Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

    Report Post
    Page 3 of 5 FirstFirst 12345 LastLast
    Results 41 to 60 of 95
    1. #1
      Royals's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th November 2011
      Posts : 1,001
      Rep Power : 579
      Likes Received
      215
      Likes Given
      4

      Default Benedicto Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Bandugu bapenzi,

      Yule mwanasiasa mahiri na machachari katika upinzani wa kwanza kwanza yuko hai na kama yu hai yuko wapi kwa sasa na anajishughulisha na kitu gani?

      Maana wakati ule alikuwa maarufu sana wakishirikana na kamanda Wilfred Rwakatare ambaye sasa yuko M4C.

      Bandugu; Wenye kujua taarifa zake wazimwage hapa jamvini na walio na mawasiliano naye wamwambie siasa sasa ni M4C na kama anataka kurudi ulingoni basa amfuate Rwakatare kwenye chama makini.
      Last edited by Royals; 6th June 2012 at 19:16.
      SubiriJibu likes this.

    2. FemaTV & Radio

    3. #41
      Royals's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th November 2011
      Posts : 1,001
      Rep Power : 579
      Likes Received
      215
      Likes Given
      4

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      kajunju.
      Katika wachangiaji wooote wa hapa ni wewe tu unayeonekana unmfahamu kwa siku za karibuni. Kama unaweza kumpata fikisha ujumbe huu kwake kuwa siasa ni sawa na mtoto mdogo anayeanza kutambaa na anayetamani kutembea. Mara zote katika kujifunza kutembea hujikwaa na kuanguka mara kwa mara. Lakini katika kujikwaa na kuanguka anguka huku hakutakiwi kukata tamaa hata kidogo.
      Mweleze kuwa wana JF wanamtaka sjidhirishe ksma yupo hai duniani na kwamba tundhani kuwa kwa sasa kipo chama makini zaidi ambacho yeye kitamfaa. Mwambie amuulize mwenzake Wilfred Rwakatare.
      Kaa la Moto and Sangarara like this.

    4. #42
      Kaa la Moto's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th April 2008
      Location : Bristol
      Posts : 6,827
      Rep Power : 1944
      Likes Received
      431
      Likes Given
      4198

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Quote By Feedback
      Unakumbuka alipotolewa high table Nkrumah hadi akupoteza kiatu, jamaa alikuwa mkorofi sana, watu wanamvuta aondoke yeye akashikilia meza kidogo aanguke nayo kwenye stage, i think it was 1991 or 92 kama sikosei.
      He gave a prophetic truth
      wakati Cuf wanataka kuchukua nchi mwaka 2000 CCM walikuja na single ya kusema Cuf ni waislamu na kwa sasa wanadai sisi Chadema ni chama cha wakristo sasa CCM nacho ni cha watu gani? Watu wakajibu mashetaaaaaniiiiii.!---Wana Kigoma.

      ....Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,au watu wanaweza wakachoka na kusema potelea mbali wakachagua chama KINGINE....Julius. Kambarage. NYERERE"

    5. #43
      Kimbunga's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Kisiwani Juma
      Posts : 7,472
      Rep Power : 6167
      Likes Received
      3041
      Likes Given
      1015

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Quote By Feedback
      Mkuu Kimbunga umenikumbusha mbali sana zile barua za Dean of students (Manongi?) tulizopewa....tell us who intimidated you... watu wakajidai kufunguka ma-page na ma-page kumbe waliojieleza sana ndio walikuwa taget na ndio wengi waliofuatiliwa.
      Feedback nami nachanga kati ya Manongi na Magimbi!
      CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola.

    6. #44
      Baija Bolobi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th February 2009
      Location : Bosnia
      Posts : 612
      Rep Power : 718
      Likes Received
      325
      Likes Given
      0

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Mtungilehi hivi sasa ni mhubiri wa Injili ya upako mahali fulani jijini DSM. Amekariri Biblia tangu Mwanzo hadi Ufunuo. Kila kitu anakiona kwa miwani ya Kibiblia. Kushindwa kwa Kikwete kuongoza nchi anaona ni mpango wa Mungu; kuibuka kwa CDM anaona ni mpango wa shetani. Kuangamia kwa TLP anasema ni fundisho maalum kutoka kwa Mungu. Lyatonga Mrema anasema ni shetani anayetumiwa na Mungu kuwapiga watanzania! Huwezi kumwelewa kirahisi. Magamba wamwendea kumtaka arudi kwenye uringo wa siasa akakataa japo ana dhiki isiyo ya kawaida. CDM wameongea naye amekataa pia. Bado anaipenda TLP lakini anasema wakati wa Mungu haijafika.

      MY take: Wale wanaomfahamu na kuthamini michango yake, watoe mchango wa hiari, tutume wajumbe wakamsalimie na debe la unga ili tupate pa kuanzia maongezi naye. Ana dhiki isiyo ya kawaida.
      HERI KUFIA MAWAZO YANAYOISHI KULIKO KUISHI KWA MAWAZO YALIYOKUFA.

    7. #45
      Nyati's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th March 2009
      Posts : 638
      Rep Power : 647
      Likes Received
      142
      Likes Given
      50

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Quote By Feedback
      Mkuu hebu nikumbushe huyu Maswi ndiye yule alikuwa anapenda kuvalia suruali tumboni?

      Kuna siku tulikuwa pale Utawala tumegoma baada ya kumpindua Mutungirehi, tukaambiwa tuchangue watu watano watuwakilishe kwa VC yeye akawemo. Nasikia walipoingia ofisini kwanza waliombwa IDs zao pili wakaambiwa kama mnataka kuendelea na shule kawaambieni wenzenu watawanyike sasa hivi, walipotoka jamaa tumbo lilikuwa limekwisha kabisa suruali ilikuwa imeshuka karibu kudondoka.
      Umenikumbusha mbali sana mkuu. Mimi mwaka huo ndo Fresher, Nakumbuka hat Freshers' ball haijapigwa kama sikosei. Kuna jamaa mmoja alisimama akasema "Tulimchangua kidemokrasia na tumempiga kidemokrasia", akawekwa ktk kamati ya kwenda kwa Dean, waliporudi hali ilikuwa imebadilika Confidence Zero, hawataki kusikia lingine zaidi ya kutwambia RUDINI Darasani.

      Ndipo akajitoleza mmoja wa wanakamati nakumbuka alikuwa anaitwa NIPASHE (utani) naye alijiita hivyo pia. Akasimulia kuwa walipofika ofisini, Professor Masenge aliwauliza kila mmoja jina halafu akapiga simu aletewe mafaili yao wao wote baada ya hapo akayaweka pamoja na wale waliokuwa wamesimamishwa. Akawaambia waje watuambie turudi darasani la sivyo watajuata kushawishi watu wagome.

      Jamaa aliyekuwa anavalia suruali tumboni yupo namfahamu lakini si mpiganaji tena bali mfanya biashara fulani wa mishe mishe na mfanyakazi wa Serikali ama wakala.

      Pia Kuna jamaa alisoma FOE miaka mingi alikuwa anaitwa HAROLD (?) yupo wapi siku hizi alikuwa mstari wa mbele kupanda jukwaani. Pia kuna jamaa mmoja hivi alikuwa mlemavu lakini alipanda jukwaani kumshusha Mtungirehi sijui naye kaishia wapi kwani gongo lake lilitumika katika purukshani zile.

      By the way Mtungirehi alikuwa Ngwini alikuwa anaandika tarehe kwa maneno niliona tangazo lake moja likiwa hivyo, hivyo si rahisi kuja huku JF kwa wanfunzi wa wakati ule.
      I am not the same person today as I was 10, 20, or 30 years ago, for I have welcomed life's changes on my heart, face, and mind.

    8. Miaka 50

    9. #46
      peter tumaini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd February 2012
      Location : DSM
      Posts : 575
      Rep Power : 483
      Likes Received
      86
      Likes Given
      54

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Nilikutana nae January 2012 maeneo ya posta kwa kweli amechoka sana kiafya na kifedha huwezi amini ukimuona ila tatizo lake kubwa ni ulevi.Analewa vibaya sana.

      Huenda anahitaji ushauri inaonekana kapoteza matumaini ya kisiasa.

    10. #47
      Paul Kijoka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th October 2010
      Location : KIMARA, DAR
      Posts : 1,337
      Rep Power : 702
      Likes Received
      226
      Likes Given
      172

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Ni mwanasiasa machachari kwa lipi sasa? Kwa kumsifia jk? Kwa kuvutwa tai au? Sijaona lolote hapo. Watu makini wako CDM.

    11. #48
      Royals's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th November 2011
      Posts : 1,001
      Rep Power : 579
      Likes Received
      215
      Likes Given
      4

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Hapo juu hijamfahamu vizuri wakati akiwa mbunge nyuma. Ungependa aungane na akina Mnyika, Mdee, Lisu na wengine wengi wa M4C.

    12. #49
      bakuza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th November 2010
      Posts : 401
      Rep Power : 511
      Likes Received
      55
      Likes Given
      98

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Quote By chitambikwa
      Benedicto Mtungilehi Mtachoka. Ni mhima wa Ruhita karibu na mabira wilaya mpya ya kyerwa(karagwe) .Ni mzuri kwa maneno hovyo sana kwa vitendo na ana unafiki mkubwa sana
      Umenena mkuu maana huyu alikuwa mbunge wangu miaka hiyo tukamshutukia tukapiga chini.

    13. #50
      kajunju's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th June 2011
      Posts : 413
      Rep Power : 481
      Likes Received
      83
      Likes Given
      3

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Nimeongea nae kwa cmu.ile cm niliyoweka hewani ni yake. Wengi walimtumia msg zenye ujumbe mbalimbali.kasema ujumbe ataufanyiakaz. Maneno ya royals aliyoyaweka niliyanote na kumsomea. Kasema tutawasiliana zaid ila anawashukuru kwa msg zenu. Kweli kaokoka na yuko dar. Nilimsisitiza atembelee jf aone lile watu wanalomzungumza liwe zuri au baya

    14. #51
      Mama Yeyoo's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 25th March 2012
      Location : Ngarenanyuki
      Posts : 101
      Rep Power : 381
      Likes Received
      37
      Likes Given
      9

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Kweli JF haina mpinzani!!!!! Wadau nimeingia humu na hizi simulizi nimecheka hadi machozi yamenitoka maana mmenikumbusha mambo ya migomo na hasa Rev Square....nimeingia 96/97 ndio tukawa tunashangaa pale Rev Square wanafunzi walivuokuwa hawana uoga wa kuwasema viongozi wa utawala pale chuoni kwetu ilikuwa ni miujiza maana tumetoka boarding zenye nidhamu wa woga kichizi..!!!it was just soo exciting and a revealtion for many of us...ila wakati wetu hakukuwa na migomo sana sema ndio tulijifunza kuwa ukitaka haki shurti uwe jasiri kuiongelea na kuitetea...
      Ibambasi and Kaa la Moto like this.

    15. #52
      Royals's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th November 2011
      Posts : 1,001
      Rep Power : 579
      Likes Received
      215
      Likes Given
      4

      Default

      Quote By kajunju
      Nimeongea nae kwa cmu.ile cm niliyoweka hewani ni yake. Wengi walimtumia msg zenye ujumbe mbalimbali.kasema ujumbe ataufanyiakaz. Maneno ya royals aliyoyaweka niliyanote na kumsomea. Kasema tutawasiliana zaid ila anawashukuru kwa msg zenu. Kweli kaokoka na yuko dar. Nilimsisitiza atembelee jf aone lile watu wanalomzungumza liwe zuri au baya
      Kajunju
      Wewe unastahili kufanya kazi na CIA. Ni kamanda mzuri kwa upekuzi.
      Jitahidi hadi aache maandiko yake hapa kupitia kwenye akaunti yako yako ya JF.
      Kwa namna ya siasa ilivo sasa yeye ni mtu muhimu sana. Mwanaume hafi huku anajiona.
      Sangarara likes this.

    16. #53
      The Fixer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd March 2008
      Location : Tabata Segerea
      Posts : 674
      Rep Power : 766
      Likes Received
      195
      Likes Given
      81

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Mheshimiwa B. Mutungirehi atarudi kwenye siasa kupitia TLP baada ya Yule Mwenyekiti wa Kamati ya kuchukua Rushwa kuondoka duniani....!

    17. #54
      naivasha's Avatar
      Member Array
      Join Date : 13th May 2011
      Posts : 88
      Rep Power : 423
      Likes Received
      24
      Likes Given
      1

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Dah! Kweli mmenikumbusha mbali hasa juu ya huyu traitor! Nakumbuka siku hiyo, ilikuwa vurugu mtindo mmoja. Mi sikumbuki kilichoniumiza mguuni wakati tunamvuta Mtungirehi baada ya kugoma kuachia kiti kwa usaliti wake. Kweli siku hazigandi, naona hata wewe ndugu yangu Kimbunga umekwisha kuwa Full Bawa! Pia ukinikumbusha enzi hizo Intimidation nahisi ubaridi yabisi rohoni maana jamaa walitukomoa hasa.

    18. #55
      Safety last's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th March 2011
      Posts : 2,675
      Rep Power : 948
      Likes Received
      516
      Likes Given
      6

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Nakumbuka ilikuwa jumapili mwaka 2007 nilikutana nae kwa wilfred rwakatare sinza wajiandaa kwenda kwa mrema lyatonga ,wametoka kutangaza list ya mafisadi mwembeyanga pamoja alikuwa na soksi zimetoboka miguuni,alipoongea nlijua kuna ukamanda ndani yake !

    19. #56
      timbilimu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd September 2010
      Location : DSM
      Posts : 2,665
      Rep Power : 975
      Likes Received
      579
      Likes Given
      10

      Default

      Nimecheka sana!
      Quote By chitambikwa
      Benedicto Mtungilehi Mtachoka. Ni mhima wa Ruhita karibu na mabira wilaya mpya ya kyerwa(karagwe) .Ni mzuri kwa maneno hovyo sana kwa vitendo na ana unafiki mkubwa sana

    20. #57
      Royals's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th November 2011
      Posts : 1,001
      Rep Power : 579
      Likes Received
      215
      Likes Given
      4

      Default

      Quote By Breaking Newzer
      Mheshimiwa B. Mutungirehi atarudi kwenye siasa kupitia TLP baada ya Yule Mwenyekiti wa Kamati ya kuchukua Rushwa kuondoka duniani....!
      Mwenyekiti wa kamati ya kuchukua rushwa ni yupi huyo?

    21. #58
      Kakalende's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st December 2006
      Posts : 2,911
      Rep Power : 1228
      Likes Received
      381
      Likes Given
      371

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Quote By Feedback
      Mkuu hebu nikumbushe huyu Maswi ndiye yule alikuwa anapenda kuvalia suruali tumboni?

      Kuna siku tulikuwa pale Utawala tumegoma baada ya kumpindua Mutungirehi, tukaambiwa tuchangue watu watano watuwakilishe kwa VC yeye akawemo. Nasikia walipoingia ofisini kwanza waliombwa IDs zao pili wakaambiwa kama mnataka kuendelea na shule kawaambieni wenzenu watawanyike sasa hivi, walipotoka jamaa tumbo lilikuwa limekwisha kabisa suruali ilikuwa imeshuka karibu kudondoka.

      Mkuu Feedback, aliyekuwa anavalia suruali tumboni aliitwa Ladislaus Malima, walipoingia utawala na kuchimbwa mkwala na Afisa utawala, wakati ule Prof. Masenge, yeye alipotoka aliwaambia watu kuwa 'mimi simo anayeendelea na mgomo shauri yake!', akatokomea mtaani ingawa walipofukuzwa viongozi wa kunji naye alikuwemo.

      Maswi alikuwa Vice President wa Mutungirehi, wakati ule tulimwita Chacha Maswi, baada ya Mutungirehi kushushwa hightable pale Nkurumah na kuishia dispensary, Chacha alikaa mezani akatangaza 'DEMOKRASIA IMECHUKUA MKONDO WAKE, na tukaendelea na mkutano kila mtu akidahania yangeishia hapo.
      Ibambasi likes this.
      Volunteers are not paid -- not because they are worthless, but because they're priceless!

    22. #59
      mechard Rwizile's Avatar
      Member Array
      Join Date : 21st September 2011
      Posts : 90
      Rep Power : 405
      Likes Received
      52
      Likes Given
      21

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Kutokana na majadiliano haya, wanaCCM wanaweza kuona kuwa Watanzania wanawajua watu mahiri, wa kawaida,wajinga, wapumbavu, wajaja na wezi bila kukosea. Inaonyesha wakati wa ubunge wake watu walimkubali na wakati wa uanafunzi wake kuna makosa aliyafanya. Hatimaye baadhi ya Watanzania wanatamani ashiriki kwenye siasa za sasa akitokea upinzani.

      Nijuavyo huyu bwana ni mtu makini sana na anao uwezo wa kuona mbali na hakika ni mwanasiasa ambaye mchango wake unahitajika sana kwa sasa. Endeleeni kumshawishi na hata Chama kama CDM kinaweza kumtumia katika majukumu ya kiutendaji na kukisaidia chama katika ngazi za mkoa na wilaya kwa tiketi ya utendaji. Wanasiasa wetu katika ngazi ya wabunge na madiwani wanahitaji kusaidiwa sana katika kutimiza malengo ya kisiasa. Wakati mwingine wanahitaji hata kutungiwa ratiba ya kushiriki katika mikutano ya vijiji na kata.

    23. #60
      Kasimba G's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th January 2011
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 852
      Rep Power : 592
      Likes Received
      252
      Likes Given
      265

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Nakumbuka G211, na mimi nilikuwemo, kwakweli tulikuwa tunamdefine Mtng kama traitor number 1!
      SubiriJibu likes this.

    Page 3 of 5 FirstFirst 12345 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...