Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: CCM ya Jana,CHADEMA ya leo,kesho na Mabadiliko ya kisiasa Tanzania

    Report Post
    Results 1 to 6 of 6
    1. #1
      Mbelwa Germano's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th May 2011
      Posts : 701
      Rep Power : 838
      Likes Received
      200
      Likes Given
      262

      Default CCM ya Jana,CHADEMA ya leo,kesho na Mabadiliko ya kisiasa Tanzania

      Wakati tunaelekea kufanya mabadiliko makubwa ya kisiasa katika Taifa letu la Tanzania hebu tutafakari maneno haya ya Hayati Mwalimu Julius Kamabarage Nyerere na tuangalie relevance za maandishi haya katika political environment ya sasa:


      1. Uongozi wa vitisho si uongozi, na uongozi wa namna hiyo utaendelea kwa muda mfupi tu. Wananchi wanapoonyesha makosa ya maamuzi ya kipumbavu wanatumia haki yao ya uraia…tunachotaka kuzuia ni ufidhuli, ubovu, na uzembe wa baadhi ya viongozi ” (“AZIMIO LA ARUSHA BAADA YA MIAKA KUMI” ukurasa wa 47 na 49)
      2. Tungekubali kuwa waoga na wazembe wakati wa kupambana na mkoloni, leo tusingekuwa tunajitawala. Tukianza woga na uzembe hatutaweza kujenga na kudumisha demokrasia nchini mwetu” (Hotuba yake ya Arusha tarehe 5 Februari 1977)
      3. .”Haisaidii mtu yoyote kujidai kwamba mambo yalivyo sivyo …….”na hasa….kama mambo ni mabaya hayatoweki kwa sababu tunajidai hayapo…” (“After Arusha Declaration” p.8 )(Tafsiri)
      4. Lazima uwepo … utekelezaji wa siasa kwa akili kufuatana na mazingira, mahitaji ya nchi na nyakati zilivyo. Hakuna jibu moja ambalo linaweza kutumika nyakati zote na mahali pote. Kila nchi na kila kizazi lazima kizingatie matatizo yake kwa mipango yake yenyewe ikitumia kwa ufanisi mkubwa zile nafasi zinazopatikana katika mazingira yake” (Karamu rasmi aliyomfanyia Waziri Mkuu Chou Enlai 4.5.1965)(Tafsiri)






      ANGALIZO:
      Nilituma uzi huu kwa title nyingine iliyokuwa na kichwa cha habari "Mwalimu Nyerere na maamuzi ya kipumbavu,Uoga na Uzembe" mods mkaifuta without reading the content hivyo nimetoa fursa nyingine kutafakari maandishi haya ya Mwalimu.
      Last edited by Mbelwa Germano; 2nd June 2012 at 19:27.
      Waberoya and Sangarara like this.

    2. RukaaJuu Final

    3. #2
      Ruhazwe JR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st January 2011
      Posts : 3,172
      Rep Power : 2888
      Likes Received
      776
      Likes Given
      721

      Default Re: CCM ya Jana,CHADEMA ya leo,kesho na Mabadiliko ya kisiasa Tanzania

      Mkubwa! Hizo nukuu si mchezo kabisa.zinahukumu serikali iliyopo madarakani na zinailenga hali iliyopo ya sasa kuhusu muungano na siasa kwa ujumla.Ni ushauri wangu JK akae chini aya tafakaria haya kwa kina kisha achague kusuka ama kunyoa

    4. #3
      Waberoya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd August 2008
      Location : Busia-Uganda
      Posts : 5,948
      Rep Power : 1742
      Likes Received
      1518
      Likes Given
      2835

      Default Re: CCM ya Jana,CHADEMA ya leo,kesho na Mabadiliko ya kisiasa Tanzania

      aisee!! very interesting quotes....

      but do you think the care?
      You are not supposed to be so blind with patrotism that you cant face reality. Wrong is wrong no matter who says it. Malcom X

    5. #4
      Precise pangolin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 4th January 2012
      Posts : 5,689
      Rep Power : 1913
      Likes Received
      1591
      Likes Given
      676

      Default Re: CCM ya Jana,CHADEMA ya leo,kesho na Mabadiliko ya kisiasa Tanzania

      Ccm badala ya kuzifanyia kazi hizo nukuu za Nyerere wanaziweka makumbusho wanasubiri kuazimisha kumbukumbu ya kifo chake wanaziweka kwenye redio siku hiyo tuu
      Mbelwa Germano likes this.

    6. #5
      English Learner's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st January 2012
      Location : Inside the Laptop
      Posts : 251
      Rep Power : 804
      Likes Received
      268
      Likes Given
      197

      Default Re: CCM ya Jana,CHADEMA ya leo,kesho na Mabadiliko ya kisiasa Tanzania

      With all these wisdom spoken and written by Mwalimu, still there are more "wisemen" fighting with fallacies to portlay Mwalimu as ludicrous.
      Mbelwa Germano likes this.

    7. Miaka 50

    8. #6
      JOJEETA's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th March 2012
      Posts : 160
      Rep Power : 393
      Likes Received
      46
      Likes Given
      64

      Default Re: CCM ya Jana,CHADEMA ya leo,kesho na Mabadiliko ya kisiasa Tanzania

      kilichobaki naona ni sisi wananchi kuzifanyia kazi na si nyingine bali kuwang'oa madarakan hawa mafidhuli 4 real tumechoka na ufidhuli wao uliokemewa tangu kale............vijana twende kazini mpaka kieleweke
      Mbelwa Germano likes this.

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...