Mbunge wa CCM apanda kizimbani
Mbunge wa jimbo la Bahi kupitia chama cha (CCM), Omary Ahmed Badwel amefikishwa katika Mahakama ya Kisutu akikabiliwa na mashtaka mawili ya kushawishi na kupokea rushwa ya shilingi milioni moja.
Source EATV
Mbunge wa CCM apanda kizimbani
Mbunge wa jimbo la Bahi kupitia chama cha (CCM), Omary Ahmed Badwel amefikishwa katika Mahakama ya Kisutu akikabiliwa na mashtaka mawili ya kushawishi na kupokea rushwa ya shilingi milioni moja.
Source EATV
Funga kabisa KIBAKA mzoefu huyu!
"Ikulu ni mahala PATAKATIFU,
mimi sikuchaguliwa kuja kupageuza kuwa pango la wala RUSHWA."
By J.K. NYERERE.
WABUNGE WANGAPI WA CCM ni mafisadi wala rushwa wakubwa na ushahidi upo wazi ( refer sakata la RADA ) mbona hawapeleki mahakamani? kweli NyiyiEM mnamatatizo makubwa
Hiyo haita wasaidia kitu hapa cha msingi watanzania wanajua kuwa mbunge wa Bahi kakamatwa kwa kosa la kupokea au kuomba rushwa hivyo basi hata kama watamsafisha vipi haita wasaidai.Na hiyo yote ni mungu tu ameamua kuwaumbua kwani Kafulila alishasema kuwa huyu jamaa ni mla rushwa mkubwa lakini wajidai kupoteza,sijui na sasa watatueleza nini kweli sikio la kufa halisikii dawa pole sana Mh.Mbunge.
Avuliwe Ubunge,.. Apewe hukumu kama ile ya MubArAK pale Misri..
Nyerere aliwahi kusema kuwa kama mtu umezowea kula nyama ya mtu hutaweza kuiacha kula utaendelea mpaka mwisho wa uhai wako.CCM suala la kupokea na kutoa rushwa ni sehemu ya itikadi yao hivi sini hawa ccm waliwahi kuja na kamsemo ka TAKRIMA.Suala la rushwa kwa CCM Lipo katika damu ya kila mwana CCM hiyo na destuli yao hao kama wamelogwa.
chamsingi awataje wabunge wengine nane ambao nao walipaswa kupewa rushwa
Aibu,,,CCM ni kama mbwa mwitu.Mbwa mwitu wana kanuni moja muhimu sana ya ULAJI,,wakishakula hufuta damu midomoni mwao,Badweli yeye alisahau kufuta madamu mdomoni.Matokeo yake mbwa mwitu wenzake wakamtafuna na yeye kwa kudhani kwamba na yeye ni muwindwa.Wacha tusubiri mwisho wa hii piga ni kupige.
Hebu nipeni namba yake ya simu nimuulize,hivi kulikoni mbunge mzima unaomba rushwa,it's shame,lakini labda itaonekana wanamsingizia ngoja tusikilize sheria pale itasemaje.
Nitamshangaa sana Makinda na jopo lake kama jamaa atakuwepo kwenye bunge la bajeti!
"Peace is not simply about the absence of violence. It is defined by the presence of fundamental liberties and the prevalence of economic opportunities."
I am watching ...!! Comments? ...Coming soon !!!
Never Get Angry; Never Make Threat; Reason With People;
"Napenda the logic of the words because in some ways it says about individual-not to use emotions-when scrutinizing something, whether it involves you or not" ...-by AshaDiii @ Jamiiforums 26th July 2011.
Nasikia amekosa dhamana huyoo anaenda kupakatwa Segerea
Follow Us Here