Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kinachotokea Zanzibar ni kushindwa kwa uongozi wa CCM

    Report Post
    Page 1 of 6 123 ... LastLast
    Results 1 to 20 of 102
    1. #1
      Mzee Mwanakijiji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2006
      Location : Kijijini
      Posts : 29,499
      Rep Power : 46709
      Likes Received
      16347
      Likes Given
      8417

      Default Kinachotokea Zanzibar ni kushindwa kwa uongozi wa CCM

      Yaliyotokea Zanzibar leo na yale yanayoendelea ni matokeo ya kushindwa kwa utawala wa CCM kutatua matatizo ya Muungano. Lakini pia ni ishara ya kushindwa kwa viongozi wetu wa kisiasa nchini kuutetea Muungano na kujenga hoja za kwanini yapaswa uendelee. Kwa muda mrefu kikundi cha watu wachache kimekuwe kikisukumiza hoja dhidi ya Muungano na baadhi yao kuzawadiwa nafasi za uongozi licha ya msimamo wao juu ya Muungano kujulikana. Hivyo siku baada ya Muungani (A Day After the Union) itakapofika siyo Wananchi wa kawaida watakaolalamikiwa bali viongozi wale ambao wameacha siku hiyo ifike. Ukimya wa Wazanzibari wenye kuamini katika Muungano kumewachochea kundi hilo dogo. Tusije kushangaa tunashuhudia kuzaliwa kwa kikundi cha "Boko Haram" cha Tanzania!!! Yote yatakuwa ni kwa sababu ya kushindwa kwa utawala wa CCM kutoa uongozi!

      Hatujasikia viongozi wa CCM wakitetea Muungano kama wanavyotetea chama chao; hatujawasikia wakiwapinga anti-unionists kwa hoja zenye nguvu bali wamekuwa wakiwapa baraza huru; na hatujawaona hata viongozi wao wa serikali - walioapa kulinda Katiba ya Muungano - wakitetea Muungano huo.

      Ni kana kwamba wameshakubali kisichoepukika - kufa kwa Muungano. Sasa, kama hili ndilo wanalolitaka hakuna haja ya kuumizana, kupigana mabomu, wala kushindana. Kama kuvunjika kwa Muungano ni inevitable - basi hekima inatutaka tuweke mfumo wa kuvunja Muungano huu vizuri na kwa makusudi ili mahusiano ya kidiplomasia baina ya nchi mbili yaanze. Jamani, Muungano uwepo au usikuwepo watu wa Zanzibar hawaendi popote na watu wa bara hawaendi popote. Hata watu waombee vipi Wazanzibar wataendelea kuwepo na watu wa bara wataendelea kuwepo. Sasa kama hii ni kweli basi ni kushindwa tu kwa viongozi wetu na hasa kushindwa kwa sera zao mbovu ndiko kunakofanya mgogoro huu uwe mkubwa kuliko inavyopaswa.

      Tusizungushe maneno! Kuvunjika kwa Muungano kutakuja si kwa sababu ya Uamsho au vikundi vya kidini; kutakuja kwa sababu wanasiasa wetu wameshindwa!

      Let me be very blunt: Ajenda ya kisiasa ya Zanzibar sasa hivi inaendeshwa na watu wa CUF; wana CCM Zanzibar wamefyata mkia. hawawezi kuwapinga CUF bila kuonekana "hawaitakii mema Zanzibar" na wale wanaoamini katika Muungano hawana ujasiri wa kuwapinga hawa wengine. CUF ndio wanaendesha siasa za Zanzibar sasa.Tumeona katika jaribio lao la kuwapiga marufuku watu wa bara kufanya kazi Zanzibar. CCM imedhoofika siyo bara tu bali hadi Zanzibar!
      Last edited by Mzee Mwanakijiji; 27th May 2012 at 19:07.
      Mkandara, Ogah, Mwawado and 18 others like this.
      [email protected]
      Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji

    2. FemaTV & Radio

    3. #2
      Kasimba G's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th January 2011
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 852
      Rep Power : 592
      Likes Received
      252
      Likes Given
      265

      Default Re: Kinachotokea Zanzibar ni kushindwa kwa uongozi wa CCM

      Mm muungano mioyoni mwa watu watanganyika na wazanzibar uliisha kufa, uko mioyoni kwa viongozi wa ccm tuu!

    4. #3
      Kasimba G's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th January 2011
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 852
      Rep Power : 592
      Likes Received
      252
      Likes Given
      265

      Default Re: Kinachotokea Zanzibar ni kushindwa kwa uongozi wa CCM

      Actually most of us hate the so called muungano, it doesnt benefit tanganyikans! I hate it! It only helps zanzibaris!

    5. #4
      wimbi la mbele's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th January 2011
      Posts : 646
      Rep Power : 2877
      Likes Received
      235
      Likes Given
      61

      Default Re: Kinachotokea Zanzibar ni kushindwa kwa uongozi wa CCM

      Mwanakijiji, simple question:

      Kwa nini watawala hawataki kufanyike REFERENDUM ON THE ZANZIBAR INDEPENDENCE?
      Mzee Mwanakijiji and Fatal5 like this.

    6. #5
      JATELO1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2011
      Posts : 1,014
      Rep Power : 900
      Likes Received
      81
      Likes Given
      39

      Default Re: Kinachotokea Zanzibar ni kushindwa kwa uongozi wa CCM

      Quote By Mzee Mwanakijiji
      Yaliyotokea Zanzibar leo na yale yanayoendelea ni matokeo ya kushindwa kwa utawala wa CCM kutatua matatizo ya Muungano. Lakini pia ni ishara ya kushindwa kwa viongozi wetu wa kisiasa nchini kuutetea Muungano na kujenga hoja za kwanini yapaswa uendelee. Kwa muda mrefu kikundi cha watu wachache kimekuwe kikisukumiza hoja dhidi ya Muungano na baadhi yao kuzawadiwa nafasi za uongozi licha ya msimamo wao juu ya Muungano kujulikana. Hivyo siku baada ya Muungani (A Day After the Union) itakapofika siyo Wananchi wa kawaida watakaolalamikiwa bali viongozi wale ambao wameacha siku hiyo ifike. Ukimya wa Wazanzibari wenye kuamini katika Muungano kumewachochea kundi hilo dogo. Tusije kushangaa tunashuhudia kuzaliwa kwa kikundi cha "Boko Haram" cha Tanzania!!! Yote yatakuwa ni kwa sababu ya kushindwa kwa utawala wa CCM kutoa uongozi!

      Hatujasikia viongozi wa CCM wakitetea Muungano kama wanavyotetea chama chao; hatujawasikia wakiwapinga anti-unionists kwa hoja zenye nguvu bali wamekuwa wakiwapa baraza huru; na hatujawaona hata viongozi wao wa serikali - walioapa kulinda Katiba ya Muungano - wakitetea Muungano huo.

      Ni kana kwamba wameshakubali kisichoepukika - kufa kwa Muungano. Sasa, kama hili ndilo wanalolitaka hakuna haja ya kuumizana, kupigana mabomu, wala kushindana. Kama kuvunjika kwa Muungano ni inevitable - basi hekima inatutaka tuweke mfumo wa kuvunja Muungano huu vizuri na kwa makusudi ili mahusiano ya kidiplomasia baina ya nchi mbili yaanze. Jamani, Muungano uwepo au usikuwepo watu wa Zanzibar hawaendi popote na watu wa bara hawaendi popote. Hata watu waombee vipi Wazanzibar wataendelea kuwepo na watu wa bara wataendelea kuwepo. Sasa kama hii ni kweli basi ni kushindwa tu kwa viongozi wetu na hasa kushindwa kwa sera zao mbovu ndiko kunakofanya mgogoro huu uwe mkubwa kuliko inavyopaswa.

      Tusizungushe maneno! Kuvunjika kwa Muungano kutakuja si kwa sababu ya Uamsho au vikundi vya kidini; kutakuja kwa sababu wanasiasa wetu wameshindwa!
      Well said. haya ni matunda ya viongozi wetu kuweka pamba masikioni na kujali maslahi yao binafsi. Sasa hali imefikia ambapo ndani ya nchi moja hakuna maelewano, kisa viongozi wetu hawako tayari kuongolea na kushughulikia kero za Muungano kwa hoja hafifu kwamba huko ndiko kuulinda muungano.

      Hivi CCM na serikali yake itatumia nguvu ya DOLA kulazimisha vitu mpaka lini? hivi kuna ugumu gani jambo hili likijadiliwa kwa uwazi na ufumbuzi wa kudumu ukapatikana? Hivi serikali ya CCM inaamini kwamba njia sahihi ni kutumia DOLA? je mpaka lini? je Dola iliwahi kushinda nguvu za UMMA?

      Inasikitisha sana na hii ni kwasababu ya AINA ya Viongozi tulionao ambao wengi wao wamepewa majukumu na mkuu wa Nchi bila kuzingatia vigezo vinavyotakiwa na badala yake Uswahiba, urafiki, undugu, ukabila, udini, n.k ndiyo vigezo vinavyotumika na sasa haya ndiyo matokeo ya Uongozi usiojua nini maana ya kuwajibika.

    7. Miaka 50

    8. #6
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default Re: Kinachotokea Zanzibar ni kushindwa kwa uongozi wa CCM

      Muungano hauna tija kwangu hata chembe,,,maisha yangu kwa asilimia zote hayategemei muungano,,,leo hii sina cha kufata zanzibar,hakuna chuo useme elim ntaipata huko,hakuna hosptal useme ndo kuna ya rufaa sa apollo,hakuna ajira kule useme natifata,,,,VUNJENI MUUNGANO,NI MZIGO KWA WATANGANYIKA,TUMEWASAIDIA VYA KUTOSHA HAWA WAPEMBA

    9. #7
      wimbi la mbele's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th January 2011
      Posts : 646
      Rep Power : 2877
      Likes Received
      235
      Likes Given
      61

      Default Re: Kinachotokea Zanzibar ni kushindwa kwa uongozi wa CCM

    10. #8
      Kiumbo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th February 2012
      Posts : 478
      Rep Power : 463
      Likes Received
      71
      Likes Given
      0

      Default Re: Kinachotokea Zanzibar ni kushindwa kwa uongozi wa CCM

      viongozi wetu wengi ni binadamu na sio watu. Siri ya muungano wazenji washaijua lazima kuchimbike na viongozi bado wanaweka panba.
      Mzee Mwanakijiji and GHIBUU like this.

    11. #9
      Kunta Kinte's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 18th May 2009
      Posts : 2,565
      Rep Power : 2535
      Likes Received
      596
      Likes Given
      762

      Default Re: Kinachotokea Zanzibar ni kushindwa kwa uongozi wa CCM

      Mwanakijiji, tatizo kubwa la viongozi wetu waliopo madarakani ni hisia kwamba kila mmoja anahisi viongozi wa pande nyingine ya muungano wanwapunguzia nafasi zao za kuongoza, mawazo ni kwamba muungano ukivunjika basi watakuwa na nafasi zaidi. Ombi letu kwao, hatuhitaji kugeuka Sudan kusini na kaskazini, wavunje muungano huu kwa amani (kama ni lazima kama wanavyofikiri) ili tuendelee kuishi kidugu hatuhitaji mapambano kwa faida zao!!
      Have patience with all things, but chiefly have patience with yourself.- Saint Francis de Sales

    12. #10
      wimbi la mbele's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th January 2011
      Posts : 646
      Rep Power : 2877
      Likes Received
      235
      Likes Given
      61

      Default Re: Kinachotokea Zanzibar ni kushindwa kwa uongozi wa CCM

      Fatal5 likes this.

    13. #11

    14. #12
      Kigogo's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 14th December 2007
      Location : Calabash
      Posts : 8,194
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1232
      Likes Given
      313

      Default Re: Kinachotokea Zanzibar ni kushindwa kwa uongozi wa CCM

      muungano uvunjike...hakuna kuumizana wala kuumiza vichwa hapa...

    15. #13
      Fredrick Sanga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th January 2011
      Location : Kijitonyama
      Posts : 2,982
      Rep Power : 2589
      Likes Received
      637
      Likes Given
      776

      Default Re: Kinachotokea Zanzibar ni kushindwa kwa uongozi wa CCM

      wangapi wantaka serikali moja, wngapi wanataka serikali tatu, CCM wanatka serikali mbili, je wamewauliza hata wanacha wao znb. Rudisheni Tanganyika haya yaishe. Nyerere sio Mungu.
      zomba, takashi and Fatal5 like this.

    16. #14
      wagaba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd April 2012
      Posts : 598
      Rep Power : 479
      Likes Received
      123
      Likes Given
      92

      Default Re: Kinachotokea Zanzibar ni kushindwa kwa uongozi wa CCM

      Quote By Mzee Mwanakijiji
      Yaliyotokea Zanzibar leo na yale yanayoendelea ni matokeo ya kushindwa kwa utawala wa CCM kutatua matatizo ya Muungano. Lakini pia ni ishara ya kushindwa kwa viongozi wetu wa kisiasa nchini kuutetea Muungano na kujenga hoja za kwanini yapaswa uendelee. Kwa muda mrefu kikundi cha watu wachache kimekuwe kikisukumiza hoja dhidi ya Muungano na baadhi yao kuzawadiwa nafasi za uongozi licha ya msimamo wao juu ya Muungano kujulikana. Hivyo siku baada ya Muungani (A Day After the Union) itakapofika siyo Wananchi wa kawaida watakaolalamikiwa bali viongozi wale ambao wameacha siku hiyo ifike. Ukimya wa Wazanzibari wenye kuamini katika Muungano kumewachochea kundi hilo dogo. Tusije kushangaa tunashuhudia kuzaliwa kwa kikundi cha "Boko Haram" cha Tanzania!!! Yote yatakuwa ni kwa sababu ya kushindwa kwa utawala wa CCM kutoa uongozi!

      Hatujasikia viongozi wa CCM wakitetea Muungano kama wanavyotetea chama chao; hatujawasikia wakiwapinga anti-unionists kwa hoja zenye nguvu bali wamekuwa wakiwapa baraza huru; na hatujawaona hata viongozi wao wa serikali - walioapa kulinda Katiba ya Muungano - wakitetea Muungano huo.

      Ni kana kwamba wameshakubali kisichoepukika - kufa kwa Muungano. Sasa, kama hili ndilo wanalolitaka hakuna haja ya kuumizana, kupigana mabomu, wala kushindana. Kama kuvunjika kwa Muungano ni inevitable - basi hekima inatutaka tuweke mfumo wa kuvunja Muungano huu vizuri na kwa makusudi ili mahusiano ya kidiplomasia baina ya nchi mbili yaanze. Jamani, Muungano uwepo au usikuwepo watu wa Zanzibar hawaendi popote na watu wa bara hawaendi popote. Hata watu waombee vipi Wazanzibar wataendelea kuwepo na watu wa bara wataendelea kuwepo. Sasa kama hii ni kweli basi ni kushindwa tu kwa viongozi wetu na hasa kushindwa kwa sera zao mbovu ndiko kunakofanya mgogoro huu uwe mkubwa kuliko inavyopaswa.

      Tusizungushe maneno! Kuvunjika kwa Muungano kutakuja si kwa sababu ya Uamsho au vikundi vya kidini; kutakuja kwa sababu wanasiasa wetu wameshindwa!
      mkuu wa magogoni anamaliza kipindi chake kwa style ya kipekee. sisiem inakufa mikononi mwake na muungano unavunjika mbele yake. mwl. JK atakuwa na hasira sana huko aliko.
      kwanini JK anapiga kimya!!!!!!!!! ndo mambo ya kufa na tai shingoni - kwa manufaa ya nani?
      Tatizo alijifanya kidume kuwaweka pembeni wastaafu (Mkapa, Mwinyi and others) na kung'ang'ania wana mtandao. hakujua mtandao ulikuwa na nia moja tu ya kurudisha jasho lao baada ya ushindi (ufisadi). Ukishanyea kambi, utarudi tena ukanyage makimba yako!!? na amini kabisa wastaafu wanashangilia jamaa anavyosulubiwa.
      Kufa na tai shingoni si suluhisho - aombe msaada hata kwa viongozi wapinzani. wapinzani pia ni watanzania wanaopenda Taif lao. hakuna uadui hapa ktk suala lenye maslahi kwa Taifa. Tabia yake ya chuki na visasi haijengi hata siku moja.
      kalokolaVIII and Sangarara like this.
      "Tanzania ni ya watanzania, na watanzania wenyewe ndo sisi"

    17. #15
      Mzee Mwanakijiji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2006
      Location : Kijijini
      Posts : 29,499
      Rep Power : 46709
      Likes Received
      16347
      Likes Given
      8417

      Default Re: Kinachotokea Zanzibar ni kushindwa kwa uongozi wa CCM

      Quote By HANS ROGER DIBAGULA
      Mwanakijiji, simple question:

      Kwa nini watawala hawataki kufanyike REFERENDUM ON THE ZANZIBAR INDEPENDENCE?
      Kwa sababu kubwa mbili:

      a. It is a bad precedence
      b. Zanzibar was not annexed or forced into the union.
      [email protected]
      Tunapotaka kubadilisha watawala si kwa sababu tunataka kubadilisha sura; bali kubadilisha utawala! Yaani, tunataka kubadilisha jinsi tunavyotawaliwa siyo tu sura za wanao tutawala M. M. Mwanakijiji

    18. #16
      wimbi la mbele's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th January 2011
      Posts : 646
      Rep Power : 2877
      Likes Received
      235
      Likes Given
      61

      Default Re: Kinachotokea Zanzibar ni kushindwa kwa uongozi wa CCM

      Quote By Mzee Mwanakijiji
      Kwa sababu kubwa mbili:

      a. It is a bad precedence
      b. Zanzibar was not annexed or forced into the union.
      Will you kindly elaborate on above points

    19. FJM
      #17
      FJM's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 7,170
      Rep Power : 2568
      Likes Received
      5318
      Likes Given
      4585

      Default Re: Kinachotokea Zanzibar ni kushindwa kwa uongozi wa CCM

      CC na hata NEC ya CCM ilikutana lakini wakaishia kuunda mikoa ya chama chao vyuo vikuu. Maalim Seif aliposema waziwazi kuwa lazima Zanzibar iwe na sarafu yake hakuna kiongozi alihoji? Na hakuna asiyejua kuwa Maalim Seif akisaidiwa na Jusa ni ndio vinara wa hizi harakati. Huko nyuma (wakati wa campaign nadhani ilikuwa 2005) kiongozi mmoja wa CUF akihutubia wananchi alisema hivi '... huu utakuwa ni mwisho ngozi nyeusi kutawala"
      mluga and GHIBUU like this.

    20. #18
      Hofstede's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th July 2007
      Posts : 3,604
      Rep Power : 21341
      Likes Received
      981
      Likes Given
      988

      Default Re: Kinachotokea Zanzibar ni kushindwa kwa uongozi wa CCM

      Quote By Mzee Mwanakijiji
      Kwa sababu kubwa mbili:

      a. It is a bad precedence
      b. Zanzibar was not annexed or forced into the union.
      c. They are afraiding that once the referendum favours the end of the union, they will be painted as leaders who killed the union. No CCM leader want that to happend under his watch!. That's why you will always hear them 'I will protect the union' - Means using forces

      Protection of the union cannot be done by tear gases or live ammunitions, but by making it pleasant to everyone!. You cannot say you are going to bath but don't want water to touch certain part of your body, that's not bathing. If you want to enact a new constitution, then everyview should be on the table whether its negative or positive on your side.
      Last edited by Hofstede; 28th May 2012 at 13:07.

    21. #19
      Njilembera's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th May 2008
      Posts : 782
      Rep Power : 723
      Likes Received
      90
      Likes Given
      158

      Default Re: Kinachotokea Zanzibar ni kushindwa kwa uongozi wa CCM

      Quote By Kigogo
      muungano uvunjike...hakuna kuumizana wala kuumiza vichwa hapa...
      Sidhani Hilo ndio **** letu! Uongozi unapokaa na kudhani wanaweza kufikiria na Kamugisha masuala muhimu ya jamii kwa niaba ya wananchi bila ridhaa yao ndio musings aw matatizo yote.

      Kwa nini wanna hi wasiruhusiwe kuhoji muungano? Kuhoji sio kusema hakutakuwepo muungano bali ni Njie bora ya kupata mwafaka mzuri wa muungano unaohitajika. Mh Kikwete alifanya kosa kubwa kuonya kuhoji muungano.

    22. #20
      TIQO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th January 2011
      Posts : 4,574
      Rep Power : 6846
      Likes Received
      1036
      Likes Given
      131

      Default Re: Kinachotokea Zanzibar ni kushindwa kwa uongozi wa CCM

      CUF wanalizungumziaje hili?
      Mwisho wa Ubaya Aibu.

    Page 1 of 6 123 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...