Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

    Report Post
    Page 10 of 27 FirstFirst ... 8910111220 ... LastLast
    Results 181 to 200 of 531
    1. #1
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Nimevipima vyama vya upinzani kwenye mizania yangu ya upembuzi yakinifu na kubaini bila ya mashaka yoyote yale bado havipo tayari kimfumo kutupatia Raisi bora na hizi ndizo nondo zangu zilizonifikisha hapo..:-

      a) Vyama vyote vya upinzani vimeiga mfumo mbovu wa kidemokrasia wa ccm na vinaendeshwa kibabe-kibabe mno na huku wenzao wa ccm kuanzia 2010 walianza kujivua gamba la udikteta pale waliporuhusu wabunge wake wachaguliwe na wananchi moja kwa moja...ingawaje bado wana safari ndefu kwenye hili lakini lazima niwapongeze ccm kwa angalau kujaribu....rushwa na kuingiliwa na ngazi za juu katika maoni ya wananchi ni changamoto ambazo ccm itabidi waendelee kuzitafutia muarobaini wake.

      Kwenye hili vyama vya upinzani wapo nyuma na tumeona hata chadema bila ya kupitisha kura ya maoni kwa wapigakura wa Arusha wakitumia kauli za kidikteta kukejeli kura za wanachama wao Arusha pale kamati kuu yao ilipotengua madiwani wakaidi wa Arusha...well, chadema worshippers...that was not democracy at all...it was dictatorship.........face it now before it is too late.....Only the truth will set you free

      b) Vyama vyote vya siasa vyenye wabunge Bungeni vimekumbwa na dhoruba kali la wizi na ubadhirifu wa ruzuku ya hazina na hakuna uthibiti wa aina yoyote ile!!!!!

      Kwa mtazamo wangu kama wapinzani wameshindwa hata kusimamia kidogo ambacho tumewapa ni kwa upuuzi upi utushawishi kuwakabidhi nchi yote?

      Njaa ya viongozi wa upinzani ni kali kulikoni ya viongozi wa ccm ambao pamoja na bandubandu kweli humaliza gogo lakini ccm hawana uchu wa kututafuna kama upinzani walionao.....ccm vibosile wake wamekwisha shiba njaa siyo kali sana kwa kipimo cha malinganisho.................l ol

      c) Mchakato wa katiba mpya umenifungua macho hila na upofu wa wapinzani ambao waliipinga tume kwa vile wao hawajaweka mrija wao ndani yake na kunyonya Hazina baada ya CCM kuwaingiza kingi - au niseme mkenge? - hakuna anayehoji uhalali wa Tume ya kukusanya maoni.

      Wote wanaimba wimbo wa CCM wa ya kuwa tume tajwa haina uwalakini na sasa wamehamia kwenye mabunge mawili ambako wanaona mirija yao ni michache na kwa hiyo wanatafuta namna ya kuiongeza.

      Hii siyo demokrasia hata chembe bali ni ubinafsi tu...period. Mwanamageuzi wa kweli atadai haki hata kama yeye ni mwathirika wa hayo mageuzi siyo yule ambaye hujigeuza mpiga filimbi ya Hamelini pale anapoona masilahi yake yamepigwa na tufani kali sana...anachofanya ni kulinda tonge lake la ugali lisidondokee pabaya tu....lol hao kweli ni wababaishaji tu hawatufai kabisa.........

      USHAURI:

      Hivyo chama chochote kile cha siasa ambacho kitashirikisha wanachama wake katika kuteua viongozi watakaopeperusha bendera za vyama vyao katika ngazi zote ikiwemo ya URAISI, UBUNGE, UDIWANI hadi UENYEKITI WA KITONGOJI kina nafasi njema ya kutupatia viongozi bora...na kutumia utaratibu huohuo katika kuwavua madaraka itakuwa imepiga hatua katika demokrasia shirikishi.

      Have your say too...unaridhika na demokrasia ndani ya vyama vya siasa hasa hivi vya upinzani hata sasa kuviamini kutupatia Raisi na viongozi wengineo bora bila ya kutushirikisha grassroots?
      Last edited by Rutashubanyuma; 6th June 2012 at 12:01. Reason: spelling..................duh
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    2. Study Abroad

    3. #181
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Rais wa Tanzania atapatikana 2015. Atakayetufaa ndiye na atoke popote poa poa tu. Ila asije akawa yule mgombea wa eac aliyeshindwa. Anaweza kutunga sheria tuandike upya vibatu vya historia ya tz imekosewa
      Tangawizi hivi tangia lini raisi husimamia uandishi wa vitabu vya historia?
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    4. #182
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      JK si ndiyo Rais Bora??????, au mmeanza na propaganda.
      STEIN ni wanachama wangapi wa ccm walihusishwa na uteuzi wa jk kuwa mgombea wa ccm kama siyo kutozisoma khoja za kimsingi za uzi huu?
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    5. #183
      Hofstede's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th July 2007
      Posts : 3,604
      Rep Power : 21340
      Likes Received
      981
      Likes Given
      988

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Rais bora atatoka kwenye mfumo bora wa uchaguzi. rais bora atatoka kwenye chama bora ambacho kimejengwa kwa misingi bora. Rais bora ni yule aliyezunguukwa na watu bora wasiokuwa na tamaa ya mali wala wizi kwa Taifa. Rais bora ni yule ambaye atakayeona kuwa uongozi ni service to the people not chance to enrich yourself and your friends. Rais bora ni yule atakayeweka masilahi ya Taifa mbele kabla ya yale ya chama cha siasa.

      Mwisho kabisa Rais Bora ni yule atakayechaguliwa na wananchi bila ya kukingiwa kifua na usalama wa Taifa, jeshi wala polisi. Huyu ndiyo rais bora maana atakuwa kwa ajili ya waliomchagua si walimuweka madarakani. CCM inakosa vigezo vya kutoa rais bora. Kwa mfumo wake si mfumo bora.

    6. #184
      STEIN's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th August 2010
      Location : Arusha
      Posts : 1,341
      Rep Power : 714
      Likes Received
      306
      Likes Given
      156

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Quote By Rutashubanyuma
      ritz..swali zuri kwanza hawashirikishi wanachama wao katika zoezi lolote la kuteua wagombea ikiwemo ya uraisi............ni wlaaji wachache pale Dar hulifanya hili zoezi kwa kudai ni nguvu ya wanachi..people's power......................... .what a nonsense that is............

      people's power will never be mbowe with his hand picked den of thieves....................... ..........lol
      Na kweli CDM hawatoi Rushwa maana ndiyo Ushirikishwaji mliozoea nyinyi... Poleni sana waTZ wamebadilika.
      “Problems cannot be solved by the same level of thinking that created them.”“Insanity: doing the same thing over and over again and expecting different results.”" by Albert Einstein"

    7. #185
      Young zee's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st April 2012
      Posts : 279
      Rep Power : 414
      Likes Received
      67
      Likes Given
      30

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      [QUOTE=Rutashubanyuma;4001738]

      Kwenye hili vyama vya upinzani wapo nyuma na tumeona hata chadema bila ya kupitisha kura ya maoni kwa wapigakura wa Arusha wakitumia kauli za kidikteta kukejeli kura za wanachama wao Arusha pale kamati kuu yao ilipotengua madiwani wakaidi wa Arusha...well, chadema worshippers...that was not democracy at all...it was dictatorship.........face it now before it is too late.....Only the truth will set you free

      Njaa ya viongozi wa upinzani ni kali kulikoni ya viongozi wa ccm ambao pamoja na bandubandu kweli humaliza gogo lakini ccm hawana uchu wa kututafuna kama upinzani walionao.....ccm vibosile wake wamekwisha shiba njaa siyo kali sana kwa kipimo cha malinganisho.................l ol

      /QUOTE]

      Kwenye RED katafute watu wa kuwadanganya sio hapa Jf.
      Walioshiba hawafananii hao uliowataja!!!!! Wameingilia BENKI KUU (EPA), Wanadumaza/kuua mashirika ya UMMA Viz., ATCL, TANESCO,NASACO na Viwanda vilivokuwa vinafanya vizuri.eeh kweli hawana njaa!!!

      Wanahujumu rasilimali zetu Viz., uuzaji wa wanyama hai nje ya nje, madini, Magogo etc mmh! kweli hawana njaa.
      Mkuu tafuta singo nyingine mana hii hainiingii kabisaaaaa.

      Kwenye BLUE hakuna DEMOKRASIA kwa sababu mtego wenu wa panya umeteguliwa siyo????
      Kamwambie Pinda na Chiligati wawasaidie maana ndo waliokuwa wanawapa kichwa!!!!

      I urgue you to THINK BIG next time before you post this bull-shit information!!!!

    8. FemaTV & Radio

    9. #186
      Edson's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2009
      Posts : 7,308
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1799
      Likes Given
      433

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Quote By Rutashubanyuma
      Edson kama kweli unataka kuwasaidia ndugu zako wa cdm wachukue dola waambie wajivue gamba l amfumo wa ccm hapo ndipo watakapoanza kueleweka................,lol
      hebu nieleze kwa kifupi juu ya mfumo wa chadema wa sasa na ule wa ccm, nieleze vision na mission na pia objective zao.....usitake kulazimisha mambo kaka....umeonyesha kuchemka katika thread yako sana tena sana... bado una tatizo kubwa sana....wananchi wao wameshajua ni chama kipi wanakiona kitawatoa hapa walipo...
      I'm Naturaly Evasive..

    10. #187
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Naona uko obsessed na Democrasia, ukitaka kujua madhara ya Democrasia, Imani uliyonayo juu yake ndiyo itakayokuponza, Unabehave kama mtu kutoka outside this world,nashindwa kutofautisha unachoking'ang'ania hapa na namna vijana wa primary school and secondary ambavyo huwa wanaipokea agenda ya Demoracy na slogan yake ya Government of the People, by the People, for the People bila kuelezwa jinsi ilivyo kuwa poisonous and deadly.

      Labda kama unataka kuchangamsha Balaza, lakini kiukweli kabisa ningetegemea uderive points zako from so many angles, including the type of governance which made Great Britain the first Industrialized Nation and Powerful of the famous history we know, au the type of Givernance during the King Nebukadneza whose Kingdom is procraimed in the Bible to be the most powerful Kingdom of man in the world since the foundation of both the earth and Heaven were founded.

      Then udodose juu ya German during the reign of Hitler,then you draw yourself to the present age and tell us the beauty and perfectness of the democratic Governance of China which is making it the only nation likely to challenge USA as the world's powerful nation.

      My Land Brother Rutashubanyuma, only then will I ask my mind to listen to this kind of ideology which is only meant to frustrate the wind of CHANGE raging in our Country. Excuse me dear sir.
      wind of change? give me a break and i truly merit it...................Sangaraa

      Afrika will remain more or less the same with the rulers least accountable to the voters because we stammer to even pronounce the terminology democracy..............histori cal analysis for what while you can hardly comprehend who votes in TZ and why? you can hardly visualize regime change under cdm..................why should I bother with such complex matters like the supreme reign under Nebuchadnezzar.........of all leaders of great resolve and ordered by the Almighty God to teach His people why they were being punished.........for iniquity..........of course.......In fact i see no direct correlation at all.......
      Last edited by Rutashubanyuma; 6th June 2012 at 14:38.
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    11. #188
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      hebu nieleze kwa kifupi juu ya mfumo wa chadema wa sasa na ule wa ccm, nieleze vision na mission na pia objective zao.....usitake kulazimisha mambo kaka....umeonyesha kuchemka katika thread yako sana tena sana... bado una tatizo kubwa sana....wananchi wao wameshajua ni chama kipi wanakiona kitawatoa hapa walipo...
      Edson kiri huna majibu ya swali nililokuuliza................. ...na hizo speculations zako time is the best teacher....................... ila khalakhala msisingizie kuibiwa kura.......ushindi wa majimbo machache ya uchaguzi usiwatie kiwewe................
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    12. #189
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Kwenye RED katafute watu wa kuwadanganya sio hapa Jf.
      Walioshiba hawafananii hao uliowataja!!!!! Wameingilia BENKI KUU (EPA), Wanadumaza/kuua mashirika ya UMMA Viz., ATCL, TANESCO,NASACO na Viwanda vilivokuwa vinafanya vizuri.eeh kweli hawana njaa!!!

      Wanahujumu rasilimali zetu Viz., uuzaji wa wanyama hai nje ya nje, madini, Magogo etc mmh! kweli hawana njaa.
      Mkuu tafuta singo nyingine mana hii hainiingii kabisaaaaa.

      Kwenye BLUE hakuna DEMOKRASIA kwa sababu mtego wenu wa panya umeteguliwa siyo????
      Kamwambie Pinda na Chiligati wawasaidie maana ndo waliokuwa wanawapa kichwa!!!!

      I urgue you to THINK BIG next time before you post this bull-shit information!!!!
      hapa hakuna hata cha kumjibu kwa ni hata upembuzi wa uzi uliopo mbele yake hana..........wastage of time to argue with a fool........nobody will notice he difference........nikibishana na huyu... @...................who will know the difference.................... .ukiona matumizi ya bullshit ujue kichwani ni sifuri tupu........
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    13. #190
      webondo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2012
      Location : Chini ya mwembe
      Posts : 1,167
      Rep Power : 588
      Likes Received
      178
      Likes Given
      381

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Nimepita tu!
      Kimox Kimokole likes this.

    14. #191
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Rais bora atatoka kwenye mfumo bora wa uchaguzi. rais bora atatoka kwenye chama bora ambacho kimejengwa kwa misingi bora. Rais bora ni yule aliyezunguukwa na watu bora wasiokuwa na tamaa ya mali wala wizi kwa Taifa. Rais bora ni yule ambaye atakayeona kuwa uongozi ni service to the people not chance to enrich yourself and your friends. Rais bora ni yule atakayeweka masilahi ya Taifa mbele kabla ya yale ya chama cha siasa.

      Mwisho kabisa Rais Bora ni yule atakayechaguliwa na wananchi bila ya kukingiwa kifua na usalama wa Taifa, jeshi wala polisi. Huyu ndiyo rais bora maana atakuwa kwa ajili ya waliomchagua si walimuweka madarakani. CCM inakosa vigezo vya kutoa rais bora. Kwa mfumo wake si mfumo bora.
      hizo sifa cdm wanazo..........angalia mbowe ana sifa zipi na wasaidizi wake wa karibu.........we are in deep shit politically nowhere to run and hide.......................... ....
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    15. #192
      MAMMAMIA's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 25th February 2008
      Location : Near You
      Posts : 3,794
      Rep Power : 3256
      Likes Received
      1496
      Likes Given
      1206

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Quote By Rutashubanyuma
      MAMMAMIA mie nishabikie uozo wa ccm am i that stupid? rudia uzi utaona nimebaini hayo mapungufu yote bila ya huruma..............
      Nimerudia na kweli umetaja hayo mapungufu. Samahani kwa "kutia mawazo yangu ndani ya kinywa chako."
      "JF - SAUTI YA WASIO NA SAUTI ............ na wapayukaji"

    16. #193
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Na kweli CDM hawatoi Rushwa maana ndiyo Ushirikishwaji mliozoea nyinyi... Poleni sana waTZ wamebadilika.
      STEIN keep on dreaming TZ hawapendi rushwa kuanzia lini?
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    17. #194
      Rutashubanyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Location : Arusha
      Posts : 38,733
      Rep Power : 12925
      Likes Received
      4432
      Likes Given
      7462

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Nimerudia na kweli umetaja hayo mapungufu. Samahani kwa "kutia mawazo yangu ndani ya kinywa chako."
      MAMMAMIA.togethr we stand.........and aluta just continue...............
      John 14:14 " If you ask anything in My Name, I will do it"

      John 14:15 "If you love Me, keep My commandments."

    18. #195
      Edson's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2009
      Posts : 7,308
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1799
      Likes Given
      433

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Quote By Rutashubanyuma
      Edson kiri huna majibu ya swali nililokuuliza................. ...na hizo speculations zako time is the best teacher....................... ila khalakhala msisingizie kuibiwa kura.......ushindi wa majimbo machache ya uchaguzi usiwatie kiwewe................

      now i can see the color of your brain....huwezi na hujiamini kusimamia kile unachokiamini..kuanzia thread yako mpaka hizi comment zako... hutaki kukiri tatizo lako....tatizo lako halina toafauti na lile alilo nalo jk...( captive of your own identy living in prison of your own creation).....na ndio maana unakuja na thread zenye kipenyo cha pete...usilete kwa GT thread za kijinga namna hii na kama wamekutuma kawaambie '' nimeenda na nimewakuta bado wako macho hawajalala''
      I'm Naturaly Evasive..

    19. #196
      Kyaiyembe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st December 2011
      Location : Kisukuru
      Posts : 1,135
      Rep Power : 604
      Likes Received
      345
      Likes Given
      303

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Quote By mharakati
      kaka kyaiyembe mimi sina hjizo hulka za kuwasema watu hovyo bwana..kunawa uso, mswaki n.k mimi ni progressive na siyo mnazi wa CCM, nataka kuona mabadiliko yanakuja ya kisiasa na yale ya kijamii na kiuchumi. lakini hii hainipi sababu ya kuchagua chama cha kisiasa haswa kile chenye kasoro za ndani nyingi kama ndiyo mkombozi wa matatizo yetu kama taifa..electoral politics isadanganye watu, democracy ni kitu kikubwa zaidi ya kufanya chaguzi na kubadilisha vyama kila miaka mitano. tunahitaji ushiriki wa watu wengi zaidi kwenye demokrasi yetu haswa vyama vya kijamii, na siyo tu kushabikia vyama na kuwaachia wanasiasa hatma ya maisha yetu.. CDM inafanya kazi nzuri, kuamsha wananchi, kupanua wigo wa demokrasia yetu, kumulika madudu ya CCM na serikali yake, lakini kwa haki na usawa CDM bado hawajawa mbadala wa CCM kwa sasa...kwa kunyooshea tu maovu ya CCM, huku wenyewe wakiwa wanahujumiana, kukiwa na harufu za udikteta na kuhidhi kwa madaraka kwa baadhi ya watu, kukiwa na upungufu mkubwa wa wanachama na viongozi technocrats kuja kuendesha serikali baadae, huku CCM ikiwa na good policies, demokrasia kubwa zaidi ya ndani, na good elements ambazo zikipewa nafasi wanaipeleka hii nchi mahalai fulani...hapa kaka bado hujaniambia kitu
      Hukunielewa ndio nikahisi hukuona vizuri, kumbe wewe unaiombea mabya yaliyo makubwa zaidi!.
      Demokrasia ipi ndani ya chama cha mapinduzi? Shehe Yahaya kuwatisha watu eti atakayempinga Rais atakufa!. Kumzuia Mzee Ghalib asipambane na Karume kwenye kura za maoni.
      Usitutanie bwana!. Hesabu watu wanaotishiwa kuwa sio raia na CCM kisa wametaka kuwa viongozi.
      "Ikulu ni mahala PATAKATIFU,
      mimi sikuchaguliwa kuja kupageuza kuwa pango la wala RUSHWA."
      By J.K. NYERERE.

    20. #197
      marrykate's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th March 2012
      Posts : 350
      Rep Power : 433
      Likes Received
      112
      Likes Given
      190

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      siasa mchezo mbaya jamani kila mtu anaangalia maslahi yake, nyie mlioko majuu ndo mnajifanya kuijua sana siasa, rudini hapa kwanza muwe wanasiasa baada ya miaka 5 hivi, mje mseme haya mnayosema hapa
      Rutashubanyuma likes this.

    21. #198
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,138
      Rep Power : 12551
      Likes Received
      5720
      Likes Given
      739

      Default

      Quote By Rutashubanyuma
      ritz..swali zuri kwanza hawashirikishi wanachama wao katika zoezi lolote la kuteua wagombea ikiwemo ya uraisi............ni wlaaji wachache pale Dar hulifanya hili zoezi kwa kudai ni nguvu ya wanachi..people's power......................... .what a nonsense that is............

      people's power will never be mbowe with his hand picked den of thieves....................... ..........lol
      Rutashubanyuma.

      Kwenye ili naweza kukubaliana na wewe moja kwa moja nikianza na mgogoro wa madiwani Arusha wananchi waliwachagua madiwani lakini Mbowe na Slaa wakawafukuza na kusema ni amri kutoka Makao Makuu Dar es Salaam.

      Cha kushangaza sasa uongozi wa Chadema wanaomba suluhu na Madiwani wa Arusha na kuwaomba wafute kesi yao ya msingi mahakamani ya kufukuzwa uanachama wao! watapewa nafasi zao za Udiwani...bahati mbaya Madiwani wamekataa wanataka kwanza wapewe nafasi zao za Udiwani ndio wafute kesi ya msingi.

      kama unakumbuka kitendo cha wabunge wa Chadema kutoka nje ya ukumbi wa Bunge na kuacha mjadala ukiendelea na hatimaye kupitishwa kwa muswada wa mabadiliko ya Katika Mpya kulilaaniwa na wadau wa demokrasia nchini ilikuwa ni amri kutoka kwa Mbowe na Slaa...Shibuda alipinga nadhani unaona matatizo yanayomkuta.

    22. #199
      Kaitampunu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th November 2011
      Location : Kwenye Corner
      Posts : 653
      Rep Power : 508
      Likes Received
      137
      Likes Given
      195

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Quote By james chapacha
      Rutashubanyuma WAGAISA,chonka wagaima omugusha!

      ,
      Mwami, agataina mugusha tigaya kandi tibaganywa shana gachumbwa enkonyagi! Byakwebile?
      Rutashubanyuma likes this.

    23. #200
      Kyaiyembe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st December 2011
      Location : Kisukuru
      Posts : 1,135
      Rep Power : 604
      Likes Received
      345
      Likes Given
      303

      Default Re: Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

      Hivi Ruta umeingia kule nilikokuelekeza na Je umeelewa nini kwenye post ya #88?.
      Rutashubanyuma likes this.
      "Ikulu ni mahala PATAKATIFU,
      mimi sikuchaguliwa kuja kupageuza kuwa pango la wala RUSHWA."
      By J.K. NYERERE.

    24. Miaka 50
    Page 10 of 27 FirstFirst ... 8910111220 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...