogundua vyama vyote vya siasa ni ccm b na hakuna wapenda mageuzi ya kweli........................you will know by their fruits...........Mathew 7:20
      Wewe huna kitu! pumba tu kichwani....Eti mie ni mwanasheria' mwanasheria utakuwa wewe? my foot!

    Page 15 of 27 FirstFirst ... 5131415161725 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...