Hiyo ndiyo hali halisi ya mikutano ya CCM siku hizi. Inavyoonekana ni viongozi na magari yao na wachache ambao idadi yao inalingana na bendera walizo nazo.
Hiyo ndiyo hali halisi ya mikutano ya CCM siku hizi. Inavyoonekana ni viongozi na magari yao na wachache ambao idadi yao inalingana na bendera walizo nazo.
Sasa hawa watoto kuwatoa shule kwa ajili ya siasa hivi kweli ni ubinadamu au ilikuwa jumapili?, hawa wanajua kitu kinachoendelea kweli??!! Hivi hawa watoto wanajua maana halisi ya UFISADI ??!? , hivi hawa watoto wanaweza KUPIGA KURA 2015?!!?? hivi hawa watoto wanajua kuwa mashamba makubwa yanauzwa kwa bei ya kutupwa kwa wawekezaji na wananchi wanahamishwa kupelekwa kuanza upya ulimaji kwenye mapori?!?!?! hivi hawa wanajua kuwa juzi juzi tu nyumba za serikali ziliuzwa kwa bei ya kutupwa na leo hii baadhi ya viongozi wanaishi kwenye mahoteli !?!?!??, hivi wanajua kuwa kuna wanyama pori wanaouzwa nje waziwazi kupitia airport zetu?!!?, Hivi wanajua kuwa hali ya uchumi wa Tanzania inazidi kuwa duni kila kukicha chanzo kikiwa hicho chama wanachokipigia dole gumba??!?!?!, Ebwana Nape wewe mtu mzima, hao hawajui zaidi ya kuwa siku hiyo alikuja mtu sana sana aliwapa mabakuli ya uji na slice za mikate kama walipewa baada ya kupiga picha ya pamoja. Nape ongeza bidii, utafanikiwa tu. Ila angalia kuna Mungu ambaye anaweza kukupa dhambi kwa kuwatumia watoto kwenye mambo yasiyowahusu. CCM juu juu zaidi. Mimi siyo mfuasi wa chama chochote ila ni mwananchi mwenye uchungu na maendeleo ya nchi yangu na ni mpiga kura tangia nilipofikia umri wa kuanza kupiga kura.

Poor Nape, you don't even know your position. Yaani wewe mkeo akisutwa na wamama wenzie na wewe unaingilia na kumsaidia kuzomea?????? Sidhani kama hapa JF kuna wakuweza kujidhalilisha kwa kukujibu haya. Nilitegemea haya ungejibu na zile ID zako za Ritz na Reboson!!!!!!
Sent from my BlackBerry 9910 using JamiiForums
Hapo kwenye bold umegonga kunako ubovu.
Inashangaza sana na yeye anapiga kampeni kama akina Lema badala ya kuwaambia wananchi chama chake kimetekeleza kazi gani tangu waingie madarakani mwaka 2010. Je ahadi walizowaahidi wana Njombe zimetekelezeka? Kwa kiasi gani?ikama bado, tatizo nini? Hayo ndio ambayo Nape anapaswa kuwaambia wananchi wa mkoa wa Njombe, mengine ni porojo tu!
A successful man is one who makes more money than his wife can spend. A successful woman is one who can find such a man!
[email protected]
Bwana Candid Scope,
Picha hizo na hasa yenye watu kwenye mkutano imepigwa kwa upande. Je nyuma ya hao watu unajuaje hamna watu wengine?.
Tofauti ya picha ya Dr Slaa na ya Nape ni side au angle picha zilipochukuliwa. Huwezi kulinganisha picha mbili zilizochukuliwa in different angles ili kulete uhalisia.
Ndugu Nape, mimi natumia jina la bandia humu; ila ningekuomba nitafute kwenye PM.
A positive thinker!
Nape tunajua kama wewe ni katibu mwenezi wa ccm lakini hiyo position navyoona ulipewa ili watu wakujue ulivyo empty,ushauri wangu kama huna cha kusema ni bora ukae kimya kuliko kudhihirisha upumbavu wako.A lot is expected from you brother but if this is what you have to offer keep your mouth shut for your own sake.
I am who I am and content.
Hiyo kitu kweli ni appropiate kwa Dr. Slaa? Mimi naona inamfaa yule jamaa wa magogoni. Halafu kwa hadhi ya ukatibu mwenezi kuanza kumuita Katibu mkuu wa CDM Dr. feki ni kujishushia hadhi kwa kweli...
Kweli Nape wewe Gamba gumu wenzio wameshaacha,ona aibu hiyo sasa itabidi na watoto nao waanze kupiga kura...
Kama kuna kitu najisikitikia katika maisha yangu, ni kusoma Chuo Kimoja na wewe Nape.
Yaani wasifu wangu(CV) unanitambulisha kuwa nilipata Elimu yangu pale Upanga; kwa masomo ya jioni kwa Dr. Andrew Mbwambo.Nawe utaandika hivyo hivyo katika wasifu wako.
Hivi ulimalizaga kweli?Maana najua ulikuwa unasuasua sana darasani..
Poor me!
NGUVU YA UMMA
Nape nafasi yako wewe ni ya KUVUTIA WATU kwenye chama kwa kuyaongelea yale ambacho chama kimefanya na kinatarajia kufanya. Lengo kubwa hasa linatakiwa liwe persuasion na siyo confrontation. Hapa JF kuna watu wengi sana hawana kadi za chama chochote na huenda wamejikuta kuwa mbali na CCM baada ya kutoona la maana on ground lililofanywa na CCM katika maisha yao yote ambayo hawajawahi kuona au kusikia utendaji wowote wa serikali isiyojiita CCM. Sasa hawa watu ambao wengi wao ni Generation Y, unatakiwa kuwa-persuade kwa facts ili angalau CCM kiweza ku extend life at least for one term. Ukichukua confrontational approach you will fail as Nape and so does your party.
Unataka kujua majina ya watu ili iweje?, kama mimi nikijiandika kwa jina langu halisi kuwa ni 'KAUNGA KARAME' itakuongezea nini wewe katika hoja zako?. Mfano mzuri wakati wa uchaguzi wa igunga mtu anayejiita 'Nnauye Jr' alikuja hapa na matokeo ya uchaguzi kabla hata msimamizi hajayatangaza na baadae Nape Person siyo ID akakanusha kuwa huyo si yeye je kuna mtu aliendelea kumsakama?.
Kwa kuwa wote tunaandika kiswahili na kwa kuwa wote tunaandika hoja za kuipeleka nchi yetu mbele japo kuna wanaotoa povu ili kulinda matumbo yao basi hiyo inatosha kabisa kukufanya wewe Nape ID kutoa hoja kwa ajili ya kuvutia na si confrontation ambayo huzidi kukimbiza.
OT Question: Naona leo Lukwiri ulikuwa online na wewe uliamka kuangalia life time event ya 'Venus crossing the sun' during sunrise?,
Last edited by Hofstede; 6th June 2012 at 17:05.
Follow Us Here