Hiyo ndiyo hali halisi ya mikutano ya CCM siku hizi. Inavyoonekana ni viongozi na magari yao na wachache ambao idadi yao inalingana na bendera walizo nazo.
Hiyo ndiyo hali halisi ya mikutano ya CCM siku hizi. Inavyoonekana ni viongozi na magari yao na wachache ambao idadi yao inalingana na bendera walizo nazo.
Nnauye Jr, nadhani huu ni ushauri wa maana kwako. Binafsi nikupongeze kwa ujasiri wako wa kujenga na kujibu hoja, big up guy!
Wenzako wengi wameshaukimbia huu mtandao kwa aibu yao!
"Peace is not simply about the absence of violence. It is defined by the presence of fundamental liberties and the prevalence of economic opportunities."
Ha ha ha.Nape,you have lost your temper my friend.Kiongozi,miliki hasira yako.Kubaliana na ukweli,pia ni ukomavu.Usiwe kama yule waziri wa Propaganda wa Sadam Husein.Jibu hoja mkuu,mambo ya ID yanahusu nini hapa,hakuna anayejadili personalities hapa,au mnataka mlete mambo yenu ya taarab ya Ki CCM.Anyway ntakuja Jangwani kumwona Diamond akitumbuiza
"Peace under Poverty-This Scenario is only found in Tanzania,the friend of Tripolitania"
poor you......
Badala ya kutoa povu, ni vyema ungetafiti wapi mlipoangukia ili mkarekebishe mapungufu kujenga chama chako.
Hao unaowaita wanaharakati ndo wanaota mizizi huku mtaani, hao mnaodharau maandamani yao ndo wanachukua wanachama toka wazee mpaka vijana.........
Ccm mnahitaji mpango wa dharura kukinusuru chama, na muachane na sera za kutaka kugawanya watu kidini, divide and rule haifanyi kazi siku hizi...... Hata kundi mnalolitumia kufanya hivvyo linaelekea kuamka......
Huu ni mtazamo wangu,ukikufaa uchukue, usipokufaa uache
Nape,hebu jaribu kuwa muwazi na mkweli!...kweli hakuna tofauti ya hizo picha zako na za Dr slaa?...khaaa!
Napeeeeeee...........
unabwabwaaaaaaaja kama umelishwa *****?????
we tulia, kama watoto mnao sasa unawasiwasi gani wa kuendelea kutumika na magamba????????
kwani huko uliko sijui ni mtwara sijui ni wapi, upo na nani??????
wewe unaeneza siasa chafu za maslahi kwa baadhi ya wakoloni wenzetu, wao wakubwa zako wako wapi????kama sio wanabeembea na kunywa mbege hko Moshi??????
jitizame wewe, wajanja wanakula na wewe unajimiiiiiiinya kupingana na nguvu ya umma, ila sio kosa lako, kosa ni kwamba UMESHIKIWA REMOTE, so wale wanakupeleka vile wanavyoweza na wew unaenda tu kama jing'ombe
kweli bwana filipo ngoja niongezee kidogo hoja yako
nape na ccm yao wanasubiri tu muda ufike kwani haijulikani wanafanya nini kila siku wanakuja na mambo mapya hakuna la maana yaani ukiunganisha matukio na maneno na matendo ya serikali hata hawajui nini wanatakiwa kufanya.
nape na wote mmekaa kikao dom mkasema wajivue gamba ukazunguka nchi nzima na kuwataja baadhi ya watu leo hii hakuna hata mmoja na wengine wanazidi kupewa nyadhifa mbali mbali ndani ya chama na serikali na wana ccm wenzako wenyeviti kamati za bunge sito ona ajabu mawaziri walioondolewa wakapewa ukurugenzi ubalozini .
si msemei mtu mimi binafsi nimewachoka hata nikawaoona nasikia kutapika mnanuka harufu ya ubaya
watu wanateseka kwa ajili ya chama chenu kushika dola unaibiwa, ukienda police inabidi utoe pesa ndio usaidiwe ,damu hospital lazima utowe mfukoni.ukitaka uongozi ccm lazima uwe na pesa za kuwapa wapiga kura .
acha angalia shida au mtatuwe shida zilizopo ...hayo mnayofanya hayawasaidii
For tommorow belonging to those people who prepared fo it
Mheshimiwa Nnauye Jr usikate tamaa endelea kuimarisha uhai wa chama tawala. Wapinzani wako wanakwenda kwenye uwanja wa mapambano kama "team" ikijumuisha mtendaji mkuu (Katibu Mkuu) na wabunge wao; wewe mbona kama wamekuacha peke yako "Front line"?
"Effective leadership is not about making speeches or being liked; leadership is defined by results not attributes" Peter Drucker
"Peace under Poverty-This Scenario is only found in Tanzania,the friend of Tripolitania"
Follow Us Here