Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda

    Report Post
    Page 16 of 33 FirstFirst ... 6141516171826 ... LastLast
    Results 301 to 320 of 645
    1. #1
      Kyindokyakombe's Avatar
      Member Array
      Join Date : 1st May 2012
      Posts : 97
      Rep Power : 379
      Likes Received
      95
      Likes Given
      2

      Default Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda

      Hatimaye M4C - Vua Gamba Vaa Gwanda itatua Dar leo mashabiki na wapenzi wa CDM Vyuo vikuu MLIMANI, ARDHI, IMF, TIA, MWL NYERERE MEMORIAL, TUMAINI, KIU, MUHIMBILI Sote tujivute tuungane pamoja kutengeneza mustakabali wa nchi yetu.

      WANANCHI nao sehemu mbalimbali za JIJI la DAR nanyi mjitokeze kwa wingi.

      MUNGU IBARIKI CDM MUNGU IBARIKI TZ.



      Elli, Tiba, Saint Ivuga and 20 others like this.


    2. #301
      Escobar's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th September 2011
      Posts : 330
      Rep Power : 458
      Likes Received
      201
      Likes Given
      146

      Default M4c itv liveeeeeeeeeeeeeeeee!

      Kwa wale ambao kwa sababu tofauti hamkufanikiwa kufika Jangwani ni kwamba tayari ITV inarusha live tukio zima na sasa Shekh anatoa dua yake kwa uzuri kabisa hapa!
      The only white man you can trust is a dead white man, "ROBERT MUGABE"


    3. #302
      Edson's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2009
      Posts : 7,310
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1806
      Likes Given
      433

      Default Re: Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda

      ngoja nifanye fitna mpaka niione live itv online...
      I'm Naturaly Evasive..

    4. #303
      Mangaline's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th May 2012
      Posts : 1,015
      Rep Power : 621
      Likes Received
      205
      Likes Given
      56

      Default Re: Watu wa jangwani mbona Kimyya sana???????

      kweli, sisi sote tulio mashenzini, tuko kwenye mtandao tukisubiri updates, kukaa kimya mnatunyima haki zetu za msingi za haki ya kupata habari.

    5. #304
      Bujibuji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th February 2009
      Location : NYUMBANI PANONO
      Posts : 14,409
      Rep Power : 16604
      Likes Received
      7409
      Likes Given
      5746

      Default Re: Watu wa jangwani mbona Kimyya sana???????

      Tune ITV, hata sisi tulioko Isyonje Mbeya vjijini tunaona live jinsi ibada ya mazishi ya CCM inavyoendelea
      Majimoto and Kichwa Ngumu like this.

    6. #305
      Elizabeth Dominic's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 7th December 2007
      Posts : 2,789
      Rep Power : 5477
      Likes Received
      1985
      Likes Given
      2657

      Default Re: Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda

      Inshaalah...
      Sheikh anasoma dua


    7. #306
      mutabilwa's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 11th July 2011
      Posts : 156
      Rep Power : 433
      Likes Received
      39
      Likes Given
      0

      Default Re: chadema wadanganya umma Itv hawaonyeshi igizo lao

      kaka amesahau ahadi wanazozitoa kisha wanaingia mitini,eti ajira milion 1 tena mkuu wa jiko anasema then hola, chadema chama kubwa no longolongo, subiri uone

    8. #307
      sosoliso's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th May 2009
      Location : Mwembekiuno
      Posts : 2,992
      Rep Power : 17997
      Likes Received
      1755
      Likes Given
      1777

      Default Re: Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda

      ITV live now..

    9. #308
      baraka moze's Avatar
      Member Array
      Join Date : 21st April 2012
      Posts : 84
      Rep Power : 377
      Likes Received
      3
      Likes Given
      12

      Default Re: Watu wa jangwani mbona Kimyya sana???????

      mi niko njiani huko na ccm itahadhibiwa leo

    10. #309
      STK ONE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2011
      Location : Mpanda, Katavi Region
      Posts : 628
      Rep Power : 502
      Likes Received
      176
      Likes Given
      44

      Default Re: Watu wa jangwani mbona Kimyya sana???????

      Ushabiki huo!!!!!!!!!!!!! Watu wamefurika kweli hadi hakuna sehemu ya kuweka miguu, kuna mtu yuko uwanjani amenijuza kwa simu...GAMBA LAKO GUMU KWELI!!!!!! Mwaka huu mnalo....!!!!
      HERI UKIMWI KULIKO CCM....BUT THE END IS ON THE WAY.....

    11. #310
      OKW BOBAN SUNZU's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 24th August 2011
      Posts : 1,618
      Rep Power : 0
      Likes Received
      608
      Likes Given
      657

      Default Re: Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda

      Quote By DALLAI LAMA View Post
      Kama lema yupo...dar imeisha.
      wapi wale vichaa wa ''CDM ni ya kaskazini'', au wanachanganya CDM na River Camp ya kina Joh Makini na Bonta

    12. #311
      Elli's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 17th March 2008
      Location : Kijito-Upele
      Posts : 9,020
      Rep Power : 2645
      Likes Received
      2317
      Likes Given
      2097

      Default Re: Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda

      Yule jamba wazi anayejiita emmy yuko wapi sasa? aangalie nyomi ya Jangwani
      ...but what MAN is entirely without Evil intent in the Silence of his Soul???

    13. #312
      Edson's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2009
      Posts : 7,310
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1806
      Likes Given
      433

      Default Re: Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda

      Quote By TELO View Post
      mzee jiunge arusha mambo radio utapata live; kwani hata mimi nasikiliza sasa yanayoendelea
      ndio sasa nasikiliza live ..hawa itv hawapo online
      I'm Naturaly Evasive..

    14. #313
      Elizabeth Dominic's Avatar
      JF Premium Member Array
      Join Date : 7th December 2007
      Posts : 2,789
      Rep Power : 5477
      Likes Received
      1985
      Likes Given
      2657

      Default Re: Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda

      Mchungaji sasa....

    15. #314
      Ilulu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 22nd March 2008
      Location : Vibwende (Kwa babu)
      Posts : 163
      Rep Power : 606
      Likes Received
      22
      Likes Given
      1

      Default Re: Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda

      TANESCO WAMEKATA UMEME huku kwetu...... Looooooooooohhhhhhhhhhhhhhhh!! !!!!!! Ndiyo tulikuwa tunaanza kujinafasi LIVE ITV.

    16. #315
      Comi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd October 2011
      Posts : 1,031
      Rep Power : 596
      Likes Received
      164
      Likes Given
      2

      Default Re: Watu wa jangwani mbona Kimyya sana???????

      Hatimaye itv waanza kuonyesha

    17. #316
      Ubongo Silaha's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st April 2012
      Posts : 101
      Rep Power : 384
      Likes Received
      45
      Likes Given
      18

      Default Re: chadema wadanganya umma Itv hawaonyeshi igizo lao

      Hebu angalia ITV halafu urudie hiyo kauli yako isiyofanyiwa utafiti
      Mwenzio naangalia huo mkutano unaonyeshwa na hao hao ITV

    18. #317
      Mangaline's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th May 2012
      Posts : 1,015
      Rep Power : 621
      Likes Received
      205
      Likes Given
      56

      Default Re: Watu wa jangwani mbona Kimyya sana???????

      Tupe picha tafadhari.

    19. #318
      Edson's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2009
      Posts : 7,310
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1806
      Likes Given
      433

      Default Re: Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda

      roho za vijicho (rejao) zimekemewa
      I'm Naturaly Evasive..

    20. #319
      Uncle Rukus's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th June 2010
      Location : Kasulu Kigoma
      Posts : 2,364
      Rep Power : 934
      Likes Received
      353
      Likes Given
      288

      Default Re: Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda

      Ndio kionzozi wa dini ya kiislam amemaliza kusoma dua yake...


      Na sasa anapanda kiongozi wa dini ya kikiristo

    21. #320
      Comi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd October 2011
      Posts : 1,031
      Rep Power : 596
      Likes Received
      164
      Likes Given
      2

      Default Re: Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda

      Itv yaanza kuonyesha

    Page 16 of 33 FirstFirst ... 6141516171826 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...