Tafadhali wajf nisaidieni,nimeshanunua tambara kubwa tayari kwa kuandika ujumbe na kuanza safari kwa mguu toka tabata kimanga kuelekea jangwani for m4c hapo kesho,sasa naomba unisaijie ujumbe gani nitupie hapo bangoni?,nawasilisha

wanachama wa ccm, wana roho ya paka shume
"Ikulu ni mahala PATAKATIFU,
mimi sikuchaguliwa kuja kupageuza kuwa pango la wala RUSHWA."
By J.K. NYERERE.
Beba bendera ya Tanganyika, Kachue kwa mtikila zipo.
We shall overcome, righteousness shall always prevail.
ni bora akili za mbuzi wanne kuliko wana ccm mia mija.
KIKWETE ACHA KUPIGA PICHA NA BeCKHAM!
Mzanzibari kuwa waziri wa afya wa tanganyika haikubaliki
andika, KIDUM CHAMA CHA MAPINDUZI, CHAMA KILICHOTULETEA UHURU, CHAMA CHA WANYONGE, CHAMA KINACHOJALI MASIKINI, CHAMA KILICHOTULETEA UMOJA WA KITAIFA, CHAMA CHENYE KUJALI WATANZANIA WOTE
Napeeee! Wap ccj?
"Ikulu ni mahala PATAKATIFU,
mimi sikuchaguliwa kuja kupageuza kuwa pango la wala RUSHWA."
By J.K. NYERERE.
Mkama Nyoa Mustachhi!!!!!!
Ukweli ni maji ya chumvi unayotakiwa kuyaoga, ukiona mahali panawasha usiyachukie hayo maji....jua hapo pana jeraha pafanyie kazi.
Cc na mungu wao na dola!
1.Andika jk vua gamba vaa gwanda!
2.jk punguza safari za ulaya wazungu watakuoa.
3.salma onyesha mfano kwa kupanda bajaji za wajawazito.
4.pinda acha uoga mafisadi wamekuzidi ujanja.
5.makinda tafuta bwana akuoe ili kiburi kipungue.
6.
7.
Naona wamagamba jua limekuwa kali wanajitoa taratibu!
"Ikulu ni mahala PATAKATIFU,
mimi sikuchaguliwa kuja kupageuza kuwa pango la wala RUSHWA."
By J.K. NYERERE.
Follow Us Here