jamani naomba huyu jamaa aelewe kuwa nchi hii kila mtu anaruhusiwa kuishi na kuweka makazi yake popote kwa kufuata kanuni na taratibu zilizopo bila kuvunja sheria,,,,wakazi wa dar ni wengi sana ila na asilimia kubwa siyo wazaliwa wa pale lakini hao wanahaki ya kupiga kura kama wamejiandikishia huko,,,,, cdm hawakufanya mkutano wakiwatafuta wazawa wa dar kama ingekuwa hivyo ila walikutana na watu wote bila kuhoji huyu mtu ni mzaliwa wa wapi, tukiangalia hivyo hata arusha siyo wakazi wote ni wazawa wa arusha watu wametoka sehemu mbalimbali kutafuta maisha jambo ambalo haliwazuii kuhudhuria mikutano ya siasa kama mwandishi anavyotaka kutuaminisha.
Idadi ya watu waliojitokeza pale tunasema ni wakazi wa dar kwakuwa mkutano ule ulifanyikia mkoa huo naomba mwandishi kama uliumia sana usitake kuanzisha vijisababu visivyo na msingi,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, ,,,sikutegemea kama kuna mtu anaweza sema sehemu au mkoa fulani "una wenyewe" nchi hii ni mali ya kila mtu kama ni hivyo mbona watu wanaomiliki asilimia kubwa ya maeneo ya dar siyo wazawa??????? Tena inawezekana wewe huna hata hatua moja ya kijisehemu cha kukuzikia tu. Ndugu zangu tumpuuze huyu mtu sana
Follow Us Here