Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

    Report Post
    Page 12 of 27 FirstFirst ... 2101112131422 ... LastLast
    Results 221 to 240 of 531
    1. #1
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Nimevipima vyama vya upinzani kwenye mizania yangu ya upembuzi yakinifu na kubaini bila ya mashaka yoyote yale bado havipo tayari kimfumo kutupatia Raisi bora na hizi ndizo nondo zangu zilizonifikisha hapo..:-

      a) Vyama vyote vya upinzani vimeiga mfumo mbovu wa kidemokrasia wa ccm na vinaendeshwa kibabe-kibabe mno na huku wenzao wa ccm kuanzia 2010 walianza kujivua gamba la udikteta pale waliporuhusu wabunge wake wachaguliwe na wananchi moja kwa moja...ingawaje bado wana safari ndefu kwenye hili lakini lazima niwapongeze ccm kwa angalau kujaribu....rushwa na kuingiliwa na ngazi za juu katika maoni ya wananchi ni changamoto ambazo ccm itabidi waendelee kuzitafutia muarobaini wake.

      Kwenye hili vyama vya upinzani wapo nyuma na tumeona hata chadema bila ya kupitisha kura ya maoni kwa wapigakura wa Arusha wakitumia kauli za kidikteta kukejeli kura za wanachama wao Arusha pale kamati kuu yao ilipotengua madiwani wakaidi wa Arusha...well, chadema worshippers...that was not democracy at all...it was dictatorship.........face it now before it is too late.....Only the truth will set you free

      b) Vyama vyote vya siasa vyenye wabunge Bungeni vimekumbwa na dhoruba kali la wizi na ubadhirifu wa ruzuku ya hazina na hakuna uthibiti wa aina yoyote ile!!!!!

      Kwa mtazamo wangu kama wapinzani wameshindwa hata kusimamia kidogo ambacho tumewapa ni kwa upuuzi upi utushawishi kuwakabidhi nchi yote?

      Njaa ya viongozi wa upinzani ni kali kulikoni ya viongozi wa ccm ambao pamoja na bandubandu kweli humaliza gogo lakini ccm hawana uchu wa kututafuna kama upinzani walionao.....ccm vibosile wake wamekwisha shiba njaa siyo kali sana kwa kipimo cha malinganisho.................l ol

      c) Mchakato wa katiba mpya umenifungua macho hila na upofu wa wapinzani ambao waliipinga tume kwa vile wao hawajaweka mrija wao ndani yake na kunyonya Hazina baada ya CCM kuwaingiza kingi - au niseme mkenge? - hakuna anayehoji uhalali wa Tume ya kukusanya maoni.

      Wote wanaimba wimbo wa CCM wa ya kuwa tume tajwa haina uwalakini na sasa wamehamia kwenye mabunge mawili ambako wanaona mirija yao ni michache na kwa hiyo wanatafuta namna ya kuiongeza.

      Hii siyo demokrasia hata chembe bali ni ubinafsi tu...period. Mwanamageuzi wa kweli atadai haki hata kama yeye ni mwathirika wa hayo mageuzi siyo yule ambaye hujigeuza mpiga filimbi ya Hamelini pale anapoona masilahi yake yamepigwa na tufani kali sana...anachofanya ni kulinda tonge lake la ugali lisidondokee pabaya tu....lol hao kweli ni wababaishaji tu hawatufai kabisa.........

      USHAURI:

      Hivyo chama chochote kile cha siasa ambacho kitashirikisha wanachama wake katika kuteua viongozi watakaopeperusha bendera za vyama vyao katika ngazi zote ikiwemo ya URAISI, UBUNGE, UDIWANI hadi UENYEKITI WA KITONGOJI kina nafasi njema ya kutupatia viongozi bora...na kutumia utaratibu huohuo katika kuwavua madaraka itakuwa imepiga hatua katika demokrasia shirikishi.

      Have your say too...unaridhika na demokrasia ndani ya vyama vya siasa hasa hivi vya upinzani hata sasa kuviamini kutupatia Raisi na viongozi wengineo bora bila ya kutushirikisha grassroots?
      Last edited by Rutashubanyuma; 6th June 2012 at 12:01. Reason: spelling..................duh
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    2. FemaTV & Radio

    3. #221
      Kyaiyembe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st December 2011
      Location : Kisukuru
      Posts : 1,135
      Rep Power : 604
      Likes Received
      345
      Likes Given
      303

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Quote By mharakati
      Kyaiyembe...Vyama vikongwe vina tabia vikashakua vikubwa na kuongoza kwa muda mrefu kua na tofauti za kiitikadi binafsi kutokana na historia yao ndefu, na kujenga matabaka haswa hivi vyama vilivyolindwa na kushamiri chini ya mfumo wa chama kimoja.

      hatutegemei hili kwa vyama vichanga vilivyoanzishwa katika misingi ya kidemokrasia kwa ajili na kuitetea na kupigania demokrasia..hatutegemei kabisa hili..kwa hiyo relatively speaking CDM ina demokrasia mbaya kuliko ile ya CCM.
      Na hili limetokea TLP na CUF. Wananchi tukaliona tumewapa zawadi yao!.
      "Ikulu ni mahala PATAKATIFU,
      mimi sikuchaguliwa kuja kupageuza kuwa pango la wala RUSHWA."
      By J.K. NYERERE.

    4. #222
      Hemed Maronda's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th October 2010
      Posts : 133
      Rep Power : 460
      Likes Received
      38
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Ezan
      Una haki ya kusema hivyo kwa kuwa una maoni kama great thinker, binafsi naamini hawajahi kupitisha Rais asiye bora kwa mitazamo yao.....na hao marais bora wao ndiyo wameifikisha nchi mahala hapa.....kwasababu wameshindwa binafsi naona ni heri tuwajaribishe watu wengine kwasababu....wanaweza wakafeli au kufaulu, tofauti na CCM ambayo tayari tumekuwa na uhakika wa wao kufeli miaka yoote.

      Madhaifu machache ya Vyama vya Upinzani haya halalishi udhaifu mkubwa wa CCM. Hivi kweli hii ni nchi kweli Rais wa nchi anawataka watu walioiba Mabilioni ya Shiringi wayarudishe bila adhabu na hakuna ripoti itolewayo kama wanarudisha au la na kama wamerudisha ni kwa kiasi gani.

      Rutashubanyuma
      mimi na dream CCM iondoke madarakani tuwape nafasi watu wengine nao wakishindwa basi niamini na ku-conclude kwamba Tanzania tuna Tatizo la Human resources. Nichukua uraia wa Rwanda.
      Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwahi kunena na hapa na nukuu "Ikulu hawezi kwenda mtu kwa majaribio" hapa alikuwa na maana hatuwezi kumpeleka Kiongozi Mkuu wa Nchi Ikulu kwa kumjaribu na tukifanya hivyo tutakuwa tumekosea sana, mimi sipingi chama chochote cha upinzani kwenda Ikulu ila naungana na ndugu yangu Ruta kuwa hata hao Chadema hawako tayari kwenda Ikulu, napendekeza tuwape nafasi ya mwisho CCM warekebishe makosa yao waliyoyatenda ili tuvuke kwenye hili dhoruba, utayari wa kuwakabidhi Nchi vyama vya upinzani bado na Wnainchi wengi wanaoshabikia upinzani kwa sasa itakapofika muda wa uchaguzi watabadirika na kukipigia kura CCM amini usi amini!
      Rutashubanyuma likes this.

    5. #223
      Edson's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2009
      Posts : 7,308
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1799
      Likes Given
      433

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Quote By Rutashubanyuma
      Edson onyesha hizo hoja zako vinginevyo just shut up...............rushwa iko kila mahalai hata cdm ipo hata ile ya ngono katika viti maalumu ipo .sasa unatetea ufisadi ambao ni saratani ya taifa hili?

      kuhusu mfumo wa cdm haupo sasa niongelee hewa walichofanya ni kunakili ule wa ccm from A to Z labda unataka tuongelee wa ccm rudi awali nimeuzungumzia kwa kirefu sana.....................hivi uko wapi kwenye huu uzi.........................I am merely shocked with your lack of grasp of the issues at hand....................

      sijasema chadema hakuna rushwa na ndio maana mwaka jana kwenye uchaguzi wa BAVICHA kwa mfano pale rushwa ilipoonekana kufanyaka wahusika walishughulikiwa......thread yako imejaa upuuzi mwingi na kujichanganya kwingi...katika...unless unajifurahisha na kuleta thread kama hii vinginevyo the captivity of negativity is killing you!!
      I'm Naturaly Evasive..

    6. Awo
      #224
      Awo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th April 2010
      Posts : 430
      Rep Power : 548
      Likes Received
      146
      Likes Given
      36

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Rutashubanyuma,
      Samahani, tatizo lako CDM ni mfumo au Mbowe na Slaa as persons au vyote?
      Rutashubanyuma likes this.

    7. #225
      Bigaraone's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th June 2011
      Posts : 472
      Rep Power : 493
      Likes Received
      217
      Likes Given
      1

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Ruta, kuhusiba ya u Arusha Wananchi waliochagua madiwani wangetimizaje haki ya kuwawajibisha madiwani wahusika wakati katiba ya nchi hairuhusu wananchi wakiona mbunge/diwani hatimizi matakwa yao wamwajibishe zaidiya kusubiri miaka 5 ya uchaguzi ndio wamkatae katika sanduku la kura. Hapa huwezi kuwalaumu viongozi wa CDM walioamua kuwawajibisha madiwani hao. Demokrasia yetu ni ya kuiga toka nchi za magharibi na demokrasia zinazokua kama vile India. Just give us an empirical analysis to which the vetors can by theselves call for a refurendum or impeach any elected leader. Prove me wrong if not the representative-legistrators who are only entrusted to impeach the executive head of state.

      Sasa isiwe concluded kuwa other parties cannot make good president just because the all evils and CCM is a good evil. Au ndio ile better Satan you know than God you don't. But I think that is value judgement. Mimi naona unasema hivyo kwa kuagalia majina. Kwa kuwa Mbowe anayo madaraka mengi au Lipumba au Cheyo so all opposition parties are undemocratic. This is fare judgement
      Rutashubanyuma likes this.

    8. Miaka 50

    9. #226
      Kyaiyembe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st December 2011
      Location : Kisukuru
      Posts : 1,135
      Rep Power : 604
      Likes Received
      345
      Likes Given
      303

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Quote By ritz
      Mbowe na Slaa sio wazalendo kabisa ni watu wasiolitakia mema taifa letu.

      Unajua unapokuwa mwanasiasa mzalendo unayeheshimika ndani ya nchi na nje ya nchi halafu ukatoa kauli kama hii ya kwamba nchi imefilisika.

      Hunawatia hofu wananchi vile vile unawambia maadui wetu wa nje watuvamie kijeshi kwa sababu hatuna fedha za kukabiliana na vita hiyo.

      Sasa kweli unategemea kauli kama hizi za Mbowe na Slaa zimejaa ubabe na vitisho ni za kizalendo kweli halafu wanataka Urais.
      Lazima wananchi waambiwe ukweli, hakuna nchi imewahi kuvamiwa kisa imejulikana ni masikini.
      Hata wasiposema wao takwimu zinaonyesha tuko ndani ya nchi tatu ombaomba.
      Ngoja nikukumbushe kaul za vitisho nilzowahi kusikia
      "mimi ndiye mwajiri mkuu nasema mkiandamana nitaagiza polisi wawapige virungu na mkiweka mgomo nawafukuza kazi, na kwa waajiri binafsi nasema wakigoma wafukuzeni kazi!" by JK.
      Unaijua hii?
      "Ikulu ni mahala PATAKATIFU,
      mimi sikuchaguliwa kuja kupageuza kuwa pango la wala RUSHWA."
      By J.K. NYERERE.

    10. #227
      mharakati's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2011
      Posts : 931
      Rep Power : 572
      Likes Received
      258
      Likes Given
      243

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Quote By ritz
      Mbowe na Slaa sio wazalendo kabisa ni watu wasiolitakia mema taifa letu.

      Unajua unapokuwa mwanasiasa mzalendo unayeheshimika ndani ya nchi na nje ya nchi halafu ukatoa kauli kama hii ya kwamba nchi imefilisika.

      Hunawatia hofu wananchi vile vile unawambia maadui wetu wa nje watuvamie kijeshi kwa sababu hatuna fedha za kukabiliana na vita hiyo.

      Sasa kweli unategemea kauli kama hizi za Mbowe na Slaa zimejaa ubabe na vitisho ni za kizalendo kweli halafu wanataka Urais.
      huyu dj anahitaji kushukuru kwanza kupata hata huo ubunge huko kwao kaskazini..wajenge chama wasiwe na uroho wa madaraka, wajenga chama warecruit vijana na kuhamisha technocrats waliopo CCM katika miaka 10 ijayo hivi, wakishakua na wabunge 200 wa kuchaguliwa kwenye majimbo sasa hapo wanaweza kuweka Rais kwa kua tutaamini demokrasia yao ndani haitatetereka na kuifanya nchi yetu kua himaya ya mjanja wa mjini mmoja.

    11. #228
      ralphjn's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Posts : 116
      Rep Power : 374
      Likes Received
      13
      Likes Given
      0

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Quote By Baija Bolobi
      Mbona umegeuka wakati jina lako ni "RUTASHUBANYUMA" yaani "Asiyerudi nyuma"?
      Kwa hiyo kwako wewe, CCM kuwavumilia/kuwaogopa mafisadi ndani ya chama na kuwaambia kuwa wapime na kuamua wenyewe ndiyo demokrasia?

      Ndugu yangu Ruta, hiyo unayosema kuwa demokrasia si demokrasia ni "Anarchic democrasy" ambayo inaweza kumpa uhuru baba mtu kumbaka binti yake huku ikiwanyima watu uhuru wa kuhoji hilo tendo. Think twice!
      Huyu hawezi kuwa Rutashubanyuma,na kawezi tokea mkoa wa kagera.Labda amekuwa adopted lakini asili yake ni bagamoyo na Rutashubanyuma ni A.K.A.yake.Na huyu aliyeandika habari hii either
      1.Ana ubia na magamba
      1.Amepewa kofia ya njano au t-shirt ya kijani na magamba
      3.Bado anajua MJKN yuko hai na yuko madarakani
      4.Amekula chumvi ya kutosha
      na mengine kama hayo
      4.

    12. #229
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwahi kunena na hapa na nukuu "Ikulu hawezi kwenda mtu kwa majaribio" hapa alikuwa na maana hatuwezi kumpeleka Kiongozi Mkuu wa Nchi Ikulu kwa kumjaribu na tukifanya hivyo tutakuwa tumekosea sana, mimi sipingi chama chochote cha upinzani kwenda Ikulu ila naungana na ndugu yangu Ruta kuwa hata hao Chadema hawako tayari kwenda Ikulu, napendekeza tuwape nafasi ya mwisho CCM warekebishe makosa yao waliyoyatenda ili tuvuke kwenye hili dhoruba, utayari wa kuwakabidhi Nchi vyama vya upinzani bado na Wnainchi wengi wanaoshabikia upinzani kwa sasa itakapofika muda wa uchaguzi watabadirika na kukipigia kura CCM amini usi amini!
      Hemed Maronda udumu kwa fikra sahihi za mwenyekiti..................um enikumbusha mengi sana........
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    13. Aza
      #230
      Aza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd February 2010
      Location : popote
      Posts : 1,413
      Rep Power : 715
      Likes Received
      119
      Likes Given
      263

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      hakuna jipya litaloletwa na ccm kwa mfumo huu mfu na wa kifisadi uliopo
      kila kukicha uozo unazidi kuongezeka na aihitaji uwe na PhD kuliona hilo...
      kije chama kipya na mfumo mpya au ccm ITOKE kabisa katika mfumo huu uliopo kwa kuzaliwa upya then tuone mwanga katika nchi hii

      yani nchi imejaa majangili,mafia na wauaji waziwazi???
      A 'parliament' is not only made up of our dear politicians,but is also a group of owls.
      The greedy people are the victims to the evil people.

    14. #231
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Huyu hawezi kuwa Rutashubanyuma,na kawezi tokea mkoa wa kagera.Labda amekuwa adopted lakini asili yake ni bagamoyo na Rutashubanyuma ni A.K.A.yake.Na huyu aliyeandika habari hii either
      1.Ana ubia na magamba
      1.Amepewa kofia ya njano au t-shirt ya kijani na magamba
      3.Bado anajua MJKN yuko hai na yuko madarakani
      4.Amekula chumvi ya kutosha
      na mengine kama hayo
      4.
      tatizo la wanacdm ni kuwa mkipigwa dhoruba ya nguvu ya khoja mnakimbilia kuwa kahongwa........au siye yeye n.k lakinikamwe hamtaki kujibu khoja dhidi ya mapungufu ndani ya cdm....... @............kuweni wazi yakuwa sote ni wanadamu na tuna mapungufu mengi......................... ....hata kama cdm ni wema katika unafiki wao..........
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    15. #232
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      hakuna jipya litaloletwa na ccm kwa mfumo huu mfu na wa kifisadi uliopo
      kila kukicha uozo unazidi kuongezeka na aihitaji uwe na PhD kuliona hilo...
      kije chama kipya na mfumo mpya au ccm ITOKE kabisa katika mfumo huu uliopo kwa kuzaliwa upya then tuone mwanga katika nchi hii

      yani nchi imejaa majangili,mafia na wauaji waziwazi???
      Aza umelonga..........mfumo mpya jambo ambalo si ccm au cdm wanalifanyia kazi zaidi ya kutumia muda mwingi kupigana mieleka kwenye majukwaa...................... ....
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    16. #233
      ZionTZ's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th October 2009
      Posts : 897
      Rep Power : 668
      Likes Received
      128
      Likes Given
      131

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Quote By Rutashubanyuma
      KakaKiiza......be real........ninachongelea ni mfumo wa kidemokrasia kwanza siyo kweli chadema wapo kwa miaka 5 tu walikuwepo kuanzia 1993-95 sasa hiyo ni karibu miaka 20 hivi wamefanya nini kuimarisha demokrasia ndani ya chama chao................angalia mbowe jinsi alivyojirundikia madaraka... yeye ndiye kinara bunggeni na ndani ya chama akija majukwaani anahubiri kufuta kofia mbili mbili wakati yeye kavaa tatu tau.

      Huo ni unafiki ambao lazima tuusema tu bila ya kujali mapenzi ya chama...........
      katiba ya tanzania ina rangi gani??

    17. #234
      Doreen22's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd June 2012
      Posts : 478
      Rep Power : 604
      Likes Received
      69
      Likes Given
      7

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Why tuthink kuhusu wao kila siku, tuwaachie wengine pia, cause hata wenzao wenzao walipokuwa wanaanza kuila Nchi walishindwa kudeal nao, offcourse itakuwa walikuwa wanakula wote!, wapinzani ndio waliowaumbua though mwanzo walitaka kukataa na kujifanya wakali, documents mbalimbali zilizothibitisha uhuni waliokuwa wanaifanyia nchi, ziliwafanya kunyong'onyea, so tuwapishe viongozi wanaoweza kuwawajibisha viongozi wabovu bila kuwaogopa, kuwaficha, kuwasafisha kwa kujitahidi kutetea upuuzi wao positively ili kuwapumbaza Wananchi na kuwaonea aibu wenzao wanaofanya upuuzi kwa jamii na nchi kwa ujumla

    18. #235
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Ruta, kuhusiba ya u Arusha Wananchi waliochagua madiwani wangetimizaje haki ya kuwawajibisha madiwani wahusika wakati katiba ya nchi hairuhusu wananchi wakiona mbunge/diwani hatimizi matakwa yao wamwajibishe zaidiya kusubiri miaka 5 ya uchaguzi ndio wamkatae katika sanduku la kura. Hapa huwezi kuwalaumu viongozi wa CDM walioamua kuwawajibisha madiwani hao. Demokrasia yetu ni ya kuiga toka nchi za magharibi na demokrasia zinazokua kama vile India. Just give us an empirical analysis to which the vetors can by theselves call for a refurendum or impeach any elected leader. Prove me wrong if not the representative-legistrators who are only entrusted to impeach the executive head of state.

      Sasa isiwe concluded kuwa other parties cannot make good president just because the all evils and CCM is a good evil. Au ndio ile better Satan you know than God you don't. But I think that is value judgement. Mimi naona unasema hivyo kwa kuagalia majina. Kwa kuwa Mbowe anayo madaraka mengi au Lipumba au Cheyo so all opposition parties are undemocratic. This is fare judgement
      @.............................u naongea vyema.....................kati ba haijawakataza cdm kuwahoji wanachama wake juu ya mustakabali wa madiwani kutokana na hizo tuhuma kumbuka ni hiyohiyo kamati ya cdm ambayo iliwatuhumu na kuwaita hatiani kwa utaratibu wa kangaroo korti.................zingelip igwa kura za maoni kila kata kujua kama wanakubaliana na hizo tuhuma au hapana na hatua zipi za kuchukuliwa........tusiteteaa dhuluma ambayo hata cdm ipo na inaendelea kushamiri.............
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    19. #236
      Elizabeth Dominic's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 7th December 2007
      Posts : 2,730
      Rep Power : 5462
      Likes Received
      1959
      Likes Given
      2652

      Default

      Quote By Awo
      Rutashubanyuma,
      Samahani, tatizo lako CDM ni mfumo au Mbowe na Slaa as persons au vyote?
      Atasema Mbowe na Slaa wanaonyesha udhaifu wa huo mfumo kwahiyo ndio maana anawajadili.....mimi nimemwambia bila upofu wa mapenzi ya chama hapaswi ku conclude CDM is this and that bila kutazama chama kimetokea wapi na kimejengwa vipi na kiko vipi hivi sasa, madai ya rushwa hakuna atakayekataa, mifarakano ipo pia..... sasa nimeona kuwa bado Rutashubanyuma anaamini kuwa CCM safi inawezekana baada ya hili batch kuondoka as if watapotezwa kwenye uso wa dunia na somekind ya eraser
      na hiyo CCM mpya sijui iundiwe nje ya nchi....yani haileweki
      Rutashubanyuma likes this.

    20. Aza
      #237
      Aza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd February 2010
      Location : popote
      Posts : 1,413
      Rep Power : 715
      Likes Received
      119
      Likes Given
      263

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      ndio ccm hii haitakiwi kabisa kabisa hapa kwa mfumo mbovu uliopo
      mfumo wa kinyonyaji na ukandamizaji na kutojali wanainchi...ofkoz suala ni kuwa na mfumo aaje utaokidhi matwaka ya wanainchi na mustakhabali wa nchi

      adi unajiuliza hii hawa watawala wana nia gani na hii nchi?au wana uraia wa nchi mbili?
      A 'parliament' is not only made up of our dear politicians,but is also a group of owls.
      The greedy people are the victims to the evil people.

    21. #238
      Doreen22's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd June 2012
      Posts : 478
      Rep Power : 604
      Likes Received
      69
      Likes Given
      7

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Why tuthink kuhusu wao kila siku, tuwaachie wengine pia, cause hata wenzao walipokuwa wanaanza kuila Nchi walishindwa kudeal nao, offcourse itakuwa walikuwa wanakula wote!, wapinzani ndio waliowaumbua though mwanzo walitaka kukataa na kujifanya wakali, documents mbalimbali zilizothibitisha uhuni waliokuwa wanaifanyia nchi, ziliwafanya kunyong'onyea, so tuwapishe viongozi wanaoweza kuwawajibisha viongozi wabovu bila kuwaogopa, kuwaficha, kuwasafisha kwa kujitahidi kutetea upuuzi wao positively ili kuwapumbaza Wananchi na kuwaonea aibu wenzao wanaofanya upuuzi kwa jamii na nchi kwa ujumla

    22. #239
      Kyaiyembe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st December 2011
      Location : Kisukuru
      Posts : 1,135
      Rep Power : 604
      Likes Received
      345
      Likes Given
      303

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Quote By Rutashubanyuma
      tatizo la wanacdm ni kuwa mkipigwa dhoruba ya nguvu ya khoja mnakimbilia kuwa kahongwa........au siye yeye n.k lakinikamwe hamtaki kujibu khoja dhidi ya mapungufu ndani ya cdm....... ralphjn............kuweni wazi yakuwa sote ni wanadamu na tuna mapungufu mengi......................... ....hata kama cdm ni wema katika unafiki wao..........
      Huko sawa tatizo ni kusema kuwa CCM ni bora!
      Ubovu waliotuonyesha unatosha! wakae pembeni.
      Wawe wapiga filimbi maana wanajua njia za wizi zote, watatusaidia.
      "Ikulu ni mahala PATAKATIFU,
      mimi sikuchaguliwa kuja kupageuza kuwa pango la wala RUSHWA."
      By J.K. NYERERE.

    23. #240
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Why tuthink kuhusu wao kila siku, tuwaachie wengine pia, cause hata wenzao wenzao walipokuwa wanaanza kuila Nchi walishindwa kudeal nao, offcourse itakuwa walikuwa wanakula wote!, wapinzani ndio waliowaumbua though mwanzo walitaka kukataa na kujifanya wakali, documents mbalimbali zilizothibitisha uhuni waliokuwa wanaifanyia nchi, ziliwafanya kunyong'onyea, so tuwapishe viongozi wanaoweza kuwawajibisha viongozi wabovu bila kuwaogopa, kuwaficha, kuwasafisha kwa kujitahidi kutetea upuuzi wao positively ili kuwapumbaza Wananchi na kuwaonea aibu wenzao wanaofanya upuuzi kwa jamii na nchi kwa ujumla
      Doreen22 haya ni mawazo mazuri ukiwa upinzani lakini ukiingia madarakani na mfumo uleule wa ki-ccm uajikuta huna uwezo wa kukemea maovu yako mwenyewe.........ni rahisi kukosoa chama cha mwenzio lakini kujikosoa mwenyewe uko bungeni na ndani ya chama kwa kofia tatu tatu kama mbowe na genge lake haitaweaekana kamwe.........
      mharakati likes this.
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    Page 12 of 27 FirstFirst ... 2101112131422 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...