Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

    Report Post
    Page 5 of 10 FirstFirst ... 34567 ... LastLast
    Results 81 to 100 of 191
    1. #1
      Mzee Mwanakijiji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2006
      Location : Kijijini
      Posts : 29,495
      Rep Power : 46709
      Likes Received
      16329
      Likes Given
      8399

      Default Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

      Kuna maneno na kauli za baadhi ya watu wachache wakizungumza kana kwamba wanawakilisha "wengi". Utasikia mtu anayepinga Muungano anasema "Wazanzibari hatuutaki Muungano" na wakati mwingine kudai "Wazanzibari wengi hawautaki muungano". Sasa mara nyingi wanaposema "wengi" mtu wa kawaida (asiyetaka kufikiri sana) anaweza kuamini kabisa kuwa ni kweli "wengi" hawautaki Muungano.

      Mfano unaotolewa siku za hivi karibuni ni "sahihi 500,000" za wanaodaiwa "Wazanzibari" wasiotaka Muungano. Sasa kwenye mahali ambapo pana watu milioni 1.5 hivi idadi hiyo ni kubwa sana; ni theluthi moja ya watu wote wa Zanzibar. Sasa kama kweli wapo watu wengi hivi njia rahisi ya kutaka kujitoa kutoka kwenye Muungano siyo mihadhara wala hawahitaji kabisa kuwalalamikia watu wa bara au serikali ya Muungano.

      Kwa wanaokumbuka wananchi wa Zanzibar walishinikiza vyama vyao viwili vya CCM na CUF kuunda serikali ya umoja wa kitaifa na waliweza kufanya hivyo baada ya kupitisha sheria ya kura ya maoni ambayo hatimaye iliandika upya katiba ya Zanzibar. Wananchi wakaweza kujitokeza na kupiga kura ya maoni. Walifanya hivi bila kuomba kibali Muungano na kiasi cha kuweza kuandika kwenye Katiba Yao vitu ambavyo ni kinyume na Katiba ya Muungano.

      Sasa kama waliweza kufanya hili ni kitu gani kinawashinda kutaka viongozi wao wa kisiasa kuandia sheria ya kupiga kura ya maoni kama wanautaka Muungano au la? Kwa vile hoja ya kupinga MUungano inadaiwa inakubaliwa na watu wa vyama vyote ni wazi kuwa ni rahisi sana kwa watu wa Uamsho na Wazanzibari wengine kuhakikisha kuwa BLW linapokaa linaazimia kupitisha kura ya maoni kuhusu Muungano na kutaka sheria iletwe ya kuuliza swali la Muungano.

      Swali liwe rahisi tu:

      Je unataka Zanzibar ibakie kwenye Muungano wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania?

      a. Ndio ibakie - Ikibakia kero na matatizo ya Muungano kutatuliwa ifikapo Julai 1, 2014
      b. Hapana isibakie - isipobakia Zanzibar itajitoa ifikapo Julai 1, 2014

      Ijulikane mapema kuwa ikisemwa kuwa "ndio ibakie" manake ni kuwa masuala ya muundo na mfumo wa Muungano yatajadiiliwa na kushughulikiwa kwenye Katiba Mpya na yatakuwa tayari kumalizwa yote ifikapo 2014

      Na ikisemwa Hapana isibakie manae ni kuwa mazungumzo ya kuvunja Muungano yataanza na ifikapo Julai 1, 2014 Zanzibar itajitoa kwenye Muungano.

      Wazanzibar waandae kura hiyo ya maoni wao wenyewe kama walivyofanya kwenye ile ya mabadiliko ya Katiba na lolote watakaloamua Tanzania Bara WATAHESHIMU uamuzi huo.

      Ni rahisi sana kumaliza hoja ya Muungano au kutokuwepo Muungano. Yote YAMO MIKONONI MWA WAZANZIBARI. Hawahitaji kutuambia hawautaki Muungano, hatuhitaji watuambie tunawakandamiza kama wanataka kutoka kweli na siyo mikwara mbuzi njia nyeupeeeee!!! Andikeni sheria, itisheni kura ya maoni, pigeni kuchagua 'b' and then mambo yatakua yameiva ifikapo 2014 tutawasaidia kufunga mizigo.
      [email protected]
      Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji

    2. Miaka 50

    3. #81
      Nyani Ngabu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 15th May 2006
      Location : Ikungulyabashashi
      Posts : 39,172
      Rep Power : 31374
      Likes Received
      9577
      Likes Given
      683

      Default Re: Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

      Quote By Mtu wa Pwani
      kuchomwa makanisa bado hujaona kuwa ni janja wa usalama wa Taifa kutaka kubadilisha motion ya mjadala ?
      Is that a fact or a conspiracy theory?
      Miafrika Ndivyo Tulivyo.

    4. #82
      Mtu wa Pwani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th December 2006
      Posts : 4,250
      Rep Power : 1490
      Likes Received
      159
      Likes Given
      147

      Default Re: Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

      Quote By nyani ngabu
      is that a fact or a conspiracy theory?
      nnaamini unajua kuwa ni ukweli, wazanzibari hawana na tatizo na wakristo, wao wanachotaka ni nchi yao, hizi hoja za udini ni za kupandikiza. Wazanzibar zaidi ya asilimia 90 ni waislamu sasa udini unatokea wapi wakati wote ni waislam takriban?

      Hoja za udini kwa zanzibar si hoja maana ni wengi waislam na hao wachache walio dini nyengine huheshimiwa. Watu wanalazimisha ionekane zanzibar kuna waislam na wakristo tu, lkn ukweli kuna wahindi na dini nyengine na wanaishi kwa salama

      tusaidiane tuweke misingi ya demokrasia kwa kuheshimu kauli ya watu. Wazanzibari kupitia uamsho na jumuia nyengine zanzibar kama umefatilia wanataka nchi yao . Hata bungeni, baraza la wakilishi, tume iliopeleka rasimu yamswaada kuhusiana na katiba mpya kwa pamoja wameonesha shauku ya kutaka nchi yao.

      Naamini ww ni muuumini wa demokrasia usisite kuungana nasi katika kuhakikisha demokrasia inapewa nafasi yake na mabavu anapelekwa kwenye kaburi la sahau.

      Ungana nasi tupate zanzibar yetu yenye mamlaka kamili
      Our job is not to make up anybody's mind, but to open minds and to make the agony of the decision-making so intense you can escape only by thinking. ~Author Unknown

    5. #83
      Nyani Ngabu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 15th May 2006
      Location : Ikungulyabashashi
      Posts : 39,172
      Rep Power : 31374
      Likes Received
      9577
      Likes Given
      683

      Default Re: Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

      Quote By Mtu wa Pwani
      Naamini ww ni muuumini wa demokrasia usisite kuungana nasi katika kuhakikisha demokrasia inapewa nafasi yake na mabavu anapelekwa kwenye kaburi la sahau.

      Ungana nasi tupate zanzibar yetu yenye mamlaka kamili
      Mimi nimeshalichoka hili limuungano la kijinga, kipumbavu, na lisiloeleweeka. Na tulivunje tu.
      Mzee Mwanakijiji likes this.
      Miafrika Ndivyo Tulivyo.

    6. #84
      Utingo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th December 2009
      Location : Lyazumbi
      Posts : 4,416
      Rep Power : 1380
      Likes Received
      588
      Likes Given
      404

      Default Re: Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

      Quote By Mzee Mwanakijiji
      Nguruvi, I was being a little bit generous. Mwenyewe nilikuwa nafikiria ifikapo 9 December 2012 tuwe tumelimaliza hili suala.... CCM imeshindwa kuepusha hatima iliyo wazi na kuichelewesha zaidi ni matatizo yasiyio ya lazima. Binafsi ningependa Wazanzibari waamue tu mapema zaidi...
      nisiseme watanganyika wengi...lakini mimi kama mtanganyika nimechoka na kelele za wazanzibar....hata 9 dec 2012 ni mbali. hata exit stratey ingeanza leo ingekuwa suala la busara sana.
      Without justice – Government is nothing but a band of robbers

    7. #85
      Nguruvi3's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st June 2010
      Location : Kidabashi-Dongobeshi
      Posts : 3,411
      Rep Power : 2881
      Likes Received
      4759
      Likes Given
      2824

      Default Re: Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

      Quote By Mtu wa Pwani
      ndugu yangu ngabu mm na ww ni marafiki hapa tokea 2006, ni wanaforum wa muda mrefu na kwa hakika bado nnaamini ni muelewa wa kutosha kaka yangu.

      kuchomwa makanisa bado hujaona kuwa ni janja wa usalama wa Taifa kutaka kubadilisha motion ya mjadala ?

      zanzibar uamsho wamefanya mikutano zaidi ya mia unguja na pemba na hakujachomwa kanisa hata moja, hujiulizi jeee iweje juzi baada ya kukamatwa sheikh wao kihuni ?

      kama ww swahiba wangu na mkomavu wa siasa kitendo cha polisi kumkamata sheikh mbele ya wafuasi wake kama muhuni pasipo kufata sheria ww uliliona liko sawa ?

      nnaomba uwe mtu wa haki na kusukumwa na justice kuliko chuki, wazanzibar waliungana na tanganyika kama nchi na sasa wanaidai nchi yao kuanzia serikali yao na wananchi kwa ujumla na nnamini unajua hilo

      NNAKUOMBA TENA SIMAMA KWENYE HAKI TUSAIDIE ILI HAKI ITENDEKE, MAKANISA SS HATUNA MATATIZO NAYO TUNAYO MDA MREFU KULIKO HATA TANGANYIKA. NA HATA RAIS WETU KAZUNGUMZA HILO
      Matukio ya kuchoma moto makanisa ni 25, hilo halijakanushwa na SMZ au Alshabaab UAMSHO
      Je, usalama wa taifa ndio walichoma vibanda vya watanganyika mwaka jana?

      UAMSHO wanahubiri ukristo na Nyerere kila kukicha hilo hulioni. Hivi kuna neno gani la kheri kutoka kwa UAMSHO?
      Hivi kuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kutetea hawa Alshabaab.
      Kuna hoja gani kama si unafiki na uongo? Niulize uongo upi!

      Watanganyika sasa wamechoka wanasema hivi jitoeni muungano kabla ya July1 2012.
      Hamna haja ya kuchoma watu kwasababu idhini hiyo hakutoa mwenyezi mungu.
      Ni kauli za manafiki UAMSHO. Mtume Mohamad S.A.W kaishi na watu wa imani zote. Hebu nipe Aya, suna au hadithi inayoshadidia mwanadamu kumchoma moto mwenzake. Acheni kusingizia dini wakati mnafanya uhalifu! huo ndio ukafiri haswa! Kutanguliza aya za mwenyezi mungu wakati wa kuchochea vurugu ni kumhalifu mwenyezi mungu. Acheni unafiki

      Ni hivi ondokeni maana Mtanganyika hana cha kupoteza asilani. Tunataka muungano ufe kabla ya July 1 2012
      Tumechoka kubeba watu huku wakicheza ngoma ndani ya mbeleko. Pack and go.
      Mzee Mwanakijiji, Ngongo and mluga like this.

    8. Study Abroad

    9. #86
      Shine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th February 2011
      Posts : 9,131
      Rep Power : 2418
      Likes Received
      936
      Likes Given
      377

      Default

      Quote By mawazotu
      two years ago nilikua naongea na mzee mmoja kuhusu kero za muungano , akanipa mtihani nimtajie faida kumi za muungano trust me i took me ages kufikisha ata tano . kuna umuhimu wa kuuangalia huu muungano upya . wote wazanzibari na wabara
      Uangaliwe upya ili hizo faida zionekane ama ili iwe je?

    10. #87
      Mag3's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 31st May 2008
      Posts : 3,529
      Rep Power : 1802
      Likes Received
      2446
      Likes Given
      2488

      Default Re: Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

      Quote By Mtu wa Pwani
      nnaamini unajua kuwa ni ukweli, wazanzibari hawana na tatizo na wakristo, wao wanachotaka ni nchi yao, hizi hoja za udini ni za kupandikiza. Wazanzibar zaidi ya asilimia 90 ni waislamu sasa udini unatokea wapi wakati wote ni waislam takriban?
      @Mtu wa Pwani, naomba ujaribu kuwa mkweli kwa nafsi yako...
      je, yawezekana kweli Wazanzibari wawe na tatizo na Ukristo
      lakini wasiwe na tatizo na Wakristo?
      Hebu cheki hiki kideo;

      Huo ndio UAMSHO...sasa ukiambiwa vijana baada ya kuhamasika wakaamua kufanya kweli kwa kuyachoma Makanisa utakataa? Haya ndio yale yale ya mchochezi anayeitwa Mohamed Said. Mimi nasema, kama ilivyo katika ndoa, aliyechoka hufungasha...sasa hili kwa Zanzibar, kama anavyosema Mwanakijiji, mbona rahisi tu, Wazanzibari waache kujizungushazungusha na kujipitishapitisha, yote ya nini si wafungashe tu lakini thubutu! Wamezoea vya kunyonga!
      The true sign of intelligence is not knowledge but imagination.
      Education is what remains after one has forgotten what one has learned in School
      -Albert Einstein.

    11. #88
      Mtu wa Pwani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th December 2006
      Posts : 4,250
      Rep Power : 1490
      Likes Received
      159
      Likes Given
      147

      Default Re: Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

      Quote By nyani ngabu
      is that a fact or a conspiracy theory?
      nnaamini unajua kuwa ni ukweli, wazanzibari hawana na tatizo na wakristo, wao wanachotaka ni nchi yao, hizi hoja za udini ni za kupandikiza. Wazanzibar zaidi ya asilimia 90 ni waislamu sasa udini unatokea wapi wakati wote ni waislam takriban?

      Hoja za udini kwa zanzibar si hoja maana ni wengi waislam na hao wachache walio dini nyengine huheshimiwa. Watu wanalazimisha ionekane zanzibar kuna waislam na wakristo tu, lkn ukweli kuna wahindi na dini nyengine na wanaishi kwa salama

      tusaidiane tuweke misingi ya demokrasia kwa kuheshimu kauli ya watu. Wazanzibari kupitia uamsho na jumuia nyengine zanzibar kama umefatilia wanataka nchi yao . Hata bungeni, baraza la wakilishi, tume iliopeleka rasimu yamswaada kuhusiana na katiba mpya kwa pamoja wameonesha shauku ya kutaka nchi yao.

      Naamini ww ni muuumini wa demokrasia usisite kuungana nasi katika kuhakikisha demokrasia inapewa nafasi yake na mabavu anapelekwa kwenye kaburi la sahau.

      Ungana nasi tupate zanzibar yetu yenye mamlaka kamili
      Our job is not to make up anybody's mind, but to open minds and to make the agony of the decision-making so intense you can escape only by thinking. ~Author Unknown

    12. #89
      Shine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th February 2011
      Posts : 9,131
      Rep Power : 2418
      Likes Received
      936
      Likes Given
      377

      Default

      Quote By Rohombaya
      Kwahili hata mimi nakuunga mkono, Inaonekana kama Muungano huu ni tatizo kwa wazanzibari tuu wabara hawana tatizo nao kwa sababu hiii nadhani inawezekana labda kweli wazanzibari wanaonewa ndani ya muungano
      mbona sisi wanatuchagulia rais mamluki halafu tumekuwa kimya tu au mnadani hatulitambui hilo

    13. #90
      Saint Ivuga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st August 2008
      Posts : 20,635
      Rep Power : 10159
      Likes Received
      5646
      Likes Given
      12664

      Default Re: Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

      Quote By Mtu wa Pwani
      nnaamini unajua kuwa ni ukweli, wazanzibari hawana na tatizo na wakristo, wao wanachotaka ni nchi yao, hizi hoja za udini ni za kupandikiza.
      hakuna anayetaka nchi yake hapa lazima kutakuwa na ajenda a siri ama kuna kitu kingine wanataka..ila kama kweli mpo serious mnataka nchi yenu haya mliyoshauriwa hapa chini hamjayaona ?

      Quote By Nguruvi3

      Njia rahisi ni kupitisha mswada ndani ya BLW kutomtambua Mkamu wa Rais kutoka Zanzibar,Kutowatambua mawaziri wa muungano kutoka Zanzibar, kutoruhusu wabunge wao kuja Dodoma, kuweka visa ya kuingia Zanzibar. Tayari wana wimbo wa Taifa, bendera n.k.

      Wazanzibar amueni by July 1 2012 no more union! Nitawaunga mkono
      JF the best place to be. and the POWER of God be with us all the time.

    14. #91
      FairPlayer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th February 2006
      Location : UK
      Posts : 4,383
      Rep Power : 1550
      Likes Received
      456
      Likes Given
      205

      Default Re: Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

      Naomba nirudie kuuliza:

      KWANI HAIWEZEKANI BY 1ST JULY 2012 WAKAWA WAMEVUNJA MUUNGANO?.

      Mi ningefanya Party kabisaa kusherehekea. Hawababeki hawa wamezoea kutawaliwa na waarabu na kufanywa watumwa.
      A positive thinker!

    15. #92
      Zion Train's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th June 2008
      Posts : 506
      Rep Power : 660
      Likes Received
      72
      Likes Given
      155

      Default Re: Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

      hizi ni njama tu zilizoandaliwa makusudi hili ije isemwe rais ajaye atoke zanzibar hili wapozwe, katiba ya zenj inaruhusu kujadili chochote, muungano unawatungia sheria ya kutoujadili muungano, sasa wafuate hipi?hao waliotunga hizo sheria hawakuona kama zenj inatoa ruksa hiyo. kama mzee mwanakijiji anavyosema huu muungano kuuvunja ni rahisi kabisa kabisa kama wanataka watoke kweli, kila kiongozi wa zenj aliyekuweko kwenye muungano atoke aende zake, tukianza na bilali, mwema si mzenj nae na wengineo wengi, wakiwa kule wasem tumerudi atutaki tena muungano, hivi unafikiri na kulazimishwa kurejea huku, hicho kikundi cha uhamsho kiwapigie kelele viongozi wao wa zenj na siyo kuwalalamikia wabara
      Love is my Religion

    16. #93
      Taso's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th June 2010
      Posts : 1,173
      Rep Power : 794
      Likes Received
      308
      Likes Given
      121

      Default Re: Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

      Quote By Mzee Mwanakijiji
      alifanywa nini ambacho Kambona hakufanywa? au Fundikira, au wengine waliotishia uwepo wa Jamhuri yetu. Angalau watu walijua jua kina kinaweza kufanyika.
      Nilidhani Kambona aliondoka nchini kuhusiana na migogoro ya siasa mpya ya Azimio La Arusha, na pia kushutumiwa ni bepari au mwizi. Fundikira alifukuzwa baraza la mawaziri na kufungwa jela kwa kesi ya rushwa, sikujua kuwa walifanywa lolote kuhusiana na Muungano. Hebu nielimishe tafadhali. Kambona alifanywa nini? Nilidhani Nyerere alisema hakumfukuza wala kumfanya chochote Kambona, bali aliondoka mwenyewe. Au?

    17. #94
      Nguruvi3's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st June 2010
      Location : Kidabashi-Dongobeshi
      Posts : 3,411
      Rep Power : 2881
      Likes Received
      4759
      Likes Given
      2824

      Default Re: Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

      Quote By zomba
      Unasema halafu unajichangana mwenyewe "japo si wote", Sasa na wa Zanzibari ni wote?

      Historia ipi yetu inayotuonesha tunapenda Muungano? Nyerere ndiye aliyeshabikia Biafra ijitenge na Nigeria, Nyerere alihitilafiana na Nkurumah aliyetaka Afrika moja, Nyerere ndiye alivunja East African Community. Sasa hiyo ndio historia ya kupenda muungano?

      Njia moja ya kuuboresha muungano ni kuanza upya kuutazama kwa matakwa ya wengi na kwa kisheria zilizo wazi. Simple solution:

      1) Serikali ya Zanzibar, ambayo haitaingilia kabisa mambo ya Tanganyika.

      2) Serikali ya Tanganyika ambayo haitaingilia kabisa mambo ya Zanzibar.

      3) Serikali ya Muungano ambayo itakuwa inashughulikia mambo ya Muungano tu.
      Zomba, Hebu rejea historia uone kwanini Nkrumah na Nyerere walitofautiana.
      Historia imejirudia wakati Gadafi anataka Africa moja, Tanzania ilisema kwanza tuanze na umoja wa kanda na kuwa haikuwa rahisi kuiunganisha Africa usiku mmoja. Nyerere hakukataa umoja wa Afrika.
      Walitofautiana jinsi ya kufika katika umoja bila matatizo

      Endapo Nyerere aliua EAC hebu tufafanulie aliua kivipi ili tuwe na mtazamo mwingine zaidi ya ule wa Njonjo na Kenyatta

      Hili la seriakali ya muungano nalo linahitaji ufafanuzi
      a) Serikali itaendeshwaje ikiwa tu wenzetu hawawezi kulipa hata bili ya umeme
      b) Ni mambo gani unadhani ni ya muungano ambayo pande zote zitanufaika bila malalamiko au kubebeshana mizigo
      c) Yapi yatakuwa mamlaka ya serikali ya muungano

    18. #95
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14620
      Likes Received
      2841
      Likes Given
      1961

      Default Re: Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

      Quote By Nguruvi3
      Zomba, Hebu rejea historia uone kwanini Nkrumah na Nyerere walitofautiana.
      Historia imejirudia wakati Gadafi anataka Africa moja, Tanzania ilisema kwanza tuanze na umoja wa kanda na kuwa haikuwa rahisi kuiunganisha Africa usiku mmoja. Nyerere hakukataa umoja wa Afrika.
      Walitofautiana jinsi ya kufika katika umoja bila matatizo

      Endapo Nyerere aliua EAC hebu tufafanulie aliua kivipi ili tuwe na mtazamo mwingine zaidi ya ule wa Njonjo na Kenyatta

      Hili la seriakali ya muungano nalo linahitaji ufafanuzi
      a) Serikali itaendeshwaje ikiwa tu wenzetu hawawezi kulipa hata bili ya umeme
      b) Ni mambo gani unadhani ni ya muungano ambayo pande zote zitanufaika bila malalamiko au kubebeshana mizigo
      c) Yapi yatakuwa mamlaka ya serikali ya muungano
      Na Biafra? Na EAC?
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    19. #96
      Nguruvi3's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st June 2010
      Location : Kidabashi-Dongobeshi
      Posts : 3,411
      Rep Power : 2881
      Likes Received
      4759
      Likes Given
      2824

      Default Re: Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

      Quote By zomba
      Na Biafra? Na EAC?
      Nimekuuliza kuhusu EAC Nyerere aliua vipi? Nimekuuliza muungano huna jibu. Biafra imejadiliwa kule thread na sina sababu ya kuirudia, kama kuna umuhimu tukutane kule.

      maswali ni haya
      Endapo Nyerere aliua EAC hebu tufafanulie aliua kivipi ili tuwe na mtazamo mwingine zaidi ya ule wa Njonjo na Kenyatta

      Hili la seriakali ya muungano nalo linahitaji ufafanuzi
      a) Serikali itaendeshwaje ikiwa tu wenzetu hawawezi kulipa hata bili ya umeme
      b) Ni mambo gani unadhani ni ya muungano ambayo pande zote zitanufaika bila malalamiko au kubebeshana mizigo
      c) Yapi yatakuwa mamlaka ya serikali ya muungano
      Last edited by Nguruvi3; 5th June 2012 at 17:39.

    20. #97
      Mzee Mwanakijiji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2006
      Location : Kijijini
      Posts : 29,495
      Rep Power : 46709
      Likes Received
      16329
      Likes Given
      8399

      Default Re: Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

      Quote By Taso
      Nilidhani Kambona aliondoka nchini kuhusiana na migogoro ya siasa mpya ya Azimio La Arusha, na pia kushutumiwa ni bepari au mwizi. Fundikira alifukuzwa baraza la mawaziri na kufungwa jela kwa kesi ya rushwa, sikujua kuwa walifanywa lolote kuhusiana na Muungano. Hebu nielimishe tafadhali. Kambona alifanywa nini? Nilidhani Nyerere alisema hakumfukuza wala kumfanya chochote Kambona, bali aliondoka mwenyewe. Au?
      exactly!!
      [email protected]
      Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji

    21. #98
      Mangaline's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th May 2012
      Posts : 999
      Rep Power : 613
      Likes Received
      205
      Likes Given
      54

      Default Re: Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

      Tatizo sio kura ya Maoni. Tatizo ni sheria kandamizi, inayo zuia uhuru wa kutoa maoni yanayohusu muungano, wakati wa mchakato wa katiba mpya. Nadhani kwa mtu yeyote muungwana, hakuunga mkono sheria inayo zuia uhuru wa watu kutoa mawazo. Nazidi kuwapongeza wabunge wa CDM kwa kutoka nje ya bunge, ili wasiwe sehemu ya kugandamiza uhuru wa wananchi kutoa maoni. Nalaumu, wabunge wote ambao kwa namna moja ama nyingine, walichangia na kuwa sehemu ya sheria gandamizi, ambayo kwa namna moja au nyingine, imechangia machafuko ya zanzibari. Naomba kazi ya kwanza ya bunge lijalo, iwe kuondoa sheria hiyo gandamizi, la sivyo UAMUSHO aluta continua.
      MUNGU IBARIKI TANGANYIKA, MUNGU IBARIKI ZANZIBARI, RIP TANZANIA.

    22. #99
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14620
      Likes Received
      2841
      Likes Given
      1961

      Default Re: Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

      Quote By Nguruvi3
      Nimekuuliza kuhusu EAC Nyerere aliua vipi? Nimekuuliza muungano huna jibu. Biafra imejadiliwa kule thread na sina sababu ya kuirudia, kama kuna umuhimu tukutane kule.

      maswali ni haya
      Endapo Nyerere aliua EAC hebu tufafanulie aliua kivipi ili tuwe na mtazamo mwingine zaidi ya ule wa Njonjo na Kenyatta

      Hili la seriakali ya muungano nalo linahitaji ufafanuzi
      a) Serikali itaendeshwaje ikiwa tu wenzetu hawawezi kulipa hata bili ya umeme
      b) Ni mambo gani unadhani ni ya muungano ambayo pande zote zitanufaika bila malalamiko au kubebeshana mizigo
      c) Yapi yatakuwa mamlaka ya serikali ya muungano
      Ikiwa wewe ni mmoja kati ya ndoa ya watatu na ikavunjika na wewe haumo? fikiri!
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    23. #100
      chama's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 6th August 2010
      Posts : 4,867
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1158
      Likes Given
      909

      Default Re: Kama kweli Wazanzibari "wengi" wanataka watoke kwenye Muungano mbona ni rahisi sana...

      Quote By mawazotu
      two years ago nilikua naongea na mzee mmoja kuhusu kero za muungano , akanipa mtihani nimtajie faida kumi za muungano trust me i took me ages kufikisha ata tano . kuna umuhimu wa kuuangalia huu muungano upya . wote wazanzibari na wabara
      Hongera sana kupata hizo tano mimi natafuta moja mpaka sasa hivi sijaipata!!

      Chama
      Gongo la Mboto DSM.
      mawazotu likes this.

    24. FemaTV & Radio
    Page 5 of 10 FirstFirst ... 34567 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...