Re: Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda
Nahisi kila eneo leo wanatambua kama watu wa vua Gamba wapo mjini Dar! Muhimu ni sisi wote kujitokeza kwa wingi na kuonyesha mshikamano wetu bila kujali umri na jinsia...Hebu tujitokeze!!!!!!!!!!
Whether you in Dar or somewhere else please don't dare to miss the inaugural for M4C and the Katiba Rally. You've options around you to attend physically at Jangwani or participate by watching ITV or listening Clouds FM.
Shout louder your grievances against all laggards of change and development. Write here on this thread your confirmation that e.g. "Salum Abdallah I'm attending/participating/listening"
Those attending in boby and soul, sign-in in the Foursquare social network and opt-in your location when you are around Jangwani to let the world know the masses flocking to support M4C and Katiba Rally.
English Learner am attending!
Re-posted to mantain our flow distracted by JF Mods by combining our thread with others.
Re: Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda
hii barabara ya bagamoyo road balaa tu yaani follen maeneo ya tegeta sijui nitawahi kweli peoples power wakuu mliopo eneo la tukio tujuzeni wengine tupo njiani tunakuja.
Re: I am attending CDM-M4C Rally at Jangwani. And you?
Kwa wale wanaofuatilia kupitia tv, mnaweza kufikiria option ya kuwa karibu na generata maana haya mambo ya electricity monopoly yameingia kwenye siasa kwa kipindi kirefu sasa.
Re: Polisi waliwezaje kulinda msiba wa kanumba washindwe leo?
By REMSA
Kova na jeshi la polisi kwa ujumla wanajidhalilisha sana,kwa kusema hawataweza kulinda watu watakaotembea
kwa miguu kwenda jangwani kwenye mkutano,ikiwa waliweza kuwalinda watu wakati wanaandamana kwenda
Leaders Club wakati wa msiba wa Kanumba,leo nini kumebadilika kwa watu kutembea makundi kuelekea Jangwani?
"Shame on you"!!!!!!!!!!!!!!!
Usipotoshe nani alikwambia kulikuwa na maandamano siku ile?
Kova na jeshi la polisi kwa ujumla wanajidhalilisha sana,kwa kusema hawataweza kulinda watu watakaotembea
kwa miguu kwenda jangwani kwenye mkutano,ikiwa waliweza kuwalinda watu wakati wanaandamana kwenda
Leaders Club wakati wa msiba wa Kanumba,leo nini kumebadilika kwa watu kutembea makundi kuelekea Jangwani?
"Shame on you"!!!!!!!!!!!!!!!
Hakuna mtu hata mmoja atayetufanyia fujo hata tukienda kwa mguu kwa makundi labda wao palisi ndiyo watufanyie fujo sisi ata hapo jangwani wasije hawatushughulishi na jeshi lao la magamba
hii barabara ya bagamoyo road balaa tu yaani follen maeneo ya tegeta sijui nitawahi kweli peoples power wakuu mliopo eneo la tukio tujuzeni wengine tupo njiani tunakuja.
Nimepita muda si mrefu hapafai hata hapo Makongo hapako vizuri hata hivyo mwenge pako shwari
Re: Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda
By Kyindokyakombe
Hatimaye M4C - Vua Gamba Vaa Gwanda itatua Dar leo mashabiki na wapenzi wa CDM Vyuo vikuu MLIMANI, ARDHI, IMF, TIA, MWL NYERERE MEMORIAL, TUMAINI, KIU, MUHIMBILI Sote tujivute tuungane pamoja kutengeneza mustakabali wa nchi yetu.
WANANCHI nao sehemu mbalimbali za JIJI la DAR nanyi mjitokeze kwa wingi.
MUNGU IBARIKI CDM MUNGU IBARIKI TZ.
Mkuuu usisahau kuturushia vipicha....
Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.... Malcolm X Nasubiri 'breaking news... '
Re: Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda
Daaa...jamani hapa MOSHI maeneo mengi umeme umezimwa na TANESCO, Sijui kama ni matengenezo au ni kutukosesha uhondo wa mkutuano wa CDM Jangwani through ITV au ni nin jamani?daaa...nasikitika...san a nchi yangu....
Re: Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda
Labda mnisaidie, ni wakati gani watu watakuwa wengi barabarani,
je ni wakati wa kwenda ua kutoka mkutanoni?
Na kama ni wakati wa kuondoka je watawezaje kuwalinda mda huo?
Ni heri wangewazuia kabisa kwenda mkutanoni maana hawawezi kuwalinda watu wengi!.
"Ikulu ni mahala PATAKATIFU,
mimi sikuchaguliwa kuja kupageuza kuwa pango la wala RUSHWA."
By J.K. NYERERE.
Follow Us Here