Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Arusha sasa ni Salama - Kikwete

    Report Post
    Page 3 of 5 FirstFirst 12345 LastLast
    Results 41 to 60 of 92
    1. #1
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,418
      Rep Power : 10873
      Likes Received
      3798
      Likes Given
      426

      Default Arusha sasa ni Salama - Kikwete

      Rais Jakaya Kikwete amewapongeza wakazi wote wa Arusha kwa kurudisha amani iliyokuwa imepotea.

      Rais amesema kamwe serikali yake isingeruhusu mkutano wa kimataifa kufanyika Arusha katika hali ya sintofahamu iliyokuwepo kabla.

      Rais ameyasema hayo katika hotuba yake iliyosambazwa kwa vyombo vya habari muda mchache uliopita.

      Rais amesema mkutano wa kimataifa uliofanyika Arusha ni kutokana na juhudi za wakazi wa Arusha kurejesha amani iliyokuwa imepotea.

      Amewasihi wakazi wote wa Arusha kuendeleza amani iliyopo ili jiji hilo liendelee kutambulika kama Geneva ya Afrika.

      Rais amemalizia kwa kusema Yaliyopita si ndwele tugange yajayo.

    2. Miaka 50

    3. #41
      Godlisten shoo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 21st May 2012
      Posts : 35
      Rep Power : 360
      Likes Received
      6
      Likes Given
      5

      Default

      Nchi inaongozwa kiendawazimu!

    4. #42
      Mlengo wa Kati's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th February 2011
      Posts : 1,297
      Rep Power : 0
      Likes Received
      188
      Likes Given
      11

      Default Re: Arusha sasa ni Salama - Kikwete

      hakika ujinga wa lema uliondoa amani ya arusha! sasa arusha pako swari na kila mtu anafanya kazi zake kwa amani!

    5. #43
      Laptani's Avatar
      Member Array
      Join Date : 30th September 2009
      Location : Arusha
      Posts : 82
      Rep Power : 506
      Likes Received
      12
      Likes Given
      2

      Default Re: Arusha sasa ni Salama - Kikwete

      Kama mzaliwa na mkazi wa Arusha, nina wasi wasi na hotuba ya JK kama aliongelea jambo alilo na uhakika nalo au kalishwa mapropaganda na watu wake wa UWT.

      Kwanza ieleweke kwamba amani ilikosekana Arusha siku ile ya mabomu tu, siku iliyofuata kila mtu na shughuli zake kilichobaki ilikuwa 'intelejensia'.

      Pili leo tumeamini kauli ya Lema kwamba ikulu ilihusika na yeye kuvuliwa ubunge na imedhihirika kwa JK kusema Arusha sasa iko salama, simply baada ya Lema kuvuliwa ubunge. Tunashukuru maana ndo kazidi kuizika CCM Arusha.

      Ukweli ss wakazi wa Arusha siku zote tuko peace ila hawa maintelejensia ndo wanatuletea sifa mbaya.

      Labda niseme ubaya wa Arusha ni kutopendwa kwa Magamba na ni waasisi wa M4C.

    6. #44
      Hofstede's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th July 2007
      Posts : 3,604
      Rep Power : 21341
      Likes Received
      981
      Likes Given
      988

      Default Re: Arusha sasa ni Salama - Kikwete

      Quote By ng'hily
      Dah! Sa huyu mtani wangu Mkwele anataka kumaanisha nini hapa......Watu wengine bana...
      Hahaha mkuu wata li-censor na hili neno kama lile lenye 'r', hapa umeniacha hoi sana, maana ukiandika lile unapata stars sita ******.

      Kikwete badala ya kuunganisha wanannchi yeye anawagawa huo si uongozi. President hatakiwi kufanya propaganda hiyo kazi angewaachia kina Nnauye. Unaposema Arusha kuna amani unatakiwa kueleza kilichosababisha amani itoweke na hatua mlizochukua kuirudisha kama serikali hapo ndipo unapata Credit kama President. Kauli kama hizi ndizo zilezile za kuendeleza vijembe. Kiongozi wa nchi unatakiwa clear to the point siyo meandering.

    7. #45
      mzalendokweli's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st April 2012
      Posts : 346
      Rep Power : 426
      Likes Received
      86
      Likes Given
      52

      Default Re: Arusha sasa ni Salama - Kikwete

      Mnafiki dunia nzima. Aman ipo siku zote Arusha wao ndo wanatuletea hali ya sintofahamu kwa kutupandikizia wasiotakiwa ili kuficha uovu wao. Hata atukenulie vip hapa arusha ajue si kwake ndio mana anakuja mara mbili mbili ndan ya siku moja anaogopa nn?. Arusha sio kwao bagamoyo huku tunaelewa every move tht he takes zamakafaz.

    8. FemaTV & Radio

    9. #46
      Yericko Nyerere's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd December 2010
      Location : Kigamboni, DSM
      Posts : 4,520
      Rep Power : 22961
      Likes Received
      2819
      Likes Given
      312

      Default Re: Arusha sasa ni Salama - Kikwete

      Rahisi wetu anamatatizo sio bure!

    10. #47
      mzalendokweli's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st April 2012
      Posts : 346
      Rep Power : 426
      Likes Received
      86
      Likes Given
      52

      Default

      Quote By NasDaz
      Vipi Mkuu wangu Crashwise, mlimpopoa kwa mawe?! Manake hapa wana-Arusha walikuwa wanajigamba kwamba siku Kikwete akitia mguu Arusha lazima apigwe mawe...je, mlifanya hivyo?! Au jamaa alihunduria mkutano huo thru Video Conference?! Ni katika kutaka kufahamu tu mkuu wangu!!!
      Aliingia kimya kimya,alikuja akageza dara af akaja tena siku hiyo hiyo km mwizi
      NasDaz likes this.

    11. #48
      NasDaz's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th May 2009
      Location : Ushenzini
      Posts : 3,055
      Rep Power : 5344
      Likes Received
      1410
      Likes Given
      1646

      Default Re: Arusha sasa ni Salama - Kikwete

      Quote By mzalendokweli
      Aliingia kimya kimya,alikuja akageza dara af akaja tena siku hiyo hiyo km mwizi
      Kwahiyo intelligence yenu ipo weak sio?!
      I am a free thinker! It's only my free thinking that leads me, to what am commenting. Thus, I've no doubt that today I can be your fellow but tomorrow your enemy, and the agent between us being my comments!! So, If today we agree with cheers, tomorrow we'd not disagree with jeers!


    12. #49
      mzalendokweli's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st April 2012
      Posts : 346
      Rep Power : 426
      Likes Received
      86
      Likes Given
      52

      Default

      Quote By NasDaz
      Kwahiyo intelligence yenu ipo weak sio?!
      Raia hatuna intelligence. Angejianika hadharan aone chamoto.

    13. #50
      Kichuguu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th October 2006
      Location : Popote Porini
      Posts : 6,836
      Rep Power : 3272
      Likes Received
      1314
      Likes Given
      916

      Default Re: Arusha sasa ni Salama - Kikwete

      Kikwete ni mbabaishaji sana; kama raisi wa nchi bado anafanya kazi zake kama sisi watu wa hapa uwanja wa fisi ambao tunafikiria mambo yetu kwa kutumia mdomo badala ya kutumia akili. Hivi katika zile ahadi za uchaguzi ni ipi imeshatekelezwa
      Kichuguuu: Nyumba inayohifadhi mchwa na nguchiro kwa pamoja bila mkwaruzo

    14. #51
      ELNIN0's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th November 2009
      Posts : 2,526
      Rep Power : 987
      Likes Received
      248
      Likes Given
      50

      Default Re: Arusha sasa ni Salama - Kikwete

      naomba jimbo ARUSHA MJINI litangazwe rasmi kwamba ni HURU, kikwete agombee UBUNGE na mama salma awe kampeni manager wake , watumie rasmilali zote za nji hii tulizowapa kwa mujibu wa katiba - ISEE HAWASHINDIIIIIII........ HAWASHINDI MANGIIIII..... achana na ile KITU, ILE KITU NI NOMAAAA............

    15. #52
      DOUGLAS SALLU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th November 2009
      Posts : 3,598
      Rep Power : 1285
      Likes Received
      315
      Likes Given
      905

      Default Re: Arusha sasa ni Salama - Kikwete

      Hukumu iliyomvua Lema ubunge ilikuwa handout toka ikulu. Lakini JK aelewe kuwa mwisho wa ubaya ni aibu.
      FREDOMFIGHTER likes this.

    16. #53
      ebrah's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th October 2010
      Posts : 376
      Rep Power : 512
      Likes Received
      50
      Likes Given
      52

      Default Re: Arusha sasa ni Salama - Kikwete

      Uhuru wa mahakama support wapi

    17. #54
      Mzizi wa Mbuyu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th May 2009
      Posts : 3,211
      Rep Power : 1272
      Likes Received
      531
      Likes Given
      404

      Default

      Quote By Ngoromiko
      Hapana, yeye si kama wewe ambaye ni hopeless headless citizen - Lol! ...poole.
      We ndio hamnazo kabisa, unamtetea kichwa cha nazi! Utatakuwa na matatizo makubwa k.i.a.k.i.l.i na kifamilia!

    18. #55
      Wingu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th January 2011
      Posts : 3,973
      Rep Power : 1217
      Likes Received
      247
      Likes Given
      41

      Default Re: Arusha sasa ni Salama - Kikwete

      Kwa uchunguzi wangu naona Lema maisha yake kisiasa yanahesabika sio bure naona wameamua kumshikia kooni.Hata hii rufaa sijui sina imani nayo tena.

    19. #56
      Mzizi wa Mbuyu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th May 2009
      Posts : 3,211
      Rep Power : 1272
      Likes Received
      531
      Likes Given
      404

      Default

      Quote By chuki
      Nadhani katika wapumbavu
      Tanzania hii na wewe umo, huwezi ukatukana tusi baya kiasi hicho Rais wa
      nchi.
      Nyie CHADEMA mtabaki hivyo hivyo mpaka mwisho maana Ubaya hautoruhusiwa
      kukanyaga patakatifu- Matusi yako ipo siku yatalipizwa, Take
      care.
      Kwani raisi anauatakatifu gani? Mali wa kwao wamempa kibano cha mbwa mwizi na na huyu wetu cha nazi anastahili!

      We matatizo yote tuliyo nayo mfumuko wa bei, na taabu mbalimbali za wananchi wa Arusha, yeye anaamini yanaisha kwa lema kutokuwa mbunge! Headless chicken presidaa!

    20. #57
      Vunjavunja's Avatar
      Member Array
      Join Date : 18th May 2012
      Posts : 80
      Rep Power : 369
      Likes Received
      11
      Likes Given
      0

      Default

      kweli kikwete fikra zake ni hushia pale anapoanzia.

    21. #58
      chinekee's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 25th December 2011
      Posts : 126
      Rep Power : 399
      Likes Received
      12
      Likes Given
      2

      Default Re: Arusha sasa ni Salama - Kikwete

      Quote By Kiboko Yenu
      ni kweli maana mr maandamano now hana power amejitaid kukishawishi chama kifanye ziara ili apate posho kwa maana ana hali mbaya
      Babako ndo ana hali mbaya na kwa taarifa yako kamanda lema hajawahi kuishi kwa posho na ndo maana hata vikao vilivyokua vya posho kama bunge na kamati zake alikua anahudhuria pale alipokua na hoja au kama ana cha kuongea cku hiyo...

    22. #59
      Mbozib's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th April 2012
      Posts : 358
      Rep Power : 430
      Likes Received
      43
      Likes Given
      5

      Default Re: Arusha sasa ni Salama - Kikwete

      Ni hatari sana kwa kiongozi mkuu wa nchi kwa majungu amani ipi iloyo potea arusha na ameirudisha nani mbona anakuja na kuondoka kama mwizi hapa . Mi naona yeye mwenyewe na ccm yake ndio hawana amani apa arusha.

    23. #60
      chinekee's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 25th December 2011
      Posts : 126
      Rep Power : 399
      Likes Received
      12
      Likes Given
      2

      Default Re: Arusha sasa ni Salama - Kikwete

      Quote By Hodarism
      Jamani pamoja na yote yaliyosemwa kwa hili tusipotoshe umma, nimesoma vyema hotuba yake ya leo na sijaona sehmu ambayo kikwete amebainsha aliyoyatoa mtoa mada. Tupingane lakini isifike wakati wa kuleta yale ambayo hayapo. Hebu someni hotuba yake kwanza ndiyo u-comment. sawa sisi ni wapinzani wake na chama chake cha magamba lakini isifikie hatua hii.
      Aliyasema hayo kwa kinywa chake kupitia kituo cha ITV usiku wa jana... Na kama hiyo haitoshi hata mkuu wa mkoa magesa aliyasema hayo hayo wakati anaapisha wakuu wa wilaya wiki 2 zilizopita na vyombo vyote vya habari viliandika na kuzungumza

    Page 3 of 5 FirstFirst 12345 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...