Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

    Report Post
    Page 1 of 5 123 ... LastLast
    Results 1 to 20 of 95
    1. #1
      Royals's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th November 2011
      Posts : 1,000
      Rep Power : 579
      Likes Received
      215
      Likes Given
      4

      Default Benedicto Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Bandugu bapenzi,

      Yule mwanasiasa mahiri na machachari katika upinzani wa kwanza kwanza yuko hai na kama yu hai yuko wapi kwa sasa na anajishughulisha na kitu gani?

      Maana wakati ule alikuwa maarufu sana wakishirikana na kamanda Wilfred Rwakatare ambaye sasa yuko M4C.

      Bandugu; Wenye kujua taarifa zake wazimwage hapa jamvini na walio na mawasiliano naye wamwambie siasa sasa ni M4C na kama anataka kurudi ulingoni basa amfuate Rwakatare kwenye chama makini.
      Last edited by Royals; 6th June 2012 at 19:16.
      SubiriJibu likes this.

    2. Study Abroad

    3. #2
      Muangila's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th February 2010
      Posts : 810
      Rep Power : 631
      Likes Received
      185
      Likes Given
      496

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?;

      mara ya mwisho alikuwa TLP wakazinguana na Mrema sijui baada ya hapo alikimbilia wapi

    4. #3
      Feedback's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th March 2011
      Posts : 4,087
      Rep Power : 1244
      Likes Received
      2061
      Likes Given
      1123

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Acha apotee kwenye siasa maana ni traitor wa mageuzi tangu enzi akiwa raisi wetu wa Daruso.
      chitambikwa and NYENJENKURU like this.
      Only in Tanzania

    5. #4
      don-oba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th December 2011
      Posts : 739
      Rep Power : 523
      Likes Received
      256
      Likes Given
      29

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Jamaa alikua kichwa sana, alikua alisoma linguistic. Moja ya vituko vyake, alisha uliza swali kwa makamu mkuu wa chuo UDSM enzi izo kwa kutumia mbwembwe na utaalamu wake wa lugha ya kiingereza. Mkuu wa chuo akashindwa kujibu na kulalamika muuza swali katumia vocabulary zisizoeleweka.
      Waberoya and Mkono like this.

    6. #5
      fige's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th July 2010
      Posts : 357
      Rep Power : 522
      Likes Received
      51
      Likes Given
      20

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Nakumbuka kuna makala kwenye gazeti la Rai ilimhoji kuhusu Kikwete wakati wa kampeni za uraisi 2005 nanukuu maneno yake

      'wakati mwingine ikiandikwa inakuwa kama ilivyoandikwa ,nimefuatilia sana historia ya Kikwete kuanzia utendaji wake au hata pengine kuna hotuba aliyowahi kutoa iliyofurahisha watu sana,sijaiona.

      Ninachokiona ni kwamba Kikwete atakuwa Raisi wetu basi'.

      Nayakumbuka sana haya maneno yake Mtungirei.

    7. FemaTV & Radio

    8. #6
      Feedback's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th March 2011
      Posts : 4,087
      Rep Power : 1244
      Likes Received
      2061
      Likes Given
      1123

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Quote By don-oba
      Jamaa alikua kichwa sana, alikua alisoma linguistic. Moja ya vituko vyake, alisha uliza swali kwa makamu mkuu wa chuo UDSM enzi izo kwa kutumia mbwembwe na utaalamu wake wa lugha ya kiingereza. Mkuu wa chuo akashindwa kujibu na kulalamika muuza swali katumia vocabulary zisizoeleweka.
      Unakumbuka alipotolewa high table Nkrumah hadi akupoteza kiatu, jamaa alikuwa mkorofi sana, watu wanamvuta aondoke yeye akashikilia meza kidogo aanguke nayo kwenye stage, i think it was 1991 or 92 kama sikosei.
      Only in Tanzania

    9. #7
      Seif al Islam's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th November 2011
      Posts : 1,078
      Rep Power : 537
      Likes Received
      261
      Likes Given
      393

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Huyo kuna kipindi alitangaza kuokoka na kuachana na siasa kabisa

    10. #8
      Mungi's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 23rd September 2010
      Location : Hapa!!!
      Posts : 10,158
      Rep Power : 24268
      Likes Received
      4668
      Likes Given
      2294

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      toka atenguliwe kapotea kabisa. unaweza ukadhani wamemtengua mpaka kichwa!
      "Peace is not simply about the absence of violence. It is defined by the presence of fundamental liberties and the prevalence of economic opportunities."

    11. #9
      kookolikoo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th March 2012
      Posts : 1,931
      Rep Power : 749
      Likes Received
      280
      Likes Given
      144

      Default

      Quote By Feedback
      Unakumbuka alipotolewa
      high table Nkrumah hadi akupoteza kiatu, jamaa alikuwa mkorofi sana,
      watu wanamvuta aondoke yeye akashikilia meza kidogo aanguke nayo kwenye
      stage, i think it was 1991 or 92 kama sikosei.
      ilikuwa 1994!
      Feedback likes this.

    12. #10
      Maneno Anania's Avatar
      Member Array
      Join Date : 18th January 2012
      Posts : 51
      Rep Power : 380
      Likes Received
      5
      Likes Given
      1

      Default

      Quote By Feedback
      Unakumbuka alipotolewa high table Nkrumah hadi akupoteza kiatu, jamaa alikuwa mkorofi sana, watu wanamvuta aondoke yeye akashikilia meza kidogo aanguke nayo kwenye stage, i think it was 1991 or 92 kama sikosei.
      He was DARUSO president year 1994/95
      Feedback likes this.

    13. #11
      Kiraka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st February 2010
      Location : ILOGANZALA
      Posts : 1,352
      Rep Power : 742
      Likes Received
      258
      Likes Given
      438

      Default

      Quote By Feedback
      Acha apotee kwenye siasa maana ni traitor wa mageuzi tangu enzi akiwa raisi wetu wa Daruso.
      Hata mimi namkumbuka kama traitor akiwa Daruso.

    14. #12
      mkizungo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 6th April 2012
      Posts : 249
      Rep Power : 408
      Likes Received
      47
      Likes Given
      298

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      alibishana na mrema,,akidhan siasa za vyuon ni sawa na za jukwaan mtaan,,,mrema alimbeba akapata ubunge,,akajaa kichwa,,,akaanza kung,ang,ania siasa za kitaifa hali hana mizizi imzra jimboni,,,,hili limewakumba wengi sana,,,wengine wamefufukia cdm ,,lakini bado ni ngumu ukisha haribu japo waweza kujipanga,,,,hata cdm,,,wanatakiwa wawajenge vijana kuwa na mizizi si tu kulipukia mihemko ya siasa za kitaifa,,,zinaleta kiburi na kuanza kupimana ubavu,,,na manguli,,,ukidondoka husimami tena,,,,vyema kuwa mjuzi wa kuzisoma alama za nyakati,,,na kuepa mihemko,,,,,,jazba,,na ujuaji,,,,,,busara ,,hekima,,,tahadhari zen kanyaga twende,,,,
      Feedback and Sangarara like this.

    15. #13
      JamboJema's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 14th June 2011
      Location : Mwanza
      Posts : 736
      Rep Power : 548
      Likes Received
      75
      Likes Given
      216

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Apotee tu......wanadai ni 'Muganda' huyo
      Uchakavu wa Mahakama si nafuu ya hukumu!

    16. #14
      TzPride's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2006
      Location : Downhole
      Posts : 1,650
      Rep Power : 972
      Likes Received
      174
      Likes Given
      70

      Red face Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Quote By Feedback
      Unakumbuka alipotolewa high table Nkrumah hadi akupoteza kiatu, jamaa alikuwa mkorofi sana, watu wanamvuta aondoke yeye akashikilia meza kidogo aanguke nayo kwenye stage, i think it was 1991 or 92 kama sikosei.
      Hilo tukio sitakaa nilishau, aliposhushwa toka kwenye stage, jamaa walianza kumshindilia mangumi na mateke. Mimi nilikuwa fresher enzi hizo, niliogopa sana maana nilijua atauwawa--alikuwa anapigwa kama kibaka---namuona live mbele yangu. Bahati yake, watu waliokuwa mbali walianza kutupia viti kumpiga, makamandoo wa FOE wakamuachia wakiogopa kupigwa viti--ndio mwanya wa maswahiba wake kumnyakua na kumkimbiza. Nilivyoona, ile ilikuwa kifo chake aisee! He is very lucky!
      Kakalende, Kimbunga and Feedback like this.
      " Counting down on CCM downfall.

    17. #15
      chuwaalbert's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th September 2010
      Posts : 295
      Rep Power : 499
      Likes Received
      52
      Likes Given
      129

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Quote By Feedback
      Unakumbuka alipotolewa high table Nkrumah hadi akupoteza kiatu, jamaa alikuwa mkorofi sana, watu wanamvuta aondoke yeye akashikilia meza kidogo aanguke nayo kwenye stage, i think it was 1991 or 92 kama sikosei.
      Ilikuwa mwaka wa masomo 1994/1995. Alivutwa TAI, nusura imdhuru. Na kuanzia hapo mtu akikabwa tai watu husema "Tumemtungirehi"! Yaani MTUNGIREHI inakuwa KITENZI!
      Alishawahi kuwa Mbunge wa Kyerwa na alikuwa mchangiaji hodari wa hoja sana Bungeni!
      Kimbunga and Feedback like this.

    18. #16
      kajunju's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th June 2011
      Posts : 413
      Rep Power : 481
      Likes Received
      83
      Likes Given
      3

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Duh mmenikumbusha hiki kichwa.niliongea nae sept 2007. Aliniambia kuwa" kikwete lilikuwa chaguo la mungu,watu walioteshwa kuwa,kuwa huyu ndie atakuwa rais wa kupeleka nch wananch wanapopataka.licha wa wana wa israel kuwa mazinifu kwa mungu. Mungu alimtuma musa awaongoze toka utumwani" maneno kwa tafsiri yake alisema kikwete na ccm yake kuwa mafisad, jk ndie ataleta mpasuko mkubwa ccm atimae watoke madarakani. Kuhusu mrema,alisema mara nying huwa hajui kupanga la kuongea linalokuja ndilo anaropoka. Kwa sasa ameokoka. Ameshawishiwa sana kujiunga cdm naskia bado amegoma ingawa wanasema ata yeye anakubali cdm wana strategy kali. Jimbon kyerwa niliwai kwenda na kuongea na wananchi wa kule. Wanamkubali sana ila unavyojua watz wengi wanamhusudu mtu anayewaibia. Kahawa zao zinanunuliwa na mbunge wao.waliniambia eti anawajengea chuo cha ualimu.nilivyouliza kama watasoma bure?walibaki midomo wazi. Ni mtu muhim wa kuleta mabadiriko ila sasa kinachomsubilisha mimi na wewe hatujui
      Mkono likes this.

    19. #17
      kimalando's Avatar
      Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Posts : 97
      Rep Power : 0
      Likes Received
      7
      Likes Given
      23

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Quote By Feedback
      Unakumbuka alipotolewa high table Nkrumah hadi akupoteza kiatu, jamaa alikuwa mkorofi sana, watu wanamvuta aondoke yeye akashikilia meza kidogo aanguke nayo kwenye stage, i think it was 1991 or 92 kama sikosei.
      Ni mwaka 1993 kwa uhakika maana ndio kwanza najiunga chuo nikakutana na hzo siasa za Daruso hali iliyopelekea chuo kufungwa
      Feedback likes this.

    20. #18
      Kimbunga's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Kisiwani Juma
      Posts : 7,472
      Rep Power : 6167
      Likes Received
      3040
      Likes Given
      1015

      Duh mkuu Feedback huko umeenda mbali. Ilikuwa first term ya academic year ya 1994/95! Tulimpandia pale juu na kumvua tai. Baada ya kutawanyika akaja na press Release ikiwa na maneno maarufu yaliyosema ".... it will cost you nothing to be procedural.."

      Alipokuwa Mbunge nilikutana naye Dodoma alikuwa mlevi wa hovyo mno. Tuliongea kwa kina alikuwa na maono kuhusu jimbo lake la sijui kyelwa!
      Kakalende, Ibambasi and Feedback like this.
      CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola.

    21. #19
      Kimbunga's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Kisiwani Juma
      Posts : 7,472
      Rep Power : 6167
      Likes Received
      3040
      Likes Given
      1015

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Quote By kimalando
      Ni mwaka 1993 kwa uhakika maana ndio kwanza najiunga chuo nikakutana na hzo siasa za Daruso hali iliyopelekea chuo kufungwa
      Mkuu kimalando ilikuwa ni mwaka 1994. Nina kumbukumbu na hilo.
      Ibambasi likes this.
      CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola.

    22. #20
      Royals's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th November 2011
      Posts : 1,000
      Rep Power : 579
      Likes Received
      215
      Likes Given
      4

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Bandugu,
      Wachangiaji wote ni wsle waliosoma naye zamani. Ambaye ameonana nayee karibini ni Kajunju 2007. Je hskuna waliye karibu naye ili wamstue kusoma uzi huu ili ajibu hoja hapa kueleza yuko wapi na nini mustakabari wake kisiasa?. Maana ninavyomfahamu ksma angekutana na bunge la sasa basi ingekuwa ni hatari kwa msgamba maana timu ya upinzani ingekuwa nk moto wa kuotea mbaali.

    23. Miaka 50
    Page 1 of 5 123 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...