sizungumzii hayo mambo yake ya kupiga vita ufisadi etc
nazungumzia kwa mtazamo mwingine kabisaa ambao nyinyi ma great thinkers mnajua ni upi na hasa kuwa na jirani kama huyu
I'm very uncomfortable kuwa na jirani kama huyu.
sizungumzii hayo mambo yake ya kupiga vita ufisadi etc
nazungumzia kwa mtazamo mwingine kabisaa ambao nyinyi ma great thinkers mnajua ni upi na hasa kuwa na jirani kama huyu
I'm very uncomfortable kuwa na jirani kama huyu.
hujaeleweka..na hiyo ni tabia mbaya ya kuchungulia mambo ya kwa majirani zako ..why dont you mind your own business?
______________________________ _
Niko tayari kufa huku nimesimama kuliko kuishi huku nimepiga magoti....
ni vizuri ujali yaliyo ndani ya nchi yako na dhahma zote kabla ya kuanza kuhangaika na majirani zako.... Joyce Banda hayuko zanzibar, hajatuletea udini, hayupo arusha, hayupo kwenye radar, hayupo kwenye EPA, Joyce si ajabu wala hajui kwamba tuna migomo ya madaktari iliyoua, wizi wa ajabu kwenye mawizara nk.
Tafadhali epuka kuanza kuhangaika na wachawi wakati uchawi umebeba mkono wewe mwenyewe............ it is a sickness of our country, kuna tamko la kutaka wakristu wote waondoke baraza la mitihani, nini maana yake kwa mfano?? je watasema na wasahihishaji wa mitihani wabadilike?? na wakibadilishwa, vipi hao wanaokuja watakua wapagani au waislamu?? wakiwa waislamu watasahihisha tofauti?? kama ndio... je tuwe na shule za kidini tu tuache community??
our president yote hayo kakaa kimya anazunguka na track suti kupiga jaramba na picha............ nk
MAADUI ZETU NI MIMI NA WEWE, TUNAOANGALIA SHIDA ZETU NA SASA TUNATAKA KUANGALIA YA JIRANI WAKATI KWETU KUNATEKETEA..........
FUNGUKA NA UACHE YA JIRANI
Kama Vipi nipotezee tu; ntakuboa....
Mbona hujawa uwazi!
Great Thinkers@work
Kuwa wazi kama ni ndoa za njisia moja kwa yeye na nchi yake sio tatizo Lakini sio hapa Tanzania
hii habari kimini
when love goes wrong,nothing goes right.
Tusikimbie sana hoja ya mada. Ni busara kukabiliana na maadui zako wote hasa kwa kutoa kipau mbele kulingana na masilahi ya taifa. Mtoa mada hajafunguka, na nafikiri hii ndo inapelekea kuoneka kama udaku hivi ambao unachochea hasira kwa wachangiaji kuona kwamba hakuna kitu. Mtoa mada asema uhatari wa huyu kwa taifa letu na tusipuuze. Great Thinker ni pamoja na kupokea taarifa na kufanyia utafiti kabla ya kuhukumu/kucomment. SaZaidi ya hapo ni kukurupuka tu. Huyu mtu anaoneka type ya akina Mabutu.
Love everybody, trust no body. If you can not convince them, confuse them. If you can not teach them, cheat them.
Kama Vipi nipotezee tu; ntakuboa....
Follow Us Here