Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

    Report Post
    Page 2 of 5 FirstFirst 1234 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 95
    1. #1
      Royals's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th November 2011
      Posts : 1,001
      Rep Power : 579
      Likes Received
      215
      Likes Given
      4

      Default Benedicto Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Bandugu bapenzi,

      Yule mwanasiasa mahiri na machachari katika upinzani wa kwanza kwanza yuko hai na kama yu hai yuko wapi kwa sasa na anajishughulisha na kitu gani?

      Maana wakati ule alikuwa maarufu sana wakishirikana na kamanda Wilfred Rwakatare ambaye sasa yuko M4C.

      Bandugu; Wenye kujua taarifa zake wazimwage hapa jamvini na walio na mawasiliano naye wamwambie siasa sasa ni M4C na kama anataka kurudi ulingoni basa amfuate Rwakatare kwenye chama makini.
      Last edited by Royals; 6th June 2012 at 19:16.
      SubiriJibu likes this.

    2. FemaTV & Radio

    3. #21
      Kimbunga's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Kisiwani Juma
      Posts : 7,474
      Rep Power : 6167
      Likes Received
      3042
      Likes Given
      1016

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Quote By TzPride
      Hilo tukio sitakaa nilishau, aliposhushwa toka kwenye stage, jamaa walianza kumshindilia mangumi na mateke. Mimi nilikuwa fresher enzi hizo, niliogopa sana maana nilijua atauwawa--alikuwa anapigwa kama kibaka---namuona live mbele yangu. Bahati yake, watu waliokuwa mbali walianza kutupia viti kumpiga, makamandoo wa FOE wakamuachia wakiogopa kupigwa viti--ndio mwanya wa maswahiba wake kumnyakua na kumkimbiza. Nilivyoona, ile ilikuwa kifo chake aisee! He is very lucky!
      Duh mkuu TzPride kumbe nawe ulikuwepo? Kumbe ulikuwa fresher? Haya maneno unayosema kwamba ulioogopa kuna mtu nilimsikia anayaongea pale hall five, nadhani ni wewe! Mimi enzi hizo nilikuwa mwaka wa tano pale chuoni! Baada ya hapo ikaja ile adhabu ya INTIMIDATION basi watu wengine wakasimamishwa! Kuna watu walisoma FOE miaka 6.
      CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola.

    4. #22

      Quote By Royals
      Bandugu,
      Wachangiaji wote ni wsle waliosoma naye zamani. Ambaye ameonana nayee karibini ni Kajunju 2007. Je hskuna waliye karibu naye ili wamstue kusoma uzi huu ili ajibu hoja hapa kueleza yuko wapi na nini mustakabari wake kisiasa?. Maana ninavyomfahamu ksma angekutana na bunge la sasa basi ingekuwa ni hatari kwa msgamba maana timu ya upinzani ingekuwa nk moto wa kuotea mbaali.
      Mkuu Royals tumekumbuka mbali kweli kweli! Naona Mutungi kaamua kuwa mfanyabiashara manake alikutana na Lyatonga akafanyiwa kitu mbaya!
      CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola.

    5. #23
      Maneno Anania's Avatar
      Member Array
      Join Date : 18th January 2012
      Posts : 51
      Rep Power : 380
      Likes Received
      5
      Likes Given
      1

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Kimalando, jaribu kurekebisha kumb zako. Benedict Mtungirehi alijiunga na UDSM ktk mwaka wa masomo 1992/93. Alipokuwa second year 1993/94 ndipo alipochaguliwa kuwa DARUSO president.
      Feedback likes this.

    6. #24
      Kakulwa P's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 8th February 2012
      Posts : 201
      Rep Power : 407
      Likes Received
      69
      Likes Given
      10

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Ukimuhitaji anakaa Jet ingawa sijui kama ni Mchimbo, Kwa Alli Mboa, Kwa Gude lakini mara nyingi nimekutana naye maeneo hayo. Kwa kweli maisha ni mzunguko huyu bwana amepungua sana ila kichwa bado kina mawazo ya kimapinduzi, kama kuna anayetaka mawasiliano yake nitampa namba yake ya simu maweze kukumbushana yaliyopita na mustakabali wa nchi yetu.

    7. #25
      Kashaijabutege's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 20th October 2010
      Location : Kabuteigi
      Posts : 1,918
      Rep Power : 822
      Likes Received
      371
      Likes Given
      241

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Quote By Feedback
      Unakumbuka alipotolewa high table Nkrumah hadi akupoteza kiatu, jamaa alikuwa mkorofi sana, watu wanamvuta aondoke yeye akashikilia meza kidogo aanguke nayo kwenye stage, i think it was 1991 or 92 kama sikosei.
      Probably 1993.
      Feedback likes this.
      NAKUSHUKURU MUNGU KWA KUIADHIBU CCM MCHANA KWEUPE, BABA NINAKUOMBA UZIDI KUWAUMBUA, KWA KUYAWEKA WAZI MCHANA WANAYOYAFANYA USIKU. OMBI KWA MUNGU: MUNGU WEWE NI MWEZA WA YOTE, NA SIKU ZOTE UNAYASIKILIZA MAOMBI YA WAKUCHAO, NAKUOMBA UKAFUNGE NGUVU ZA GIZA ZINAZOINYEMELEA M4C; NA UVUNJE MIPANGO YOTE YA MASHETANI WALIOPO NDANI YA CHADEMA. AMINA

    8. Miaka 50

    9. #26
      kajunju's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th June 2011
      Posts : 413
      Rep Power : 481
      Likes Received
      83
      Likes Given
      3

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Niko natafuta no yake.ndan ya muda mfupi nitaiweka hewani. Yawezekana kati yetu humu kuna mtu mwenye ushawishi mkubwa wa kumbadilisha

    10. #27
      kajunju's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th June 2011
      Posts : 413
      Rep Power : 481
      Likes Received
      83
      Likes Given
      3

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      No ya mutungirehi benedicto ni 0782-486177. Ushawishi wenu ni muhimu sana

    11. #28
      TzPride's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2006
      Location : Downhole
      Posts : 1,650
      Rep Power : 972
      Likes Received
      174
      Likes Given
      70

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Quote By Kimbunga
      Duh mkuu TzPride kumbe nawe ulikuwepo? Kumbe ulikuwa fresher? Haya maneno unayosema kwamba ulioogopa kuna mtu nilimsikia anayaongea pale hall five, nadhani ni wewe! Mimi enzi hizo nilikuwa mwaka wa tano pale chuoni! Baada ya hapo ikaja ile adhabu ya INTIMIDATION basi watu wengine wakasimamishwa! Kuna watu walisoma FOE miaka 6.
      Ebwanaaa! mwaka wa tano!Kusimulia? Huenda nilikuwa mimi, maana nilikuwa nakaa hall 5 mwaka huo. Kimbunga, ni kweli niliogopa sana, maana nilikuwa naona jamaa anauwawa live mbele yangu..few meters. Yes, nakumbuka INTIMDATION, lilikuwa popular word sana baada ya tukio na adhabu kutolewa.
      Ibambasi, Kimbunga and Feedback like this.
      " Counting down on CCM downfall.

    12. #29
      Royals's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th November 2011
      Posts : 1,001
      Rep Power : 579
      Likes Received
      215
      Likes Given
      4

      Default

      Quote By kajunju
      No ya mutungirehi benedicto ni 0782-486177. Ushawishi wenu ni muhimu sana
      Benedicto Mutungierhi. Nimepigia kwenye namba hii lakini inaniambia haipatikani.

    13. #30
      Feedback's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th March 2011
      Posts : 4,087
      Rep Power : 1244
      Likes Received
      2061
      Likes Given
      1123

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Quote By TzPride
      Hilo tukio sitakaa nilishau, aliposhushwa toka kwenye stage, jamaa walianza kumshindilia mangumi na mateke. Mimi nilikuwa fresher enzi hizo, niliogopa sana maana nilijua atauwawa--alikuwa anapigwa kama kibaka---namuona live mbele yangu. Bahati yake, watu waliokuwa mbali walianza kutupia viti kumpiga, makamandoo wa FOE wakamuachia wakiogopa kupigwa viti--ndio mwanya wa maswahiba wake kumnyakua na kumkimbiza. Nilivyoona, ile ilikuwa kifo chake aisee! He is very lucky!
      Mimi nilikuwa ukumbi wa juu nilipoona viti vinarushwa high table nikajua jamaa hatasalimika, unajua u-traitor ni mbaya sana sisi tulipanga (Rev. Square sijui kama siku hizi bado wanaitumia) tuendelee na mgomo kumbe usiku mwenzetu kaitwa ikulu asubuhi akaja kutueleza eti tuipe muda serikali wanafunzi hawakumwelewa.
      Only in Tanzania

    14. #31
      Ericus Kimasha's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th October 2006
      Posts : 247
      Rep Power : 1084
      Likes Received
      154
      Likes Given
      288

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Quote By Royals
      Benedicto Mutungierhi. Nimepigia kwenye namba hii lakini inaniambia haipatikani.
      Mimi, nimejaribu pia haipatikani

    15. #32
      naft's Avatar
      Member Array
      Join Date : 20th October 2010
      Posts : 27
      Rep Power : 440
      Likes Received
      6
      Likes Given
      5

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Quote By kookolikoo
      ilikuwa 1994!
      na 'aliempindua' ni Eliakim Maswi katibu mkuu nishati na madini
      Ibambasi likes this.

    16. #33
      Feedback's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th March 2011
      Posts : 4,087
      Rep Power : 1244
      Likes Received
      2061
      Likes Given
      1123

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Quote By Kimbunga
      Duh mkuu TzPride kumbe nawe ulikuwepo? Kumbe ulikuwa fresher? Haya maneno unayosema kwamba ulioogopa kuna mtu nilimsikia anayaongea pale hall five, nadhani ni wewe! Mimi enzi hizo nilikuwa mwaka wa tano pale chuoni! Baada ya hapo ikaja ile adhabu ya INTIMIDATION basi watu wengine wakasimamishwa! Kuna watu walisoma FOE miaka 6.
      Mkuu Kimbunga umenikumbusha mbali sana zile barua za Dean of students (Manongi?) tulizopewa....tell us who intimidated you... watu wakajidai kufunguka ma-page na ma-page kumbe waliojieleza sana ndio walikuwa taget na ndio wengi waliofuatiliwa.
      Last edited by Feedback; 4th June 2012 at 14:22.
      Only in Tanzania

    17. #34
      Jmpambije's Avatar
      Member Array
      Join Date : 24th April 2008
      Posts : 85
      Rep Power : 582
      Likes Received
      12
      Likes Given
      30

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Quote By Feedback
      Mimi nilikuwa ukumbi wa juu nilipoona viti vinarushwa high table nikajua jamaa hatasalimika, unajua u-traitor ni mbaya sana sisi tulipanga (Rev. Square sijui kama siku hizi bado wanaitumia) tuendelee na mgomo kumbe usiku mwenzetu kaitwa ikulu asubuhi akaja kutueleza eti tuipe muda serikali wanafunzi hawakumwelewa.
      Mkuu umenikumbusha mbali, nakumbuka kama vile alikuwa ndio kwanza kalejea toka nje ya nchi, Sweden?? kama sikosei na akatupa matumaini kwamba atalifanyia kazi tumpe muda, kumbe ndo ikawa kuharibu mpango mzima, na jamaa wakamshitukia.
      Ibambasi and Feedback like this.

    18. #35
      Royals's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th November 2011
      Posts : 1,001
      Rep Power : 579
      Likes Received
      215
      Likes Given
      4

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Kale kajamaa kalikuwa kembamba ksma njiti za baiskeli lakini kamejaa ukorofi kweli. Kingekuwa leo bungeni madam speker angekuwa anasahau kuongea kiswahili kila akisimama kuuliza swali au kuchangia hoja.
      Ibambasi likes this.

    19. #36
      Feedback's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th March 2011
      Posts : 4,087
      Rep Power : 1244
      Likes Received
      2061
      Likes Given
      1123

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Quote By naft
      na 'aliempindua' ni Eliakim Maswi katibu mkuu nishati na madini
      Mkuu hebu nikumbushe huyu Maswi ndiye yule alikuwa anapenda kuvalia suruali tumboni?

      Kuna siku tulikuwa pale Utawala tumegoma baada ya kumpindua Mutungirehi, tukaambiwa tuchangue watu watano watuwakilishe kwa VC yeye akawemo. Nasikia walipoingia ofisini kwanza waliombwa IDs zao pili wakaambiwa kama mnataka kuendelea na shule kawaambieni wenzenu watawanyike sasa hivi, walipotoka jamaa tumbo lilikuwa limekwisha kabisa suruali ilikuwa imeshuka karibu kudondoka.
      Only in Tanzania

    20. #37
      chitambikwa's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 8th November 2010
      Location : KAISHO
      Posts : 3,165
      Rep Power : 1960
      Likes Received
      573
      Likes Given
      425

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Benedicto Mtungilehi Mtachoka. Ni mhima wa Ruhita karibu na mabira wilaya mpya ya kyerwa(karagwe) .Ni mzuri kwa maneno hovyo sana kwa vitendo na ana unafiki mkubwa sana
      IT IS TO THOSE WITHOUT TEETH GOD GIVES MEAT

    21. #38
      Somoche's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th October 2010
      Posts : 1,861
      Rep Power : 813
      Likes Received
      345
      Likes Given
      338

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Nilionana nae mwaka jana anaishi Airport, mambo yake sio mazuri sana naona anaishi kwa kubangaiza tu, sio kwamba namsema ni ukweli wenyewe,
      Kaa la Moto likes this.

    22. #39
      Royals's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th November 2011
      Posts : 1,001
      Rep Power : 579
      Likes Received
      215
      Likes Given
      4

      Default Re: Mutungirehi; mwanasiasa mahiri kazimikia wapi?

      Ina maana anaishi kwa kubangaiza hadi anashindwa kujiunga na JF.

    23. #40
      kajunju's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th June 2011
      Posts : 413
      Rep Power : 481
      Likes Received
      83
      Likes Given
      3

      Default

      Quote By chitambikwa
      Benedicto Mtungilehi Mtachoka. Ni mhima wa Ruhita karibu na mabira wilaya mpya ya kyerwa(karagwe) .Ni mzuri kwa maneno hovyo sana kwa vitendo na ana unafiki mkubwa sana
      Ana unafki gani? Yaonekana unamjua vizuri had huko kwao ruhita. In actual fact jamaa ni mzuri kujieleza isipokuwa watu wa kyerwa mlitaka awe anawanunulia pombe na kuwaonga pesa. Mazingira enzi zake kuhusu upinzani zilikuwa mbaya sana.upinzan ulikuwa uhasama/chuki na ata kupeana sumu. Watu wa kambi ya ccm waliumia kushndwa na mtu ambaye hakuwa na pesa isipokuwa mdomo na elimu, wakti yule wa ccm alikuwa milionea,anawanzesha pombe,gari mnapanda bure huku akidhibiti waganda wasinunue kahawa anunue yeye kwa bei anayotaka.kumbuka mwaka 2005 ndiye mbunge alikuwa kachangia sana bungeni. Bunge lilipokuwa linaisha wanasema aliishi kijijini kitwe na gari yake ilikuwa ambulance jimbon kwerwa.nimempgia rafiki yake ambaye yuko kaisho na walisoma wote

    Page 2 of 5 FirstFirst 1234 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...