Natabiri kuwa CUF haina uhai Bara endapo Muungano utakufa!
Natabiri kuwa CUF haina uhai Bara endapo Muungano utakufa!
Utabiri wako "KUNTU"!
Before all else, be armed.
Niccolo Machiavelli
cuf wala muungano havitakufa, ila watu ndio watakufa kwa ajili ya muungano na cuf.
Ife mara ngapi???
Imekufa kitambo na mazishi yalikua ile siku lipumba aliyopokelewa kutoka umoja wa mataifa kusoma speech.
Ni kweli cuf ishakufa ama itakufa Bara kwasababu Watanganyika wengi wamevamia chama chao cha KANISA......CDM. Lakini CCM Zanzibar nayo pia itakufa kwani ishatuchosha na huu MUUNGANO wao na ndio maana Wazanzibar kwa pamoja tupo ktk harakati za kuung'oa Muungano na vibaraka vya muungano....ccmHivyo kufa kwa CUF Bara sio ishu la muhimu ni JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA.........
sasa kama watu km kina jusa ndo viongozi wewe watarajia nini...?
Follow Us Here