Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Lema kaka yangu nikufarijije?

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 36 of 36
    1. #1
      MARCKO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th June 2011
      Posts : 1,405
      Rep Power : 683
      Likes Received
      153
      Likes Given
      0

      Default Lema kaka yangu nikufarijije?

      Kama Mungu yupo, kweli atakua anaona dhamira yangu dhidi yako kaka yangu. Nimekua nikifikiria sana kwamba kwa matatizo yaliyoikuta haki nchi hii katika jimbo lako yanaweza kukufanya ukajutiat kuwa mkweli na mpambanaji dhidi ya udhalimu wenye ncha kali namna hii kaka yangu!

      Kukuambia usiogope, pole, usisikitike, usihuzunike, hongera, na mengine mengi naona kama haitoshi!!. Wakikutana viongozi wawili au watatu wa serikali kwa ngazi yeyote kupitia CCM, wanasemezana namna ya kuondoa makucha ya Lema shingoni mwa ccm.

      Na kwa jinsi ulivyo chimbia makucha, kukutoa itakugarimu kama ulivyohisi tayari ili kunusuru CCM. Garama utakazoingia nipamoja na kutoa milimita nyingi za hymoglobine kuloanisha udongo au sakafu kaka yangu!

      Mimi nimeajiriwa na hii serikali ila umenijaza hasira mpaka nafikiria kuacha kazi niingie kwenye harakati za kukutetea wewe pamoja na wanasiasa wengine walio hatarini. Usirudi nyuma, maliza safari yako kishujaa, kwani hata ungaliishi miaka 100, usingaliepuka mauti ndugu yangu lema!

      Wanakuogopa kama panya wengi kwa paka mmoja kwa kapaka kadogo kamoja. Endelea kufuta tabasamu lako kwa 'injustices tanzania' maana sasa wanalaumu mama alokuzaa! ¤wana jf just say (yes or no) to this topic.

    2. Miaka 50

    3. #21
      Shine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th February 2011
      Posts : 9,123
      Rep Power : 2416
      Likes Received
      936
      Likes Given
      377

      Default

      Quote By Barnabas Shadrack
      Eti Lema mpambanaji, kwa lipi hasa hadi aitwe mpambanaji?.
      The unseen is illustrated by the seen.
      Ukiwa umetawaliwa na ujinga wa magamba huweziona upambanaji wake ila utaona anawacheleweshea ccm kwenye wizi

    4. #22
      Shine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th February 2011
      Posts : 9,123
      Rep Power : 2416
      Likes Received
      936
      Likes Given
      377

      Default

      Quote By Waberoya
      use paragraphs please
      weka vituo

      halafu ukweli wa Lema ni upi? kusema mwanamke yule kapewa mimba na fulani?? acheni ujinga msifikiri hizi ni mbao za matangazo ya ushabiki

      Lema is just another disaster in this country1

      siku zote akina mama wajawazito wanaheshimiwa , unasimama jukwaani unasema alipewa mimba na yule...badala ya kuuza sera za CDM? halafu ndiye hero wenu?

      kama alilipenda jimbo alitakiwa kuwa makini na domo lake, after all mahamaka imejisafisha, mbona sehemu nyingi tu CDM wameshinda?

      hivi nyie wenzetu akili mmeweka wapi?? kuweni realistic ujinga wa ushabiki huu ndio umeifanya CCM iwe hivi leo...use sense lets your parents feel they have you!!

      kumbuka hii ni JF great thinking na hoja tu!
      Mkuu yafaa ujaribu kuangalia kwanini ccm walitumia mbinu chafu tangia umeya na pamoja ma machafuko hawakujali na sasa wamehamia kwa mbunge huoni kuna kitu magamba wananufaika nacho hapo arusha? Isitoshe hata watumie njama gani jimbo la arusha kulirudisha ni ngumu na itasababisha vita isiyokwisha milele na hata magamba wenyewe wanalitambua hilo sema kuwa na policcm ndo jambo linalowapa kiburi
      Waberoya likes this.

    5. #23
      Comi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd October 2011
      Posts : 960
      Rep Power : 578
      Likes Received
      154
      Likes Given
      2

      Default

      Quote By Waberoya
      use paragraphs please
      weka vituo

      halafu ukweli wa Lema ni upi? kusema mwanamke yule kapewa mimba na fulani?? acheni ujinga msifikiri hizi ni mbao za matangazo ya ushabiki

      Lema is just another disaster in this country1

      siku zote akina mama wajawazito wanaheshimiwa , unasimama jukwaani unasema alipewa mimba na yule...badala ya kuuza sera za CDM? halafu ndiye hero wenu?

      kama alilipenda jimbo alitakiwa kuwa makini na domo lake, after all mahamaka imejisafisha, mbona sehemu nyingi tu CDM wameshinda?

      hivi nyie wenzetu akili mmeweka wapi?? kuweni realistic ujinga wa ushabiki huu ndio umeifanya CCM iwe hivi leo...use sense lets your parents feel they have you!!

      kumbuka hii ni JF great thinking na hoja tu!
      mpambanaji ni mzee wenu wa mipasho chini ya mshauri wake mzee wa kozomewa na mwandishi na... Nau... Kwa mbali akishirikiana na sharobaro wa kujifananisha na marehem sokoine pamoja na mweka chumvi lusinde na mzee wa kulalamika maig.....

    6. #24
      Comi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd October 2011
      Posts : 960
      Rep Power : 578
      Likes Received
      154
      Likes Given
      2

      Default

      Kaka ajuaye siri ya ujauzito ni kitanda, yeye anaishi mchambia wima mambo ya huku hawezi jua,hajua ametoka wapi anaenda wapi, ni mrukiaji wa mada pasipo kujua undani wa topic wala uhalisia wake,watu wa arusha ndio wanaojua umuhimu wa lema ndani ya huo mda mfupi alioongoza kama mbunge,

      Je ni kiongozi gani alinyang'anywa uongozi mji ukazizima kwa huzuni? Mbona kaka yako maige amevuliwa uwaziri nchi nzima imefurahi je ni watanzania wangapi waliumizwa moyoni kwa hukumu ya lema?

      Je wananchi wangapi wanamlaumu? Ogopa hadi baba yako,mama yako dada yako,kaka yako,shangazi,babu n.k wanamheshim mtu na kumjali kwa sababu ya dhamira ya kweli, endeleeni na kujichubua kwenu, sisi kazi kazi hadi tukukomboe, utake usitake la sivyo hama Tz

    7. #25
      mashami's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 8th May 2012
      Posts : 168
      Rep Power : 387
      Likes Received
      23
      Likes Given
      1

      Default Re: Lema kaka yangu nikufarijije?

      GODBLESS LEMA Tumpe moyo,tusiogope,umma utashinda daima

    8. FemaTV & Radio

    9. #26
      nrashu's Avatar
      Member Array
      Join Date : 4th October 2010
      Posts : 52
      Rep Power : 447
      Likes Received
      13
      Likes Given
      19

      Default Re: Lema kaka yangu nikufarijije?

      Quote By Waberoya
      use paragraphs please
      weka vituo

      halafu ukweli wa Lema ni upi? kusema mwanamke yule kapewa mimba na fulani?? acheni ujinga msifikiri hizi ni mbao za matangazo ya ushabiki

      Lema is just another disaster in this country1

      siku zote akina mama wajawazito wanaheshimiwa , unasimama jukwaani unasema alipewa mimba na yule...badala ya kuuza sera za CDM? halafu ndiye hero wenu?

      kama alilipenda jimbo alitakiwa kuwa makini na domo lake, after all mahamaka imejisafisha, mbona sehemu nyingi tu CDM wameshinda?

      hivi nyie wenzetu akili mmeweka wapi?? kuweni realistic ujinga wa ushabiki huu ndio umeifanya CCM iwe hivi leo...use sense lets your parents feel they have you!!

      kumbuka hii ni JF great thinking na hoja tu!
      waberoya! karibu Mwanza. Hivi kutaja mtu aliempa mwanamke mimba ni kosa? Awe kaolewa, hajaolewa, kaoa, hajao, ni kosa? naomba unielimishe manake inaelekea vikao vingi vya koo mbalimbali vitakuwa hatiani.
      isotope likes this.

    10. #27
      Biohazard's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2011
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 1,365
      Rep Power : 991
      Likes Received
      308
      Likes Given
      210

      Default Re: Lema kaka yangu nikufarijije?

      Quote By Barnabas Shadrack
      Jf is the place where we dare to talk openly. We unataka nimpende ili nikuridhishe? naandika kile kilicho moyoni mwangu.
      The unseen is illustrated by the seen.
      Scrap....!

    11. #28
      sk2000's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 19th May 2012
      Posts : 107
      Rep Power : 374
      Likes Received
      14
      Likes Given
      15

      Post Re: Lema kaka yangu nikufarijije?

      Quote By Barnabas Shadrack
      Eti Lema mpambanaji, kwa lipi hasa hadi aitwe mpambanaji?.
      The unseen is illustrated by the seen.
      acha kukurupuka. kama hujui kitu bora unyamaze. labda kama umeahidiwa ulaji wa ukuu wa wilaya mpya
      savanah likes this.

    12. #29
      savanah's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 4th June 2012
      Posts : 4
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      1

      Default Re: Lema kaka yangu nikufarijije?

      A leader is one who knows the
      way, goes the way, and shows
      the way....Just like Mr. Lema himself!

    13. #30
      PakaJimmy's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th April 2009
      Posts : 14,682
      Rep Power : 22519
      Likes Received
      6338
      Likes Given
      2831

      Default Re: Lema kaka yangu nikufarijije?

      Mbinu za kuwadiscourage wapambanaji zinazoratibiwa na watu wa jamii ya Waberoya na Ngongo hazina nafasi tena kwa Watanzania. Kwasasa hakuna anayeongelea suala la mimba ya Lowassa au mwanamke gani sijui, watu wanaongelea ukombozi wa Mtanzania kupitia M4C pioneered by Lema and the likes!

      Nyie mnaoishi kwenye past world ya kufuatilia kauli za kiswahili za uchaguzi wa 2010, sorry-charlie, the world is no longer playing to your beat!
      Mbegu anayopanda Lema sasa hivi ni Ukombozi, Elimu ya uraia, kujuza haki za raia zilizosiginwa, kuhamasisha, kuamsha, na kuandaa wananchi kuchukua nchi yao!

      Harakati za Lema hazitasimama kwaajili yenu, na zaidi sana hamna uwezo wa kusimamisha mishale ya saa!..Siku hazigandi.
      Huo ni UJUMBE KWENU!
      "The only thing that walks back from the tomb with the mourners and refuses to be buried is the character of a man.
      What a man is, survives him... it can never be buried"
      (GENEKAI-Jamiiforums, 4th November 2010 07:32PM).
      [email protected]

    14. #31
      Ndakilawe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th July 2011
      Location : Kumasi
      Posts : 470
      Rep Power : 492
      Likes Received
      53
      Likes Given
      63

      Default Re: Lema kaka yangu nikufarijije?

      Quote By Waberoya
      use paragraphs please
      weka vituo

      halafu ukweli wa Lema ni upi? kusema mwanamke yule kapewa mimba na fulani?? acheni ujinga msifikiri hizi ni mbao za matangazo ya ushabiki

      Lema is just another disaster in this country1

      siku zote akina mama wajawazito wanaheshimiwa , unasimama jukwaani unasema alipewa mimba na yule...badala ya kuuza sera za CDM? halafu ndiye hero wenu?

      kama alilipenda jimbo alitakiwa kuwa makini na domo lake, after all mahamaka imejisafisha, mbona sehemu nyingi tu CDM wameshinda?

      hivi nyie wenzetu akili mmeweka wapi?? kuweni realistic ujinga wa ushabiki huu ndio umeifanya CCM iwe hivi leo...use sense lets your parents feel they have you!!

      kumbuka hii ni JF great thinking na hoja tu!
      Tambwe Hizza punguza jazba baba!

    15. #32
      Hegelyakoni's Avatar
      Member Array
      Join Date : 7th October 2010
      Posts : 31
      Rep Power : 443
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default Re: Lema kaka yangu nikufarijije?

      Kama Mungu aishivyo nawe utaishi,Ni wazi lema umewakamataCCM.nasi tutafunga nakuomba kwa ajili yako maana wewe ni tunda la Mungu.mtu awatumikiaye wenzie kwa dhati ni mtu wa Mungu.

      Mungu ni pendo

    16. #33
      Waberoya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd August 2008
      Location : Busia-Uganda
      Posts : 5,948
      Rep Power : 1742
      Likes Received
      1518
      Likes Given
      2835

      Default Re: Lema kaka yangu nikufarijije?

      Quote By PakaJimmy
      Mbinu za kuwadiscourage wapambanaji zinazoratibiwa na watu wa jamii ya Waberoya na Ngongo hazina nafasi tena kwa Watanzania. Kwasasa hakuna anayeongelea suala la mimba ya Lowassa au mwanamke gani sijui, watu wanaongelea ukombozi wa Mtanzania kupitia M4C pioneered by Lema and the likes!

      Nyie mnaoishi kwenye past world ya kufuatilia kauli za kiswahili za uchaguzi wa 2010, sorry-charlie, the world is no longer playing to your beat!
      Mbegu anayopanda Lema sasa hivi ni Ukombozi, Elimu ya uraia, kujuza haki za raia zilizosiginwa, kuhamasisha, kuamsha, na kuandaa wananchi kuchukua nchi yao!

      Harakati za Lema hazitasimama kwaajili yenu, na zaidi sana hamna uwezo wa kusimamisha mishale ya saa!..Siku hazigandi.
      Huo ni UJUMBE KWENU!
      sawa chalii
      You are not supposed to be so blind with patrotism that you cant face reality. Wrong is wrong no matter who says it. Malcom X

    17. #34
      Waberoya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd August 2008
      Location : Busia-Uganda
      Posts : 5,948
      Rep Power : 1742
      Likes Received
      1518
      Likes Given
      2835

      Default Re: Lema kaka yangu nikufarijije?

      Quote By nrashu
      waberoya! karibu Mwanza. Hivi kutaja mtu aliempa mwanamke mimba ni kosa? Awe kaolewa, hajaolewa, kaoa, hajao, ni kosa? naomba unielimishe manake inaelekea vikao vingi vya koo mbalimbali vitakuwa hatiani.
      vikao vya koo vinakuwa na vipaza sauti, kuwa mtu anasema mama yake nrashu ana mimba ya mwanaume yule asiye mme wake...halafu mnashangilia kwa makofi na vicheko......kashfa is how you speak not necessarily what you speak!! grow up!
      You are not supposed to be so blind with patrotism that you cant face reality. Wrong is wrong no matter who says it. Malcom X

    18. #35
      DALLAI LAMA's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 8th March 2012
      Posts : 2,831
      Rep Power : 0
      Likes Received
      697
      Likes Given
      0

      Default Re: Lema kaka yangu nikufarijije?

      God bless Gobless Lema,a like their politics and da way of aproaching.

    19. #36
      Waberoya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd August 2008
      Location : Busia-Uganda
      Posts : 5,948
      Rep Power : 1742
      Likes Received
      1518
      Likes Given
      2835

      Default Re: Lema kaka yangu nikufarijije?

      Quote By jouneGwalu
      Pamoja na hoja zako hizi zako zote hizi Wabes, sehemu moja unaposhindwa kujipambanua nikuwa ni kiasi gani gani unatarajia mambo kamilifu wengine wanaweza kuwa nayo katika harakati hizi mkuu.

      Naamini katika mapungufu yetu kama watu hapo ndio ninapomsamehe Lema ila wewe na Ngongo mna-muhukumu, kuna point nyembamba sana mnaipuuzia kuwa level ya inteligency haiwezi kuwa sawa kati ya Lema na Mnyika au na Zito ila michango yao inaweza kulingana kutokana na aina ya siasa ya nchi yetu na watu wetu ila yote katika kujenga chama cha demokrasia na maendeleo (rejea harakati za M4C toka ziasisiwe).

      Kwa point hii si sawa Wabes, ni lazima mrejee kwenye harakati za ujenzi wa Afrika huru enzi zile naomba mnitajie kiwango cha elimu cha Zuma na mchango wake kwa ANC.

      Kwanini leo hii mnataka kulazimisha Lema awe sawa na zito au mnyika wakati na nyie ni Great Thinkers pia?
      Unataka tuwe realistic? Sawa, hivi ni kweli kweli hujaona jema la Lema hata moja kweli? Naomba uniambie kuhusu msisimuko wa watu wa Atown na siasa za Atown umesababishwa na nini? Najua utataja factors zote ila ya mwisho lazima iwe Lema!

      Wakuu mnaomchukia Lema lazima tukubaliane kuwa hizi ni siasa za Africa mwisho wa siku, sio haki kumpima kwa vipimo vya siasa za ulaya au America. Hebu tumpime kwa siasa za africa na sana Tanzania kwa kuzingatia uzoba wa watu wake na wa historia yake.

      Hapa namaanisha katika kujenga siasa za harakati na kuwaamsha watu hawa kutoka kwenye huu uzoba na kulala (tunataka mtu wa namna gani?? Mi hapa naamini watz wanataka kiongozi wa mfano, sijui nyie)

      Najua siwezi kukushawishi wewe na Ngongo juu ya hili sababu watz kwenye hizi forums huwa tuna tabia za kuweka ligi ili usionekane umefunikwa ila mjue kuwa pamoja na chuki zetu juu ya CCM, ila kuna masuala tumeamua kusamehe na kuayachukulia kuwa yalikuwa ni makosa ya taifa (Tukirejea yote ya TANU).

      Namaanisha makosa ya TANU yalikuwa makubwa kuliko nyie mlivyoamua kumtundika Lema msalabani kwa makosa yake!!

      Mnasahau kuwa hamna mkamilifu kati yetu sababu tu ya ubinaadamu.

      Kwenye harakati za ukombozi wa taifa tunatafuta watu wenye manufaa kwenye eneo fulani na sio wenye mapungufu kwenye maeneo yote kama mnavyotaka kutuaminisha kuhusu Lema.

      Mapungufu ya Lema nayachukulia kama mapungufu ya kibinaadamu ambayo tukitaka kuchimba tutayapata kwa kila mtu hata hao mnaowaaminia nyie.

      Bado sijaona sababu ya kumtundika Lema msalabani kwenye harakati hizi zangu za mwisho!
      Umesema mengi sana, kuna thread zangi nyingi tu ambazo nimemsifia sana Lema, na kuwa calober yake inahitajika sana nyakati hizi

      sio kuwa natafuta ukamilifu ..la ...kufanya makosa ambayo yanagharimu chama, wananchi na mabadiliko kwa ujumla...hoja zake bungeni zinahitajika mno.......where is he??

      ni kosa kubwa zaidi...Lema alijua anatufutwa, what made him to speak nonsense in the campaign??

      acha afundwe asirudie....!!! kuna makosa hayasemeheki kirahisi na ndio maana akina andres escober walipigwa bastola alipofungisha timu yao mtu ambaye siku zote alikuwa anazuia magoli

      niambie, Lema was wrong, is he regreting?? au kumtetea kwenu huku kuna mjenga au kumwongezea ujinga zaidi?
      You are not supposed to be so blind with patrotism that you cant face reality. Wrong is wrong no matter who says it. Malcom X

    20. Study Abroad
    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...