asante kwa taarifa KWA JINSI NINAVYOONA HAPA MBEZI KWA MSUGUR WATU ZAID YA ELF MOJA WAKO NJIAN WAKIMSUBIR MWENYEKI WA MTAA HUO KUWAONGOZA KUELEKEA JANGWANI
Re: Polisi waliwezaje kulinda msiba wa kanumba washindwe leo?
Kwenye mazishi ya Kanumba walishindwa na ndio maana suala la kuaga maiti lilisitishwa. By the way, hakukuwa na maandano kwenda Leaders bali watu walitoka sehemu mbalimbali jijini from different angles kuelekea Leaders. Kuhusu CHADEMA, Jangwani ipo along Morogoro Rd, kuruhusu maandamano italeta usumbufu mkubwa sana kwenye hii barabara ambayo ndiyo kiunganishi kikuu cha Dar na upcountry. By the way, hayo maandamano ni ya kumkoga nani?! Kama mkutano wa hadhara hautakidhi dhima ya CDM basi hata hayo maandamano yasingeweza kukidhi.
I am a free thinker! It's only my free thinking that leads me, to what am commenting. Thus, I've no doubt that today I can be your fellow but tomorrow your enemy, and the agent between us being my comments!! So, If today we agree with cheers, tomorrow we'd not disagree with jeers!
Re: I am attending CDM-M4C Rally at Jangwani. And you?
why would i go there ...
Pure Matrimony >> Purity starts here (Quran 24:26) My loyalty is to reason,and as a reasonable person I reserve the right to change my mind when presented with new information that alters my perspective" Njiwa"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
Tatizo la Kova sio maandamano bali ni kuzuia watu kutembea kwa makundi. This is nonsense and unpractical kwa watu wanaokwenda au kutoka kwenye hadhara yeyote kama vile mkutano, football match, mazishi kama ya Kanumba, hata kwenda na kutoka shuleni kwa wanafunzi.
Pamoja na kupewa amri kuhakikisha mkutano wa CDM haifanikiwi, lakini Kova pia anatakiwa atumie akili yake vinginevyo ataonekana a laughing stock!
Baada ya kupiga marufuku maandamano ya chedema huenda kesho Kova akatangaza majina ya askari waliotumika kuhakikisha maandamano hayafanyiki walioingia jeshi la polisi kwa vyei bandia.
"No man is a true believer unless he desires for his brother that which he desires for himself" Muhammad SAW
asante kwa taarifa KWA JINSI NINAVYOONA HAPA MBEZI KWA MSUGUR WATU ZAID YA ELF MOJA WAKO NJIAN WAKIMSUBIR MWENYEKI WA MTAA HUO KUWAONGOZA KUELEKEA JANGWANI
Mimi nipo maeneo ya temboni hapa 2po kama hamsini hivii sasa 2natafakari 2kodi gari au tuende mdogo mdogo
Re: Polisi waliwezaje kulinda msiba wa kanumba washindwe leo?
By English Learner
REMSA,
You are wrong.
The Police Force failed miserably to manage people and the protocals at Kanumba's burial ceremony. The fact is justified by the cases of people who fainted not bcoz they felt Kanumba deeply but due to improper management of the masses at burying. Eventually, the want of the multitudes to throw the goodbye sand to the fresh tomb was not met.
Kwahiyo we mwanafunzi unasemaje kuhusu polisi wetu hawaezi wachache ua wavivu ......?
"Ikulu ni mahala PATAKATIFU,
mimi sikuchaguliwa kuja kupageuza kuwa pango la wala RUSHWA."
By J.K. NYERERE.
Whether you in Dar or somewhere else please don't dare to miss the inaugural for M4C and the Katiba Rally. You've options around you to attend physically at Jangwani or participate by watching ITV or listening Clouds FM.
Shout louder your grievances against all laggards of change and development. Write here on this thread your confirmation that e.g. "Salum Abdallah I'm attending/participating/listening"
Those attending in boby and soul, sign-in in the Foursquare social network and opt-in your location when you are around Jangwani to let the world know the masses flocking to support M4C and Katiba Rally.
English Learner am attending!
hapo kwenye clouds fm sijaelewa wapepewa tenda watangaze au wamejipendekeza,wasije wakachakachua hotuba wakaweka za kwao
kwani Kutembea makundi makundi kunashida gani? kwa hiyo leo wasabato wakitoka kanisani wasitembee makundi makundi, maana watakamatwa na vijana wa kova? sishangai kova kuwalinda magamba, maana hata Tibaijuka alikuwa kamanda wa polisi kanda maalum, lkn baada ya kustaafu akaenda kugombea ubunge, sasa najiuliza alipata lini kadi ya CCM mpaka akawa na sifa ya kugombea ubunge! lkn shukrani kwa profesa Anna Tibaijuka, kwa kumudondosha kwenye kura za maoni......................... ... shame on you kova.
re: Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda
By Kyindokyakombe
Hatimaye M4C Vua Gamba Vaa Gwanda itatua Dar leo mashabiki na wapenzi wa CDM Vyuo vikuu MLIMANI,ARDHI,IMF,TIA,MWL NYERERE MEMORIAL,TUMAINI,KIU,MUHIMBILI Sote tujivute tuungane pamoja kutengeneza mustakabali wa nchi yetu. WANANCHI nao sehemu mbalimbali za JIJI la DAR nanyi mjitokeze kwa wingi.MUNGU IBARIKI CDM MUNGU IBARIKI TZ.
re: Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda
Haya mapungufu tunayanukuu maana ni moja ya vipaumbele vya kufanyi marekebisho.
baada ya kumaliza kazi ya ukombozi wa taifa hili kutoka mikononi mwa mkoloni CCM na makabaila wake
-Kuunda polisi ya kulinda raia na siyo watawala!
Hata hivyo watawala hawatakuwepo tena tutakuwa na viongozi watakaokuwa wanaongoza na wananchi.
na kazi itakuwa rahisi sana kwa polisi maana watakuwa anawlinda wote kwa wakati mmoja!.
Mpaka leo polisi wa dola la CCM wanaendelea na mfumo ule ule waenzi ya ukoloni wa mzungu kumlinda mtawala. Wala si mwananchi mlipa kodi (MISHAHARA YAO)
"Ikulu ni mahala PATAKATIFU,
mimi sikuchaguliwa kuja kupageuza kuwa pango la wala RUSHWA."
By J.K. NYERERE.
Follow Us Here