Makamanda ndio wanatia timu kiwanjani..! Kimsingi naweza kusema ni mapokezi ya kihistoria. Mtaendelea kupokea Updates..
Picture Updates:
Makamanda ndio wanatia timu kiwanjani..! Kimsingi naweza kusema ni mapokezi ya kihistoria. Mtaendelea kupokea Updates..
Picture Updates:
Yeah! Pa1 man, kama vp na picha mkuu! Pipoooz pawaaa!
uwe unaipa na picha habari yako mkuu picha inasomeka vizuri kuliko maandishi peke yake!
TUKIWAKAMATA MAFISADI NCHI ITAYUMBA by PINDA
Pa1 kamanda kwenye Magwanda,fanya kutumipia picha.
kaka vp unaweza kupost picha za wananchi hapo mkutanoni,
Pamoja kamanda, tueendelee kupeana taarifa tu, ila na picha zinahusika zaidi.
Weka mapicha mkuu
Bajeti ya maskini tajiri haiwezi
Asante Mkulu, picha itakoleza hii habari zaidi.
PICHA PLS MUHIMU SANA SISI HUKU KISIWANDUI TUKO MAFICHONI HATUJUI HATMA YETu
ONLY WISE MAN CAN PLAY THE MELODY OF LIFE
Habari nilizozipata hivi punde wananchi wa mtwara na viunga vyake wameshafika uwanja wa mashujaa mtwara kwa ajili ya Kuvua Gamba na Kuvaa Gwanda. Source:wa jikoni
Asanteni wakuu nitalifanyia kazi. Tatizo natumia mobile phone, nikijaribu ku-upload picha inaniwia vigumu kidogo. Nitajitahidi, lkn so far hali ni shwari kabisa.
weka mapicha yazungumze yenyewe, CCM rest in hell
''Rais usigeuke POPO, daily tunakusikia angani na FastJet
Tunashukuru kwa taarifa mkuu.
Tunaomba update japo kamstari kamoja kamoja kuhusu yanayotukia hapo uwanjani. Kumbuka sisi hatupo hapo uwanjani kwa hiyo kila utakachopost kwetu ni habari.
You'll never walk alone - LFC.
gud work go ahed!
picha plsssssssss.....
Magamba kila time wanaenda chooni sijui kwa nini?
Good news!
Follow Us Here