sizungumzii hayo mambo yake ya kupiga vita ufisadi etc
nazungumzia kwa mtazamo mwingine kabisaa ambao nyinyi ma great thinkers mnajua ni upi na hasa kuwa na jirani kama huyu
I'm very uncomfortable kuwa na jirani kama huyu.
sizungumzii hayo mambo yake ya kupiga vita ufisadi etc
nazungumzia kwa mtazamo mwingine kabisaa ambao nyinyi ma great thinkers mnajua ni upi na hasa kuwa na jirani kama huyu
I'm very uncomfortable kuwa na jirani kama huyu.
Kama kuna maafisa wa Inteligensia nchini wangekuwa wanakomba kilichopo hapa!
Huyu kibaraka mkubwa wa mabeberu sijui ni kwa nini Jeshi lisiwe deployed kwenye border immediately.Hiyo pia ni mbinu ya kidiplomasia.Hii ni dalili kwamba mabebeu wa magharibi wameanza kuichoka Tanzania hasa baada ya meli za Iran kusajiliwa kupitia jina la Zanzibar
Pia ni fedheha iliyoje kwa Africa kuendelea kukumbatia mipaka ya kikoloni ilihali wao wanatoka huko.Pia inaonekana itakuwa nguimu sana Afrika kuungana unapokutana na vibaraka kama Joyce Banda.Sijui vijana wa Malawi wanajisikiaje kuongozwa na this puppet? ingawa hata sisi tuna wakoloni weusi lakini tunaendelea kupambana kuwaondoa .Nilionya hapa JF siku moja waliokuwa wakimshangilia huyu mama.Tunapenda mno vitu vipya
Wametuonyesha Jeuri ya ukaburu,tuwaonyeshe jeuri ya Umkhontho we sizwe kupitia Red Brigade.Tukiwaonyesha woga wetu, itakua silaha imara zaidi kwao kutumaliza-Ben Saanane
Mwacheni huyo Mama Banda aendelee na majeshi yake KUFANYA UTALII WA KIVITA ndani ya ardhi yetu mwisho wa siku atalaani kilichomtuma kwa uchokozi wote huu wa wazi.
Kwataarifa tu, baadhi ya wataalam wake wa muhimu sana huyu mama kwa maswala nyeti na madini na gesi chini ya ardhi tayari wapo nchini mwetu kwa zaidi ya mwaka sasa pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Habari ndio hiyo.
Pamoja na yote, ni muhimu tena sana Ndugu zetu Wa-Malawi wakachagua kuwa upande mzuri wa historia kwa KUCHAGUA AMANI NA AMANI TU laa sivyo ...
mtoa mada was and is a trully great thinker
kumbe hatupaswi kumshambulia mtu bila kufikiria au kusubiri kuambiwa kwanini aliandika maono kama haya.
mliomshambulia wote nawashauri kuomba tu msamaha wa kawaida kama binadamu.
You may know me but you have no Idea who I am !
Mi nimemwelewa nadhani anamaanisha kuwa Joyce Banda alivyofanikiwa kututia hofu mpaka sasa hivi wanaume wazima tunavyoelekea kugwaya kiasi hata cha kushindwa kutoa msimamo wetu juu ya mgogoro wa mpaka wa ziwa nyasa, aibu gani hii mwanaume mzima unapigwa mkwara na kamwanamke unabaki kuchekacheka tu! hata udhifu una kiwango, jamani inauma!
Wakuu,
Pamoja na mjadala huu kuwa na hoja zilizo nzuri kwa maslahi ya taifa letu, upo uwezekano mkubwa kwamba, maadam mchokozi na watu wake nao wanajua Kiswahili, pengine wako hapa (JF) nasi wakifuatilia kila kinachoandikwa kwa sababu zao za kiintelijensia.
Hivyo tunapoendelea kujadili, si vibaya kutahadhari tusijikute tumemweleza adui kila udhaifu tulionao. Badala yake, tunaweze kujikita katika kuanika kile anachoendelea kufanya katika eneo letu na kile anachokusudia kufanya baadaye.
Wazee wa kule kanda ya ziwa Nyanza wana msemo; Zamani chui alikuwa hajui kukamata shingo la mawindo yake, alijifunza baada ya kusikia mawindo ya kinong’ona kwamba; ‘tunachomoka maana anakamata mikia, siku akikamata shingoni, tumekwisha’
Make love not war JK, JB
[QUOTE=Nyati;4026100]Hata mimi naona hapa amechanganya habari kabisa hakuna kitu kama hicho. Kwa Malawi kuna haja ya kuwa makini nao. Nilikuwa huko April karibu wote wanasema ziwa Nyasa / malawi maji yote yao wao sisi tunatumia isivyo halali. Wanasema ziwa letu ni Tanganyika lote letu. Hivyo kuna shida hapa sijui Serikali yetu inasemaje hapa kwani uongo ukizungumzwa mara nyingi huwa kweli, hata ukiangalia kwenye ramani za kimataifa mpaka unaonyesha maji yote ya Banda na wenziwe. Tungeanzia kwa hawa wasoma ramani kuwachimba
mkwara. ANGALIA HII HAPA CHINI
Note: Maji wanayopakana na Msumbiji hawana shida nayo wanakubalki hilo
[/zmQUOTE]
kwa kweli ziwa hili lote ni la malawi
Kajifunza nini toka kenya alikukuwa anaishi?
"I did not care if the name was Lake Nyasa, Malawi, Banda or Kamuzu, but borders were not negotiable." Tanzania’s president Julius Nyerere.
na speech ya Membe imeandikwa na hao ma agents wa Malawi ambao mnasema wamejipenyeza kwenye serikali ya Tz
mimi naamini hilo
Nawaambieni watanzania kabla huyu jk hajamaliza muda wake atakuwa ametukoroga sana katika udini, majimbo, ukabila, makundi ya wasionacho na wenyenacho.......nyie mchekeeni tu ....anaangamiza taifa tunamwangalia tu!
Follow Us Here