Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

    Report Post
    Page 10 of 20 FirstFirst ... 89101112 ... LastLast
    Results 181 to 200 of 389
    1. #1
      W. J. Malecela's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 15th March 2009
      Posts : 4,511
      Rep Power : 0
      Likes Received
      2029
      Likes Given
      1819

      Default Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

      ki.

      Mwenyekiti wa Chama cha kuwakomboa wananchi, anapotumia magari kama ya watawala, inasema nini kuhusu huu ukombozi? VX8, tena sio moja, Wasaidizi, Dreva, MABENDERA, KUCHELEWA KUFIKA UWANJANI, bado hajashika nchi, je akishika tutegemee nini tofauti, maana haya si ndio ya kawaida kwa watawala? Kwenye kuvaa kombati sawa lakini mengine hayo mbona sawa na watawala?

      - NAOMBA KUTOA HOJA, MAANA WAKOMBOZI KINA CASTRO, CHE GUEVARA, MAO, NA SAVIMBI HATUKUWAONA NA MA-VX8, AU WASAIDIZI AU NI UKOMBOZI TOFAUTI?

      - KUONGOZA SI NI MFANO ZAIDI? MUNGU AIBARIKI TANZANIA!


      William.
      Last edited by W. J. Malecela; 28th May 2012 at 11:29.

    2. RukaaJuu Final

    3. #181
      William Mshumbusi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th March 2012
      Posts : 328
      Rep Power : 510
      Likes Received
      187
      Likes Given
      0

      Default Re: Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

      Malechela ana hoja ya msingi ila swali

      Kama anachukizwa na tabia za watawala za kupenda anasa mbona bado yuko CCM ambako ndiko chimbuko la anasa na mishahara minono kwa wanasiasa

      Mbowe ana fedha safi tena zake lakini viongozi wanatumia kodi zetu.

      NI MNAFIKI ANAPONDA WANASIASA WAKATI NAYEYE NI MWANASIASA

      Je alitaka mbowe awasaidiaje masikini wote wa Tz.

      Je yeye binafsi toka aanze siasa amefanya nini kuwasaidia masikini. Sio kuwaangalia wenzake wanaojitoa muhanga. Kwa picha alizotuonesha anataka tuamini anawahurumia sana.
      Waberoya likes this.

    4. #182
      OKW BOBAN SUNZU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th August 2011
      Posts : 1,500
      Rep Power : 790
      Likes Received
      554
      Likes Given
      618

      Default Re: Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

      ''chini ya umakamu mwenyekiti wa john malecela ndie alianzisha mpango wa kuiba kura za walalahoi kupitia chaguzi ndogo na hii laana haitatoka ndani ya familia maana watanzania wengi wamedhurumiwa haki zao sasa wewe ni zao la mafisadi na mwenyekiti wa chadema hana kashfa yoyote ya kuhujumu uchumi kila biashara yake ni halali lakini malecela unaona hata medali ya miaka 50 ya uhuru hakupata kitu kuonesha hujuma alizoasisi ndani ya chama.'' said by KIV of JF

      My take:hii familia inalaana ya kisiasa
      Mbele Mungu nyuma Mungu katikati CHADEMA by Gwankaja Gwakilingo waJF

    5. #183
      OSOKONI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th October 2011
      Posts : 3,639
      Rep Power : 1111
      Likes Received
      1001
      Likes Given
      758

      Default Re: Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

      Quote By W. J. Malecela
      ki.

      Mwenyekiti wa Chama cha kuwakomboa wananchi, anapotumia magari kama ya watawala, inasema nini kuhusu huu ukombozi? VX8, tena sio moja, Wasaidizi, Dreva, MABENDERA, KUCHELEWA KUFIKA UWANJANI, bado hajashika nchi, je akishika tutegemee nini tofauti, maana haya si ndio ya kawaida kwa watawala? Kwenye kuvaa kombati sawa lakini mengine hayo mbona sawa na watawala?

      - NAOMBA KUTOA HOJA, MAANA WAKOMBOZI KINA CASTRO, CHE GUEVARA, MAO, NA SAVIMBI HATUKUWAONA NA MA-VX8, AU WASAIDIZI AU NI UKOMBOZI TOFAUTI?

      - KUONGOZA SI NI MFANO ZAIDI? MUNGU AIBARIKI TANZANIA!


      William.
      sitaki kuamini kama una ufinyu wa kufikiria kama Jumanne!!
      Narrow minded people discuss people,common minded people discuss events great minded people discuss ideas!!!

    6. #184
      Hassan J. Mosoka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th October 2010
      Posts : 542
      Rep Power : 543
      Likes Received
      160
      Likes Given
      185

      Default Re: Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

      Ndugu zangu wana Jamvi mimi siamini katika kurudi tulikotoka, ninaamini katika kwenda mbele kwa nyanja zote. Siamini katika kurudi kwenye 504 au Peugeot katika ulimwengu ambao una magari ya kisasa zaidi na hata ndege. Tatizo letu si matumizi ya magari ya kifahali hata kidogo. Siamini kwamba kiongozi wa nchi atasafiria gari iliyochoka au ya bei ndogo isiyo na uhakika wa usalama wake in 21 century eti kwa madai ya kupunguza matumizi huu utakuwa ujinga na ujima. Mbiu yangu ni kuwa hao viongozi tunaowaamini na kuwapa vifaa vya kisasa ikiwemo usafiri washiriki kikamilifu kuinua hali ya uchumi wa nchi ili watu wengi zaidi wawe na uwezo wao binafsi wa kumiliki aina ya vifaa hivi, sio kurudishwa mwaka 47. Kujibu hoja ya Willy, tunataka CDM waingie madaraka kwa sababu tu wanaaminiwa kuwa na majibu ya matumizi bora ya raslimali za nchi katika kuinua uchumi wa nchi yetu.
      Sasa ni sahihi nchi hii kubatizwa jina jipya FISADISTAN 'The Land of The Corrupt'"- Zitto Kabwe.

    7. #185
      Hassan J. Mosoka's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th October 2010
      Posts : 542
      Rep Power : 543
      Likes Received
      160
      Likes Given
      185

      Default Re: Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

      Quote By W. J. Malecela



      - Jamani tuwe wakweli hapa nani ni mkombozi wa mwenzake, mwenye hii nyumba au mwenye ile VX8? Leo sitaki maneno mengi sana nipo kipicha zaidi! ha! ha! ha! ha!


      William.
      Willy,
      Mwenye hii nyumba anatakiwa akombolewe ili naye awe na uwezo wa kununua V8 sio adidimie zaidi kama jina la ule mji wetu wa Idodomia
      Sasa ni sahihi nchi hii kubatizwa jina jipya FISADISTAN 'The Land of The Corrupt'"- Zitto Kabwe.

    8. Miaka 50

    9. #186
      Elli's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 17th March 2008
      Location : Kijito-Upele
      Posts : 8,584
      Rep Power : 2553
      Likes Received
      2143
      Likes Given
      1862

      Default Re: Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

      Nauliza kwa nia njema kabisa jamani, hivi yule kiongozi aliyebadilisha DINI ili apate misaada toka kwa akina Fulani aweze kugombea Post ya Juu kabisa alikua anaitwa nani vile? Hivi hii haikua stage ya juu kabisa ya Uroho na Ulafi uliokubuhu? kuna ulafi kama huuu tena hadi wa kufikia kuikana Imani yako kisa mshiko? Dunia hii ya leo tungemfananisha na Yule msanii sijui anaitwa nani yule, hivyo Bwana Willy acha kuamsha mambo yaliyoanza kusahaulika, si kwamba hatuoni, hapana tunamheshimu sana Mzee, maana naamini hata hapo ulipo na kwajili ya fedha ambazo nyingi ziliibwa kutoka kodi za ndugu zetu? Au umesahau kitu kilichotkea kwa Ndugu yangu mmoja pale Alipopata post mbili kipindi kile, yaani alikua mtu wa serikali na Chama akitokea kwene ualimu?
      Unakumbuka kilichotokea kwake? Mlimvua madaraka yake yote mkasahau kuwa anafamilia? alikua akiishi Area D na mlimtimua miaka ya mwanzoni mwa Tisini? Apumzike kwa amani Mzee J. Hivyo Kaka kuwa mpole, subiri nilie kwanza, tulikua tunamtegemea sana, hakua mwizi, alikua mkweli ila kwa fitna na chuki za CCM akatimuliwa pale alipokua amesema ukweli, Pumzika kwa Amani baba, naamini siku ipo na siku inakuja mtayalipa haya yote, kilio chetu na familia ile kiemfika juu sana, ni kweli hatuna uwezo tena hata wa ku-appeal lakini natamani angefufuka leo hii aione CCM.

      Nashindwa kuendelea kuandika, ntarudi tena, na kumbuka hii ni mara ya ngapi nakuonya tena kwa kukusihi kuwa acha kuandika mambo ambayo unajikweza bure kwa kukanyaga na kutonesha migongo ya wengi ambayo uliitumia kama ngazi ya kufikia hapo ulipo? Ni nani CCM atasimama kuistahimili siku ile ya Hukumu? sikulaumu wewe ila naulumu mfumo, uliowapenda nyie na kuiacha familia ya wengine kwene mateso haya, hivi mnajua hata kaburi lake lilipo? mnfahamu hata alipozikwa? CCM imejaa damu, haya kwaherini kwa sasa
      zumbemkuu likes this.
      ...but what MAN is entirely without Evil intent in the Silence of his Soul???

    10. #187
      Chasha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th June 2011
      Posts : 2,459
      Rep Power : 953
      Likes Received
      1209
      Likes Given
      238

      Default Re: Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

      HUYU JAMAA KATUMWA NA HUYU MHESHIMIWA WA KULE SAME

      Saint Ivuga likes this.

    11. #188
      kiyeyeu's Avatar
      Member Array
      Join Date : 7th January 2011
      Posts : 27
      Rep Power : 430
      Likes Received
      1
      Likes Given
      7

      Default Re: Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

      huyu william baada ya kupigwa chini ktk kinyang'anyiro cha ubunge wa EA na akili yake ishazuzuka, hata vioja vyake ktk fb havina mashiko kabisa ni mademu tu ndo wachangiaji wake, na anavyohaha sasa hivi kafungua kablog hajui kuna blog zaidi ya buku tano hapa bongo, what's up nyingi anadhani hapa us, my take rudi USA uendelee kusomea ubaharia zaidi ndo unakufaa siasa ina wenyewe, na siku hizi haturithishani vyeo

    12. #189
      Pilitoni's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 11th July 2011
      Posts : 431
      Rep Power : 0
      Likes Received
      33
      Likes Given
      0

      Default Re: Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

      Mkalale

    13. #190
      Nyunyu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 9th March 2009
      Location : Here.
      Posts : 3,349
      Rep Power : 2044
      Likes Received
      465
      Likes Given
      2749

      Default Re: Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

      Jamani Wana GTs, mimi hutofautiana na William sana! Lakini kwa hili Ana hoja, tena hoja inayohitaji majibu na si matusi na blah blah!

      Kama kweli chadema Ina Ia kila siku na matumizi mabaya ndani ya serikali, na kwamba, serikali ikipunguza matumizi, specifically kuancha kununua magari ya kifahari, hili sore twalijua...kwa Nini basi isitende inayoyahubiri? Tena ilipaswa kuanzia kwa mwenyekiti... Kumbukeni vyama vya siasa vilivyo na wa Inge hupewa ruzuku na serikali, sore tunajua hela ya serikali ni kodi ya wananchi!

      Sasa basi kwa nini chadema nao watumie magari haya ya kifahari? Tujadili kama great thinkers and not otherwise...matusi hayasaidii, sana sana yanadhalilisha JF. Leteni hoja...
      Waberoya likes this.
      There is no such a thing as part freedom- Nelson Mandela

      e-mail: [email protected]

    14. #191
      mrefu36's Avatar
      Member Array
      Join Date : 16th August 2010
      Posts : 43
      Rep Power : 453
      Likes Received
      6
      Likes Given
      0

      Default Re: Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

      Quote By W. J. Malecela
      ki



      - Somo limeeleweka maana ndio JF style, matusi yakizidi ujue somo limeeleweka, that is all I could ask kutoka kwa grreat thinkers!

      William.
      vipi mkuu nasikia umekimbia CHILD SUPPORT NEW YORK?
      Enyi wajinga, mtang’ang’ania ujinga wenu hadi lini?

    15. #192
      Matola's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th October 2010
      Posts : 12,516
      Rep Power : 19751
      Likes Received
      5449
      Likes Given
      3641

      Default Re: Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

      Kama kuna mtu makini ataendelea kuamini kama William Malecela Ubongo wake uko sawa basi naye apimwe akili. ushahidi huu hapa.


      • LinkBack

      • Topic Tools

      • Search Topic

      • Rate This Topic




      W. J. Malecela

      24th May 2012 06:29
      #1
      JF Senior Expert Member Array


      Join Date : 15th March 2009
      Posts : 3,231
      Rep Power : 5583
      Likes Received1617
      Likes Given1601



      Posho za Wabunge na Maisha ya Dodoma

      - Heshima mbele JF, hivi karibuni nilikuwa Dodoma hili la Wabunge na posho limenishitua sana ukizingatia kwamba nilikuwa mmoja wa wananchi waliopinga sana Wabunge kuongezewa posho, there I was in Dodoma, hotel ya hadhi ya wabunge ni Dodoma hotel, bei ya chini sana kwa chumba ni Sh. 65,000 kwa siku; ukienda mtaani ni sh. 50,000 kwa siku, I mean bado wabunge hawajala na ku-deal na wananchi kutoka majimbo yao ambao humiminika kila siku Wabunge wanapokuwa Dodoma, kuwalilia shida za binafsi.

      - Serikali itafute suluhisho la hili tatizo kwa sababu ni tatizo, tunaawaacha wabunge in an open field ya kupokea rushwa, nimeona Wabunge wengine wakiishi sehemu ambazo ni very dangerous kwa kiongozi wa taifa tunayemtegemea kuishi, halafu unakuta magazeti yakifurahia mbunge apigwa mapanga, mbunge aibiwa, I mean as taifa we have to do something, nchi nyingi Duniani, infact hata Zambia tu Serikali imewajengea Special Hostel wabunge wake kwenye maeneo ya viwanja vya bunge kupunguza hili tatizo la posho, I mean kwa hali niliyoiona hili tatizo halikwepeki ni lazima lizungumzike.

      - Nilichojifunza kule Dodoma ni kwamba wengi wa Wabunge waliokuwa wanapinga posho ni wale wenye uwezo mkubwa sana kipesa kwamba hata hawahitaji hiyo posho ya sh. 70,000 kwa siku maana kwao ni peanuts na ni wachache sana, ninasema hii hoja ijadiliwe tena, tunawaweka wabunge wengi pagumu sana kimaishana hata kutuongoza.



      William John Samwel Malecela @DSM City!

      Last edited by W. J. Malecela; 24th May 2012 at 07:09.
      Chapakazi likes this.
      Division four point 29 = Masters Mzumbe University. Nape Nnauye is my role model.

    16. #193
      Hemed Maronda's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th October 2010
      Posts : 133
      Rep Power : 461
      Likes Received
      38
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By mapogolo
      William usichanganye mambo, yanayolalamikiwa na wananchi ni matumizi mabaya ya kodi zao kwenye mambo yasiyokuwa na umuhimu wowote kwa maisha na ustawi wa walipa kodi. Hapo hata kama umeona ma-VX V8 ni kwamba hayajanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wa TZ, mafuta na gharama za matengenezo(maintenance) hazitokani na hazina yetu. Umeona jinsi ambavyo wanaaminika kiasi cha kuweza kuwachangisha watu kwenye mikutano yao, jaribuni na nyinyi kuomba michango ya wananchi kama mtapata hata thumni.
      Ile RUZUKU wanayopewa CHADEMA kila mwezi siyo KODI zetu? Ama Mkuu hauesabu kuwa hiyo ruzuku kuwa inatokana na kodi za Wanainchi?
      Waberoya likes this.

    17. #194
      Nyunyu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 9th March 2009
      Location : Here.
      Posts : 3,349
      Rep Power : 2044
      Likes Received
      465
      Likes Given
      2749

      Default Re: Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

      Quote By Chasha
      HUYU JAMAA KATUMWA NA HUYU MHESHIMIWA WA KULE SAME

      Jamani jibuni hoja yake, this is rubbish kuleta personal attacks!
      Kimbunga and Waberoya like this.
      There is no such a thing as part freedom- Nelson Mandela

      e-mail: [email protected]

    18. #195
      Tuandamane's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd February 2008
      Location : Every where
      Posts : 1,260
      Rep Power : 830
      Likes Received
      40
      Likes Given
      250

      Default Re: Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

      Quote By W. J. Malecela
      Attachment 54787


      - Mkuu tizama nyumba aliyokuwa anaishi Savimbi!, huyo ni msaidizi amekuja kuchukua ujumbe tu, sio ma-vx8, mabendera, madereva tizama ukombozi hapo ndio maisha yake hayo juu, umemuona savimbi hapo mwenye kombati!


      William.
      ungekuwa unatumia akili ungeshanyamaza mpaka dk hii

    19. #196
      frank m's Avatar
      Member Array
      Join Date : 8th February 2012
      Posts : 54
      Rep Power : 378
      Likes Received
      49
      Likes Given
      11

      Default Re: Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

      Tukimaliza hapa tumjadili mwenyekiti wa ufahari halisi, aliyeleta fliti ya gari mpya BMW ambapo moja ni sawa ana hizo VX 8 za Dubai

    20. #197
      Kindimbajuu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th July 2009
      Posts : 686
      Rep Power : 1045
      Likes Received
      207
      Likes Given
      168

      Default Re: Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

      Quote By W. J. Malecela


      - Mkuu ahsante sana kwa kuonyesha bei, sasa naomba uonyeshee bei ya gari la Mwenyekiti na bei ya hii pembeni nyumba ya Savimbi, wote si wapigania uhuru wa wananchi, sasa iweje mambo sio sawa mkuu wangu?


      William.
      William, hivi hujui kuwa Tanzania ni nchi huru?. kinachotokea sasa ni kuwa vyama vya siasa vina gombea kuendesha dola, na hii ni ishara moja ya kukomaa kidemokrasia ndani ya Tanzania kutoka uhuru tuliokwisha upata angalau mongo mitano iliyopita

      Wewe ni mwanasiasa, tena juzi tu uligombea ubunge, kumbe hujui bado kuwa Tanzania ni nchi huru. aidha nionavyo mimi ni kuwa kama unaamini kuwa vyama vya siasa vinatafuta uhuru wa Tanzania basi unaidharau serikali iliyopo madarakani kuwa si serikali huru. chukua muda kaka wa kusoma na hata ujifunze namna ya kutoa mawazo, aidha maoni haya ya watu usiyapuuze kwani waweza pata cha kukusaidia ktk safari yako ya siasa.

    21. #198
      kinya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th February 2009
      Posts : 316
      Rep Power : 586
      Likes Received
      27
      Likes Given
      9

      Default Re: Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

      WAKUU WJM ANAWEZA AKAWA NA MAANA NZURI SEMA AINA YA MIFANO YAKE NDO INAPELEKEA MWENYE BUSARA YEYOTE APINGANE NAE,KWA WAKATI HUU KUWAFANANISHA CDM o MBOWE ET AL NA AKINA SAVIMBI,CHE NA WA KARIBA HIYO MBONA HAILETI MAANA ?
      TUSEME SAWA ANATUMIA V8 VX SAWA NAFIKIRI TUJIULIZE KALIPATA KWA UFISADI AU THEN TWAWEZA ANZA MJADALA VINGINEVYO TUTAPIGA POROJO BASI.

    22. #199
      Mathy laut nyami's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 8th May 2012
      Posts : 9
      Rep Power : 356
      Likes Received
      3
      Likes Given
      3

      Default Re: Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

      Wakati wa gandhi na che guevara vx na v8 hazikuwepo pili hata wewe waweza kununua na kutumia sema sio kwa kodi zetu bali kwa pesa zako mwenyewe

    23. #200
      Join Date : 30th July 2011
      Posts : 1,971
      Rep Power : 2978
      Likes Received
      471
      Likes Given
      4

      Default

      Quote By Chasha
      HUYU JAMAA KATUMWA NA HUYU MHESHIMIWA WA KULE SAME

      Hapa kuna mengi sana yakuhoji,kuna mengi juu ya huyu muheshiwa,watoto wa mjini morogoro wanazijua stori zake.

    Page 10 of 20 FirstFirst ... 89101112 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...