Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

    Report Post
    Page 11 of 11 FirstFirst ... 91011
    Results 201 to 218 of 218
    1. #1
      lutayega's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th February 2012
      Posts : 655
      Rep Power : 500
      Likes Received
      175
      Likes Given
      67

      Default Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

      Katiba ya CHADEMA inaruhusu kuanzisha tawi dogo la CHADEMA endapo wanachama wafikapo 30 watapatikana, katika JamiiForums naamini kuna wapenzi wa CHADEMA zaidi ya 30 hivyo tunaruhsiwa kuanzisha tawi letu.

      Hivyo basi kwa wale waliopo tayari naomba waweke majina yao kwenye huu uzi ili nifanye mawasiliano tuweze kuanzisha tawi letu. Pia naomba mpendekeze tawi letu liitwe jina gani

      ifuatayo ni orodha ya wanachama ambao wameshajitokeza mpaka muda huu. usajili bado unaendelea

      1.Lutayega
      2.Godwinnko
      3.Eliceco
      4.Hans79 ( ELIAS KOLIWAKA) email: [email protected]
      5. Ukweli mtupu
      6.
      TUMBIRI,(ametangaza na nia ya kugombea uenyekiti)
      7.Kuku dume
      8.mungi
      9. Kalyovatipi
      10. only83(amependekeza jina la CHADEMA tawi la jamii forum)
      11. 1800
      12. Havizya
      13. Kabembe
      14. Bongolala-amependekeza jina la(J Bongolala-JF branch ) anagombea nafasi ya accountant
      15. STK ONE, (natangaza nia ya kugombea U - KATIBU MWENEZI)
      16. Salma2015
      17. Atabase Agaya.
      18. Tume ya katiba(anatangaza na nia ya kugombea nafasi ya mwenyekiti wa tawi
      19.ibange
      20.mahoza
      21.tume ya katiba(katangaza kugombea uenyekiti wa tawi)
      22.kajunju

      23. Sheshejr, (mjumbe wa mkutano mkuu wa tawi)
      24.Kingungwe
      25. Uncle Rukus
      26. 23.Sabung'ori Mang'ang'a(natangaza nia ya kugombea nafasi ya mtunza hazina wa tawi)
      27. maoniyangu
      28. Aaron 0768497592
      29. Han'some.(anapendekeza jina la hazina janani
      29. mrdash1
      30. palalisote
      31. maoniyangu
      32. Vaspanya
      33. Gitwa
      34. Kagame ( Jina la tawi napendekeza liitwe cdm great thinker branch)
      35.. Tangopori
      36.MBUMBUMBU intelligent(Mi ntagombea uratibu wa matukio kama kuna cheo hicho)Jina la tawi liwe CHADEMA MTANDAONI
      37.bibliography
      38.Gracious
      39.Libaba
      40.Nyengo--(Atagombea-Msemaji mkuu wa Tawi)
      41.Ishina
      42.MAMMAMIA (Napendekeza jina Tawi liwe [email protected] )
      43.mwana fandey
      44.saint ivuga(nitagombea uenyekiti)
      45. Frafajo
      46. mbundenali
      47. Dosama. (Naomba liitwe M4C Online)
      48. William bramwel
      49. Ritchie
      50. Mfereji maringo
      51. Welu (mwanachama)
      52. Eraldius. Mwanachama. [email protected]
      53.njiwa(Mkuu tume ya katiba)
      54. micro E coli.nitagombea ujumbe wa tawi.
      55.ngoni85
      56.Mponjori(iitwe chadema tawi la jamiiforums!)
      57. Ziroseventytwo
      58.omusilanga
      59.mawaiba(Tawi: Chadema Jamvini.)
      60.nairobifly
      61.Rasib
      62.ntamaholo
      63.hoyce
      64.comi
      65. frema 120 najipendekeza kama mjumbe
      66.Apolonary(nitagombea nafasi ya kitibu wa propaganda.)
      67.shardcore
      68. Benaire(Jina.....JF M4C.)
      69. Dark City(CHADEMA ONLINE)
      70. Mpenda pombe
      71. mnyazo
      71. Mwenyenguvu
      72.chieth
      78. Mbilimbili.
      79. Mamndenyi. mjumbe kamati ya ufundi.
      80. Kambajeck. Natangaza kugombea UKATIBU
      81. Codon
      82. peoples power
      83. mareche natangaza kugombea nafasi ya mjumbe wa mkutano mkuu wa tawi
      84.andrewk
      85.mareche natangaza kugombea nafasi ya mjumbe wa mkutano mkuu wa tawi
      87.Swagatwende
      88.Prisoner 46664 hapo (nahitaji nafasi ya ukaguzi mkuu wa mahesabu ya tawi)....
      89.Kirode, mwanachama wa kawaida
      90.mpangamji(membership jina laTawi liwe Chadema Online
      91.dingswayo
      92. Alfred Daud Pigangoma
      93.Navy SEAL
      94. Gagurito-Mkurugenzi wa Mambo ya Ndani na Propaganda wa Tawi.
      95.mkono lubaza
      96.dingswayo
      97.chante nitagombea katibu wa itikadi na uenezi wa tawi...
      98.Bobuk(mjumbe mkutano mkuu)
      99.kodem(natangaza nia kugombea mwenyekiti msaidiz)
      100.mamadou
      101. Ciril Kimat
      102. Ndakilawe... Mnisajili kwa jina la EMMANUEL WILLBARD
      103. Mercyless: [email protected](Jina la tawi: CDM JF BRANCH)
      104.pstar01884
      105.Jackson kanene(nitagombea kuwa katibu mwenezi wa tawi'
      106. BITENDE.nipeni cheo kama cha Rwakatare but mimi ntakuwa wa tawi

      UPDATES
      Mpaka muda huu kama mnavyoona hapo juu orodha inaruhu kuanzisha tawi ila tawi haliwezianzishwa bila uongozi, kwa kuzingatia demokrasia na kutokana na ushauri wa baadhi ya wanachama mi nitakuwa mwenyekiti wa muda, na wanachama wote waliokwishajisajili na wale wanaoendelea kujisajiri munaombwa kupendekeza majina ya watu watakao ingia kwenye kamati ya uchaguzi mwisho wa kupendekeza majina utatangazwa baadae, zoezi litakalofuata baada ya kupata majina nikuwapigia kura ili kupata tume huru ambayo itaendesha uchaguzi.
      Fomu za nafasi mbalimbali za uongozi wa tawi zitaanza kutolewa baada ya tume ya uchaguzi kupatikana, pia ratiba ya kampeni itatangazwa hapo baadae, ila kwa wenye nia ya kugombea mnaruhusiwa kuweka CV zenu. asanteni
      Last edited by lutayega; 27th May 2012 at 12:56.

    2. #201
      Josephine03's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th February 2012
      Posts : 733
      Rep Power : 518
      Likes Received
      286
      Likes Given
      373

      Default Re: Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

      Alafu ningeshauri tuwe na sheria zetu ili watu kama kina Ribson wasijichomekechomeke kutubugudhi
      Dark City and lutayega like this.

    3. #202
      Baba Collin's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st August 2011
      Posts : 446
      Rep Power : 488
      Likes Received
      58
      Likes Given
      18

      Default Re: Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

      Baba collin ni mmojawapo wa wanachama

    4. #203
      Elli's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 17th March 2008
      Location : Kijito-Upele
      Posts : 9,022
      Rep Power : 2645
      Likes Received
      2321
      Likes Given
      2103

      Default Re: Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

      Mimi ntakua mwanachama tu au kama vipi naombeni mnipe MNADHIMU wa tawi

    5. #204
      mandemba's Avatar
      Member Array
      Join Date : 7th April 2012
      Posts : 74
      Rep Power : 377
      Likes Received
      11
      Likes Given
      0

      Default Re: Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

      Weka Mandemba jina msipate shida tuitwe Chadema Systerm.........

    6. #205
      Josephine03's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th February 2012
      Posts : 733
      Rep Power : 518
      Likes Received
      286
      Likes Given
      373

      Default

      Quote By lutayega View Post
      WAZO LAKO JEMA LEO J.pili wengine wapo makanisani mda umesogezwa dedline itatangazwa baadae
      Kuna wengine wamepigwa ban tuwafikirie jamani maana Ban zenyewe ni za machungu ya Chama

    7. #206
      lutayega's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th February 2012
      Posts : 655
      Rep Power : 500
      Likes Received
      175
      Likes Given
      67

      Default Re: Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

      Quote By Mrdash1 View Post
      Mbona no.29 tupo wawili???
      makosa ya kiuchapaji

    8. #207
      Elli's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 17th March 2008
      Location : Kijito-Upele
      Posts : 9,022
      Rep Power : 2645
      Likes Received
      2321
      Likes Given
      2103

      Default Re: Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

      Mimi ntakua mwanachama tu au kama vipi naombeni mnipe MNADHIMU wa tawi TUANZE KAZI

    9. #208
      Job314's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 10
      Rep Power : 366
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default Re: Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

      Job314 mwanachama

    10. #209
      mahoza's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th March 2012
      Posts : 288
      Rep Power : 424
      Likes Received
      42
      Likes Given
      309

      Default

      Quote By Dark City View Post
      Ahsante sana mkuu,

      JF na tawi la chadema mtandaoni ni vitu viwili tofauti kabisa...Ningependa vibaki kuwa tofauti....Kwa hiyo jina la tawi lisitaje JF

      Tunaweza kulianzisha hapa ila tukaliendesha kupitia FB au mtandao mwingine kabisa. Nadhani tusiweke JF kwenye jina hata kama makao yake yatabaki hapa hapa (ingawa kutakuwa na ugumu kwa sababu hapa JF watu hawatumii majina halisi).
      Nakubaliana na hoja yako kwani JF ni ya kila mtu hivyo jina liwe CDM online.
      Dark City likes this.

    11. #210
      LESIRIAMU's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2008
      Posts : 711
      Rep Power : 722
      Likes Received
      118
      Likes Given
      3

      Default Re: Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

      LESIRIAMU nitakuwa mwanachama wa kawaida

    12. #211
      stany mzalendo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 23rd August 2010
      Location : mjini
      Posts : 78
      Rep Power : 463
      Likes Received
      8
      Likes Given
      10

      Default Re: Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

      e-chadema, i want to be an IT guy, i'm engineer by proffesion.....

    13. #212
      Ibra Mo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th October 2010
      Posts : 615
      Rep Power : 566
      Likes Received
      49
      Likes Given
      3

      Default Re: Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

      Naomba kusajiliwa pia.

    14. #213
      jigoku's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2011
      Posts : 1,505
      Rep Power : 1018
      Likes Received
      377
      Likes Given
      537

      Default Re: Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

      Niongezeni na mimi ili tupate tawi online.

    15. #214
      Josephine03's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th February 2012
      Posts : 733
      Rep Power : 518
      Likes Received
      286
      Likes Given
      373

      Default

      Quote By lutayega View Post
      Jana kuna magamba zaidi ya 3000 tatu yamevaa magwanda kwahiyo usiwe na wasiwasi
      Sasa tukipotezea mambo muhimu kama kuwakubali wakina Tume ya Katiba tutaleta ya Shibuda kila siku migogoro inazidi utendaji. Kwa heshima ya sisi tunaopotezaga nguvu kuwasema watu kama hao na kusahau kutangaza chama hapa JF tunaomba umtoe akajiunge matawi mengine huko

    16. #215
      Lyimo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2006
      Posts : 1,897
      Rep Power : 1550
      Likes Received
      845
      Likes Given
      464

      Default Re: Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

      LyimoPia napendekeza tulenge kuwa na Tawi kubwa kwa kuweza kufikisha wanachama 300. Hii itatupa nguvu kikatiba katika ushiriki wetu ama kufanya maamuzi stahiki.
      "Wisdom is not a product of schooling, but of the lifelong attempt to acquire it"

    17. #216
      Donyongijape's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th May 2010
      Location : Worldwide
      Posts : 810
      Rep Power : 622
      Likes Received
      187
      Likes Given
      217

      Default Re: Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

      Donyongijape..(pia natangaza nia ya kugombea ujumbe wa Kamati ya Utendaji- Uzoefu ninao wa kutosha,muda ukifika tutaelezana zaidi.

      Jina la chama lisiinclude any word ya JF kwani watu wengi wanaweza kuwa members ila sio wana JF.. Kwa kuwa members wake watatoka online na wengine nchi mbalimbali..Mimi nashauri liitwe -CHADEMA WORLD WIDE BRANCH >ukipenda WWB<.
      Last edited by Donyongijape; 27th May 2012 at 15:46.
      IzeGREAT likes this.

    18. #217
      Josephine03's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th February 2012
      Posts : 733
      Rep Power : 518
      Likes Received
      286
      Likes Given
      373

      Default

      Quote By Ndakilawe View Post
      Ndakilawe... Mnisajili kwa jina la EMMANUEL WILLBARD. NI vizuri pia katika usajili mkaweka majina ya ukweli, kuna mtu anaitwa 'kuku dume', nani jike sasa..inakuwa kama masihara hivi. ila kwa majina ya ukweli italeta maana. mimi nimenza wengine wafuate. Naomba kugombe nafasi ya Katibu wa tawi... CV yangu fupi, nimewahi kuwa kiongozi wakati nikisoma udsm, pia nikiwa nasoma master mzumbe, niligombea urais/chairman , nikaambulia nafasi ya 2..walinichakachua
      Ningependa tutumie kwanza hayahaya alafu hayo ya asili tutayaunganisha hapo baadae, sasa hivi ni mapema sana kujifichua. Tuwe na subira ila anayeona lake alinashida ajifichue tu. Nawakilisha
      Taja likes this.

    19. #218
      kingungwe's Avatar
      Member Array
      Join Date : 13th September 2011
      Posts : 23
      Rep Power : 397
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default Re: Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

      Quote By lutayega View Post
      Katiba ya CHADEMA inaruhusu kuanzisha tawi dogo la CHADEMA endapo wanachama wafikapo 30 watapatikana, katika JamiiForums naamini kuna wapenzi wa CHADEMA zaidi ya 30 hivyo tunaruhsiwa kuanzisha tawi letu.

      Hivyo basi kwa wale waliopo tayari naomba waweke majina yao kwenye huu uzi ili nifanye mawasiliano tuweze kuanzisha tawi letu. Pia naomba mpendekeze tawi letu liitwe jina gani

      ifuatayo ni orodha ya wanachama ambao wameshajitokeza mpaka muda huu. usajili bado unaendelea

      1.Lutayega
      2.Godwinnko
      3.Eliceco
      4.Hans79 ( ELIAS KOLIWAKA) email: [email protected]
      5. Ukweli mtupu
      6.
      TUMBIRI,(ametangaza na nia ya kugombea uenyekiti)
      7.Kuku dume
      8.mungi
      9. Kalyovatipi
      10. only83(amependekeza jina la CHADEMA tawi la jamii forum)
      11. 1800
      12. Havizya
      13. Kabembe
      14. Bongolala-amependekeza jina la(J Bongolala-JF branch ) anagombea nafasi ya accountant
      15. STK ONE, (natangaza nia ya kugombea U - KATIBU MWENEZI)
      16. Salma2015
      17. Atabase Agaya.
      18. Tume ya katiba(anatangaza na nia ya kugombea nafasi ya mwenyekiti wa tawi
      19.ibange
      20.mahoza
      21.tume ya katiba(katangaza kugombea uenyekiti wa tawi)
      22.kajunju

      23. Sheshejr, (mjumbe wa mkutano mkuu wa tawi)
      24.Kingungwe
      25. Uncle Rukus
      26. 23.Sabung'ori Mang'ang'a(natangaza nia ya kugombea nafasi ya mtunza hazina wa tawi)
      27. maoniyangu
      28. Aaron 0768497592
      29. Han'some.(anapendekeza jina la hazina janani
      29. mrdash1
      30. palalisote
      31. maoniyangu
      32. Vaspanya
      33. Gitwa
      34. Kagame ( Jina la tawi napendekeza liitwe cdm great thinker branch)
      35.. Tangopori
      36.MBUMBUMBU intelligent(Mi ntagombea uratibu wa matukio kama kuna cheo hicho)Jina la tawi liwe CHADEMA MTANDAONI
      37.bibliography
      38.Gracious
      39.Libaba
      40.Nyengo--(Atagombea-Msemaji mkuu wa Tawi)
      41.Ishina
      42.MAMMAMIA (Napendekeza jina Tawi liwe [email protected] )
      43.mwana fandey
      44.saint ivuga(nitagombea uenyekiti)
      45. Frafajo
      46. mbundenali
      47. Dosama. (Naomba liitwe M4C Online)
      48. William bramwel
      49. Ritchie
      50. Mfereji maringo
      51. Welu (mwanachama)
      52. Eraldius. Mwanachama. [email protected]
      53.njiwa(Mkuu tume ya katiba)
      54. micro E coli.nitagombea ujumbe wa tawi.
      55.ngoni85
      56.Mponjori(iitwe chadema tawi la jamiiforums!)
      57. Ziroseventytwo
      58.omusilanga
      59.mawaiba(Tawi: Chadema Jamvini.)
      60.nairobifly
      61.Rasib
      62.ntamaholo
      63.hoyce
      64.comi
      65. frema 120 najipendekeza kama mjumbe
      66.Apolonary(nitagombea nafasi ya kitibu wa propaganda.)
      67.shardcore
      68. Benaire(Jina.....JF M4C.)
      69. Dark City(CHADEMA ONLINE)
      70. Mpenda pombe
      71. mnyazo
      71. Mwenyenguvu
      72.chieth
      78. Mbilimbili.
      79. Mamndenyi. mjumbe kamati ya ufundi.
      80. Kambajeck. Natangaza kugombea UKATIBU
      81. Codon
      82. peoples power
      83. mareche natangaza kugombea nafasi ya mjumbe wa mkutano mkuu wa tawi
      84.andrewk
      85.mareche natangaza kugombea nafasi ya mjumbe wa mkutano mkuu wa tawi
      87.Swagatwende
      88.Prisoner 46664 hapo (nahitaji nafasi ya ukaguzi mkuu wa mahesabu ya tawi)....
      89.Kirode, mwanachama wa kawaida
      90.mpangamji(membership jina laTawi liwe Chadema Online
      91.dingswayo
      92. Alfred Daud Pigangoma
      93.Navy SEAL
      94. Gagurito-Mkurugenzi wa Mambo ya Ndani na Propaganda wa Tawi.
      95.mkono lubaza
      96.dingswayo
      97.chante nitagombea katibu wa itikadi na uenezi wa tawi...
      98.Bobuk(mjumbe mkutano mkuu)
      99.kodem(natangaza nia kugombea mwenyekiti msaidiz)
      100.mamadou
      101. Ciril Kimat
      102. Ndakilawe... Mnisajili kwa jina la EMMANUEL WILLBARD
      103. Mercyless: [email protected](Jina la tawi: CDM JF BRANCH)
      104.pstar01884
      105.Jackson kanene(nitagombea kuwa katibu mwenezi wa tawi'
      106. BITENDE.nipeni cheo kama cha Rwakatare but mimi ntakuwa wa tawi

      UPDATES
      Mpaka muda huu kama mnavyoona hapo juu orodha inaruhu kuanzisha tawi ila tawi haliwezianzishwa bila uongozi, kwa kuzingatia demokrasia na kutokana na ushauri wa baadhi ya wanachama mi nitakuwa mwenyekiti wa muda, na wanachama wote waliokwishajisajili na wale wanaoendelea kujisajiri munaombwa kupendekeza majina ya watu watakao ingia kwenye kamati ya uchaguzi mwisho wa kupendekeza majina utatangazwa baadae, zoezi litakalofuata baada ya kupata majina nikuwapigia kura ili kupata tume huru ambayo itaendesha uchaguzi.
      Fomu za nafasi mbalimbali za uongozi wa tawi zitaanza kutolewa baada ya tume ya uchaguzi kupatikana, pia ratiba ya kampeni itatangazwa hapo baadae, ila kwa wenye nia ya kugombea mnaruhusiwa kuweka CV zenu. asanteni

      Kingungwe

    Page 11 of 11 FirstFirst ... 91011

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...